Mungu akuzidishie afya na uzima kwa mafundisho mazuri yanayobariki sana na kutuponya wengi.songa mbele tupo nyuma yako tunaendelea kujifunza na kukua kiufahamu.
Hakika Mungu azidikukuongoza kwa kila jambo hulifanyalo kwa sababu sisi wengine tupo kijijini lakini binafsi nakufwatiria kwa kulipa gharama,nertwok ya shida lakini nazidi kupambana kufwatilia mafunzo yako kwani ndiyo pekee yanayonipa ujasili kujiamini kuthubutu na uvumilivu.Asante sana kaka yetu kipenzi cha watanzania ubarikiwe sana....Hipo siku nitakuja kuwa mtu mkuu kwa sababu yako.
Destiny -Purpose ,plan and passion. what your good at,let it be your target ,To discover purpose you ought, a plan you can make it, But purpose is the first, Life is full of regret, Only purpose can solve it.......see you at the top .to watch you i can't resist MLipu poem utube. be blessed Sir Joel Nanauka
mfano mzuri sana ndugu, wa kiberiti na njiti ya kiberiti. somo la leo limenikumbusha mbali sana niko ktk msongo wa mawazo hiv ss nitakpataje kaka tuongee ana kwa ana kwa kunshauli zaidi. mimi Kaka Pascal wa Mwanza.
0763861597nifaidie kaka angu zaidi me nko musoma. natamn nifanya mladi wa sabuni za kipande kwa sehem hili nifanyeje. mtaji ni mdogo na malighafi ziko mbali
Mheshimiwa Nanauka mimi nimefatilia almost mafundisho yako yote lakini hadi sasa sijafanikiwa kugundua kusudi langu.. Naomba msaada kwa hilo. nifanye nni?
Mungu akubariki sn Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sn tena sn kutokana na mafundisho zako
kak mwendelezo wa somo hili nimeelewa kiduchu nashukuru sanaaa Mungu akubariki sana nauzidi kufanikiwa kwakila jambo jema ufanyalo
Mungu akuzidishie afya na uzima kwa mafundisho mazuri yanayobariki sana na kutuponya wengi.songa mbele tupo nyuma yako tunaendelea kujifunza na kukua kiufahamu.
Hakika Mungu azidikukuongoza kwa kila jambo hulifanyalo kwa sababu sisi wengine tupo kijijini lakini binafsi nakufwatiria kwa kulipa gharama,nertwok ya shida lakini nazidi kupambana kufwatilia mafunzo yako kwani ndiyo pekee yanayonipa ujasili kujiamini kuthubutu na uvumilivu.Asante sana kaka yetu kipenzi cha watanzania ubarikiwe sana....Hipo siku nitakuja kuwa mtu mkuu kwa sababu yako.
Ernest Mbwana hongera sana,bidii yako italeta matunda siku moja
Nimekusoma , nimekuelewa , nitafanyia kazi!
Mr Joel mm nakuelewa vizur sana ,naamin soon nitakuja humuhum kukushuhudia matokeo ya mawazo yako kwangu.
Destiny -Purpose ,plan and passion. what your good at,let it be your target ,To discover purpose you ought, a plan you can make it, But purpose is the first, Life is full of regret, Only purpose can solve it.......see you at the top .to watch you i can't resist MLipu poem utube. be blessed Sir Joel Nanauka
AMANI SADIKI MLIPU coment yako inamanufaa kwa jamii hvo bas popote pale ukihtaj kucoment tumia kiswahili. tuwe wazalendo
Ubarikiwe Sana mwl
mfano mzuri sana ndugu, wa kiberiti na njiti ya kiberiti. somo la leo limenikumbusha mbali sana niko ktk msongo wa mawazo hiv ss nitakpataje kaka tuongee ana kwa ana kwa kunshauli zaidi. mimi Kaka Pascal wa Mwanza.
Nilikuwa sikujui, ndo leo nimekusikia Bro Joel upo vizuri Mungu akubariki, yaani unaeleweka ile mbaya. Nitaanza kufuatilia crips zako naona kuna kitu.
ur most bright bro, am learning much from you, I believ one I will be more
safi sana @super coach
Jamani Mungu tu ana jua unatuokoa wengi Mungu apewe sifa
Nice
Ahsante sana Kaka Joel.
Nimekusikiliza, nikarudia, nikarudia tena, Nimekuelewa vzr.
Big up xana brother uko vizuri nitajitahidi kufuata maelekeso yako
Thanks brother Joel for all ur teachings then have take me in the another next high level
See you at the top hakuna mtu ambaye siyo mahiri i like it
asante kwa somo
ubarikiwe..lakini kwenye maneno ya kiingereza jitahidi kukumbuka na tafsiri ili kunufaisha nyanja zote.Asante
Asantee
Your the best bro tokea nianze kufuatilia crips zako napata kitu sana
Thobias Majaliwa thanks sana
Barikiwa sana bro joel
Triple P in life (3P)
PURPOSE ;PLAN ; PASSION
But its difficult to identify ur purpose .only 2% or 3% knows their purpose .
" see me at the top "
NICE
See you at the top
surely brother,see u at the top
asante kaka nanauka kwa mongozo wako mungu ukupe kila la kheri
nisaidi niwe naongea nawe kidogo kidogo. nisaidie plz 0763861597
NOTED WITH THANKS
your teachings and talks brings connection
gerald shabani yaa somo liko vzuri sana brother
Sijaelewa hawa wanaokuwa wana dislike vitu muhimu kama hivi wanakuwa wana nini haswa ktk vichwa vyao.
Asante sana coach,ua da best!!😘😘😘😘
Mimi kaka Joel kila siku unanigusa na mafundisho yako ila naitaji kujifunza zaidi ili nifanikiwe
you ar the best Joel.
Tupo. Daima
God Bless you brother.
0763861597nifaidie kaka angu zaidi me nko musoma. natamn nifanya mladi wa sabuni za kipande kwa sehem hili nifanyeje. mtaji ni mdogo na malighafi ziko mbali
nakuelewa brother
Mwalimu naomba unisaidie mimi nina miaka 21 ila hadi leo sijui kusudi langu naomba unisaidie
How you can discover the purpose in you
somo zuri kaka
Kusudi lilitangulia kuzaliwa kwangu😋
🤝
Very nice kwa kipindi, bt sauti iko very low
swala kukosolewa jamani hii kwa mtanzania ni swala ngumu sn yaan babu hadi mjukuu mkosoe uone
Lynus Jacob 😂😂😂😂 kweli kabisa
kaka mungu akupeafyanjemauzidikutufumbuwakutokagezani kutupelekakwenyemwanga
nini IPI siri ya kuyafahamu haya yote
Good
Ndugu Joel nimegurahishwa na mafundisho haya Mungu akubariki
kaka mbona kwa indication zote hixo nsons kusud langu nikusaidia watu.
Mheshimiwa Nanauka mimi nimefatilia almost mafundisho yako yote lakini hadi sasa sijafanikiwa kugundua kusudi langu.. Naomba msaada kwa hilo. nifanye nni?
Kaka naomba uandae conference hata mkoani nipo tayari kuhudhuria
Sasa kaka .kamamtu anafanya kazi zakufagia kweny ufic akiwamahili aendere kufagi?
good
nice.
Mungu akupe kibali zaidi kaka joel, kweli umenifungua ufaham kabisaa mpaka hapa najikubali na nasonga mbele zaid.Endelea kutuelimisha zaidi
+962797584450 naitaji kujua kitabu ni hela ngapi za kenye