VIDEO: STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI YAANZA KAZI, ABIRIA WAFUNGUKA “AIRPORT HAIONI NDANI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 160

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 ปีที่แล้ว +32

    Aisee JPM alikuwa na uelekeo mzuri na hii nchi, R.i.p my hero

  • @GroliaMethusela-ez3cb
    @GroliaMethusela-ez3cb ปีที่แล้ว +10

    Nmefurahi sn jmn kwa kukamilika kwa stend yetu, Mungu ampumzishe kwa amani mwanzilishi JPM tulikupenda lkn Mungu alikupenda zaid.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ambarik saana MAMA SSH, Kwa kuendeleza na kuongeza miradi yote aliyoikuta, kwahika anaweza, ameweza na ikimpendeza Mungu mitano tena

  • @King_186
    @King_186 ปีที่แล้ว +15

    He was too serious to fail,,Rip John P.Magufuli the African hero

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +23

    Magu kweli alikua kiongozi, Mungu amlaze mahala pema peponi

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว +2

      Hawaoni jamani, yaan yaan yule baba

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 ปีที่แล้ว +18

    JPM ,ALIKUWA KIONGOZI MZURI SANA BASI TU , WENYE ROHO MBAYA HAWAKOSEKANI NA WASIO NA SHUKRAN NI WENGI PIA

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +23

    R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. Uongozi ni matendo sio mipasho.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +13

    Hongereni wana Mwanza,RIP baba yetu Magufuli

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc ปีที่แล้ว +16

    Jpm uliipenda Tanzania tutàkukumbuka daima

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว +28

    JPM was the best president ever

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +2

    Mdumishe usafi, na Kulinda miundombinu, Siyo serikali ijenge Mshindwe kuitunza, Nasisitiza Tena Usafi 🙏.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +9

    Only Tanzania has the beautifully bus's stand/terminal in East Africa

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey ปีที่แล้ว +11

    REST IN PEACE MAGUFULI DU! UNGEKUWEPO TUNGEONA MENGI

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah hakika M.H.E Magufuli alikua na mwenye hekima .

  • @shabanigenya4708
    @shabanigenya4708 ปีที่แล้ว +6

    Viva Rock City…. Home sweet home.

  • @SalumMadimba
    @SalumMadimba 12 วันที่ผ่านมา

    Hongera Millard Ayo kwa habari za uhakika! Napenda sana

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 ปีที่แล้ว +10

    RIP MAGUFULI

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 ปีที่แล้ว +12

    R. I. P jpm kwa maono ya inchi yake

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว +9

    R.I.P JPM

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli was too serious about it!!!!

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 ปีที่แล้ว +11

    fungulieni na wimbo wa nyegezi sasa mbona stend mmefungua

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 ปีที่แล้ว +10

    Magufuli angebaki hii inchi ingekuwa zaidi ya South Africa

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว +2

    Asante magu pumzika kwa amani..hongera samia kwa kufuata nyanyo za mpendwa wetuu

    • @barakamartine2452
      @barakamartine2452 8 หลายเดือนก่อน

      Umeanza vzuri, kumalizia ndo ukafeli

  • @giftchristianmeela1409
    @giftchristianmeela1409 ปีที่แล้ว +1

    Stendi ni nzuri sana hongera kwa serikali, ila warekebishe hizo changamoto zilizobaki, Dust bin za uchafu ziwepo na sehemu za kujikinga na mvua pia.

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kwa serikali yetu!

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว +6

    Binafsi mimi ninachokisubiri. Ni kufunguliwa kwa bwawa la umeme hivyo tu

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 ปีที่แล้ว +2

    Asanteeee JPM

  • @suzanmgombawatu7839
    @suzanmgombawatu7839 ปีที่แล้ว +5

    Arusha viongozi mnakwama wapi

  • @bagoomary8358
    @bagoomary8358 ปีที่แล้ว +1

    Saluti kwa anko magu Mungu ampunzishe

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 ปีที่แล้ว +4

    Hakika JPM alikuwa Mchapakazi mwenye matendo!RIP JPM!

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 ปีที่แล้ว +5

    R.I.P Magufuli

  • @jalimpanga9315
    @jalimpanga9315 ปีที่แล้ว +3

    Nilimpenda saana magufuli na paka Leo hii inanipaugum sana kuelewa ivi ilikuaje afaliki kizembe hivyo ila mugu yupo tunahangaika sana wa Tanzania kutaka kujuwa ilikuaje kututoka huyu mwamba!!!!

  • @nyanchokachacha9954
    @nyanchokachacha9954 ปีที่แล้ว +4

    Mambo ni Fireeeeeeeeeeeeeee,Hongereni sana viongozi wetu hususani serikali ya awamu ya 5 na 6.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

      Awamu ya 6 hamna kitu ni kazi za JPM

    • @nassirpemba9763
      @nassirpemba9763 ปีที่แล้ว +1

      Yasita kam hataki si anafelisha mipango yote ya awamu ya tano,hongera kwa wote 5&6

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว +1

      ​@@kabwelasutiviraka4765kabs ni john alifanya kazi kweli.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MAGUFULI…MAGUFULI…MAGUFULI. HIZI Sio fikira na uthubutu wa wauza bandari

    • @deuscylilo6015
      @deuscylilo6015 9 หลายเดือนก่อน

      @@nassirpemba9763 p

  • @AbubakarMaselo
    @AbubakarMaselo ปีที่แล้ว +1

    Gud Sana imetsha kweli ikopw

  • @catchall9364
    @catchall9364 ปีที่แล้ว +2

    Sio watanzania wote wanajua Nyegezi iko wapi Mzee ! Sema ni Mji au Mkoa gani ! Iko wapi hiyo Bukoba au Mpanda ?

  • @jumamwengwa5841
    @jumamwengwa5841 ปีที่แล้ว +2

    #REST IN PEACE MAGUFULI. DAIMA TULIKUELEWA TUTAKUIMBA KILA IITWAYO LEO.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa Rais Samia naomba ukumbuke Stendi Kuu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Serikali imefanya jambo jema kutenga vyumba vya kunyonyesha watoto maana ndugu zetu Wasukuma wanazaliana sana nafikiria ndiyo Kabila kubwa. Tanzania Imara Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

      Wasukuma taifa Teule 😀😀😁😁

    • @dannycham-hf8oq
      @dannycham-hf8oq ปีที่แล้ว

      Wasukuma Taifa kubwa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน +1

      MAGUFULI…MAGUFULI…MAGUFULI. HIZI Sio fikira na uthubutu wa wauza bandari

  • @martinemasunga5802
    @martinemasunga5802 ปีที่แล้ว +1

    big up kwa wasimamizi wa mradi

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Magufuli anhekuweo nchi ingekuwa mbali sana

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว

      Sio inch sema Mwanza ingekuwa mbali😂

  • @esteralex6408
    @esteralex6408 ปีที่แล้ว

    Sana shemeji yangu Yohana lameck nyembe nimekuona shemeji yangu

  • @chinashao4679
    @chinashao4679 ปีที่แล้ว +3

    Arusha hatusikii aibu mpaka Leo hakuna kitu

  • @asalitv8810
    @asalitv8810 ปีที่แล้ว +3

    Braza k in the building😂😂😂😂

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 ปีที่แล้ว +2

    Tunakushukuru mama kwa kusimamia serikali yako na kufanikisha dhamila ya nchi yako kwa kuikata kiu ya wananchi kwa maendeleo

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 ปีที่แล้ว

    I love mwanza kwa upande wa kandaa ya ziwa

  • @NeemaNichorous-pl3lx
    @NeemaNichorous-pl3lx ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anafanana na brother k. Hongera mwanza

  • @fredmabundagilo6954
    @fredmabundagilo6954 ปีที่แล้ว

    Safi sana mmejiraidi sana mwanza

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

    MAGUFULI…MAGUFULI…MAGUFULI. HIZI Sio fikira na uthubutu wa wauza bandari

  • @abuumaisarah6595
    @abuumaisarah6595 ปีที่แล้ว

    Saf sana ❤🇹🇿

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @StephenChama-nh2vr
    @StephenChama-nh2vr 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana r.i.p magufuri

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +8

    RIP JPM forever

    • @kudrawanguvu5923
      @kudrawanguvu5923 ปีที่แล้ว

      hukumjua vzr ungefatilia gazeti la mwananchi lililotoa matumizi yasiofata taratibu za manunuzi kuusiana kiwanja chandege chato kutoka bei ya kawaida B.17+ hadi B.52+ huo ndio ufisadi ulio pitiliza ungejua vzr usinge sema hivyo

    • @justinmbangukira7034
      @justinmbangukira7034 ปีที่แล้ว +1

      @@kudrawanguvu5923 Hivi we huoni kila mtu anamsifia Magufuli,
      We ndo unapinga tuu

    • @eliasbadyana
      @eliasbadyana 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@justinmbangukira7034achana nalo nilichadema.

  • @KuntukumuSadam
    @KuntukumuSadam ปีที่แล้ว +2

    Mmeisahau Sana mbeya

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      Yule wa Bungeni toka Mbeya….Anabariki madudu aliyokataa Ndugai….ENDELEENI na Umbeya wenu

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ปีที่แล้ว

    Home sweet home

  • @vedastinawillium4458
    @vedastinawillium4458 ปีที่แล้ว

    Serikar ya mama samia.....au nimesikia vibaya

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 ปีที่แล้ว +3

    Kali kuliko Mbezi

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 ปีที่แล้ว

      Unaumwa Wewe!

    • @vicentmlumba591
      @vicentmlumba591 ปีที่แล้ว

      @@gosbertbuberwa6198 wewe itakuwa zaidi

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 ปีที่แล้ว

      @@vicentmlumba591 Kama Hujawahi Fika Magufuli Terminal Useme Uchangiwe!

    • @vicentmlumba591
      @vicentmlumba591 ปีที่แล้ว

      @@gosbertbuberwa6198 sio mabishano na Niko Dar piaa but adi nimesema hivoo Kuna huduma Apoo nyingi zimetajwa Mbezi hazipoo that's y nikasema imezidi but kiuharisia ata muonekano Mbezi iko bomba Hudumaa nasemea

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 ปีที่แล้ว +1

      @@vicentmlumba591 Anhaaaa! Hapo Nimekupata Mkuu!

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi ปีที่แล้ว

    Hongera bibi tozo. Lkn hii kazi ni ya JPM. Bibi tozo we kapumzike tu. Unauza bandari yetu ahhhh sijui hata tunakoelekea. Ni ujinga tu.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MAGUFULI…MAGUFULI…MAGUFULI. HIZI Sio fikira na uthubutu wa wauza bandari

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

    Mtamkumbuka sana JPM alikuwa anafanya kwa vitendo , huyo mwanamke wenu rais hamna chochote cha maana ameanzisha mradi mikubwa anatembelea kwenye kivuli cha JPM . Stendi kama hizo haziwezi kujengwa kwa maono ya Bibi tozo

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว

      Ata MAMAKO Hawez kujenga

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +1

      Kweli anatembelea reli ya JPM. Na kiuhalisia KAZI hizi ni za JPM wala sio mwingine, sifa zimuendee JPM popote alipo

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

      @@rajabukipara3008 hata wewe huwezi ila magu anaweza... Kubali hilo🤣🤣wivu wa nini? JPM ouee

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      @@rajabukipara3008 MRADI WAKE KUGAWA BANDARI, NA KUHUDHURIA SIMBA DAY, MAZOWZI YA YANGA. HOVYO KABISA

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MRADI WAKE KUGAWA BANDARI, NA KUHUDHURIA SIMBA DAY, MAZOWZI YA YANGA. HOVYO KABISA

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 หลายเดือนก่อน

    Magufuli alikuwa mwanaume zaidi ya mwanaume

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว

    Sasa tukitunze ili kidumu. Matumizi ya vyoo na ustaarabu uwepo. Pia watu wasitupe taka hovyo.

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 ปีที่แล้ว +1

    RIP JPM

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว

    Ni Vizuri Sana lakini Mambo ya Ukanda bado ni Changamoto

  • @BerthaTingwa-zu1sx
    @BerthaTingwa-zu1sx ปีที่แล้ว

    Brother k

  • @DenisNyerere-gm4mt
    @DenisNyerere-gm4mt ปีที่แล้ว

    Kali kulikooooooo

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 ปีที่แล้ว

    mimi ndomana sikati tiketi kwa agent wa stendi naenda ofisi za basi husika unaweza tapeliwa uka panda basi bovu lina vuja

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Hiyo si stand ya sh b 15 acheni upuuzi weenu huko ninyi mnaijua b 15

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 ปีที่แล้ว +1

    Singida hatuna watetezi.
    Stand ya Basi ya Mjini Singida ilianza kujengwa wakati Rais wa awamu ya tano alipoanza uongozi.
    Hatujui ni kwa nini imejengwa kwa Hali Dini.
    Hii ni stand ambayo iko katikati ya Inchi na mabasi mengi yanapita pale kuliko stand yoyote.
    Miundo mbinu yake ni dhaifu Sana.

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว

      Stendi ya Mwigulu nchemba ,, mufanga!!

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee ปีที่แล้ว

      Kwanza eleweni siyo rais wa nchi anayesanifu ramani ni wataalamu wa Halmashauri husika. Na wanaopendekeza mradi gani ujengwe siyo rais wa nchi ni Baraza la madiwani wa Halmashauri husika. Baadhi ya Halmashauri waliomba fedha za miradi na walipelekewa badala ya kuanzia ujenzi wakaziweka benki wakaanza mabishano mwishowe zikarudishwa hazina.

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 ปีที่แล้ว

    SASA NYINYI MNAOBEZA nazunguka kudanganya KUANZIA NAKANAZI HADI KIGOMA LAMI LEO MNASEMA KIGOMA HAMNA KITU PIGENI SIASA ZA KUSEMA UKWELI

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 ปีที่แล้ว +2

    Magu oyee

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 11 หลายเดือนก่อน

    JPM...the best president in Africa

  • @stevenmiyeye5585
    @stevenmiyeye5585 ปีที่แล้ว

    Tutakukumbuka baba yetu siku zote JPM

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

    KAZI ZA JPM HIZO..... JPM OYEEE. BADO TUNASUBIRI DARAJA, SGR, BWAWA LA NYERERE NA MENGINE. SASA MSITUPELEKESHE TUNAJUA HII NI PONGEZI KWA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI. VIVA JPM

  • @Josephdazzy-ph1xv
    @Josephdazzy-ph1xv ปีที่แล้ว

    Nyamongoro sitand

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 ปีที่แล้ว

    Wale wanaobandika makaratasi ya matangazo kwenye kuta ule ni uchafu na ujinga unakuta jengo zuri lakin mda tu wachafuzi wanachafua na mabango ya makaratasi

  • @frenkclement6673
    @frenkclement6673 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndo nimelifaham jina halisi la Brother k 😂😂😂

    • @anthonygikuri
      @anthonygikuri ปีที่แล้ว +1

      Kumbe sio muha. Ni Ngonyani

    • @frenkclement6673
      @frenkclement6673 ปีที่แล้ว

      @@anthonygikuri ngonyani SI ni songea au

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 ปีที่แล้ว +1

    Magu oye

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 ปีที่แล้ว

    Sawa tunapambana lakini kasi imepungua

  • @jacolaztv4108
    @jacolaztv4108 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P Magufuli. Hakuna mwingine.

  • @goodmark1336
    @goodmark1336 ปีที่แล้ว +1

    Rip magu

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว

      Alitamani Tz iwe km ulaya...R.I.P

    • @makelemohuya2723
      @makelemohuya2723 ปีที่แล้ว

      Mungu ndiyo anajua RIP JPM 🙏 😢 💔

  • @SylvesterMbonimpaye-oc9yi
    @SylvesterMbonimpaye-oc9yi ปีที่แล้ว

    Wapiga debe vurugu walinizozania kidogo nichane shati, hilo liangaliwe nyegez

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kuna matatizo gani Arusha???? Hamna hata stendi nzuri mkuu wa mkoa na wabunge wenu wana kazi gani , na mbeya stendi ovyo na ya Kilimanjaro iliishia wapi ile stendi iliyojengwa kwenye chemchem???

    • @shabanisaleeh4541
      @shabanisaleeh4541 ปีที่แล้ว

      Iindi jee

    • @barakamarando-fd4qp
      @barakamarando-fd4qp ปีที่แล้ว

      Mjenzi si mlimuondoa ngoja muisome namba 😢😢

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@shabanisaleeh4541 huko Lindi ndio wamekusahau sana ila huko ndio sehemu ya kuishi , kiwanja karibia na beach si bei rahisi sana huko Lindi? Na si hamna meli express kutoka dar hadi Lindi ?

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +1

      @@barakamarando-fd4qp huko arusha na kilimanjaro kila mtu mjuaji basi mwisho wa siku hakifanyiki kitu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว

    Siku moja tuu utajuaje changamoto zote

  • @victormaisiba8237
    @victormaisiba8237 ปีที่แล้ว

    Heko

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 10 หลายเดือนก่อน

    JPM alifanya makubwa

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 ปีที่แล้ว

    Maguuu oyeee

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว

    Sikieni ndugu zangu mnaokomenti mm niko mwanza ni kwamba hii stendi imeanza kujengwa magu akiwa amefariki kwahiyo hata samia mpeni pongezi zake.

    • @yusuphjuma7348
      @yusuphjuma7348 ปีที่แล้ว +1

      Muongo mkubwa ww ongea ukwl Kwan sisi tuko wap

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MAGUFULI…MAGUFULI…MAGUFULI. HIZI Sio fikira na uthubutu wa wauza bandari

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      Yeye miradi yake ni Royal kuhamisha wamasai Loriondo na kuuza Bandari zetu, hovyo kabisa

    • @jamesjohn9160
      @jamesjohn9160 10 หลายเดือนก่อน

      Mshamba tu wewe

  • @irenewile
    @irenewile ปีที่แล้ว

    My Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku ปีที่แล้ว

    Nzur Rais wetu mama samia unaupiga mwingi

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MRADI WAKE KUGAWA BANDARI, NA KUHUDHURIA SIMBA DAY, MAZOWZI YA YANGA. HOVYO KABISA

  • @abuumtoa2336
    @abuumtoa2336 ปีที่แล้ว +3

    Hongera madam President

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MRADI WAKE KUGAWA BANDARI, NA KUHUDHURIA SIMBA DAY, MAZOWZI YA YANGA.

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 ปีที่แล้ว

    Br K

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 ปีที่แล้ว

    Huyu jeshi kumbe ngonyani

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ปีที่แล้ว

    😂😂 brother k

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 ปีที่แล้ว

    Sasa moshi na arusha vp hamuoni

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +3

    Ila Magufuli aliipambania sana Kanda yake
    Na aliichukia Kanda ya kusini mwa Tanzania Ukiangalia Kanda ya Kusini Kila kitu kipo kama kilivyo kabla ya Kuingia Magufuli madarakani
    Ila ndio maisha ipo siku tuu Kusini itakaa sawa tu Mungu yupo

    • @greysonsahani2619
      @greysonsahani2619 ปีที่แล้ว

      Lipeni kodi

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 ปีที่แล้ว +1

      Bandari mtwara, hospital kawajengea kafanya mazuri mengi acha kauli za hovyo wewe mjaa lawama

    • @salomelonje3087
      @salomelonje3087 ปีที่แล้ว

      Hospital kubwa ya kanda , upanuzi mkubwa wa bandari ya mtwara, unenzi wa barabara za rami na mengine mengi ambayo hatuyafahamu mim naona kafanya kwa kiasi chake maana ujio wa meri kubwa unakwenda kunadiri uchumi wa kanda ya kusini

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      MAJITU YANAYOOGIZWA FIKIRA ZA CHUKI MIOYONI MWAO. WATU WENU NDO HAO, MAGUFULI ALIWATEUA KWENYE VYEO VIKUBWA KABISA, LEO WANATEMBEA KUHUTUBIA BANDARI ZIGAWIWE KWA WAARABU WA DUBAI. LINDI IMEKUWA DUNI TOKA NCHI HII IMEANZA KUJITAWALA, TABIA ZENU ZA KUTOKUJITUMA, KAZI YENU KUFANYA UZINZI TU NA UCHAWI NDIZO ZINAWARUDISHA NYUMA WALA SIO MAGUFULI.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      BWEGE WEWE. MAGUFULI ALIMTEUA WAZIRI MKUU TOKA MIKOA YA KUSINI. HIVYO NDO UNAMAANISHA ALIICHUKIA KANDA YA KUSINI?? Mpuuzi mkubwa wewe

  • @justinemahenge4159
    @justinemahenge4159 ปีที่แล้ว

    Tuoneeni huruma mbeya. Kila kitu tuko nyuma

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

      Bungeni huko mnauza bandari enyi wa Mbeya, ENDELEENI na umbeya wenu

    • @justinemahenge4159
      @justinemahenge4159 10 หลายเดือนก่อน

      @@mimiraia2531 🤣🤣🤣

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว

    Eeehh Nyege... nyegezi.... standi mpya Nyegezi...

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 ปีที่แล้ว

    Brother k

  • @greysonsahani2619
    @greysonsahani2619 ปีที่แล้ว

    Bado solo kuu la mwanza mjini kati aliendelei kabisa