Kisa cha NUHU na SAFINA,chanzo cha MUNGU kushusha GHARIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @judybochere7180
    @judybochere7180 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen nasi tusikue kama wale welikuwa wanamjeka nohah

  • @rafoursamiol5244
    @rafoursamiol5244 4 ปีที่แล้ว +3

    Hata leo Mungu anawasihi watu wake kuwa safina yake ni siku ya Sabato wengi wamekataa wamekimbilia siku ya mwanadam papa wa kirumi

  • @yusufumajinge59
    @yusufumajinge59 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza kitu hapa,kumbe dharau zilikuepo enzi na enzi,watu walimcheka nuhu kipindi anafanya ujenzi,na pia watu hivi sasa uwaambie watengeneze mazabahu bila kulipwa pesa hutowapata,lakn nuhu na wenzie walitengeneza safina bure kabisa kwa kuheshimu maagizo ya Mungu,sasa hivi sisi binadamu sijui tunakwama wapi.

    • @joshuakatabi6008
      @joshuakatabi6008 3 ปีที่แล้ว

      Jamani Mungu anasauti yake isio kulikana kamwe.

  • @user-kx9xd1tq2k
    @user-kx9xd1tq2k ปีที่แล้ว

    Sijaipenda mixer kama music na power bibble knowlogy

  • @vailethjohn22
    @vailethjohn22 4 ปีที่แล้ว +7

    Wekaka napenda kazi zako lakin Leo acha nikukosoe kidogo....kwanza hiyo background music ipo juu saana then usiige hiyo sauti ya Mungu wesema tu kwa hiyo sauti yako yakawaida manake ukiiga hivyo haickik then it doesn't sound well

  • @bonpunte5465
    @bonpunte5465 2 ปีที่แล้ว

    Hapo umetudanganya, kwa sababu by nature ya mwanadamu haiwezi kuwa sawa na malaika. Hivyo haiwezekani kamwe Malaika kuzaa na binadamu kwa sababu binadamu ni kiumbe cha nyama, na Malaika ni kiumbe cha roho. Soma vizuri biblia kabla hujatuletea habari kama hizi tena!

  • @bonimanga6598
    @bonimanga6598 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri sauti mbaya

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +3

    Hata mie sijapenda mziki mkubwa na hiyo ya kukopi sauti ya Mungu, imeharibu kila kitu, that's a biggest No. Futeni ianzisheni upya plz!

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa maoni yako na ushauri,tunasikitika kusema kufuta hautowezekana lakini tuna ahidi kurekebisha kwenye video zijazo.

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SIMULIZIBIBLIA Sawa nimewaelewa na asanteni kwa kusikiliza ushauri, tuko pamoja, with much love!

    • @bensonchachamarwa4020
      @bensonchachamarwa4020 4 ปีที่แล้ว

      Hata mtangazajiz hana Mvuto wasauti

  • @pronetgaspar1203
    @pronetgaspar1203 4 ปีที่แล้ว +3

    Toa uo mlio

  • @pronetgaspar1203
    @pronetgaspar1203 4 ปีที่แล้ว +1

    Lete vitu babu manbo 👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍👍👍👍

    • @jeromejoram5876
      @jeromejoram5876 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli uliyosema yameandikwa lakn iyo saut uliyoigiza sijaona mahala ilipo andikwa

  • @sohemdsohemd3870
    @sohemdsohemd3870 2 ปีที่แล้ว +1

    ☺☺☺☺☺

  • @bulemomagesa2596
    @bulemomagesa2596 2 ปีที่แล้ว

    Daaa baba wambinguni

  • @anyitikehassan6803
    @anyitikehassan6803 3 ปีที่แล้ว

    Siyo maraika walio oa. Huoniuongo. Bali ni. Watu waliokuwa wana mcha. Mungu. Wakaoa wale wapagani

  • @sisterhala3916
    @sisterhala3916 4 ปีที่แล้ว +1

    nyani kam huyo aliye kuhumba anaongehivy hatar mung msamehe mjawako

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa maoni yako,ila hakuna sehemu ya biblia imeeleza sauti ya MUNGU iko vipi,lakini pia fahamu sauti ya Mungu si kama ya binadamu ndio maana waliokua wakiisikia waliingiwa na hofu.Hivyo msamaha wa MUNGU utalingana na maoni yake kama hilo ni kosa.

    • @johnsonjuma112
      @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว

      @@SIMULIZIBIBLIA ni kweli

    • @yusufumajinge59
      @yusufumajinge59 4 ปีที่แล้ว

      Simanishi vibaya kama unavyofikilia ww, me npo namanisha kwamba watu watu wanadharau sana hadi Mungu anakasilishwa na mambo ya kijinga.

  • @nurdegeneres9777
    @nurdegeneres9777 4 ปีที่แล้ว +4

    that background music it's too triggering

    • @johnsonjuma112
      @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/QE9Dt4oLM0I/w-d-xo.html asante, pata somo LA Leo tena kaka, ni subscribe ukipenda kwa support