Kisa cha SAMSON na DELILAH,na jinsi MUNGU alivyowekeza NGUVU za AJABU kwa BINADAMU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2020

ความคิดเห็น • 23

  • @kisumkononi3575
    @kisumkononi3575 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni
    Mwema

  • @tontourassa5110
    @tontourassa5110 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa sana 🙏🙏

  • @kisumkononi3575
    @kisumkononi3575 2 ปีที่แล้ว

    Maria mihambo liinuliwe jina la bwana Mungu wetu

  • @kahoribonga9280
    @kahoribonga9280 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwakutuletea mafundisho

  • @allyhajji3338
    @allyhajji3338 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu ni mkubwa sana

  • @user-ry2si1sf6b
    @user-ry2si1sf6b 7 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhhhhhh safi

  • @esterfred3980
    @esterfred3980 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah kweli pesaa umekua na nguvu tangu zaman

  • @gracegwarasa5099
    @gracegwarasa5099 4 ปีที่แล้ว

    Samsoni mbona mjinga hivi jamani

  • @mkalitv5420
    @mkalitv5420 4 ปีที่แล้ว +1

    Imeandikwa tuishi nao kwa akili

    • @nicksonnyinondi2671
      @nicksonnyinondi2671 4 ปีที่แล้ว

      Duh kweli

    • @joakimchacha2420
      @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

      NI KWELI ILA AKILI HIYO AKUPE MUNGU MWENYEWE,maana ukipewa na Ibilisi ni mtihani mwingine....

  • @joakimchacha2420
    @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

    Simulizi zuri lenye kufundisha sana na msimuliaji arekebishe kauli ya kusema kuwa mahusiano ya Samsoni na wanawake haikuwa mpango wa Mungu,sio kweli Yote aliyoyafanya samsoni ilikuwa ni mpango wa Mungu imeandikwa katika kitabu cha WAAMUZI 14:4 na pia sura ya 13 :25 WAAMUZI imeandikwa kuwa Samson akiwa amejazwa na Roho Takatifu ya Bwana(Mungu) alianza kazi yake pamoja na matukio hayo yote yaliyotukia.
    "Lakini baba yake na mama yake hawakujua ya kuwa jambo hili ni la Bwana; maana alitaka kisa juu ya Wafilisti. Basi wakati ule Wafilisti walikuwa wakiwatawala Israeli. "
    WAAMUZI 13:25 " Roho ya Bwana ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli."
    Samson hasingeweza kufanya jambo lolote kinyume na mpango wa Mungu.

  • @timothkaduma6576
    @timothkaduma6576 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunafundishwa usimwamini mtu

    • @joakimchacha2420
      @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

      Tunafundishwa tujue kusudio la Mungu kwenye maisha au Hatima yako (MISSION)

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa alituangusha sana, ya na mtu anakujaribu mara mbili bado tuu unaendelea kumwambia...
    Mjinga wa mwisho huyu jamaa

    • @joakimchacha2420
      @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wako wa kulaumu pasipo kufuatilia soma Waamuzi 14:4 utaona samsoni hamna alichokosea,alitakiwa kufanya alivyofanya,,,
      Ongeza urefu wa mkono wako kama utaweza Utabaki kama ulivyopangiwa kimaumbile..

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว

      @@joakimchacha2420 Kwani Samsoni ni Yesu mpaka afanye kama alivyopangiwa.!? Yesu pekee ndiye aliyeishi kama alivyotabiliwa.
      Kupenda kwake hovyo na kutowasikiliza wazazi wake ndipo kulipomfikisha alipofika.

    • @joakimchacha2420
      @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

      @@Fgldesigns hapa Hatubishani ewe nabii Mzee; na Bwana akuponye Katika JINA LA YESU..Soma vizuri Neno nawe utapona zaidi
      WAAMUZI 14:04
      Sio Samsoni tu Wote tunapaswa kuenenda katika ROHO na Mpango wa Mungu,kama vile mpango ulikuwa kuwakomboa wana waisrael baada ya kutawaliwa na Wafilisti akatumwa Samsoni hivyo Mungu alitafuta KISA Kupitia zile njia unazoziona samsoni kapitia.kwa YESU mpango ni kumwokoa Mwanadamu na Dhambi zake(Mathayo 1:21). Akashtakiwa na kufa msalabani na akafufuka.
      Yesu alipindua bidhaa za wafanyabiashara ambao uchumi wao walitegemea pale Hekaluni(kula,kusomesha,n.k).Je, ilikuwa sahihi?
      Hata wewe upo mpango wa Mungu unaopaswa uufanye Leo (waambie Watu Watubu na kuiamini Injili ya Yesu kristo).Je,unaujua hilo?

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว

      @@joakimchacha2420 Vipi kuhusu mwizi kwanini afungwe kama ni mpango wa Mungu?
      Kila binadamu amepewa machaguzi ya namna ya kuishi, kama kila kitu kilishapangwa kwanini wengine awapangie mwisho mbaya na huku juu akapate hukumu?
      Jaribu kutafakari Samsoni alikuwa na jukumu la kuwakomboa watu wake lakini Mungu hakumpangia namna ya kuishi ndipo na pia alikuwa mjeuri mpaka alipogundua mda wa mwisho nakuomba nguvu ili atimize wajibu aliokuwa ametumwa na ndipo akafa baada ya kutimiza.

    • @joakimchacha2420
      @joakimchacha2420 4 ปีที่แล้ว

      @@Fgldesigns usijali utaelewa tu maana hata Yesu alisema Mungu Wangu mbona umeniacha?Pia aliomba kikombe hiki kiniepuke Bali Mapenzi ya Baba yatimizwe.
      Utaelewa tu tofauti ya Kizazi cha KAINI na kile cha SETHI,pia tofauti ya kizazi cha Mwanamke na cha Nyoka,na mwisho Kati ya Binadamu Mashetani waliopangiwa hukumu tayari na cha binadamu watakatifu waliokombolewa na YESU.
      Utaelewa tu tofauti ya magereza ya Kiroho na Yale ya kimwili.
      Sheria ya Mungu na ile iliyowekwa na wanadamu pia na ile iliyowekwa na Mashetani.
      KWAHERI.