MOTO WA JWTZ KWA MAJAMBAZI PORINI KIGOMA WAKIJIWEKA FRESH NA MAZOEZI, RISASI ZAPIGWA JUU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2021
- Hili ni zoezi la vizuizi barabarani lilokua linafanywa na Jeshi la Wananchi JWTZ Mkoa wa Kigoma Kutafatuta wahalifu.
Wanajeshi hawa walikua kwenye mazoezi ya kijeshi yaitwayo Excise masika katika Pori la makere Wilayani kasulu mkoani kigoma ambapo pia walitumia muda huo kutoa funzo kwa madereva kutopakia watu ambao wanawakuta porini na sio kwenye vituo Maalumu.
Waliokuja kucheki video wakizani Ni majambazi kweli like apa twende sawa.. 🤣 1k zinatosha
Yani hapo tulio juwa kama nijalibio ni wa chache sana wengi wana juwa nitukio lenye uhalisia kumbe ni wao kwa wao
Yani nimepatikana🙆🙆
Ningekuwa kwenyeiyo bas uharoungetoka full
Maboya sana hawa
Duuuu! Me mwenyewe nimerowa nimeangalia Mara mbilimbili 🙆
Wengi wenu mnaandika tuuu, ila kilichotokea ni kuwa hawa waliofanywa kama majambazi ni wanajeshi wenzao😍😍😍😍😍 wanafanya hivyo kuwapa funzo
afadhali umelielewa hilo
Yes
Rm.
Mko sawa Sasa kazi iendelee
Kwani nani hajaelewa mzee?
😂😂😂😂🇰🇪 Kenyans should copy these kind of exercises......yaani zoezi kama hili Kenya halijawai fanywa,big up sana JWTZ
Masallaah
Pongezi kwa kazi nzuri wanajeshi watanzani nikiwa kenya
Hongera sana. Mazoezi kama haya ni safi. Kuna siku katikati ya zoezi mtakamata vitu vya kweli. Nawapongeza sana
This is our lovely Tanzanians.... Najivunia jeshi langu.... Salute.
I love you mom
Upuzi huyu
Jeshi ya konyo
Abayosa tahay
Kazi nzuri sana JWTZ ni kweli wahalifu wanaishi pamoja na sisi pengine ni watu wa karibu kabisa lakini ni wahalifu.
Naamini sana jeshi langu la Tanzania 🇹🇿🔥🔥❤️
kama umejamba kama mimi uliposikia aaaaa anakombati ya jeshi huyu.. mikono juu😅😅😅😅
🤣🤣🤣😂😂😂🤌🤌
Hivi ndiyo tunatakaa tanzania iwe kusiwee na watu wanaofikiria wanawezaa kuletaa tabiaa za kutakaa kutuchafuliaa nchi yetu ya amaani kwa kushirikiaanaa na watu wa nchi za jirani kuletaa ujambazi kutaka kutuharibiaa nchi yetu iliyojaaa upendo na amaani Lazima tulinde nchi yetu kwa mfano huu kuwa watanzaniaa tuko makinii
Hiii ni kuonyeshaa kuwaa tunawezaakutafanyaa mambo yote Tukiwaaa na uzalendo wa kuipendaa nchi basi hili tu ni heshimaa kwa taifaa
Serikali yetu na nchi yetu kazi iyendeleee heshimaa kwa jamuhuri ya muungano wa tanzaniaa
Hahaha
Tunashukuru Sana kwa umakini wa askar wetu mungu awatie nguvu Amina.
Kazi nzuri saaana maana watu wamekuwa waaharifu saaana siku hizi. Kwa zoezi hili lingefanyika mara kwa mara mikowani piya ili kuwapunguza. It was a good thriller and well acted👏👏. One love From London
Elimu nzuri Sana,Hongera kwa jeshi letu.
Kwa kiasi flani sawa, tusipakie watu kwenye mapori. But Hii alert technic ya mafunzo ya tahadhali siyo nzuri sana, watu wanaweza kudhurika bila hatia. Kumbuka kuna watoto na wamama, pengine na wagonjwa mle kwenye basi, wamezingatia vipi afya zao katika kutekeleza hilo zoezi. Pia wanataka kutuambia, makondakta wawe wanakagua mabag ya abiria. Nashauri wangetoa mafunzo kwa wahusika maeneo maalum ya kazi na vituoni. Hizo operation zifanyike ktk uhalisia wake wakiwa na target info.. Siyo kwa lengo kama hilo la kuelimisha.
Unaakili sana.
Mi nimekuelewa🤜
Hiyo hufanyika duniani kote mzee sio Tanzania tuu
Nikwel kitendo hiki hakikuwa kizur kwa watu wote wanawez kuuwa kwa mshtuko afu jukumu anabeba nani
Kula 5 umetisha sna
@@edirana5420 utabeba ww apo
Iko poa sana ila kwa Mimi mfano ningekuwepo kwenye hilo gar saa hii Nina drip ya saba ,,maana si kwa kushuka presha
🤣🤣🤣
🤣🤣
Kunawatu walikojoa kabsa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Ni habari njema nimeifurahia ni kweli kunawakati tunajisahau, hongera AYO kwa kufikisha ujumbe,
By Salum
Mnafanya kazi nzuri kuelimisha jamii Yesu awaongoze salama.Ingekua vizuri kuakikisha Kila basi Lina lindwa na Wana jeshi Wawili mpaka 3 wawe wa navaanguo za kilaiya. Kwaajili ya kulinda Wana nchi.katika safari Yao,hili ikitokea vurugu yoyote
ndani ya basi au katika sehemu yoyote update kudhibitiwa na kuwachukulua atua mala moja.! lakini Mungu awe namba Moja! Iyo itasaidia sana.
Congratulations jwtz❤️🇹🇿💪💪
Safi sana 2wakomexhe majambazi
Well Done JwTZ adui atambue Jeshi la wananchi liko makini.
Mungu atulindie nchi yetu iwe na amani siku zote hii mirindimo ya risasi isijekutokea nchi yetu pendwa ya Tz
My friend we have the RECCE SQUAD hatari kulko hìi
Amin mungu atusadie kwahilo
Acha kuogopa ww mm napenda ickike km ukren
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🥰🥰aisee nimependa wanajeshi warivokuwa wabunifu hongera zao mung awabariki na hawarinde na kila shar muirinde tz yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Kunawatu walijikojolea
Hii nimeipenda kazi mzuri sana
Hilo zoezi la Mafunzo kwa Vitendo Nimelikubali,Nimeli pigia SALUTE
Hongera kwa jwtz
Jeshi letu liko vizuri ni hatari ukitaka lidipu kwa kwa ugaidi ama kwa uhalifu ndipo utajione waulize wa kibiti walilidipu walikiona cha moto, MUNGU IBARIKI NCHI YETU MUNGU YABARIKI MAJESHI YETU AMEN.
Dah!!!hawa jamaa ni hatarii huu ndo uzalendo tunao hitaji ndani ya nchi yeti
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Safi sana from Burundi 🇧🇮, hapo bahati mbaya uko abiriya umekuwa umesafirisha bunduki, yani ndo utaamini kwamba umekwisha🤗🤗🤗
Abiria wetu wanawaza kufika tu! Bila kujua walioko ndani dah! Hii poa sana kwa jeshi la Tz
Kumbe hii ni demo tu, kweli show kali ikiwa halisi 🔥🔥🔥
We atali n,nyaitakutoka😀
Hamna show yyte wanaajifunza kulinda amani ila sio vita halisi
waache kupoteza muda waje uku mtwar mpakani kuongeza nguvu
Mungu awabariki kazi zur
Wengekuwa Wahalifu kweli JWTZ Wangeanza na Mabuti apo apo🔥
🤣🤣🤣
Iwe halisia na endelevu kwa kushtukiza. Mingu tubariki watoto wa Tz
Mngewahoji abilia ili tujue wamejifinza nini.
Safi sana kwa mafunzo mazuri hongereni Kaka zetu nazani dereva kondakta wamejifunza
Mambo vipi
Kazi mzuriii Sana wanajeshi ogereni
Big up xn kwa makamanda we2 wa jwtz. Zoezi nilikua "mswano" (zuri)
wanangu wa makere,nyamidaho,mvugwe kasulu kigoma tz weka like kama iyi road apo una ifahamu
This is a very good example in our security system especially on the public transportation,job well done JKT🇹🇿👏👏👏
Misaivi ningekuwa mbinguni kwa Baba
Yeah! 👍🏿 You've spoken well but I would like to remain you that
this is JWTZ not JKT
Kazi njema jameni nawatakiya Wanajeshi wetu kazi nzuri kuilida Inchi yetu ni njambo njema
Aah hongereni kwa kazi nzuriii na inayotufurahisha na sisi tunaowatazama🤝🤝🤝
hongereni sana wazee wa kazi nawakubali sana Mungu awatangulie katika kilinda na kutetea Taifa letu na sisi wanachi atusaidie kuwataja waarifu
Haja ndogo ikipita halafu uambiwe ni zoezi sio kweli utajiona fala sana
Saluuuuuuuuuuuute to you JWTZ.Wale wahuni wa M23 wanaujua moto huu.Big up sana.
Safi sana Tanzania bilaya majambàz inawezekana
Ili ni funzo nzuri sana,lazima madeva wawe makini saa zote na abiria wanaowapakia,wasiangalie tu pesa,na pindi watamhisi mtu yeyote watoe taarifa kwa wanausalama walio karibu.
Wamewasumbua abilia,, anyway bonge la zoezi nmeipenda hii
Nawapa
Big up kwa Sana ndio makamanda wetu
Wamewapotezea muda tu uwezi fanya mazoezi ya kijeshi kwa abilia kuna baadhi ya abilia wana presura kwa hizi pigo wanaweza wapoteza kizembe
Na ingetokea vita je bado ungesema watu wana presha
Jaribu kutofautisha wakati wa tatizo na wakati usio wa tatizo
😆😆🙌kwani presura yenyewe inasemaje😆😆
Acha ujinga kwenye vitu vya msingi
Kazi nzur sana JWT
Manshalah mungu azid kuwapa uweled
Big up sana maafande
Jambo jema Sana mungu azidi kuwalinda walinzi wa taifa letu
Nimeipenda hii
Mungu watie nguvu JWTZ uwape maisha marefu yenye amani na neema tele ameen
, easy and quick 87t and
Inaitwa usijaribu nyumbani 🤔🏃😃👏👏👏
Siafiki mazoezi kwa njia hii kwani yaweza sababisha hata kifo
Kwakweli Mimi nawashukuru sana tenasana kwajeshi lataifa kuchukua maamuzi yaulinzi barbrani kasababu watu hawataki kufanya kazi wao nikuwawinda binaadam wenzao kwanzi haowanao kamatwa nasiraha porini niwauwaji hao nikuwamalizatu nandio kukomesha ujambazi aina haja kuwapeleka polisi maoniyangu nihayo
Nimependezewa na kusachi Kwan ndani ya mchezo unaweza kueabaini na najambazi mungu ibariki tz
Nzuri sana na ni hakika!
Saluti sana mmejiongeza na kuwapa taadhali madeleza na abilia
Safi sana jeshi letu
Big Up sanaa
So cool and best way to remind our mindset
Huro zoez saf sana
Vizuri Sana Asante kesho ra kigoma
Nimeipenda duh..!!
Kama zoezi hili lilipangwa vizuri kwa ajili ya mafunzo itakuwa jambo safi sana.....
Lakini kama ilishutukiza na abiria wa kawaida wakiwepo ndani ya gari... na kuwachelewesha safari yao.... hii ilikuwa matumizi mabaya ya nguvu ya kiutawala.....
Na kama kweli kungekuwa na wahalifu je? Wakakamatwa huoni kama ingelikuwa ni faida, sio kila kitu kubeza kumbuka wahalifu ni wat kama ww so kufanya ukaguzi ni muhimu hata kama watu safari yao itachelewa tusipende kubeza kila kitu na kuleta ujuaji
Hilo ni zoezi zuri nawapongeza lakin wasikomee apo wafanye sehemu zote ili vitendo vya kialifu visiwepo pia mtakapo fanya zoezi ili maeneo mengine msitangaze hadharani kwani app adui anapata njia nyingine ya kufanya!, Ahsanteni.
nimependa kazi ya jeshi letu la taifa i love you jwtz
Mmekosea Kama wahasi wangejiripua na warinda amani wetu msioneshe mricho jifundisha
Saruti kwenu wakuu
Safi sana ni mazoezi mazuri
Hapo sawa
Hapo kuna kosa hao wanajeshi wamelifanya , mara baada ya kugundua huyo abiria au muahalifu ana short gun hakupaswa awe na umiliki nayo , ilitakiwa apokonywe kwa maana angeweza kuwajeruhi au kusababisha vifo kwa wanajeshi wetu , but all in all nimeipenda hii operation/ hayo mafunzo
Hongera JWTZ kwa Nazi nzuri
Kwakweli sasa jishi linawajibika hongera mama hongera mkuu wa majeshi na wakuu wa vikosi nichini safi sana
Every educative great job
kazi njema kwa jeshi letu la taïga💖💖💖jwtz
Tunaamini kwamba tuna ulinzi wakutosha na serekali tunaomba wanajeshi waongesewe mshahara kwa kazi inzuri wanaofanya asandeni
Kama umeskia baba yalete huku like
Hawa ndio wanastahili kulipwa mishahara vizuri cyo wah wetu hamna wanachofanya bungeni
Hizo ndo habar za kuongelewa sio Kila sik mm dangote mind na zari
Wazo zury sn
Subhannallah, mtihani
Piga fimbo kweli hao majambazi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤🙏
Hongereni jeshi la wananchi no Nazi nzuri sana
Ahsanteni jeshi mnafanya kazini vizuri
Bora nikavamie mzinga wa nyuki mchana sio hawa jamaa🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅Af ww
🤣🤣🤣🤣kosea njia ila co iyo
😂😂😂😂
Safi sana wapiganaji wetu
Iyoo milio ya silaha walikuwa wasipige apo maana kuna watoto wadogo kwenye safari iyoo, na kuna wagojwa pia, ila sio mbayakufanya kitu kama icho ni silaha tu kupiga ni kosa kwa watoto na watu wagojwa
Hizo ni blankoo ,yani risasi za mafunzo hazima mdhara kam unavyodhani na hata mlio wake ni wakaida kabisa
Vizuri sana wanajeshi wetu
Kazi nzuri sana...big up
Yeah nimependa sana kwa hili somo
Ongeren sana ktk ayo mazoezi
Ni nzuri sana zoezi hili
nzuri sana na iwe inafanyika kweli marakwamara
Wako vizury good job💃
Raha Sana Tanzania mko makini Sana !
Ni wa2 wasio na mda wa majadiliano Mungu awabark
Nzuli hii
Apo sawa
Kazi mzur san....n elimu kubwa san imetolewa hpo pongz ndug zang
Funzo zuri sana kwa makobda ambao wao ujifanya wanajua sana pesa popote mtu akipungia gari wao usimama na kumchukua kwakeli sivyema kabisa wengine ni majambaka tu
Hongereni,kwa zoezi
Ningekua mmi Nipo hapo ningezimia2 kwakweli😂😂😂😂
Hahaha 😂😂😂
Safi Sana kwa Ukaguzi Lazima Jeshi Kama Jeshi litambue vitu Ambavyo wewe Raiya wa Kawaida huwezi kuvigundua Safi Sana
Hongereni kwa mazoezi