UHUSIANO WA KUSUDI LAKO NA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2020
  • Kuna uhusiano mkubwa sana katika safari ya kufahamu kusudi la maisha yako na kumfahamu Mwenyezi Mungu. Ukiwa haufahamu hili hautaona uzito wake lakini siku ukielewa utajua fika kuwa kila mmoja wetu anatakiwa kujipatia nafasi ya kumjua yule aliyetuumba na kama hilo likifanyika basi huenda kukawa kuna wepesi katika kuitambua njia ya mafanikio katika maisha haya.
    Fuatilia vizuri somo hili mpaka mwisho ambapo pia nimeamua kutenga muda na kuanza kukipitia kitabu ambacho kwa sehemu kubwa kiliweza kunibadili sana mtazamo wa maisha na kunifungulia mengi katika ufahamu lakini kubwa zaidi ni kusogea karibu zaidi na Mwenyezi Mungu kitu ambacho ni kinyume kabisa na nilivyokuwa mwanzoni.
    Kujiunga na group la kusoma kitabu hicho mwanzo mpaka mwisho tuma ujumbe wa WatsApp kwenda namba : 0759 191 076
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA | MATANGAZO | USHAURI | VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    #Purpose #Driven #Life

ความคิดเห็น • 50

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante keep hili somo ubarikiwe

  • @petersimukoko611
    @petersimukoko611 3 ปีที่แล้ว +1

    Good idea naishi zambia lakini kilasiku nakufatilia mafundisho yk nizahabu thank you very much continue

  • @barakamwaki253
    @barakamwaki253 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka kwa elimu unayotupatia Mungu akubariki.

  • @ZTsix
    @ZTsix 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kaka Ezden Jumanne more inspiration kazi zur saana more life Bro 👍

  • @zuwainaalesmaeili7553
    @zuwainaalesmaeili7553 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Ezden nimejifundisha mengi katika video zako Mwenyezi Mungu akudumishe katika afya njema wewe and your family

  • @rosemaryallan345
    @rosemaryallan345 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante xna Mungu akuinue zaidi uendelee kutufungua macho

  • @patkentz
    @patkentz 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ume badilisha sehem kubwa ya maisha yangu god bles you my brother

  • @josephrambau6207
    @josephrambau6207 3 ปีที่แล้ว

    Am proud of you Broo..big up

  • @akramkhatibu2583
    @akramkhatibu2583 3 ปีที่แล้ว +1

    Woooow!! Nimekuelewa sana brother cjawah kucomment hata cku moja na nakufatilia sana na umesaidia kubadili system yangu ya maisha kwa asilimia kubwa sana ila leo umeongea kitu kikubwa na kimenigusa sana sababu ndio life style yangu kwa kila nifanyacho namwomba M/mungu aniongoze sababu yeye ndo anaejua nipo hapa dunian kwasababu gani na ni kwann niko hai mpk leo hii. Ubarikiwe kwa somo bro never give up on what your believe na M/mungu atakuongoza na kukusimamia pia.

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kaka naelimika zaidi

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 3 ปีที่แล้ว +3

    Shida sisi vijana tunapenda maisha mkato mafanikio muda mfupi ndio kosa

  • @onesimosylivesterbakinika2126
    @onesimosylivesterbakinika2126 3 ปีที่แล้ว +3

    Idea nzur sana kaka utatusaidia wengi kukua kimaarifa na Kielimu pia . Be blessed 🙏🙏

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 ปีที่แล้ว

    Edzen, somo hili limekuja kwa majira Kwa upande wangu. Yaani nahitaji sana kulijua kusudi ili niishi maisha halisi, yaani maisha ya KUSUDI/PURPOSE.Nashukurusu sana kwa upendo wako kwetu. Niko tayari kujiunga na group hilo naamini nitasonga mbele Kwa mafanikio zaidi.

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka

  • @organizerali6824
    @organizerali6824 3 ปีที่แล้ว

    Congraculations from kenya

  • @ENOCKMABULA13
    @ENOCKMABULA13 ปีที่แล้ว +1

    I haven't regret to see this video, thanks for ur bottle example 🙏🤗🤞👌🤏💪

  • @gaudensiamponela6599
    @gaudensiamponela6599 3 ปีที่แล้ว

    Nice brother .Always the success paths is the direction of my life

  • @chajombatv110
    @chajombatv110 3 ปีที่แล้ว

    asante kwa elimu nzuri my br.

  • @brysonaidan7956
    @brysonaidan7956 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU KWANZA ,,UMEONGEA KITU MUHIMU SANA BROTHER ,,

  • @jafarilupimo4537
    @jafarilupimo4537 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Kwa ujumbe muzur