JE, WAISRAEL WANA HAKI YA KUUVUNJA MSIKITI WA AL AQSA ILI KUJENGA HEKALU LA 3?-MDAHALO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Katika vita inayoendelea baina ya Israel na Hamas ni kwa sababu Hamas wanataka kuwazuia Waisrael wasiuvunje msikiti wa Al Aqsa uliopo Jerusalem ili kulanza ujenzi wa hekalu la 3. Je watafanikiwa? Na ni nini hatma ya vita hii kiunabii? Karibu kwenye mdahalo huu baina ya Mwalimu Daniel Mwankemwa na Nabii Iliyas. Karibu tujifunze!