Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri ya da'waa Allah awalipe kheri zote inshallah,nawacheka sana wakiristo wanainua mikono wakidai yesu amekufa na ndiye mungu wenu inallilahi waina ilehi rajiun,nijivunia kuzakiwa muisilamu
Ah wakristo wana sema uwislam mgumu lakn so mgumu ukiristo ni kudanganyana2 hamna lolole allah awajalie muingie iman muitamke shahada kalima ya LAILAHA ILLA LLAH MUHAMMAD TASULULLAH INSHAALLAH BI IDHNI LLAH🤲
Hayo yalitabiriwa katika Ufunuo wa yohana kuwa sikuzamwisho dini zitainuka nakupingana nyengine itajiona bora kuliko ingine so mkristo wakweli shika imani yako nausitetemeshwe na mataifa
Yesu anasema Mimi ndimi njia mtu awezi kufika kwa Baba bila kupitia kwake, Yeye ndio halfa na Umega Halafu hikikashifu Yesu basi hapo inaonekana mko na shida Sana.
Ni kweli kabisa , kasema kwa wakati wake na kwa watu wake wale aliyotumwa kufikisha ujumbe kwao , wana wa ISRAILI TU. Nimataifa kumi na wawili , usikosee , soma Biblia vizuri , na itaona mwenyewe , na Bwana YESU katayarisha. Viti kumi na viwili huko Peponi kwa ajili ya mataifa kumi na wawili wa wana wa ISRAILI , hapo Mwafrika hana kiti , wala Mhindi wala Mwarabu wala mzungu wala Mmarekani wala mchina
Kuna jambo ambalo Mungu awezi?kama Mungu anaweza kila jambo basi Mungu anaweza hatakufa Maana hakuna linalo shindikana kwake au unakataahilo? Nikufundishana na sio kupiga kelele.
Bibilia yasema yesu alifanyika mwili, kabla ya kuwa mwili alikuwapo kilichozaliwa na mariamu ni mwili ndio sababu hakuna andiko lolote laonyesha yesu akimwita mariamu "mama yangu"
Hao Mungu wapo wangapi?maana Neno linasema Tumekutuma badala ya Nimekutuma Maana wingi Tumekutuma Sasa hao Mungu ni wangapi?wacha kupindisha maneno husiediti himekatazwa.
Inaitwa majestic plural.. Hata kwenye French ukitaka kumu-address mtu unaemuheshimu kama mwalimu wako unatumia neno "vous" ambayo ni wingi na hautumii neno "tu" ambayo ni umoja maana wingi unaashiria heshima..
Isa na Yesu ni watu wawili tofauti.Majina yaliyopo kwenye Bibilia yana maana yake.Yesu ukitafsiri ki Hebrew ni Yeshua ambayo inamaanisha 'salvation'.warabu wakristo husema 'Yasu' hata walipokuja maeneo ya pwani kabla ya ukoloni wafrika wakanza tamka ’Yesu’ na sio Issa
Mashaallah tabarakallah walim wetu Allah amfanyie wepesi maisha yenu n ampe afya njema n ampe pepo kesho akhera muwe pamoja n Mtume Mohammad s.a.w
Aamiin amiin amiin sote
Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu Allah amfishe mkiwa waislam w kweli muigie jannatul naaim
Aamiin amiin amiin sote
mashalllah imeweza kweli inshalllah uislamu dini y haki n kweli
MashaAllah maustadh mungu awape umri mrefu ishaAllah
Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri ya da'waa Allah awalipe kheri zote inshallah,nawacheka sana wakiristo wanainua mikono wakidai yesu amekufa na ndiye mungu wenu inallilahi waina ilehi rajiun,nijivunia kuzakiwa muisilamu
Shukran sheikh saalim. Allah awalipe khery hapa nakesho akhera
Masha Allah Allah awalipe kwakazi mnafanya nakueneza uisilam from burundi
Masha Allah Allah awajalie umri mrefu mashekh wetu ♥️
ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, WALLILLAIH AMDHU
Alhamdulillah najivunia kuwa Muislam... Na naomba Mungu anifishe ktk dini hii... Allahumma Amiiin...
Aameen ameen ameen sote May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
Masha Allah, Mungu awa bariki mashaikhe wetu wote wa kislamu
th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html guza link
Allah awabaliki Sana Sana .....nilaha sana..kuamuisilamu namshukulu Sana Allah Allah kwaneemaii yakuamuislamu
Allahu akbar walilahi lihamdi
Uisilam raha Sana allah awajalie afya njema masheikh wetu
Yan ukia mwislam rah tel dunian na kher insha Allah
Ndiyo maana nchi nyingi za kiislamu zina amani tele mf.somalia, Afghanistan, Pakistan northern Nigeria, Mali na sudan.@@AAA-zu1vy
Allah awajaalie afya njema na salama masheikhe wetu Masha Allah tabaraka Allah
Aameen ameen ameen sote
Mashallah allah awajalie waslim woot inshaallah
Ma Shaa Allah Mwenyezi Mungu awape wepesi ya kuingia watu kwa dini yake
Maashalah mwemyezimungu abaongoze🤲
Kazi safi usthi mola ukuzidishiea
MashaAllah Sheikh wetu,,,,Takbirr Allahu Akbar
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mashaa ALLAH
Allah awalipeni kheri nyingi kwa kazi mnayofanya, iwe nimizanisiku ya kiama
Allah ni pepo inakaa kwa Mwezi, sio Mungu!!!
Mashallah ALLAH BARIIK always my brothers
Mashallah jazakallahu qeyr sheikh salim Wanyoike....and our Muslim sheikhs atlarge...
Mashallah Allah awajalie kheri apa duniani na kesho akhera inshallah
Yaa Allah,walipe kher hawa masheikh wetu,kazi kubwa wanafanya
MashaAllah tabbaraq Allah
Najivunia kua muislamu na namuomba Mungu anisitiri anifungulie milango ya kheri na anijaalie nife nikiwa muislamu
Pole sana masheikh kwakazi nzuto mnayoifany
Allah awajalie amani hawa reverts wetu
Masha Allah mashehe wetu Mola awahifadhi sana
Allah awalipekher yarrab
MashaAllah mashelhk wetu
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR 💕💕💕💕💕💕💕🇰🇪
Maashaallah kazi nzuri sana
Mashaallha love you allha
Hawa maustadh ni Moto wa kuotea mbali . Hapana mchezo hapa
Kweli kabsa tuwaombee duwa wazid kuifanya Kaz mingu
Maa shaa Allah tabarakallah
Ma sha ALLAH
Takbiir!!! I proud to be a Muslim 🤲
Masha Allah May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
@@salimdaawah123 Ameen Ya Rabbi!!Nawe pia
MashaAllah
th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html guza link
MASHALLAH MASHALLAH ❣️
Mashallah
th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html guza link
Masha allah jazaka allah kheir❤
Wapi hapa
Wafundisheni mashaallah Allahu akibar
Allah Akbar
Aisha mwenzang MashaAllah
❤❤❤ me aisha ❤❤
Mashallah Allah 💓
A.alaykum. Hizi daawa jamani ni za cku hizi au za zamani zinarejeshwa tu?
Mashaa-Allah
Maashaallah
yesu hakufa bali alifanya vile ile dunia ikombolewe bana
Alifanya vip
N kifo Cha mtu mmja kuokoka ulimwengu huoni hiyo n dhulma
Nahakuna ushahidi sahih yesu kafa kw bblia Kuna sitofaham nyingi zakuonyesha hakufa
@@Nora-v1m3pEbu weka hizo sintofahamu, Muhammad alikuja kuyakataa yaliyo andikwa zamani kabla na manabii
mashaallah
Ah wakristo wana sema uwislam mgumu lakn so mgumu ukiristo ni kudanganyana2 hamna lolole allah awajalie muingie iman muitamke shahada kalima ya LAILAHA ILLA LLAH MUHAMMAD TASULULLAH INSHAALLAH BI IDHNI LLAH🤲
th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html guza link plz
Ukweli ni UPI na uongo uwapi.
akuna mola apasae kuabudiwa kwa khaki isipokua Allah na mtume wake Muhammad S. W. A
Muhammad bone in Saudi Arabia,,ataambudiwa kwani anambingu,mwanadamu huyo
Mimi hata mseme magani siwezi mwacha Yesu kristo
Hakuna mtu anakuambia umuache Yesu hata ukiwa muisilamu lazima umuamini Yesu
Yesu hakuleta amani duniani kila mtu anatapatapa kwajili ya Yesu
Huwezi kutapa tapa kwa ajili ya mwana Adam mwenzio
Njia moja pekee ya kumwona Mungu wa kweli ni YESU John 14:6
Hayo yalitabiriwa katika Ufunuo wa yohana kuwa sikuzamwisho dini zitainuka nakupingana nyengine itajiona bora kuliko ingine so mkristo wakweli shika imani yako nausitetemeshwe na mataifa
Tabarak Rahamen
Naleo umeongea kwa uchungu sana hadi sauti imebadilika pole sana
Allahu Akbar
Allaaaaaahu Akbarr
Bwana yesu apewe sifa
Wapi bibilia imeandikwa bwana Yesu apewe sifa kama sio uongo wako??????
@@salimdaawah123 Asalaam Aleykum Shekh, naomba namba yako tafadhali
@@tbm7tv257 0727 431 691
@@tbm7tv257 walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
Part ingine shekhe
mashaAllah,mashaAllah
Assalam aleikum, Sheikh Salim naomba full video
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Kweli nimeamini dini ni moja tu UKRISTOO
Imeandikwa wapi kuwa ukristo ni dini
Hakuna andiko ukiristo dini
Yesu anasema Mimi ndimi njia mtu awezi kufika kwa Baba bila kupitia kwake,
Yeye ndio halfa na Umega
Halafu hikikashifu Yesu basi hapo inaonekana mko na shida
Sana.
Ni kweli kabisa , kasema kwa wakati wake na kwa watu wake wale aliyotumwa kufikisha ujumbe kwao , wana wa ISRAILI TU. Nimataifa kumi na wawili , usikosee , soma Biblia vizuri , na itaona mwenyewe , na Bwana YESU katayarisha. Viti kumi na viwili huko Peponi kwa ajili ya mataifa kumi na wawili wa wana wa ISRAILI , hapo Mwafrika hana kiti , wala Mhindi wala Mwarabu wala mzungu wala Mmarekani wala mchina
Wewe utamuamudu mwanamme mwezio
Hapo Tumekutuma humechemka Mwalimu.
😂😂😂😂 aiseeee unankosha
🤣😂😂🤣
Humesahaau Muamadi anasema nayeye ataingiza mguu wake kuijaza nini?
Ndini haitaingia mbiguni ni roho
What is the meaning of takbir?
Allah is our god akbar great,god is great
Takbir ukisema hivo ni mtukuze mungu
God is great
Mtukuze Mungu .Mungu n mkuu
Kuna jambo ambalo Mungu awezi?kama Mungu anaweza kila jambo basi Mungu anaweza hatakufa
Maana hakuna linalo shindikana kwake au unakataahilo?
Nikufundishana na sio kupiga kelele.
😂😂😂😂😂😂😂 unankosha shehe
😂🤣😂😂😂🤣
" katika siku hizo za.mwili.wake'hivyo kuna siku za.kiroho
Kila mwanadamu kabla hajazaliwa huwa kiroho ndio unasikia roho zote zimetoka kwa Mungu
Manano yachangany'aa wale ambao awanjui neno.wastange of time,,Yesu alikufa kwaanjiri yathambi zetu,,
Amina.. Na ndivo ilivyo na haibadiliki hadi kurudi kwake
Bibilia yasema yesu alifanyika mwili, kabla ya kuwa mwili alikuwapo kilichozaliwa na mariamu ni mwili ndio sababu hakuna andiko lolote laonyesha yesu akimwita mariamu "mama yangu"
Na mbona munakataza madhambi kama yesu alisha safisha dhambi yenyu na mbona tena mnasema kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe
Muwafundishe madrasa
Nijukumu ya kila muisilamu kumfundisha muisilamu mpya so ni jukumu yetu sote
InshaAllah watafundishwa
Hao Mungu wapo wangapi?maana Neno linasema Tumekutuma badala ya Nimekutuma
Maana wingi Tumekutuma Sasa hao Mungu ni wangapi?wacha kupindisha maneno husiediti himekatazwa.
Inaitwa majestic plural.. Hata kwenye French ukitaka kumu-address mtu unaemuheshimu kama mwalimu wako unatumia neno "vous" ambayo ni wingi na hautumii neno "tu" ambayo ni umoja maana wingi unaashiria heshima..
Inashiria utukufu wake si wengi soma fasaha y kiarabu
uislamu ni dini ya kidunia na sio kiroho
wanamtathmini Mungu kwa mawazo yao dhaifu ya kibidamu na kujihesabia haki
Una uhuru wakuongea lakini sijaona hoja
@@salimdaawah123 nilikuandikia wewe
Ooooh hahaaaaa sikuwa najua safi kwa story yako bila ushahidi
@@salimdaawah123 sawa tulia
Karibu nishatulia
JESUS IS THE WAY
Jesus is the way to allah
Jesus alisali alisujudu n aliigia msikiti mbona nyie hamsujudu?
Hakuna Mungu anayepaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu wetu na Yesu Kristo mwanae Waisilamu mumepotea
Anyverse
Pole ndugu yangu
Ujiangalie vizur
Yesu anasema mimini mtume wewe unasema mungu na yesu wacha kujichanganya
Yani sijaona wajinga kama wakiristo. Yani hawaoni maandiko
Wakiristo wanajifanya waEsrael sijaona esrael weusi. Watatolewa mbio na yesu 😂😂😂😂
😂🤣🤣😂😂
Hao si wakristo halisi..
So S.D.A church sio wakristo
Wote simwamuomba mungu mbona mkosoane
Mungu mgani???
Isa na Yesu ni watu wawili tofauti.Majina yaliyopo kwenye Bibilia yana maana yake.Yesu ukitafsiri ki Hebrew ni Yeshua ambayo inamaanisha 'salvation'.warabu wakristo husema 'Yasu' hata walipokuja maeneo ya pwani kabla ya ukoloni wafrika wakanza tamka ’Yesu’ na sio Issa
Neno hili ni gumu kwa wasioamini
Neno la yesu n kuafrika n kiarabu n issa maseh ibn marium
Wakristo wa dhehebu gani hao?
Wasabato hao
Mashallah
Masha Allah
Karibu sana May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
MashaAllah
th-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/w-d-xo.html guza link
Mashallah
Mashaallah