Wanasema kupata kazi hapo lazima uwe tin namba ukipata kazi unaaza kulipa kodi naje?unaweza kufanya kazi masaa 8 halafu ukajoin kazi nyengine (over time zipo)
Vipi Kuna ukweli gani kuhusu Kodi wanasema hata upate kwa mfano milioni Kumi na mbili kwa mwezi Kodi ni kubwa mno unabakiwa na Hela ya Kula tu wasio wamarekani hili Lina ukweli gani bro
D nyota Tyr Nina invitation hofu yangu visa ya kuingia USA nipe michongo.privety no Ili nisikose fursa hii
Nimeipenda sana
Siku moja basi utupeleke adi washington
Mimi najichanga bado ili nianze proces za visa ila sijajua ni kiasi gani nikikamilishe kitakua kimekamilika kwa kila kitu hadi accomodation
Okay bro!! Tupe mrejesho!!
Asante sana Dnyota
Nakukubali sana brother Mungu akubaliki
Safi sana,Dnyota nakuja huko baba nitakutafuta
Nakupata vizuri
Kazi Iko zinaparikan vipi brow
umsema kimya, je wasikilizi redio?,
Nakubar brother kaka bado tuna foc then tufany michongo
Hi
Nakupata vizuriii sana mie nipo omani napabana ilanakupenda sana uko nije nitafte Ella nasio kuishi uko naomba nabarii yako plz
Napataje kazi ya upishi
Vp kuhusu interact¡! Kuchangamana . Naona kama kupo kimyaa sana Kuna kujuana na majirani kweli likitokea tatizo!!
Halafu Kuna watu Wana kunja kugonga like na komenti mzozo
Noma
@@dnyotausa6154 hii ndio akaunt yako ya instar
@@fatumahengo6849 Officialdullastar na iyo pia yangu
Nakubar sana brother natamani sana maisha yambere nitumie namba zako ili tu wasiliane unipe maelekezo
Nakupenda mana unanifanya nijione kama Nipo USA 🥰🥰🥰
Nakubali
Safi sana
Nakupa freshi
Nakubali sana pambana
Hyoo miti kaka vp mbona kama imekauka
Kaka tutumie website tunazoweza kuomba ajira na zinazotoa ufadhili wa visa( job visa sponsorship) pia na email yako au namba inayopatikana.
Kaka na wenyewe sehemu nyingne rami zina kileka naona hapo.
Mm ni fundi ujenzi naweza pata kazi za ujenzi
Wanasema kupata kazi hapo lazima uwe tin namba ukipata kazi unaaza kulipa kodi naje?unaweza kufanya kazi masaa 8 halafu ukajoin kazi nyengine (over time zipo)
Sasa kk ni kazi gani ninaweza kuja kufanya huko
Na mm nipo najipanga nikiwatayari nitakutafuta brother
Napenda sana kufatilia sana kipindi chako, barikiwa, vipi umeoa,na una familia? Vipi ada ya mtoto kwa huko primary sh ngapi?
Wanasoma bure, shule za serikali buree
Hayo mabasi Niya makampuni?
Kazi safi bro
Kazi za upishi vipi hko ndugu
Uko vizuri kazi njema
Safi sana janja
Broo nakupata freshi
Mshkaji wangu nakuelewaga sana one day yes
😂😂😂mwizi huyo akiiba anauziwa lote au siyo
Muhimu kazi ya Kufanya tu.reasonanble price.
Pamoja bro.
Yes kabisa
Nataka kuja marekani
Uzr wa kutosha kwa kutufahamisha broo
Nipo South Simba Akida vip broo kama nikitoa dollar 3500 balance nitamaliza nikiwa US
+15167783253 nicheki WhatsApp
Xana broo unanifungua sana mungu mwema tutafika one day
Dah nakubalisana mwanangu
Je! Nikija mimi Kutembea na huko marekani than nikifika huko nikikutafuta kwa ajili ya kazi je utanisaidiaje kupata kazi?
Kwan kwa marekan ukiwa huna gari wanakuchukuliaje?
Nimeipenda hio location hipo very quiet
Vipi kupata Kazi huko siyo Nguni sana
Watu wengi wanahongeya kazi yakwanza unification US una beba box nikweli ao sikweli
Ni bei nzuri sana kama unapata mfano tsh 12,000,000/= halafu unatoa 2,000/=
Nakubali sana
Poa poa nipo dollar 3500 kaka yangu nipo South hapa
Uliendaje huko na nani alikupa mchongo wa kufika huko?
Vipi Kuna ukweli gani kuhusu Kodi wanasema hata upate kwa mfano milioni Kumi na mbili kwa mwezi Kodi ni kubwa mno unabakiwa na Hela ya Kula tu wasio wamarekani hili Lina ukweli gani bro
Ni kweli lakini unauwezo wa kusave kama hautumii hela sana, usiwe na starehe nyingi
Pia vipi Kaka Kama mtu kapata kazi na anataka kuja na watoto wake ( family) anaweza kupata Visa na watoto ??
safi!
Hey salute ninger
Huogopi kupatana na Gangster wa mabunduki njiani ama Brooklyn kumetulia?
Nakuelewa sana mkuu najichanga
Na ku soma bro ina omba Nini ili ni fike huko?
Kaka mm nipambanaji ila nideleva naweza kuja uko na nifanyeje
Unyama sana mzee wa kazi.. Brooklyn napatamani sana cz ni karibu na NY city
Brooklyn kama Chuga flani hivi 😂
Sawa
Nipe nmba yko broo
Natamani sana maisha ya mbele
Beckham anakaa wapi hapo
Hongera kaka kama mtu hajui nger inakuaje kupata kazi
UKIITAJI KAZI ULAYA AU ASIA NICHEKI
Kaka mim naomba namba yako please nije kupitia wewe ujuzi wang nimesomea computer Secretary please nisaidie
Naomba nijibu mie nipo oman je na viza kutoka oman kuja marekan ni hiyo milion 6?
Mzee baba vipi kama me nataka nitinge pande hizo ni vigezo gani vitahitjka hadi kfkya na kupata kazi hapo USA ni suleiman from Zanzibar
Naomba nione sehemu za uswahilin Zaid Kama tandale nakukubali sana
Yani naipena sana naomba namba yako ya WhatsApp kuusu visa
Je kama me mwanafunzi nataka kuja niishi uko uku nafanya kaz na kusoma, mitaa hio itanifaa?
Au ntasumbuka nauli za kazn na chuo
Big up bro,na No ya wasup naweza pata
Asante sana kaka,ss nikitaka kuja nifanye kazi ya nyumba naweza kupata kweli na salary ni ngapi napia contract ni miaka mingapi
Unataka kwenda asia au ulaya nicheki niko bongo
Wa mweweeeee
Hivi kaka kuishi marekani inategemea elimu yako au hata ukiwa na ujuzi au fani unapata kazi...
Magari hayana palking?
Bike sh ngpi kama ya kwako?
Vipi lugha kama haipandi vizuri utaishije huko
Sana broo una moyo sana,mi nilikuwa nauliza kuhusu kampuni za costruction sabbu fani zatu wengine ni maoparator wa mitambo mzee vipi kuhusu inshu hizo
Zipo kibao
Kiasi gani uko game
👍✌️👊.
Nipe no yako ya sim
Sasa chumba ,iyo ukia single sasa ukia na Familia uta jichanga ?
How person can contact you privately kwa huduma ?
Unyama mwingii kaka
Good job sir
Nakubali kaka
mtu mwenyewe tupe madim baba
Ukitaka kupishana let say una unasafili lake car unampisha kushoto au kulia
Huko malekani kuzuli
Sasa kaka mtu akitaka kuwasiliana na wewe anakupataje ??
Maeneo mazur ya kuishi
Kununua nyumba kiasi gani mkuu
Wakati wakwanza niko Kenya
Daaaah kwahiyo life kama unapambana Maisha ni kawaida
👍👍
Bonge la lesson.
Big man
Sawa
@@dnyotausa6154nakukubalii kaka
Habari nimependa story mamba yako mdau
Napenda sana unavotembea kwa baiskel😂😂
Full ku enjoy na kusave hela
Nakupata vizuri brother niambie namna ya kufika nije tupige kazi ili kuisaidia family