Babu kubwa mwamba nakufuatilia sana japo na delay kuwatch video zako kz nzuri Mungu akubariki sana utupe elimu Ili hata mtu siku ukija hushangai sana. Great work 👍
@@leecode6135 Africa ya kusini ni kweli vifaa vya kilimo ni vingi lakini inasemekana kampuni nyingi ni za ujanjaujanja na watu wengi wameibiwa na wengine hata kuuwawa kama una njia sahihi ya kupata vifaa hivyo tuwasiliane
Good Sana Bro Allah akuzidishie katika harakati zako maana unatufumbua Macho tulikuwa tunaburuzwa sana kuhusu USA
Mm mu Zambia bwana napenda kazi yako bro🎉
Babu kubwa mwamba nakufuatilia sana japo na delay kuwatch video zako kz nzuri Mungu akubariki sana utupe elimu Ili hata mtu siku ukija hushangai sana. Great work 👍
Sawa pamoja
Congratulation uko vizuri
Kazi nzuri kabixa afu mwana unaonaje tufanyeje biashara kma hizo uwe unanichukulia afu unanitumanishia uku Nairobi Kenya?
Daah fresh sana mwamba mungu akusmamie
Nimeipenda
Nakutafilia kaka big up kwa kzi yako.....c tufatane watsap nko na issue broo.....David from Kenya.
Dnyota bless up rasta👍
Appreciate
Mimi nina visa tayari, nataka nije mwezi wa kumi na moja, lakini nahitaji mtu wa kunikaribisha, nitakua na hela za kuanzia maisha, nisaidie.
Good Job piga kazi
Shukran sana, Habari Mbaya Mbaya sio poa Kabisa hatina Maana
Nakufatilia kwa ukaribu sana unatufunza mengi sana ila tuambie bas hiyo App inaitwaje🤣
Tumekuelewa kaka muhim sana likes
Bro kazi nzuri
Good job brother God bless you
Ngeli imenyooka kabisa 👏👏👏👏👏👏
Dullar Mungu akutunze sana unatupatia informations ambazo wengine tunahisi kama tumefika Mtoni
Sawa karibu sana
Kwel
@@dnyotausa6154kaka huwambii watu ni hela ngapi umenunua
Ok nataka kujuwa gharama kamili unayofanya mpaka kufika
Kazi nzuri sana kaka.. tupo pa1 hadi dakika ya mwisho
Sawa sawa
Bro toa makamasi,Wacha kufanya hivyo.
Mbona utuambii umenunua Bei gani au dola ngapi?
Nakubali bro.
Mambo Dullar kakaa God bless you. I wish to be there.
Lkn kama shillingi ngapi kuja kaka?
😂 piga kazi kk
keep up a good work👍
Iko poa sana
Maujanja saplaya nakubali
Shingapi kuja kaka
Sema hizo app broo tununue then tukupe ututumie
Brooo nikitoka mzigo mfano iphone used
Thanks bro
good work
More more information bro asante sn
Mkuu, naona hizo barabara kama zina mashimo !!!. Au ni macho yangu ??
Aslaam aleykum Warahmatullah Wabaraqatuh brother
Kiarabu huko usiendekeze watakaa wanakupeleleza !
@@godfreyobadiah7892 sija kuelewa unacho kusudia kumfahamisha brother
Kaka mawasiliano yako vip mm Niko tayar kuja USA ualimu nimechoka kaka
Pesa unayo tayari?
Vp hao homeless na huko ajira nje nje ?
Ninakubali sana brow
Sawa
Broo gari unawezaje kuinunua na kuituma home tz
Bro mi mkenya naweza tuma hela kwako uninunulie hyo laptop unitumie?
Queens Bridge sio kw kina 50 cent ni kw kina NAS ESQOBAR, 50 cent anakaa mtaa mwengine ni JAMAICA QUEEN 👊🏾
Kweli kabisa kama umechek raising Kannan utajua 50 cent anaishi wapi yeye ni makaazi wa Jimbo la New York sehemu ya Jamaica
Tupe majina ya hizo app
Huko kuna misikiti kweli mbona hatuoni
App kama hizi zimejaa nchini Kenya
Erick Mmanga apa nakufatilia sana kaka bado kidogo tunafanya kazi
Sawa karibu
Bro mbona hautwambii hiyo app
Umenunua dollar ngapi??
Appreciate bro kitu kikubwa unafanya
Sawa sawa
vip kuusu luga
je tulikua Tz tunaweza kununua kupitia iyo App …?
Ujatuambia hiyo app inaitwaje
Tuandikie basi hio
Na sehemu ambayo wanatupa vitu vyenye hali nzuri ukipata nafas uje utuoneshe
Akuna, vitu wanaweka nje ya nyumba zao gari la taka linapitia au mwenye uhitaji anapitia
Niaje mambo vp sasa ukishafika huko vp kuhusu kz munamtafutia mteja au anatafuta mwenyewe
😂😮😂😮
Hio ni app gani ? Na ubarikiwe na kazi
Tell me please
Naitaj sim kali nielekeze 2nafanyaje mwanang
Hizo apps ni kama zipi(majina) ?
Ukija marekani nitakutajia
@@dnyotausa6154 hahahaha 😂.we jamaa noma.ila nakukubali
Tunataka kununua machine za kilimo kama tractor inakuwaje
Vitu vya kilmo au tractor vipo vingi saaana south África hauna hja ya kuagiza USA
@@leecode6135 Africa ya kusini ni kweli vifaa vya kilimo ni vingi lakini inasemekana kampuni nyingi ni za ujanjaujanja na watu wengi wameibiwa na wengine hata kuuwawa kama una njia sahihi ya kupata vifaa hivyo tuwasiliane
Hkuna ujanjaujanja labda wewe haujakutana na mtu wa ukweli umeelewa
Tunaomba Utusaidie Na Sisi Iyo App
Unataka kutumia Tanzania 😀
Sasa dulla hyo ndoa ya mpango huyo mwanmke ukishamuowa anakuwa wa milele ama ye akishamaliza dili tu anakula kubwa fasta
😊
Nikihitaji Laptop utaratibu ukoje hadi niipate
Safisana
Beigani tuambie
Dullastar the prophesor