Angalia taka mto Mirongo/Mabatini, inasikitisha sana, halafu mafuriko yanapotokea watu wanalalamika kuwa hakuna miundo mbinu kumbe wao ndi wanaosababisha hayo yote kwa kutuma taka kwenye mto. Hadhi ya usafi wa Jiji la Mwanza imeshuka sana, inasikitisha sana, kwa nini watu wamekuwa wavivu namna hii kusafisha jiji letu?
Barabara chafu kinoma kiafrika africa tu
Naamini wameona na watazidisha usafi
Angalia taka mto Mirongo/Mabatini, inasikitisha sana, halafu mafuriko yanapotokea watu wanalalamika kuwa hakuna miundo mbinu kumbe wao ndi wanaosababisha hayo yote kwa kutuma taka kwenye mto. Hadhi ya usafi wa Jiji la Mwanza imeshuka sana, inasikitisha sana, kwa nini watu wamekuwa wavivu namna hii kusafisha jiji letu?
Inatafakarisha sana, any way, labda tukionesha watashtuka
Jiji hili kubwa
Hahahaa kabisa
Bwiru
Hapana, hiyo ni mitaa ya katikati ya Jiji
Sawa mkubwa @@BMGOnlineTV
Kurumba
Hapana, hatujapita Kirumba kwenye hii video