KARIBU MWANZA: Tazama kwa juu Daraja jipya la Furahisha
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2017
- Kwenye pitapita zangu ndani ya Mwanza wakati naisubiria FIESTA 2017 Jumamosi ya September 23, nimeendelea kujionea vingine ambavyo sikuviona mara ya mwisho nimekuja Mwanza.... mojawapo ni hili daraja jipya la wavuka kwa miguu.
Najivunia kuwa msukuma wa mwanza
Waoo my home switi Mwanza oyee. Asante Millard Ayo mi ni mmoja wao wa miaka hiyo kweli pamependeza
Niko Nairobi Kenya lkn siwez pasahau nyumbani home swety one day nitarejea
Hakukosewa kuwekwa kwenye kiti mungu ibariki Tanzania na viongozi wa chapa kazi na watafuta kiki safari hii watapata tabu sana kufuli likisha funga
aki mwanza ni nzuri sana pia kwa usafi wako vzuri tz nzima
Wakuja wanapaita Rock city na wazawa tunapaita mwanza karibuni mwanza ❤
Hiyo ndiyo Mwanza ninayoijua mimi, jiji tamu, jiji tulivu, jiji yenye ukarimu, ahahah hahaha. Mwaaaaanzaaaaaaaaaa, I love you so much.
#SoShoTV #SoShoFitness
Safi sana mwanza naona mambandiliko muko juu San kama malekani vile
Mm nimezaliwa Znz ila nikenda Mwanza nafurahi usafi wako vzur sana
karibu sana mda wwt!!
kama vp tubadlshane we ubaki mwanza namm nibaki Fumba
Rudi nyumbani kumenoga
Rutubisha akili kwa kutumia sangara,utajiri wa nchi toka rock city Mwanza. Ni wapi kombolela ikachezwa na mtu mmoja, basi,umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Mwanza yangu jiji la utulivu,ustaarabu na ukarimu teule.go east go far west Mwanza "the stone forest city" is the best of all living dates arround the 🌍. asante ndugu Millad Ayo nafurahia ubora wa picha za video zako,na wakati natazama video hii nilikuwa mezani nikila wali na sangara mnono. naam Mwanza stay in devine blessing as you are.
mwaza oeeee mkoa wangu naupenda
even cmb prezo the farther is from mwanza. am proud from mwanza.rocky city
Karibu ni Mwanza kwetu#Mwanzaaaa oyeeee...!
milard huko mwanzaa kuna nini maana naonaa kama leo umewasifiaaaa sana
wa mwanza hit like bttn
Mudathir alarakya miyanji acha wivu, ayo nimpasha habari tena exclusive, jua maana ya reporter siyo unakurupuka tu kudonoa
Mwanza all star 🙌🙌🙌🙌
Hakuna lolote tunaongea kisukumaa mpaka town wako benki wnachat kisukumaa wako stendi wanaongea kisukumaa wako mahamani wao wanaongea kisukumaa tutupo jembe Nini ire bahaa Basi utasikia lugha tu mwaveja Sanaa tupo kwenye Kosta Ni kisukumaa kwakwenda mbereee Sasa mgeni najiuliza ivi Hawa wanajitambuwa ama ukabila Sana au ndoo wanatambulisha lughaaaa huwa siwasomii uko the kiss unakura vyombo kisukumaa ukoo ile bas ya karibu vila packy yanagonga kisukumaa tu huwa wananikeraaa iraa mwalimu Alina mbali sanaaaa Yani kwamwanza hataa wasome vpi utamjuwa tu huyu was kiree ziwa Victoria
Volunteered in this beautiful and authentic African town 3 yrs ago and I’m missing life back there so much right now.
attractive city mwanza is shining! !
woow . mwanz kwanza
rock city ndo hm
Yeeees mtu wa nguvu, nyumbani kwenu Mwanza napakubali sana
Saida Yusuph am also from mwanza
Proud to be in Mwanza
Mwanza yetu nipanzi san jaman kalibun
Daah ulaya b Ipo Mwanza
ccm kirumba &furahisha is ma home town
cheas ayo nc job.big love mwanza
I love my home place Mwanza city
Aiseeeeee saf xanaaa
mwanza kwetuuuuu
Me niliondoka 2011
Home sweet home😍😍
Mashaa Allah ❤
kazi ya Dr pombe hiyo
Lingekuwa dar kigamboni lingeibiwa taa za kuwaka waka uck kama la kigamboni
MA CITY MA HOME
Rocky city home city...
Rock city
Daah lazima ni rudi Mwanza
Kwanza home bana.
Maahallah
My home
Yan nimeenda mwaka Jana mwez wa 8 kulikua hakuna daraja....miez kadhaa tu imepta daraja tayar😳.....asee 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mwanza pazuri xn
Yap liko poa
Zuri xanaaa nimelikubal
Kwakua maendeleo yanaongezeka hilo daraja wangeweka kila upande njia tano hata kama ni kipande cha daraja tuu
Mwanza mwanzaa
Sisi Mbeya wanatuonea sana kodi zetu zinajenga kwingine yaani mwanza ndo irivo daa tunaonewa Anna uiano kabisa
Lazima ibadilike mana si ndo katoka magufuli
#mwanzakwetu
Mambo ya kawaida huku kwetu
Siasa tu hizo ili wabaki madarakani
Magufuli huyo
7
Hakika panacea deza
karb
shukrani sana Saida
Wazawa walisha likimbia jiji
Kazi ya mweshimiwa magu wengine wangeenda ulaya kula stalehe
msigwa umesahau na daraja la furahisha? kesho lalamikia daraja kujengwa mwanza badala ya IRINGA kwenye muelekeo wa watalii?? 😂 😂 😂 😂 MWANZAaaaaa
Mwanza inapendeza sana 👍
Sawaaaa Sasa wabadilike na was lughaa mpaka town ujuwe wasukuma wanabowa mji Ni bomba Sanaa iraa swaga zaoo Ni karaha kila mtu Ana kabira bana Sasa wanakuwa Kama wanatangaza biashara ya lughaa hata rais hawamuonei aibuu rais anafanya Mambo makubwAa bas nasisi tubadilishe kulingana jiogorafi na taswira ya mini yetuuu haipendezi banaaa ndan ya vira pack yanagonga lugha the kiss lugha jamani wageni tunakosa poooz na mji was mwanza na ikiwa tunapapendaa udaga na dagaaa pow Sanaa IRA mibadilike haaaaaaa sio pow Gaby magomeni bongo
njooni TANGA muone madhari yake
7