Mie nampenda huyu shekhe namfatilia sana nampenda kwa ajili ya Allah yupo mkweli sana napenda sana mawaidha yake anakupa hapo hapo kanyooka natamani siku moja nifatane nae nikasome mengi hodari anajuwa mambo mengi wallahi hodari mashaa allah anaongea ukweli wallahi mungu ane afya njema na unti twaeel azidi kutunyoosha amin yarabil alamin🤲🤲🤲 from 🇬🇧 uk jamani namkubali napenda mpeni salam zangu tunampenda huku kwa ajili ta Allah
Ni king Solomon aliyejenga kwa kutumia majini, hilo jengo limekuwa linagombaniwa na mayahudi, waislam na hata wakristo na ndipo alipolelewa bikra Maria na mzee wake Zakaria. Soma biblia ujue sio kupinga pinga hovyo.
Maria na Zakaria Tena mbona unachanganya!? Ninachojua maria kwa yusuph au Joseph na Elizabeth kwa zekaria. Pia uelewe kuwa hapo palikuwa na hekalu ambalo sulemani alijenga sio majini, ila shekh hapo kasema majini yalishiriki kwasababu maji na uislamu ni ndugu. Mi sijakosea ndugu .
@@khadijayusuf7968 Nini maana ya kafiri??? Kaa kwenye hoja punguza hasira! Au we mpagani Nini! Maana ungekuwa muislam kweli usingekuja pupa hivyo. Ukweli uislamu na majini ni ndugu kama unakataa Hilo ,nakupa Aya kutoka kwenye Quran
LAKINI SIJAPEBNDA ULOVYOVAA UNGEVAA KANZU NA KOFIA MORE SMART KAMA WENGINE WAMEVAA SMART? JAMANI UMENIANGUSHA MIMI MWANAFUNZI WAKO MKUBWA SAANA NA MSIKILIZAJI WAKO NUMBER 1
Unasema kweli Shekhe wangu tuwaangalie Yemen misri na nchi nyingi za wenzetu wanavyo mangamanga katika nchi za watu Kwa suala la ukimbizi Sasa tujiulize kwa nn mtu Anaitwa mkimbizi?? Ina maana Alipotoka Hakuna Amani na wamesgindwa kuilinda Amani waliopewa na ALLAH Subhana Huwa taala.
Hakuna ulicho kielewa anasema nabii Suleiman alikuwa amekaa sehem akiwaamlisha majini wajenge msikitini (hekaru la Sulemani) miaka ya nyuma kabra ya Yesu
Maashaallah Allah akuhifadhi shekhe wetu nakulinde namabaya
Allahuma Amiin
Mwenyez mungu akujaalie kher Leo na kesho akhera
Allah akuhifadhi sheik Rusaganya Hashim
Hongera shekhe ubarikiwe
ALLAH akupe maisha marefu shekhe
Masha Allah sheikh Allah akuifadh
Mie nampenda huyu shekhe namfatilia sana nampenda kwa ajili ya Allah yupo mkweli sana napenda sana mawaidha yake anakupa hapo hapo kanyooka natamani siku moja nifatane nae nikasome mengi hodari anajuwa mambo mengi wallahi hodari mashaa allah anaongea ukweli wallahi mungu ane afya njema na unti twaeel azidi kutunyoosha amin yarabil alamin🤲🤲🤲 from 🇬🇧 uk jamani namkubali napenda mpeni salam zangu tunampenda huku kwa ajili ta Allah
Maashaallah tabarakallah
Masha Allh ❤
ماشاءالله تبارك الرحمن
Ninyi mnaokoment upuuz, achen kucheza na ALLAH
MASHAALLAH
mashaaAllah
Mwenyezi Mungu amvuwe hili na jengine
Hongereni kwa majini kuujenga msikiti
Ni king Solomon aliyejenga kwa kutumia majini, hilo jengo limekuwa linagombaniwa na mayahudi, waislam na hata wakristo na ndipo alipolelewa bikra Maria na mzee wake Zakaria. Soma biblia ujue sio kupinga pinga hovyo.
Hahaha Jamani, Kweli hiyo Kiboko😮😮😮
Maria na Zakaria Tena mbona unachanganya!?
Ninachojua maria kwa yusuph au Joseph na Elizabeth kwa zekaria.
Pia uelewe kuwa hapo palikuwa na hekalu ambalo sulemani alijenga sio majini, ila shekh hapo kasema majini yalishiriki kwasababu maji na uislamu ni ndugu.
Mi sijakosea ndugu .
@@AlexMkwamawew ni kafir tuu huelewi hata unacho kiongea
@@khadijayusuf7968 Nini maana ya kafiri???
Kaa kwenye hoja punguza hasira! Au we mpagani Nini!
Maana ungekuwa muislam kweli usingekuja pupa hivyo.
Ukweli uislamu na majini ni ndugu kama unakataa Hilo ,nakupa Aya kutoka kwenye Quran
Mashaallar
Mmmm kusema kweli MI ata cjamuelewa wallah
LAKINI SIJAPEBNDA ULOVYOVAA UNGEVAA KANZU NA KOFIA MORE SMART KAMA WENGINE WAMEVAA SMART? JAMANI UMENIANGUSHA MIMI MWANAFUNZI WAKO MKUBWA SAANA NA MSIKILIZAJI WAKO NUMBER 1
Nadhan humjui vizur shekh rusagnya huwa anapenda kuwa ivo San kulikon kanzu
Tumeishiwa yaani nauzachipsi hadi saanane usiku katika wateja10 wakiume sabamashoga alafu tuseme tunaamani sema2 hatuna kitu
Alex kumbe umesikia majini kujenga msikiti, utaficha mambo kwa muda lakini ipo siku utatoboa Siri
Ila mda mwengine mnahitaj elimu na so kuropoka tu
Kumbe misikiti yenu ilijengwa na majini
Hekalu la nabii Suleiman. Hekalu aliloingia YESU....
Ni hekalu lililojengwa na majini, nabii Suleiman aliwaamulisha kwa uweza wa mwenyezi Mungu.....
Waislam wana vituko wanapenda ugomvi,wanaanzishaga ugomvi wanaua halafu wanalaumu ,hawajawahi kubali makosa yao
Fala ww libya ilivamiwa na nani kama c nyinyi makafri mshenz ww mkapa aliua zanbar ni nani c mkirsto
Hii sio masjid Aqsa yenye dome ya rangi ya dhahabu juu
Unasema kweli Shekhe wangu tuwaangalie Yemen misri na nchi nyingi za wenzetu wanavyo mangamanga katika nchi za watu Kwa suala la ukimbizi Sasa tujiulize kwa nn mtu Anaitwa mkimbizi?? Ina maana Alipotoka Hakuna Amani na wamesgindwa kuilinda Amani waliopewa na ALLAH Subhana Huwa taala.
Mi sijaekewa rasululah aliepaa ni nani mnaendeleza uongo
Mbona mnatumia nguvu sana kusu ili
Nikiongozi yupi huyo aliokududiwa na mtume swalawwahu alaihi wa Salam. Nihawa wakidemocrasia? Unapiga sa uso au unafusha matope juu.?
Hee kumbe msikiti inajengwa namajini mnamazito waislamu
Hakuna ulicho kielewa anasema nabii Suleiman alikuwa amekaa sehem akiwaamlisha majini wajenge msikitini (hekaru la Sulemani) miaka ya nyuma kabra ya Yesu
Nyinyi munaokometi usenge katombwe ni
Mwenyezi mungu hafurahishwi na matusi
Wapigwa ndio maana walipiza
Na mbingu hutaiona lakini
Inakubidi uokoke YESU ANAKUPENDA.
NB: ZINGATIE UENDE MBINGUNI.
Na wewe usilimu ili uense peponi
Kama ni mtetezi ungebaki😂
Wevipi sasa angejuaje kama itatokea vita na yy anarudi sikuya5 ndiyo yanatukea hayo. Ww lntakillah
Ww mjinga nenda ww basi ww mjinga
Ww mjinga nenda ww basi ww mjinga huelewi wala hufahamu kwenda zako
Mashaallah wanakuchukia watajinyonga wanakuonea wivu unajua kuseemaukweli Allah akujalie maisha malefu
Ma Sha Allwah,
Allwahumma Barik