MAMA SAMIA amsimamisha CHID BENZ ashindane kuchana na MWANA FA hii imeenda.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • #mamasamia #chidbenz #mwanafa

ความคิดเห็น • 306

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 6 หลายเดือนก่อน +97

    Chid Benz is a GOAT 🐐 alive in Tanzania. Jamaa anapenda music na anakipaji kiukweli sijaona msanii ambae anamapito ila bado anapambana kama mwamba, ifike mahali tuwe na Chid challenge jamaa asaidike wapo ulaya wengi wamepitia kama mwamba ila sasa wamenyooka. I respect you Chid sana.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 หลายเดือนก่อน

      Kuna mtu anaitwa hashim aw dogo mwendawazimu tafuta nyimbo yake moja tu umsikilize

    • @abeidHamis
      @abeidHamis 6 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli huyu bado yupo fiti anahitaji support tu

    • @user-rk5nf9gn4e
      @user-rk5nf9gn4e 6 หลายเดือนก่อน +3

      Aliemugiza mwamba kwenye madawa MUNGU amlaani, this guy is talented bt talent just wasted like this so painful 🤔!.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-rk5nf9gn4e kaingia mwenyewe hajalazimishwa

    • @erickmuli1030
      @erickmuli1030 6 หลายเดือนก่อน +1

      No 1 like chid hata hao wanajiita wakal wa hii wanamjua na kumuogopa.

  • @Khalid-tz
    @Khalid-tz 6 หลายเดือนก่อน +29

    huyu mwamba namkubali sana na hachagui zawadi alishawai pokea pipi kwa shabiki na alishawai nunuliwa sambusa na shabiki akapokea mm kama mm nilimpa kacha ya mkononi na alipokea mungu ampe afya njema na nguvu Zaidi na anajua sana

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 6 หลายเดือนก่อน +18

    Wakati wa mungu ndo sahihi usikate tamaa bro CHID BENZ

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa watoto wajizi hawawezi kumjua chid, ila tunawaambia huyo kaimba na hao mastaa wenu wote wakibwa hapa bongo, tena wao ndio walikuwa wanamuomba kolabo, ndio maana Mwana Fa anamsikiliza kwa upole kwa sababu anajua who is CHID

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 6 หลายเดือนก่อน +21

    Hii ni talent kubwa sana iliyokosa management asee benzi is fire🎉

  • @donwilliamstechnology2052
    @donwilliamstechnology2052 2 หลายเดือนก่อน +4

    Chid Benz ni fire 🔥🔥🔥🔥 .. Huyu Jamaa Mungu amsaidie sana maana ni Management tu anakosa tu. Anakila kitu Kama Musician wa Hip-hop. @Mwana FA. Msaidieni sana huyu jamaa. Sio Kwa kumpatia pesa no, Cha thamani ninacho waza ni kupata watu wa Synology tu wakamweka Sawa ili atulie afanye mziki kisasa aweze ku inspire vijana wengine wanao penda kutafuta ugali wao kupitia Music 🎵. Shalot to Chid Music.

  • @rozaninachota1176
    @rozaninachota1176 5 หลายเดือนก่อน +5

    Love you kaka chid muombe MUNGU sna akutoe hapo uwe kama zamani but still you know my brother love sana babaaa mwaaaa

  • @cazmwene5864
    @cazmwene5864 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chid benz is the beast when he's on the stage sijaona msanii mkali na mshereheshaji kama Chid on the stage,,jamaaa huyu Mungu ampe urahisi katk mambo zake apate utashi kamili apige pesa mingi mnoo!

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 5 วันที่ผ่านมา

    chi chi chi chiiiii diiiiii beeeeenziiiiiii Na chiiiiidiiiii...salute 🙌MWANA FA bado wa moto sauti bado hipo toka enzi zile za Biafra uwanjani kino hiyo 🔥💥🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 6 หลายเดือนก่อน +8

    Hakuna kama Çhidi Benzi bwana .I love you bro ww ni wetu unajuwa 😢

  • @bernardmanota258
    @bernardmanota258 5 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa ni mtu saaaana kamukumbuka mzee MANGWEA dah chidiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emmanuelkimila2911
    @emmanuelkimila2911 4 หลายเดือนก่อน +4

    DAAAAA WE MWAMBA UNAJUA MPAKA UNAJUA TENA....CHID BENZIIII❤❤❤❤

  • @mikentoga
    @mikentoga 5 หลายเดือนก่อน +4

    Chid ninoma sanaaa ....appreciate you bro ....big five bongo musician ...salute mwamba ...

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wasanii wa Bongo walikuwa Miambaaa, Mungu awabarikiii. Kila ninapowatazana na kuwasikizaaa kunatokwa na machozi, sababu sijui. They really changed our lives and our society despite many challenges they went through. Long Live CB, and many more. Peace.

  • @tseinlee6727
    @tseinlee6727 6 หลายเดือนก่อน +14

    Chid....smart brain....

  • @alecynakaonga7920
    @alecynakaonga7920 6 หลายเดือนก่อน +10

    ❤❤chidi we ni mkali mwamba

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 6 หลายเดือนก่อน +8

    Chid benz mwenyewe ,good creativity

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 3 หลายเดือนก่อน +1

    Benz ni Goat🔥🔥🔥🔥
    Shetani tu kakaa kati kwny maisha yake! Mungu amtoe apate management nzuri.

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chidi ni mmoja bongo nzima.mwamba anajua .mwamba rudi kwenye game seriously acha na vitu vingine.unajua mwamba

  • @NurdinRamadhan-ig2zw
    @NurdinRamadhan-ig2zw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali sana uyu bro sema mungu amjalie asirud tena kwenye madawa

  • @teilencedevard9431
    @teilencedevard9431 6 หลายเดือนก่อน +24

    Chid pumzi anayo aisee 🔥

  • @MUNGAHASSAN-ki4hg
    @MUNGAHASSAN-ki4hg 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chid for life brow you still strong full hope

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 6 หลายเดือนก่อน +11

    Muhesimiwa🙌❤

  • @dullaliverpool6978
    @dullaliverpool6978 3 วันที่ผ่านมา

    Chidi dah mwamba namuelewa sana mungu akusimamie

  • @tareqnahad-gd5mb
    @tareqnahad-gd5mb หลายเดือนก่อน +1

    uyu jamaa ndiyo kasabisha kina Rashid kuitwa chid 🤣......one love brother chidi

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii 6 หลายเดือนก่อน +7

    Chidi kumbe n mkalii hivo ndo nimejua salute bratha Chidiii

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 6 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu ndiyo msanii wangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @johnsonisack1133
    @johnsonisack1133 6 หลายเดือนก่อน +4

    The legend ❤❤❤chid benz

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 6 หลายเดือนก่อน +17

    Ipo siku mtakuja kumwaga sifa za kinafiki time hiyo Chid atakuwa hawezi kuwapinga au kuwakubar...
    Wakat mpo nae sasa mnamuona sio Ila jamaa kwa tz hii bado sijaona aiseee...

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 4 หลายเดือนก่อน

      kamsikilize jamaa anaitwa Dizasta Vina utarudi hapa hapa kunishkuru.. chidi sijawahi kumuelwa mimi hua naskia makelele tu

    • @rahimmarions5712
      @rahimmarions5712 4 หลายเดือนก่อน

      @@hafidhhemed1514 hakuna rapper mkali kumzidi huyo jamaa..huyo unaemsema ni modern rapper..

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 4 หลายเดือนก่อน

      Hahaha asee Dizasta ni modern ?? Chidi ndio rapper mkali?? Km hip hop ni makelele yaliokua hayana maana basi Chidi ni No 1. Ila km hip hop ni culture, uwandishi, na content basi chidi Hana uwezo hata wa nusu kumfikia Vina.. Fanya research utapata majibu . Unaonekana ww sio mpen wa hip hop

    • @kassimkalole8834
      @kassimkalole8834 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hafidhhemed1514 wewe kweli chizi unamfananisha dizasta na chid huyo dizasta ha Kenya hwamjui

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 2 หลายเดือนก่อน

      @@kassimkalole8834 wee jamaa ni wa 2000 nin? Au ni mshabiki wa taarabu? Aliekwambia kua msanii mzur wa hip hop kunapimwa na kujulikana na watu ni nan? Kiazi sana ww jamaa

  • @user-el8gu5bs3u
    @user-el8gu5bs3u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Chid anasauti ya Jaiva anaunguruma tuuu❤❤❤😂😂04.04.2024🎉🎉🥰🥰

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 6 หลายเดือนก่อน +13

    Chidi Arusha kumempenda yupo fit kinoma chidii usihame Arusha dar wanga wengi

    • @abrahamfelix95
      @abrahamfelix95 6 หลายเดือนก่อน

      amini blood dizonga michosho

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaletewa wasanii kusahaulishwa njaa nashida zenu

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeniuma sana ujue chidi Benz anahitaji msaada sana kipaji kinapotea huku wadau wapo

  • @mosesmgomb-vz6fq
    @mosesmgomb-vz6fq 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ni balaaaaaa saaaaaan chid🔥🔥

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 6 หลายเดือนก่อน

    Chekii vile umatii umechahaaaa wananguuuu. Hiii kali sana, miss dem days. Peace.

  • @user-tb3hi9he5f
    @user-tb3hi9he5f 6 หลายเดือนก่อน +4

    Muda is my favorite song namkubali sana chidi benz

  • @Maaworldwide
    @Maaworldwide 6 หลายเดือนก่อน +6

    Only best rapper found Tz

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 6 หลายเดือนก่อน +3

    isingepigwa dsm stand up asee show ya chidi isingekua perfect 🎉

  • @UntouchablePapi-bx5sh
    @UntouchablePapi-bx5sh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania nzima wlai hakutawai tokea kama chid Benz🔥🔥🔥

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chid yupo vizuri

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 3 หลายเดือนก่อน

    Yann chid no zaidi ya noma much lov broo❤❤❤❤❤❤❤

  • @everlastthebad4441
    @everlastthebad4441 6 หลายเดือนก่อน +2

    oyaaa wewee oyaaa wee...oya mbona uyu asikiii hiii...chid bana
    . oya kwan we nani kwan kwenye sho yangu

  • @alimasha7017
    @alimasha7017 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid for life.... 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 6 หลายเดือนก่อน +15

    Wewe Nani Una bana Chuma kimerudi ktk Reli ya mwendo Kasi

    • @PeterDomician-rf7np
      @PeterDomician-rf7np 4 หลายเดือนก่อน

      Ukwel wa mungu chid benz hakuna msanii wakulinganishwa nae katika hali ya uharis alikua gwear tu bas na mbali gozllar

  • @user-tj8eq2bq9w
    @user-tj8eq2bq9w 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid namba nzito ,namkubaliiii

  • @anthonymashaka8075
    @anthonymashaka8075 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid 🎼🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 6 หลายเดือนก่อน

    Trueeee hip hop, hilo beat lilitesaaaa sana. Peace.

  • @user-uw3ub4lu7n
    @user-uw3ub4lu7n 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa ndio wasanii wa bongo hao wengine ufyongo tu ngwea, chidy q,jay makamua, Mr brue

  • @user-dx7pn9zc5k
    @user-dx7pn9zc5k 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid benz is namber one❤🙌

  • @ShumbukenKondo
    @ShumbukenKondo 5 หลายเดือนก่อน +1

    mwana yupo vizuri.

  • @user-sr3eo8mv7c
    @user-sr3eo8mv7c 5 หลายเดือนก่อน

    Salute to dr dree

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 หลายเดือนก่อน +3

    Chidi ni jini kwa kweli...

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mheshimiwa❤

  • @dmswaggbamboostick4576
    @dmswaggbamboostick4576 6 หลายเดือนก่อน +21

    Tanzania tuna fake love sana kwa hawa artist wetu....ipo siku tutamsifia sana huyu jamaa natutakuwa tumeshachelewa #chidbenzbestrapperalive

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 6 หลายเดือนก่อน +1

      Unataka asifiwe vipi kwani lini alipondwa kwa u artist wake? Watu wanamponda na kumcheka kwa matumizi yake ya maunga period.
      Ni msanii na rapper Bora kabisa ila unga ndiyo umempa ukichaa.

    • @jonijomk3107
      @jonijomk3107 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwikamwika4851
      Me nimemuelewa @dmswaggbamboostick4576
      Anachomàanisha,
      ni kwamba izi sifa anazopewa sasaiv zingegeuzwa kua nguvu ya kumpeleka soba Ili arudi kwenye Hali yake ya mwazo,
      Nanachojua Mimi chid utayali wa kwenda soba ndani yake haupo, sio kwamba anakosa wa kumsaidia kumpeleka soba, ukweli kusema %ya wàtànzania wapo tealia kupitishwe hata mchango wa buku buku ili chid akaishi kiboss soba mapaka anapona, lkn shida ipo kwa muhusika, anautayali???, kwa upendo anaopendwa chid na wàtànzania me naamini ile ni yakulogelezwa.😢😢😢

  • @henribwema2778
    @henribwema2778 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid Benz salute

  • @maregesipeter4998
    @maregesipeter4998 27 วันที่ผ่านมา

    Dah! CHID ni sooo!❤❤❤🎉

  • @obedingilisho
    @obedingilisho 6 หลายเดือนก่อน +2

    Benz ni shidaaaaa😊

  • @user-bm7xv3dy5n
    @user-bm7xv3dy5n 6 หลายเดือนก่อน

    Chichi lafamilia ilala🤗🤗🤗Correction @tz dr👑

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid❤❤❤🎉🎉🎉

  • @PatrickRukumza
    @PatrickRukumza 3 วันที่ผ่านมา

    Chid bado yuko vizuri

  • @PonamaliMtanzania
    @PonamaliMtanzania 3 หลายเดือนก่อน

    Mweshimiwa umetisha mwana fa

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 13 วันที่ผ่านมา

    Mwana F.a, chid Benz these a true goats ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bishweko
    @bishweko 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤for Chid

  • @kephamlewa5258
    @kephamlewa5258 15 วันที่ผ่านมา

    Sema chid anajua sana sema tu wabongo tumeamua kumpotezea but huyu Rappa ni Moja kati ya Marapa Bora kuwahi kuzaliwa Tanzania

  • @user-uv5jf6he8r
    @user-uv5jf6he8r 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yamekutana mawe bigap chichibenz🎉

  • @user-sg8us3mq9r
    @user-sg8us3mq9r 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid noma

  • @bornkilla6173
    @bornkilla6173 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid Benz 🔥🔥

  • @user-ty3bx7xx7c
    @user-ty3bx7xx7c 6 หลายเดือนก่อน +2

    Anafunika na freestyle Chidi Mwamba💪💪💪🤫

    • @PeterDomician-rf7np
      @PeterDomician-rf7np 4 หลายเดือนก่อน

      Na wanatumia udhaifu wake wa dawa za kulivye ili wampite lakn hawawezi mwamba anajua sana sana freestyle hakuna msanii hapa tz anachomoa

  • @MasoudSuleyman
    @MasoudSuleyman 6 หลายเดือนก่อน +2

    King king ,chuma.hatari sana chuma.

  • @NajmaMosha-wo9bu
    @NajmaMosha-wo9bu หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana chid anajua

  • @MusaWilison
    @MusaWilison 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chid motoooooo

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz หลายเดือนก่อน +1

    Ricpect chidy Benz

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 หลายเดือนก่อน

    Best arts Tz hollaaa time

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kipaji cha kweli haswaaaaa ila daaah kinapoteaji kipaji km hichi

  • @musahassan6818
    @musahassan6818 6 หลายเดือนก่อน +3

    💐🪷🌹🥀🌺🌷🪻⚘️ maua yake mi nishampaga siku nyingi sana huyu mwamba heshimi yako bro kwa burudan 2 hatari nipo home lakini naenjoy popote alipo na 20000 yake ya maua

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani mtafutieni management please vipaji hivi vinapotea

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 6 หลายเดือนก่อน +4

    Chid ni libaya unga tu unamuaribu cjui kwann achi

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 หลายเดือนก่อน

    I love you chidi benz

  • @user-ns7br6ch4v
    @user-ns7br6ch4v 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni shidaaaaa duhhhh

  • @agentchidisautimbaya2141
    @agentchidisautimbaya2141 16 วันที่ผ่านมา

    Nimeangalia kwasababu ya chidi benzi

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid benziii lafamiliaaa

  • @godymastermind9534
    @godymastermind9534 หลายเดือนก่อน +1

    Chid akiacha madawa ni bonge la msanii. Madawa hayajawahi kumuacha mtu salama

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nawaza mwana fa angeimbaga nyimbo za kishenzi na leo ni kiongoz angeimbaje

    • @masalsamwelmasal2255
      @masalsamwelmasal2255 6 หลายเดือนก่อน

      Ina tv ndan?

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 6 หลายเดือนก่อน

      Wasanii wazamani walikua na akili sio wa ssa kazi yao kutukana

    • @mkingaboy550
      @mkingaboy550 6 หลายเดือนก่อน

      Niliwaza hivyo na mim

  • @zephaniamwangu9857
    @zephaniamwangu9857 6 หลายเดือนก่อน +4

    Daaah chizi ana balaa zito!!!

  • @luluray2115
    @luluray2115 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana chid

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5nt 6 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia amsaidie basi arudi kwenye game

  • @EmmanuelmasikaSifuna
    @EmmanuelmasikaSifuna 2 หลายเดือนก่อน

    Chidi benzi noma sana bro

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 6 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anakili nyingi sana unga tatzo

  • @joshuahsamuels4123
    @joshuahsamuels4123 21 วันที่ผ่านมา

    If only he could make his words clear,you cannot get his massage because of his voice.

  • @ModiceMODICESMBODZENGUMA
    @ModiceMODICESMBODZENGUMA 4 หลายเดือนก่อน

    Motoo chiddy benz❤❤❤❤

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mc ame sahau kuwa child Benz ni mhuni kutoka kitambo sana haraka anataka kuleta ujinga kwenye jukwaa👏🏻👏🏻😄😀😀

  • @mr-option7751
    @mr-option7751 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anapenda mziki sema ivyo tu

  • @allykagawa
    @allykagawa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Benzinho 🙌

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Mh hii nchi bhana Samia anatembea nawasanii

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 6 หลายเดือนก่อน +5

    Muhezaaa

  • @SubilaAbdala-py3wv
    @SubilaAbdala-py3wv 25 วันที่ผ่านมา

    Chid woooooooo

  • @schadracnsengiyumva6525
    @schadracnsengiyumva6525 4 หลายเดือนก่อน

    Benz noma sana

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid akitulia vizuri anarudi

  • @user-sd8jz7zj2l
    @user-sd8jz7zj2l 6 หลายเดือนก่อน +4

    Muheshimiwa umeacha zoez

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 6 หลายเดือนก่อน +3

    Chidiiii sauti vipi

  • @SamiriMustafa-jh8rx
    @SamiriMustafa-jh8rx 2 หลายเดือนก่อน

    Pow broo komaaa game inahitaj wakar watt wanabana pua kamua arifu