Kisa cha MUNGU kumruhusu SHETANI ampe MATESO Ayubu mtumishi wake.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 59

  • @sabrinahabed4265
    @sabrinahabed4265 4 ปีที่แล้ว +19

    Ee MUNGU nijalie moyo kama wa AYUBU nisikutend zambi👐

  • @irenealexander4545
    @irenealexander4545 4 ปีที่แล้ว +10

    Ee mwenyezi mungu nipe moyo wa hekima

  • @timotheojumal894
    @timotheojumal894 4 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni sana kwa simulizi hizi maana tunapata matumaini na imani yetu ndan ya nafsi zetu inakuwa kubwa zaid

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika ปีที่แล้ว +2

    IMANI TIMILIFU NA KUMWAMINI MUNGU MKUU NI USHINDI MKUU. AMEN.

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakin Iman yangu izid kumtafuta mungu

  • @ezekielsangari9675
    @ezekielsangari9675 4 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa sana mtu wa mungu.. Nimependa unavyo tusogeza mbele za mungu

  • @edisonkashaija4067
    @edisonkashaija4067 3 หลายเดือนก่อน +1

    kweli mungu unajua na ukileta mitihani migumu ivo ivo unayo njia ya kutolea mitihan hiyo😢

  • @lokendolokendo3804
    @lokendolokendo3804 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana

  • @magreatsomba6819
    @magreatsomba6819 4 ปีที่แล้ว +4

    I LOVED IT SO MUCH THAN HOW YOU THINK👍😍

  • @johnsonjuma112
    @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว +10

    Asante kwa masomo mazuri ,tunabarikiwa sana kwayo #nenoelimutv naomba utizame na unipe maoni katika comment zangu

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana, ahsante.

  • @suzancharles3530
    @suzancharles3530 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante tunaamini kupitia maandiko ya mungu

  • @musangamfuracelestin6629
    @musangamfuracelestin6629 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo umu kirisito cyangwa umuntu yizera uko abana ni Imana, ibiba byose arabyacyira. Uho muntu ashobora kujyira kwihangana kuko we abona byinshi mbere yuko biba cyimwe kucyindi. Abyacyira mbere kandi agashobozwa byose no kwizera Imana. Kuko uwo muntu abana nayo. 4:17

  • @citybahraindteam4168
    @citybahraindteam4168 3 ปีที่แล้ว +1

    I always love this story of Ayub

  • @veronicaboniventura5058
    @veronicaboniventura5058 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @ceomeja670
    @ceomeja670 4 ปีที่แล้ว +5

    Napenda si mlizi zako kutoka marecan!!

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @annastaziavenance1735
    @annastaziavenance1735 4 ปีที่แล้ว +2

    Woooow

  • @elishakamendu2183
    @elishakamendu2183 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao wana wa Mungu waliojihudhurisha mbele za Bwana ni wap

  • @zaharajuma5019
    @zaharajuma5019 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you

  • @queenkashindi8879
    @queenkashindi8879 4 ปีที่แล้ว +1

    This is good movie

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 4 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu wa mbinguni nipe moyo kama wa Ayubu

  • @charleszmgonde753
    @charleszmgonde753 ปีที่แล้ว

    Hakika ayubu alikuwa mkamilifu sana

  • @judynabwire706
    @judynabwire706 4 ปีที่แล้ว +1

    I like the movie

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 ปีที่แล้ว

    Unaongea haraka haraka unakimbilia nini jifunze kwa wenzio

  • @dianachogogwe2956
    @dianachogogwe2956 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU WANGU NA BWANA WANGU TUNAOMBA HURUMA YAKO NA UPENDO WAKO KATIKA MASIHA YETU.

  • @victoria.sabato6021
    @victoria.sabato6021 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fadhilileonardmariki5962
    @fadhilileonardmariki5962 4 ปีที่แล้ว +7

    God is Awesome.

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 4 ปีที่แล้ว +4

    Nataman siku moja nijue aliyeandika biblia alisikiaje mazungumzo ya Mungu na shetani huko mbinguni

    • @queennoah1251
      @queennoah1251 4 ปีที่แล้ว

      Biblia haiandikw kam kitabu cha hadith

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว +2

      @@queennoah1251 Mwambie akitaka kujua awe Mkristo, aje tumfundishe ❤.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

      Zaburi torat injili ndo ikaitwa bible so ktk ivi vitabu kuna mitume yotee ya Mungu na aliongea nao kwa wkt wao soma uelewe....sote tumezaliwa na kuikuta na wanatafsri tuu kwa lugha tofauti

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว

      @@euniceeunice7680 Waislamu huwa wanafikiri biblia imeandikwa na mtu mmoja. Ndiyo maana anasema eti anatamani kumjua aliyeandika biblia.

    • @queennoah1251
      @queennoah1251 4 ปีที่แล้ว

      @@yesunialamayakiama.9013 xio kweli hawaamin hivy jifunze kuhusu wao na uach kuwaatack ndugu xio jamb zuri

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 3 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/vUHJ5D9TJus/w-d-xo.html
    👆👆👆👆👆👆
    Lifahamu Kabila la DANI Kabila katili 😭ambalo ukifiwa unakatwa vidole kisha vinazikwa 😭

  • @shaabansoma7661
    @shaabansoma7661 4 ปีที่แล้ว

    Imekaa njema Sana

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 3 ปีที่แล้ว

    Ivi mungu kwann simuerew shetani km wanakutana ivyo jmn

    • @ismailjohn8444
      @ismailjohn8444 3 ปีที่แล้ว

      Amen nashukuru nabarikiwa sana nasimulizi nzuri mungu awabariki sana amen

    • @Ibrah287
      @Ibrah287 3 ปีที่แล้ว

      Hata kama wanakutana adhabu ya shetani iko pale pale tu! Pia shetani yupo ili kupima imani za watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu kinafiki...

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 ปีที่แล้ว +1

    Wazazi wa Ayubu wanaitwajee ukipata jibu nitafute 0747072447

    • @kabuletepierre7506
      @kabuletepierre7506 4 ปีที่แล้ว

      Amedeus Modesti Kimey . Mimi ni mkongo wa DRC . Nilijaribu kuuliza wanatheologia kazaa hawakupata wazazi wa Ayubu lakini wanahisi kwamba Ayubu ni Mharabu.

  • @yesunialamayakiama.9013
    @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbona waislam hawacomment chochote kwa wingi? Maana huwa wanasema wanakubali torati, zaburi na Injili na quran inaitambua biblia, sijui kwanini hawacomment??😂

    • @scobarleeboss4558
      @scobarleeboss4558 4 ปีที่แล้ว

      YESU NI ALAMA YA KIAMA. Acha ufala ww nyie ndie wachochez wa dini maviiiiiiiiii ww comments kinacho kuhusu sio kuingiza udini kwa mtandao fala ww

    • @scobarleeboss4558
      @scobarleeboss4558 4 ปีที่แล้ว

      YESU NI ALAMA YA KIAMA. Mavi ww

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว

      @@scobarleeboss4558 mavi ww, ukiondoa ww ukaweka mm ni sawa tu. Kwahiyo hakuna maana kutukana mwenzako ila jibu kwa busara. Huoni ukimtukana asiyekutukana ni sawa na kichaa anayewatukana wasiokuwa kichaa? Ila najua kinachokuforce utukane hivyo hunipi shida. Au siyo ndugu wa majini 😂

    • @scobarleeboss4558
      @scobarleeboss4558 4 ปีที่แล้ว +1

      Katika maisha jifunze kutoa mawazo ya kuelimisha sio kuchochea Na jifunze kuwa mwalimu na sio mpotoshaji

    • @queennoah1251
      @queennoah1251 4 ปีที่แล้ว

      @@scobarleeboss4558 fact

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @bramwelrobert970
    @bramwelrobert970 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen