Kisa cha RAHABU mwanamke KAHABAA aliewaficha wapelelezi wa ISRAELI waendao KAANANI.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 29

  • @macrisonmkama5649
    @macrisonmkama5649 4 ปีที่แล้ว +49

    Tupia like hapa 👇🏿👇🏿👇🏿 kama unakubali simulizi za biblia

  • @tabbyangeljehsame4366
    @tabbyangeljehsame4366 4 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akubariki sana ......natamana kama kila siku utuekee mi binafsi nashukuru Mungu kwa hii huduma yako...ubarikiwe

  • @lusajomwakalinga1374
    @lusajomwakalinga1374 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu si Athumani hata kahaba anaweza mbariki !

  • @mathewmuruyuki7258
    @mathewmuruyuki7258 4 ปีที่แล้ว +4

    Habari nzurii bro.
    Tuna kupenda sanaaa kwa hizi habari..
    Na tuna kufwata tuko Canada.

  • @user-ch8kt7uf9v
    @user-ch8kt7uf9v 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiww Sana mtumishi

  • @jumamashaka8827
    @jumamashaka8827 ปีที่แล้ว +2

    Rahabu

  • @mjimwemamjm8940
    @mjimwemamjm8940 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @rajabjr478
    @rajabjr478 3 ปีที่แล้ว +2

    Soma YOSHUA 8:12 ....waisrail walikataa maagzo ya Mungu ya kuingia ktk lango kw hofu zao .

  • @shabanikassim308
    @shabanikassim308 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwa

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Barikiwa 🙏🙏🙏🙏

  • @robertmbisse8485
    @robertmbisse8485 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki msimulizi uzidi kutumika kweny kazi ya Mungu

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @furahag3098
    @furahag3098 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @barakanisakwisa1626
    @barakanisakwisa1626 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @muzneali387
    @muzneali387 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivi ndugu mtangazaji huwa unasoma hizi comments za watu?? Tunapenda kukusikiliza lakini huo mziki back ground uko juu Sana hata hatusikii kitu hebu upunguze tukuelewe

  • @lokendolokendo3804
    @lokendolokendo3804 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 4 ปีที่แล้ว +8

    Jamani endelea kuweka maandiko hapa, watoto wanajifunza kirahisi hapa.
    Wasiotaka haya maandiko wamwage povu mpaka wakose mate ya kutafunia chakula.

  • @pantaleombuya6731
    @pantaleombuya6731 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @dorothyronald2445
    @dorothyronald2445 3 หลายเดือนก่อน

    Punguza sauti ya muziki tusikie ujumbe

  • @bulemomagesa2596
    @bulemomagesa2596 2 ปีที่แล้ว +1

    Hasante kwa story za koo

  • @aloycebosco5984
    @aloycebosco5984 3 ปีที่แล้ว +1

    Allyce Bosch christ

  • @meshackjohn1863
    @meshackjohn1863 4 ปีที่แล้ว +4

    Nice ila mziki volume ipo juu kuliko volume yako ww

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 ปีที่แล้ว +2

    Uwo km mziki wa nn makelele tu

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 ปีที่แล้ว +1

    Jina la bwana libarikiwe

  • @rahabumshani8671
    @rahabumshani8671 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe story ya rahabu ndio ipo hivi

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen