Champion ndani ya nyumba🎉🎉🎉 shukurani sana kwa ayotv kwa kuchagua usafiri bora kanda ya ziwa mwanza to msm #champion express... Karibu usafiri nasi kila siku kwa safari za mwanza to msm nyakati zote kuanzia saa mbili asbh mpka saa mbili usiku... Tunakujali tunakupenda abiria wetu tunakufikisha kwa wakati ni champion pekeeeeeeeeee
Chama la wapigaji tanzania😂😂😂huyu ndo atakuwa mwenyekiti sababu yeye ndo katoboa kuliko wote, Hawa ndo matapeli wakubwa tanzania wanaoperate nairobi/mombasa tu.. enzi zao maokoto kama mchanga.. Wapi mtemi zumbe😂😂😂team moja
Legrand hotel rama aje babat manyara kuna maeneo mengi ya milima na ziwa babat japo ni dogo aweke pia hotel hata hadhi yake ikiwa nyota 4 location ya mkoa wa manyara ni amaizing sana na na ni mji wa kitalii na jiran na musoma pia kwa kuoitia goma serenget ila kwa babat ndo sana location kama mjengo ukiwa mliman kwenye miteremko ya milima ndo inashukia ziwa babat na pia kuna kama hekar 12 katikati ya maji ambayo ni ardhi anaishi mtu na analima anafuga pia ingekua vp kama legrand babat hotel ikiwa kwenye mji wa aman na utuliv kama babat afu ni ktk pia mwa nchi yetu
Hiyo ndio hotel kubwa tulifanya utalii Musoma tulikosa vyumba vimejaa hii Hotel ,tukalala hotel nyingine ni chafuu tulizunguka kutafuta hotel zingine Mpaka saa 7 usiku hotel ni mbaya mashuka na vyoo hatari wa Huduma.Musoma wanahitaji uwekezaji tulizunguka sana kutafuta hotel ya ⭐️⭐️⭐️ hakuna I promised not to visit Musoma ever again
Mashallah mabrouk tabarakhaallah good job SOMO inshaallah khilla RAMA MSOMI
Champion ndani ya nyumba🎉🎉🎉 shukurani sana kwa ayotv kwa kuchagua usafiri bora kanda ya ziwa mwanza to msm #champion express... Karibu usafiri nasi kila siku kwa safari za mwanza to msm nyakati zote kuanzia saa mbili asbh mpka saa mbili usiku... Tunakujali tunakupenda abiria wetu tunakufikisha kwa wakati ni champion pekeeeeeeeeee
Huyo manager director hajui kujielezea vizuri hana motivation
Njoo ukielezee wewe
Hongera sana kwa kukumbuka kuwekeza nyumbani. Ni vizuri kumsupport katika biashara zake,ndiyo ubinadamu huo.
This man Rama Musomi Allah give you more and more. You are our mentor always.
Manager smart Sana
Hapa ni shalala Wana huduma nzuri kweli🙏
Mungu akupe umri mrefu na afya njema kwa kuweza kuja kuekeza kwenu na kuwasaidia watanzania wenzako
Naomba mumtagg manager ,nataka kuomba kazi hapa
Muendelee kutuma nazakutolea mafanikio mtayaskio studio 🎙️🎙️🎙️
🤣🤣🤣🤣
Chama la wapigaji tanzania😂😂😂huyu ndo atakuwa mwenyekiti sababu yeye ndo katoboa kuliko wote,
Hawa ndo matapeli wakubwa tanzania wanaoperate nairobi/mombasa tu.. enzi zao maokoto kama mchanga..
Wapi mtemi zumbe😂😂😂team moja
MashaaAllah tabaraka Allah 👏❤️
Congratulations Boss Allah akuzidishiee Una baya na mtu tajiri 🤲🤲
Naomba kazi
Very beautiful hotel
Manager unatakiw kubland zaid ubora wa huduma ya hapa, semea tofaut nying zaid ktk hii hotel ili kuwashawish watu
Hongera Kaka yangu.
Jamaa kafanana sana na sheikhe othman Michael au ndugu nini?
#BLESSINGS......💥💥❤🙌🙌
Ikopoa sna hyo boss rama msomi na Kenya weka kitu kma hyo
Anayo Kenya ipo Mombasa
Inspiration
Mimi nipo tu jamani saa zi ngine natamani nisiingie yuoteb ndo mambo kama haya uñawaza mpaka unawazua
Jamani. Work hard utafik mahali si lazima kufika level ya Rama.
Inabidi aongeze nyingine vyumba 20 very few
Vidooo nakupenda......
Peninsula ndo ilikuwa bora kabisa, ila Mativila ndo top kwa sasa huwezi sema Le grand ulinganishe na Mativila
Nice
Millard ayo at least put the hotel name on the description
Legrand hotel rama aje babat manyara kuna maeneo mengi ya milima na ziwa babat japo ni dogo aweke pia hotel hata hadhi yake ikiwa nyota 4 location ya mkoa wa manyara ni amaizing sana na na ni mji wa kitalii na jiran na musoma pia kwa kuoitia goma serenget ila kwa babat ndo sana location kama mjengo ukiwa mliman kwenye miteremko ya milima ndo inashukia ziwa babat na pia kuna kama hekar 12 katikati ya maji ambayo ni ardhi anaishi mtu na analima anafuga pia ingekua vp kama legrand babat hotel ikiwa kwenye mji wa aman na utuliv kama babat afu ni ktk pia mwa nchi yetu
Mashaallah
Jamaa pesa anazo mazee
Kwa bahati mbaya musoma hawana timu ya ligi kuu jamaa angepiga pesa ndefu ila hapo amewekeza hela na atavuna tu, Mungu akuwezeshe broo mpambanaji
Masha Allah
Aiseee
Asante kwa tangazo
Hiii ndo kali musoma nzima
Pesa ni fumbo jamaani
Pongezi Hotel iko poa sana
Kuna watu Wana pesa Zaid ya huyo Kama Mara 50 Zaid japo hawajionesh lakin so mbaya nae Yuko vzr sana
Lakini hapa nahis anatangaza pia biashara sio kujionyesha kuwa ana pesa
Acha wivu
Anatangz biashr yake sio pesa zake
Anatangz biashr yake sio pesa zake
Ww una nini 😂?
Wekeni Gym please Gymnastics
Hongeraa
Saahivi wanayo musoma
Hakika mwenzetu kajaribu.
Nimependa kuwa anapenda vitu vzr na anasema mi mwenyewe najipenda.Kama unacho tumia,hahahahah
Sio kujaribu tu bali kafanya na kafanya tena hii sio kujaribu ni kutenda
Mmh kajarib kawez mm hata mgahawa wa mama ntilie cna ..
@@rehemakanyere4188 unapatikana wap rehema.
Hajajaribu amefanya
Musoma ipo maeneogan hiyo
Mkoa wa mara
@@erickrubanda hujamuelewa kaka alimaanisha hiyo hotel Iko maeneo gani hapo Musoma je ni mjini au pembezoni mwa mji
Musoma mjini,kata ya bweri,mtaa wa kariakoo
Kata ya Iringo barabara ya Kenedy mtaa wa Iringo c
Wonders
Billionaire...?? In term of shiling or
Usiseme billionea sema milionea
Huyu ni bilionea so mchezo
Bei ni sh ngapi kulala kwa siku?
800,000 per night
🤑🤑🤑
@@Iamsasboy napata HUDUMA zipi na zipi ?
@@Iamsasboywee lakin name au elfu 80
@@mariamkibindo1741nilitak kujua pia
Hiyo ndio hotel kubwa tulifanya utalii Musoma tulikosa vyumba vimejaa hii Hotel ,tukalala hotel nyingine ni chafuu tulizunguka kutafuta hotel zingine Mpaka saa 7 usiku hotel ni mbaya mashuka na vyoo hatari wa Huduma.Musoma wanahitaji uwekezaji tulizunguka sana kutafuta hotel ya ⭐️⭐️⭐️ hakuna I promised not to visit Musoma ever again
Tumpe bandari
😂
Namdaa sijamuon @dullah_tz