JINSI YA KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2020
- Tuungane na muhamasishaji Victor Mwambene akitufafanulia kwa undani unawezaje kujua au kutambua kusudi la maisha yako.
.
Usiache ku SUBSCRIBE, KU-COMMENT, KU-LIKE na KU-SHARE kwa wengine.
.
TUFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / successpathnetwork
.
For Business please send an email to:
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#VictorMwambene #LifePurpose #EachOneTeachOne
1:00
Nice brother
Success path each one teach one very good slogan,tuko pamoja sana kwa slim mnayoitoa munguaendelee kuwabariki in you're combination kaka ezden,plus victor hakika maishayangu sasaivi yamebadilikasaana kwasababu yamafunzo .liberatus sylvanus Mwanza.
Nashukuru sana kwa somo hili
Broo punguza mziki hebu jaribu kupitia video za edzen jumanne ziko poa Sana.
Aisee kaka uko njema sana nimeanza kukufuatilia hivi karibuni lakini nimegundua una vitu vya maana sana vya kutujenga
Yes sir
Nimejifunza kitu hapa nami najifunza kitu kwa Nabii Eliya
Umeyachukua kwenye bible kama yalivyo, walokole wote gonga like hapa
Brother victor mwambene naomba namba yako ya simu...
Hongera sana nimekuelewa sanaaa Ubarikiwe sana
ahsante Sana kwa somo
Asante sana kwa somo zuli lkn musc umezd sana tunaoskliza na hedfone maskio ynaziba
I like it
Asante ,barikiwa kaka🙏
Thanks brother nimetunza hizi nondo katika diary
all is right brother, but life purpose should applied practically
Kila kitu kinatokea kwa sababu hivyo matokeo tunayoyaona yanasababu
Izo ngoma zina uzimasikiyoni
Kaka m nimjasiriamal ninafanya biashar ya kuuza supu nampataje menta?