Naomba toba na rehema mungu naomba unisamehe pale ambapo nilitamka kuachana na mchumba wangu nina omba unisamehe ninaomba unirehemu inawezekana maneno niliyotamka ninaomba baba unisamehe ktk jina la yesu
Nimepokea kwa imani yangu naamini leo hii mume wangu anarejea nyumbani maana neno la mungu linasema lolote mliombalo amanini mmekwisha kupokea barikiwa sana baba
Ninaamini kuna huyu Mungu ayasikiaye maombi yangu ninaamin amerudi kwenye mstari sisemi atarudi yaani amesharudi kupitia haya maombi niliocha usingizi nikayafuatilia Mungu si kiziwi na asiyasikie naamini amesharudi na kufunguliwa alipofungwa kwanzia 2023 mwezi wa 3 mpka sasa hakuna amani hata tukiongea maneno kumi saba ni yaugomvi Mungu arudishe amani yetu E YESU WANGU TUSAIDIE
jambo ya kwanza nataka kuambia mungu Asante nimeona mkono wako, Mume wangu alipotelea kwa wanawake miaka minne tangu ningia kwa hii maombi hayo Mume wangu alirundi Asante mtumishi wa mungu
Najiunganisha na ushuhuda huu kwa jina la Yesu 🙌🏽 Mungu akanitendee na mimi sawa sawa na huu ushuhuda “Amina” # 02.05.2024 I’ll comeback to testify this in Jesus name 🙏🏾
Ubarikiwe mtumishi wa bwana mungu akutumie Kwa viwango vya juu sana kuponya doa shetani anabambana doa akikamata doa ibada haipo ibada njema inaanzia nyumbani
Barikiwa sana mchungaji maombi yako yameufanya moyo wangu kuwa na amani tena na nina imani mahusiano yetu yatasimama tena kwasababu Mungu anasababu juu ya hili😭🙏🏽
Namfarakanisha mume wangu Kila aina ya mahusiano zidi yangu nafunga hayo malango na milango ya uharibifu ktk jina la YESU KRISTO Aliye hai na Kwa damu ya YESU
Amen mwanangu, YESU anakupenda na katika yote ataendelea kukushindia. Amani ya YESU iendelee kuujaza moyo wako na damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia siku zote. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Ninaomba mungu amrejeshe vicent wangu kwangu kaniondoa kwake ghafla na kunipangia chumba nanhaji kumuona mtt ingawa anatoa matumizi pastor naomba namba zako tafadhali
Mume wangu dickson swila waachane na huyo kahaba aliemteka natuma moto katikati yao wasalambatishwe na akumbuke kurudi nyumban nanyamazisha na maneno ya ndugu zake kwa damu ya yesu kristo
Mume wangu saimon bernard waachane na huyo kahaba kuanzia sasa natumia moto wa roho mtakatifu wasambaratishe sasa kwa kina la yesu kristo amina asante sana mtumishi kwa maombi haya naamini mume wangu amefunguliwa
Mtumishi wa Mungu,hii ni siku yangu ya pili tangu nikupate,na huwezijua namna unavyonisaidia.Mungu Aliyekupa hii huduma akubariki mno.Ninamshukuru Mungu sana.Asante.
Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu nami najua ushindi upo kwa ajili yako. Nakuombea YESU akuonekanie na kukupa haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Pole mwanangu kwa yote. YESU anaweza yote na atakushindia. Nakushauri usikate tamaa. Endelea kuomba na Mungu atafanya kitu kwa ajili yako na utashinda hakika
Lord deliver your children because you are for us the God of deliverance it is you who can do everything ooh my Jesus My All Amen !!! Thank you So Much my Dada be blessed Forever ♾️ ❤
BWANA YESU asifiwe. Pole kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Usiogope, upo ushindi kwa ajili yako. Nakutia moyo, endelea na haya maombi na kuna kitu Mungu atafanya kwa ajili yako. Ubarikiwe sana na YESU aiponye ndoa yako
Niokoe mtumishi wng ndoa yangu iko mahakamanini mwezi wa 3 sasa mume wngu hataki tusuruhishwe anataka tu anipe taraka eee mungu naomba unisaidie maana mimi sitaki taraka wala sitaki mali zake namtaka mume wngu tu eee Yesu naomba unisaidie ninarudi tena mahakani trh 21 Mungu kupitia maombi yako haya yakavunje ule mpango wa taraka ushindwe kwa jina la Yesu 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏😭😭
Mume wangu ako USA na amekua akilipa nyumba pekeyake nikimuitisha pesa ingine ata elfu moja anasema ni mingi ,nifanyaje na kuna wengine wananitaka huku inje
Nakulejesha Mume wangu kuanzia leo kwa jina la Yesu , nafungua vifungo vyote Amina
Asante sana mutumishi wa mungu Kwa maombi
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Asante mtumishi wa Mungu umenisaidia na shukuru kwa wewe kujitolea kutumika na Mungu kwa ajili ya ndoa.
Amen pastor 🙏 🙌
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu ni mwema kwa kutupa uzima
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Imekuwa kwa jina la yesu,barikiwa kamanda wa bwana
mungu ni mwema kwa kutupa uzima😍🤗
Amen, ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Naamin mume wangu amesha kombolewa kwa damu ya yesu balikiwa sana mtumishi
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Ameni ninaimani imekua kwa jina kuu la yesu amen
Amen nasukuru mtumishi wa mungu kwa maombi najuwa mungu atatenda atatusameahe mimi na mume wangu kwa kutamuka juu ya kuajana
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake
Kwa Damu ya yesu nipate ushindi❤🙏🙏
Amen, YESU akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi amen
Naomba toba na rehema mungu naomba unisamehe pale ambapo nilitamka kuachana na mchumba wangu nina omba unisamehe ninaomba unirehemu inawezekana maneno niliyotamka ninaomba baba unisamehe ktk jina la yesu
Mungu akupiganie na akupe ushindi mkuu. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako
Nimepokea kwa imani yangu naamini leo hii mume wangu anarejea nyumbani maana neno la mungu linasema lolote mliombalo amanini mmekwisha kupokea barikiwa sana baba
THANK YOU JESUS, NIMEPOKEA, IMEKUWA. IN JESUS NAME.
Naikomboa kwa damu ya yesu nasfi ya mume wangu ilikowekwa naikomboa kwa damu ya yesu
Amen YESU akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake
Ameen mtumishi mungu akubariki kwa maombi mazuri hakika mungu ataonekana,:::
Ameen namfalakanisha mume wang na wanawake wote wa njee arudi kwangu kwa jina la yesu
Mungu akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu
Ninaamini kuna huyu Mungu ayasikiaye maombi yangu ninaamin amerudi kwenye mstari sisemi atarudi yaani amesharudi kupitia haya maombi niliocha usingizi nikayafuatilia Mungu si kiziwi na asiyasikie naamini amesharudi na kufunguliwa alipofungwa kwanzia 2023 mwezi wa 3 mpka sasa hakuna amani hata tukiongea maneno kumi saba ni yaugomvi Mungu arudishe amani yetu E YESU WANGU TUSAIDIE
Amen nashukuru mtumishi wa Mungu Kwa maombi yako najua Mungu ni mwaminifu atajibu ubarikiwe sana
Asante yesu kwa rehema na toba kwaniaba ya mume
jambo ya kwanza nataka kuambia mungu Asante nimeona mkono wako, Mume wangu alipotelea kwa wanawake miaka minne tangu ningia kwa hii maombi hayo Mume wangu alirundi Asante mtumishi wa mungu
Najiunganisha na ushuhuda huu kwa jina la Yesu 🙌🏽 Mungu akanitendee na mimi sawa sawa na huu ushuhuda “Amina” # 02.05.2024 I’ll comeback to testify this in Jesus name 🙏🏾
Amen ndoa yangu ipone leo, mume wangu Kelvin afunguliwe leo kwa jina la Yesu
Amen mwanangu YESU aiponye ndoa yako na kuwapa amani na upendo. Ubarikiwe sana
@@IsaacJavan Amen Amen Amen
@@ashamtamike3569 Amen hallelujah
Amen AMEN 🙏 asanti yesu Kwa kuwa umetenda 😊
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Namfarakanisha mume wangu na marafiki wote wabaya wanaompeleka kwenye uzinzi na ulevi namfarakanisha na Baraka Yesaya Mwaipopo
Mungu akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Asante mtumishi naamini ndoa yangu itapona na mume wangu Emanuel atafunguka kwa damu ya yesu
Meeeen
Ameen ubarikiwe mtumishi naamini mume wangu amefunguliwa ktk jina la yesu
Ubarikiwe sana
Ahsante SANA kwa haya maombi.
Damu ya Yesu lete amani upendo furaha mafanikio ushindi Amen
Amen mwanangu, YESU akuonekanie na kukushindia na kuiponya ndoa yako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana
Amen
Damu ya yesu iingilie Kati ya hiyo mwanamke aliyechukua mwanaume wangu iwatenganishe katika jina is yesu kristo Amen
Mungu akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana
Namuanchisha mume wangu na huyo
waithira ambaye alizaa na yeye na kuniacha na damu ya yesu kristo Amen Amen and Amen
YESU akupe ushindi na amani kwenye ndoa yako.
Nafuruga huko kahaba ako na yeye ,(Ruth )nakuteganisha na mzee wangu
Ruth nakuteganisha na mzee wangu katika jina LA yesu kristo
Ubarikiwe mtumishi wa bwana mungu akutumie Kwa viwango vya juu sana kuponya doa shetani anabambana doa akikamata doa ibada haipo ibada njema inaanzia nyumbani
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Namachanisha mume wangu Ibrahim na huyo mwanamke ako nae kwa jina la yesu 🙏🙏🙏
Amen YESU akushindie kwa ushindi mkuu
Damu ya yesu iniuganisha na mzee wangu ,,Joseph makao mwelu
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Barikiwa sana mchungaji maombi yako yameufanya moyo wangu kuwa na amani tena na nina imani mahusiano yetu yatasimama tena kwasababu Mungu anasababu juu ya hili😭🙏🏽
Amen Amen Mungu akupe ushindi mkuu
Asante Mtumishi ninaimani itatendeka Amen Amen🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Asate mungu wangu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Damu ya Yesu ikalete mafarakano katkat ya Mume Wangu na yule kahaba🙏🙏
mume wangu Joseph makao mwelu ,,kuja nyumbani ,,nipigie simu kupitia kwa hii maombi
Mungu akupe haja ya moyo wako na kukushindia
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu
Nafuta kwa Damu ya Yesu kila maneno mabaya yaliyonenwa kwa jina la Yesu
Amen mwanangu YESU akushindie kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana
Namuachanisha mume wangu nauyo mwanamke. Alie nae Kwa jina la yesu
Amen
Namfarakanisha mume wangu Kila aina ya mahusiano zidi yangu nafunga hayo malango na milango ya uharibifu ktk jina la YESU KRISTO Aliye hai na Kwa damu ya YESU
Mungu akupiganie na akupe ushindi mkuu
Mungu akutetee na kukupa ushindi
Amen Amen
Mchungaji Mungu anakutumia sana kila nikiomba nawewe huwa napatwa amani baada ya uzito mzito mkubwa moyoni mwangu
Amen mwanangu, YESU anakupenda na katika yote ataendelea kukushindia. Amani ya YESU iendelee kuujaza moyo wako na damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia siku zote. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Barikiwa mtumishi najisikia kutoka Nzega
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Aksanti sana mutumishi wa mungu.
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe sana. Mungu akubariki na kukushindia katika yote
Bwana mungu naomba unisafishe dhambi zangu .unisamehe, mungu unirehemu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Namfungua mume wangu kutoka kwenye kifungo cha mitala kwa damu ya yesu kristo aliye hai🤲
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu
Mungu naomba unishike mikono yangu use nami usiniache baba unirehemu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen Amen imekuwa kama nilivyoomba. Amen.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amina❤
Ninaomba mungu amrejeshe vicent wangu kwangu kaniondoa kwake ghafla na kunipangia chumba nanhaji kumuona mtt ingawa anatoa matumizi pastor naomba namba zako tafadhali
Mungu akubariki na akupe ushindi katika yote
Ombee mme wangu amepotelee kwa ulevi na usharati
Amen Mungu akutendee sawasawa na uaminifu wake, na ndoa yako ipone kwa jina la YESU
Amen ndoa yangu ipone mume wangu Kelvin obed afunguliwe Leo na arudi
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi Asante kwa maombi haya.nimepata amani
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Amina
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu nafuta matamko yote ya kuachana kutoka kwangu au kwake ye ninaufuta na hayatafanya Kaz Tena furaha na amani itarejea
Mungu naomba usinipite kupitia maombi ya mtumishi wako Baba
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Naomba mungu Wangu tobal na rehema unusamehe juu matamko ya kinywa changu unissmehe natubu bsba Namba unisamehe
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen naamini imeshakua
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Mume wangu dickson swila waachane na huyo kahaba aliemteka natuma moto katikati yao wasalambatishwe na akumbuke kurudi nyumban nanyamazisha na maneno ya ndugu zake kwa damu ya yesu kristo
Mungu akubariki na akutane na haja ya moyo wako. Akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu
Asantee
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mume wangu saimon bernard waachane na huyo kahaba kuanzia sasa natumia moto wa roho mtakatifu wasambaratishe sasa kwa kina la yesu kristo amina asante sana mtumishi kwa maombi haya naamini mume wangu amefunguliwa
Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukufanyia ushindi. Ubarikiwe
Asante sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki mwanangu, YESU akupe ushindi mkuu kwenye ndoa yako kwa utukufu wa jina lake takatifu
May bless u,,iii maombi inizaidia
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele
Namuachanisha mume wangu na yule mwanamke aliye zaa nae kwa jina la Yesu Kristo Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@@IsaacJavan p
@@IsaacJavan p
@@IsaacJavan
P
P
Powerful prayer oh God sikia maombi yangu
Amen my daughter, may God answer your prayers. Ubarikiwe na BWANA YESU
asante sana Baba MUNGU akubariki sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi wa Mungu,hii ni siku yangu ya pili tangu nikupate,na huwezijua namna unavyonisaidia.Mungu Aliyekupa hii huduma akubariki mno.Ninamshukuru Mungu sana.Asante.
Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu nami najua ushindi upo kwa ajili yako. Nakuombea YESU akuonekanie na kukupa haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Namuachanisha makene biseko na Salome isaya Ibrahim na mwatumu said mohamed
Asante sana ubarikiwe kwa kunijali na kunipa huduma hii
@@IsaacJavanpp
Ameni mtumishi naona nguvu za mungu zikitendeka kwa kila kitu
Naomba musaad bb mume ameniasha na mtoto amenizalisha hataki kuona mtoto naomba arudi
Pole mwanangu kwa yote. YESU anaweza yote na atakushindia. Nakushauri usikate tamaa. Endelea kuomba na Mungu atafanya kitu kwa ajili yako na utashinda hakika
Amen barikiwa Sana mtumishi wa mungu kwa neno la mungu nimejifunza kitu kikubwa Sana mungu akubariki
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU.
@@IsaacJavan nashukuru kwa maombi yako nimekuwa mwenye furaha
Amen amen amen amen amen amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mimi pia nimeomba na wewe jana na leo yaani nina maumivu makali sana Mtumishi
Amen YESU akutetee na kukushindia daima
Amen barikiwa sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi yaan mm nashindwa hata nifanyaje maana kila siku heri ya jana
Ameen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Na mwachanisha na mwanamke aliye nae akamfunga hasitambue upendo wangu na kipi anachokipenda kwa jina ya yesu kristo
YESU akupe ushindi kwenye ndoa yako. Ubarikiwe sana
Amen nmebarikiwa🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Hakika nimemuona Bwana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
🙌🙌🙌🙌
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Damu ya Yesu ilete aman ktk ndoa yangu
Naamini kupitia maombi haya mume wangu atarudi kwa kina layesu
Amen YESU akupe haja ya moyo wako
Niombee maneno ya laana yaliotankwa na mume wangu
Mtumishi kila napo anza kuomba maombi haya lazima mme wangu anarudi
Mungu akubariki sana na azidi kukuonekania katika mahitaji yako
Amen naomba uendelee kuniombea bado moyo wake umeinama anataka tuachane coz sijabarikiwa mtoto
Asante mchungaji,mungu akubariki zaidi
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Kila kifungo cha maneno kilichomfunga mume wangu nakifungua kwa Damu Ya YESU
Amen 🙏 be blessed Man of God
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen Damu ya Yesu imfungue mme wangu kwa Jina la Yesu.
Amen 🙏🙏🙌🙌🤲🤲🤲
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen Ameen baba barkiwa sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mume wangu amemrudia mwanamke alie ni saliti nae saii hanijali tena wala kuni call,,hana haja ya kuongea na mm tena,, ananitusi kunidarau,,mm imefikia mahali ananitamkia nife 😭😭😭,, bishop sitaki kumpoteza mume wangu,, huyo mwanamke anamtumia madarau
Pole sana kwa yote unayopitia kwenye maisha yako. Mungu ni mwaminifu atakufanyia njia na ushindi.
😢😢😢pole sana kaa karibu na mungu omba rehema na toba kwaajil yake.
Ndoa yako Mungu aikumbuke kwa Jina la Yesu.Amen
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Namachanisha yule mwanamke amuache Mume Wangu haraka katika jina LA yesu
Damu ya yesu ipite kwa wifi yangu ambaye anavunja ndoa yangu amabye ahitaji kaka yake awe na familia .
Lord deliver your children because you are for us the God of deliverance it is you who can do everything ooh my Jesus My All Amen !!! Thank you So Much my Dada be blessed Forever ♾️ ❤
Amen Amen my daughter. To JESUS be the praise and honor. God bless you with everlasting blessings
P
P
Passy niombee mme wangu amezama kwa pombe na usharati niombee
Naamin ndoa yangu inasimama Tena
Amen mwanangu, YESU akushindie kwa utukufu wa jina lake.
Amen
Nikianza kuomba napata usingizo mzito na naona vitu vinabadilika na kuwa nyoka
Pole mwanangu, fanya maombi ya utakaso kwa kuomba toba na rehema ya wewe binafsi. Halafu ndipo ufanye maombi haya
Amen, Ubarikiwe na Bwana Maombi yamenibariki 🙏
Hugo mwanamke ametumia dawa naiharibu ktika jina LA yesu toka tapika Mume Wangu chomoka toka uchawi uliolishwa katka jina yesu Leo asimrudie tens
Mtumish tuweke namba endlea kutuhudumia ndoa zetu zipone
🙏🙏🙏
God intervene😭😭
May God make a way for you my daughter. Be blessed abundantly
@@IsaacJavan amen pastor I trust in God
Namuachanisha mume na hao wanawake
Amen YESU akushindie kwa ushindi mkuu. Damu ya YESU inene mema kwa ajili ya ndoa yako
Amen mtumishi
Mtumishi no ya sadaka haipatikani nafanyaje toka juzi
Pole kwa kutukosa hewani. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Dam ya yesu ni ungamishe ma mmewangu fb
Mtumishi nitumie namba Yako nije ukou uliko Nina shida na mumewangu
BWANA YESU asifiwe. Pole kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Usiogope, upo ushindi kwa ajili yako. Nakutia moyo, endelea na haya maombi na kuna kitu Mungu atafanya kwa ajili yako. Ubarikiwe sana na YESU aiponye ndoa yako
Niokoe mtumishi wng ndoa yangu iko mahakamanini mwezi wa 3 sasa mume wngu hataki tusuruhishwe anataka tu anipe taraka eee mungu naomba unisaidie maana mimi sitaki taraka wala sitaki mali zake namtaka mume wngu tu eee Yesu naomba unisaidie ninarudi tena mahakani trh 21 Mungu kupitia maombi yako haya yakavunje ule mpango wa taraka ushindwe kwa jina la Yesu 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏😭😭
Mungu akutetee ndugu na akupatanishe na waamuzi
Usiogope mwanangu. YESU anaweza yote. Nakuombea
Mungu akubariki sana
Mungu wetu nimwaminifu utashinda yote
Mume wangu ako USA na amekua akilipa nyumba pekeyake nikimuitisha pesa ingine ata elfu moja anasema ni mingi ,nifanyaje na kuna wengine wananitaka huku inje