KISA CHA MFALME DAUDI KUMPOKONYA MKE MWANAJESHI WAKE,NA KUMUOA YEYE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2020

ความคิดเห็น • 36

  • @barakambise181
    @barakambise181 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah mungu kubwa

  • @donaldbathromew1991
    @donaldbathromew1991 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah we ni htr

  • @nassoronassoro5784
    @nassoronassoro5784 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe kwanye Bibilia ukiuwa kitu kikubwa Abacho uringani nacho unakua Nabii

  • @sarahwanja9731
    @sarahwanja9731 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni verse gani imesema David alishirikiana na wafilisti kumuua saul?? David aliposikia saul amekufa alilia sana na akaombolezea saul wakiwa na wafuazi waake but kushilikiana na wafilisti apo ckumbaliani

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

    Jaman msitudanganye hv daud alshirkiana na daud kumuua mfalme sauli tunawategemea sana

  • @straightlinecenter8429
    @straightlinecenter8429 4 ปีที่แล้ว

    Hii ipo sawa kabisa ulivyo simulià

  • @pandumodric8834
    @pandumodric8834 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni hatr xaaaaan

  • @petermabura6151
    @petermabura6151 4 ปีที่แล้ว

    Asanteni kwa habari hizi

  • @paulsamuel3976
    @paulsamuel3976 4 ปีที่แล้ว

    Umemruka Abisalom

  • @twahabashiri7758
    @twahabashiri7758 4 ปีที่แล้ว +1

    mapenzi hayana mwenyewe

  • @dottomagembe1780
    @dottomagembe1780 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmm

  • @lufunyoluther1029
    @lufunyoluther1029 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mahali Daudi alishirikiana na wafilist kufanya mpango wa kumuua Sauli!

  • @ashameyomar2321
    @ashameyomar2321 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe mambo yalianza kitambo

  • @chrislichiey2659
    @chrislichiey2659 4 ปีที่แล้ว +3

    ,Ni wapi Saudi alifanya mpango na wafilisti kumwua sauli?

    • @abelmsemo2843
      @abelmsemo2843 4 ปีที่แล้ว

      Muongo

    • @paulsamuel3976
      @paulsamuel3976 4 ปีที่แล้ว

      Siyo kweli maana Sauli alitiwa mara pili mkononi mwa Daudi Akasema siwezi kutia mkono wangu kwa masihi na mpakwa mafuta wa pwana

  • @abelmsemo2843
    @abelmsemo2843 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mapungufu mengi saana kwenye hii hadithi

  • @sammotv6920
    @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว +3

    Tafuteni na upande wa waislamu ndo utajua kuna tofauti kubwa sana kati yenu na sisi waislamu

    • @charlesjmaliseli3515
      @charlesjmaliseli3515 4 ปีที่แล้ว

      Sadam Hemedi mambo hayo ya dini ni magumu sana na ndiyo maana wenzetu weupe ususani wazungu na walaabu wamefanya kutuletea dini na kutujengea chuki muislamu amchukie mkrsto na mkrsto amuchkie mwsilam na tumepandkizwa chuki kwa itikadi zetu

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว

      @@charlesjmaliseli3515 dini zimeletwa lakin si zipo kweli kuleta kwao dini haimaanisha dini hazipo dini zipo na mungu yupo na wenyewe walileta cz ilikua ni njia mojawapo ya kusbaza dini duniani kwa sababu wwnyew tiyar ilikuwa ishawafikia ndo walikua watu wa kwanza kupokea dini ndo mana katk vitabu waislaer na waraabu wao ndo kwanza din ziliwafikia so ilikua ni lazima wasambaze na yesu aliwambia itangazeni injili ulimwenguni..

  • @miirajmohamed6352
    @miirajmohamed6352 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani habari mnazozisimulia juu ya mtume wa Mungu Daudi zina ukweli...Jamani tazameni msijejitakia matatizo mbele za M/Mungu bora hadithi za kufikirika kuliko kuwasingizia uovu mitume wa Mungu na watu wema...yangu ni hayo tu

    • @tonyi6807
      @tonyi6807 4 ปีที่แล้ว

      Uongo upi ulioutambua?

    • @miirajmohamed6352
      @miirajmohamed6352 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tonyi6807 First mtume wa Mungu hawezi kuzini lete andiko wp ktk kitabu cha Mungu Nabii Daud alizini

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +2

      Unahitaji kusoma Biblia zaidi,ili kujua maandiko yameandika nini.

    • @seifhamad9817
      @seifhamad9817 4 ปีที่แล้ว

      Kama hujui Soma bibilia utaona alipo Zini

    • @mussakihayile6337
      @mussakihayile6337 4 ปีที่แล้ว

      @@miirajmohamed6352 bro hebu soma Bible bana usibishe ni ukwel kuhus ivo vitu