Msikilize Mmasai wa Kwanza Kuishi Marekani Akisimulia kwa Kiingereza Kilichomkuta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 99

  • @kephakipindu9083
    @kephakipindu9083 7 ปีที่แล้ว +4

    Very wonderful my papaaa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 ปีที่แล้ว

    Hii historia ni ya kweli mnaposema mmasai wa kwanza kuishi Marekani? What is the source of this information, the US immigration data ama ni watu tu wanajaribu kumtumia huyu mzee wa Ngorongoro ambaye sisi wengine tunamfahamu! Jamani hii si nzuri, waandishi wa habari kuweni macho sana.

  • @mercywanjiku3740
    @mercywanjiku3740 6 ปีที่แล้ว +2

    I like the way he talk wonderful

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 7 ปีที่แล้ว +6

    So kwali kuwa in mmasai wa kwanza kuishi usa

  • @hamzadasso5573
    @hamzadasso5573 7 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali sana iyu mzee

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +2

    I love you masaai

  • @agneswilbard9059
    @agneswilbard9059 3 ปีที่แล้ว

    Hongera babu

  • @wilkistamarema4907
    @wilkistamarema4907 7 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wape Hekima watawala ili Amani izidi kutawala ndani ya Watawaliwa

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 7 ปีที่แล้ว +7

    He spoken US english language. N he sounds so dope..✊

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 7 ปีที่แล้ว +4

    mungu akupe maisha

  • @sengolupeja9658
    @sengolupeja9658 4 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @lomalaiza1261
    @lomalaiza1261 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri Sana is good with English

  • @alanmunyi8343
    @alanmunyi8343 3 ปีที่แล้ว

    This grandpa makes the young mc's sound like he never stepped in an English class

  • @sankaresiato4002
    @sankaresiato4002 6 ปีที่แล้ว +3

    Waaoo papa mekitamayan engai

  • @davidlaizerleyan5259
    @davidlaizerleyan5259 6 ปีที่แล้ว +7

    Acheni uongo wamasai ni wengi marekani sema mtoa posti unaonekana mshamba na unafikiri kingereza n jambo lisilowezekana km hujui ww wengine wanajua

    • @saiyokiioleeneeksha6386
      @saiyokiioleeneeksha6386 3 ปีที่แล้ว +1

      Na wewe Dada pia wewe fala tu kwani Huyo Mzee Wa kimasai kakosea nini mpaka unaongea kama hujijui km wewe hujui kizungu kaa ulee watoto huyo babu mnoma kizungu tena sio ile ya sasa ile piwa orijino ameposti nini km ni pesa kapata wewe umechangia kutuma sms

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 ปีที่แล้ว

      Jamanii...!
      Hivi "heading" umeielewa ndugu?
      Imeandikwa hivi; "MMASAI WA KWANZA KUISHI MAREKANI ASIMULIA..."
      Hajasema "Mmasai pekee alieishi Marekani.."
      Na wala hajasema "Mmsai pekee anaeongea kiingereza"
      Na kwa umri wake huyo babu huwenda alienda akiwa na age ya 18- 20 hapo, na sasa anaelekea 76 kama sikosei....by assumptions (76-18 = 58) which means alienda America 58yrs ago. (i.e. around 1958 ), coz hiyo video nimeiona for the 1st time 2016. Waweza ona ni before Tanganyika Independence.
      Sasa wewe umewaona/unawajua wazee wangapi kama huyo ama waliomzidi huyo wakiishi Marekani? Mpaka uiponde post ya mwenzio?
      Lakini pia, ni wapi mtoa post kataja neno "kiingereza"..?
      Jamani tuwe tunasoma vizuri headings za post mbalimbali na kusikiliza contents zake ndipo tu-comment...!
      Lakini pia tusiwe na -ve attitudes always..!

    • @ndiiyolazaro1125
      @ndiiyolazaro1125 8 หลายเดือนก่อน

      Hakika wapo wengi

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 3 ปีที่แล้ว

    Africa’s be proudly of Africa’s language pls

  • @michaellukas3914
    @michaellukas3914 7 ปีที่แล้ว +3

    Ongera babu

  • @amanam2735
    @amanam2735 6 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi wa kushangilia Kiingereza.

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 7 ปีที่แล้ว +2

    Eti wa kwanza!

  • @aliceonesmo6454
    @aliceonesmo6454 3 ปีที่แล้ว

    Uongo mbaya mbona wengi tumeishi Sana tu na wengi walishaishi na bado wanaishi acheni uongo kwani marekani imekuwa wapi

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว +1

    uyu baba nitajili sana sana anamashine handeni mangombe

  • @ramadhanisaidmmbaga1000
    @ramadhanisaidmmbaga1000 6 ปีที่แล้ว

    Inapendeza sana

  • @makalkindy9807
    @makalkindy9807 6 ปีที่แล้ว

    big up dada wakitumbua og. tangaza kiswahlichetu story vp.?

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว

    mama uyu mzee jamani ameenda lini umasaini nakumbuka miaka 8 nyuma alipita hoteli akanipa pesa akaniambia tukutane kologwe kaaa kiukweli nilimtapeli

  • @mercysiyanga7067
    @mercysiyanga7067 4 ปีที่แล้ว

    Masai juuu,

  • @collinskojode8824
    @collinskojode8824 3 ปีที่แล้ว

    Congratulation Tanzania one by jakowak kojode

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 ปีที่แล้ว

    Mzee ananitolea yai hatariiiiii.

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 3 ปีที่แล้ว

    Wabongo tupo nyuma kimawazo. Kwamba mtu anaejuwa kuongea kiingereza bas amesoma sana. 🤣🤣🤣
    Wakati hii LUGHA kama LUGHA NYINGINE WAWEZA kuijua kwa UTENGAMANO wa JAMII wa LUGHA hiyo ambayo inakuzunguka.
    Emu tuachane ushamba na UVIVU wa KUFIKIRI.

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 7 ปีที่แล้ว +5

    Global mbona umechelewa sana kumuweka you tube maana video yake ilitoka zamani sana

  • @paschaljastin9043
    @paschaljastin9043 7 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @qeewoi2441
    @qeewoi2441 4 ปีที่แล้ว

    Lakini krera ni wapi.?

  • @hkfenias6543
    @hkfenias6543 6 ปีที่แล้ว

    Sio wakwanza niishi nawamasihi wenge sana huku marekani.

  • @AmiriNachan
    @AmiriNachan 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo ngorongoro hajawahi fika marekani ila ameishi na wazungu watafiti na alikuwa na girl friend wa kizungu

  • @salomeloda9655
    @salomeloda9655 6 ปีที่แล้ว +1

    Babu yetu kilemensi nakuaminiya kimayani engayi tobiko tobiko olengi

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 3 ปีที่แล้ว

    Hivi mnaonaje wamasai?

  • @munatwalib2808
    @munatwalib2808 3 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @charlesjeremiah7256
    @charlesjeremiah7256 7 ปีที่แล้ว

    sasa m2 hata hajui maana road fund was nn kuwa mkurugenzi

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 6 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅umetisha sana masayi

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว

    Ok he grows up to America and what States he was living? I can't understand his English well.. but he's trying his best 👍 his English is sounds Kanye English

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 7 ปีที่แล้ว +11

    Lugha sio lazima kusoma, ukikaa nchini mwaotuu utajua.

  • @mwacetyjumbe9945
    @mwacetyjumbe9945 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani mmasai cyo mtanzania?

  • @bosiabu6607
    @bosiabu6607 7 ปีที่แล้ว +6

    Wamasai wa kutoka kenya mbona kibao marekani

    • @jumasasilo1222
      @jumasasilo1222 6 ปีที่แล้ว

      balonga exi

    • @NDALAMIA2027
      @NDALAMIA2027 6 ปีที่แล้ว

      Bosi Abu Tuko wengi sana niko New York Mimi maasai from Kenya

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@NDALAMIA2027ni wengi lakini ni wa mwaka gani?! Angalia huo umri wa huyo mzee na akienda mwaka gani?!

  • @margretmfaume35
    @margretmfaume35 6 ปีที่แล้ว +3

    Welcome again in United States grandfather

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 7 ปีที่แล้ว +3

    that's english indeed.

  • @manchestercitybettartv5922
    @manchestercitybettartv5922 3 ปีที่แล้ว

    kuna watu umo wanashaangaatu hawaelewi mzee anachozungumzia

  • @neydathomjrsiria4624
    @neydathomjrsiria4624 6 ปีที่แล้ว

    xafi xana mzee

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 3 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa anaongea na akina nani hadi atumie kiingereza

  • @gideonsanago9943
    @gideonsanago9943 3 ปีที่แล้ว

    Eti "wamasai wanaishi porini, wanawinda....na wakija mjini kazi yao ni kuwinda... " yaani maelezo ya kipuuzi kabisa haya. Take your time and research...tangu lini wamasai wakawa wawindaji? Je ni kila Mmasai alieko mjini analinda?? You don't take your time to research and crosscheck your facts. Kazi kuandika udaku tu

  • @umranim5854
    @umranim5854 7 ปีที่แล้ว +4

    Mgaie shilole anakipenda

  • @HASASON
    @HASASON 7 ปีที่แล้ว +16

    Nasubiria kuona mzungu akisifiwa nchini kwao kwa kuongea kiswahili, watanzania huu ulimbukeni wa kutukuza English tuwaachie wakenya tusijiingize kwenye huo ukosefu wa akili, hakuna muarabu wala mzungu anayejivunia uafrika lakini sisi waafrika tunatia aibu kujikomba na tamaduni zao

    • @zuberiismail6713
      @zuberiismail6713 7 ปีที่แล้ว

      acha wivuuuuuuu

    • @zuberiismail6713
      @zuberiismail6713 7 ปีที่แล้ว

      Hasaon acha wivuuuu!!! hupend m2 kusifiwaaaaaaa

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 7 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea point bro

    • @lasarusabore2092
      @lasarusabore2092 7 ปีที่แล้ว +2

      Kujua lugha ni elimu tosha. Yanayokusubua yaleya HIZO MBICHI sizitaki. Shame on you Bashite.

    • @ronnie7162
      @ronnie7162 6 ปีที่แล้ว

      The mzee never stepped in any class but he has good command in English, what about you Hamason??

  • @MaikomasettoMaseetomasai
    @MaikomasettoMaseetomasai 4 หลายเดือนก่อน

    Hi😂

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 7 ปีที่แล้ว +4

    Sisi tunatangaza kiswahili kiwe lugha ya kimataifa

  • @niceladeus1697
    @niceladeus1697 6 ปีที่แล้ว

    namhiee

  • @lowasalesirai9504
    @lowasalesirai9504 3 ปีที่แล้ว +1

    Welcome again in united states grandfather

  • @tonynuru435
    @tonynuru435 7 ปีที่แล้ว +4

    Lugha(English) siyo usomi wewe ! Umekariri ...
    Hiyo ni lugha tu kama lugha nyingne

  • @makalkindy9807
    @makalkindy9807 6 ปีที่แล้ว

    dadawakitumbua mbona sikuiz ckuon kabsaa vp ?
    tutangazie kiswahilichetu huko uliko.

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 3 ปีที่แล้ว

    😀❤❤❤😀

  • @silolemusuni1999
    @silolemusuni1999 6 ปีที่แล้ว

    Am a Masai but many Masai live in the US , don't cheat my friend

  • @elizabethnthenge1271
    @elizabethnthenge1271 6 ปีที่แล้ว +1

    Remember mzungu makanga?? Remember mzungu ungali?? Hahaha thitima

  • @elisantente2518
    @elisantente2518 7 ปีที่แล้ว +1

    NIUKOSEFU WA KAZI HUU!! ASILIMIA KUBWA YAWAMASAI KENYA NIWASOMI NA WAPO DUNIANI KOTE. NEXT TIME WEKA VITU VYA MAANA NAVYAKUFUNZA.

  • @yuscowakitojo1080
    @yuscowakitojo1080 7 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kama anachekesha

  • @petersulle4454
    @petersulle4454 7 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁

  • @abisairobert5894
    @abisairobert5894 7 ปีที่แล้ว +5

    Kujua English sio kipimo cha akili watu wajui hivyo

  • @tonynuru435
    @tonynuru435 7 ปีที่แล้ว

    What's so funny there ... !!
    Mmekosa cha kufanya nn !!!

    • @adamumjomba82
      @adamumjomba82 6 ปีที่แล้ว

      Huo niupuuzi mtupu kabla LA wamasai lipo tz na Kenya .lakini wamasai kibao wamesafiri pote duniani .hasa wale wanao toka Kenya .na wengi wao wanaotoka Kenya sio wafugaji wanaishi mijini .na kufanya kazi ..na wanasafiri kila kukicha sio wakwanza huyo mzee.

  • @christophersimon823
    @christophersimon823 7 ปีที่แล้ว +1

    vp huyo

  • @speedonechimbamawe1419
    @speedonechimbamawe1419 3 ปีที่แล้ว

    Jifunzeni komedi za dogo sele na stivu mweusi

  • @naree3697
    @naree3697 7 ปีที่แล้ว +2

    hapo sio USA kuna maji ya uhai na kill

    • @petermgogosi8986
      @petermgogosi8986 7 ปีที่แล้ว

      sawa upo baada yakutoka new York

    • @shabanirikweme5374
      @shabanirikweme5374 6 ปีที่แล้ว

      hyo ni lugha tu ambayo hata watu ambao walijua kingereza hata chauswailini watu wanajua

  • @justinmallya9749
    @justinmallya9749 7 ปีที่แล้ว +2

    Mzeee wa kimba

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 7 ปีที่แล้ว

    mmh Kama kaburu

  • @sirinamsangi7384
    @sirinamsangi7384 6 ปีที่แล้ว

    Ñv

  • @halimadarweish2710
    @halimadarweish2710 7 ปีที่แล้ว

    '

  • @yagwisheheke7383
    @yagwisheheke7383 7 ปีที่แล้ว

    Hapana not English kimasai hicho lough tonation

  • @makalkindy9807
    @makalkindy9807 6 ปีที่แล้ว +2

    big up dada wakitumbua og. tangaza kiswahlichetu story vp.?

  • @tonynuru435
    @tonynuru435 7 ปีที่แล้ว +1

    Lugha(English) siyo usomi wewe ! Umekariri ...
    Hiyo ni lugha tu kama lugha nyingne