PROF KABUDI ATAJA VIFUNGU VYA BIBLIA AKIAPISHWA IKULU DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2020
  • Macho ya Watanzaia wengi siku ya leo yanaelekea jijini Dodoma kusikiliza kile kitakachojiri kwenye hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania Kassimu Majaliwa. Hafla hii iafanyika katika Ikulu ya Chamwino jijii Dodoma ambapo inatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

ความคิดเห็น • 14