ZUCHU Amwaga MACHOZI baada ya KUMSHIKA MKONO RAIS MAGUFULI/ Atimiza NDOTO YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2020
- Kila mtu ana ndoto zake ambazo anatamani kuzitimiza, ila ndoto ya @officialzuchu ni moja tu "KUMSHIKA MKONO MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI". Leo hii kupitia mualiko wa Wajumbe wa Mkutono Mkuu Taifa hapa Ikulu Chamwino Dodoma ametimiza ndoto yake baada ya kuomba ridhaa hadharani
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#ZUCHU #CCM #RAISMAGUFULI - บันเทิง
Tulioo kujaaa apaaa kwa huzunii kubwaa kwa kilio kisicho na mfanoo tujuane hapaaa R.I.P magufulii wetuu tulikupendaa sanaa babaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kiukweli iyi ngoma ya zuchu ni no1 kabisaa kuanzia mashahiri hadi Beats yani ragatoni moja matata sana
Kiukweli hii ndo ngoma bora ya ccm 2020.zuchu fire
Sanaaaaa👌
Am a Ugandan but I can't stop crying bse of the love that Tanzanian pple had for their president i don't if this pain will ever heal,God it's you who gives and takes sway but how I wish you could have given him more years to make Tanzania shine more,RIP my Hero,a father to the needy,a transparent president whom ever one admired,you will never be forgotten rip baba
Zuchu unasauti nzuri sana ubarikiwe ❤️❤️❤️❤️❤️❤️👏
Hadi nalia yaan kwani jinsi nnavyompenda zuuchu nasemaajee hiyo nyimbo yke ndio nyimbo namba 1 ya kampeni nchi nziima 🔥🔥🔥🔥💪🏼💪🏼💪🏼😁😁😁wcb hoyeeeeeee magu hoyeee siimba hoyeeeeee mungu mpitishe tena rais wangu kpnz aweze kupita kwa kishindo aaamen
mwanaume una unaonesha hisia zako
Pamojaa machoz ya upendoo
Zuchu mama natamani sanaa wewe ingewezekana uwe mke wanguu nakupenda sanaaa uko vizuri 🇹🇿🇹🇿👏😘🙏🤙👌✌ bure Tanzania ya Leo
Mashallah zuchu nammi pia chozi limenitoka la furaha ❤️
Yote ni furahaa🥰
Tumempotezaaa babaaaa R.I.P MAGUFULII WETUU 😭😭😭😭😭😭😭
Hongera dadangu zuchu...amina from kenya...i like it
🤓🤓🤓
You are a star zuchu wetu
Zuchu 💖💖💖💖💖💖💖🔥🔥🔥
🥰zuchu oyeeee🙌
Oyeeeee🥳
Nakumbuka arikuwa akicheza iyo nyimbo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Ivi wara hatingiziki 😥😥😥💔
The love btw a mother and a daughter 😙nakubari zuchu
Yani uyo dada ako juu Sana na ata sisi wa kenya tuna mpenda Sana
Zuchu loves ❤❤❤❤❤❤❤
Kiukweli zuchu uliweza sana ❤️ 🥰 💕 nimerudia kuona hii wimbo leo date 18/3/2024 ❤❤❤❤
Hongera sana zuchu kwan wimbo ni mzur sana
Hii ndio nyimbo nmbar moja kwngu mm ya ccm mwka huu amtishaa xnaa zuchu
Mdogo wangu unaimba vizur sana
Zuchu uko juuu habbty🔥👏👏👏
Zuchu oyeeeeeeeee mambo nimotooooooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sushu tikka
Magufuli alikuwa zawadi kutoka kwa mungu,aliipenda ngoma ya zuchu,na Elizabeth maliganya walimfurahisha Sana,na Hamonaiz.yaani alikuwa anawafurahia mno
Zuchu 🔥🔥
Mama kumsapoti mwanae Ni Jambo la heri Sana pongez kw khadij kopa
Hakika
Feel pain kweny moy mam na mtoto jmn
Nzuri sana❤
Zuchu is the next big in east Africa
Nyimbo bora ya ccm zuchu we noma sana
danwlod
Hongela zuchu
🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥 zuchuu
Kwa hapa Hamonaiz ajipange upya, Wasanii Wote kwa pamoja Tuwatakie kila La heri, Pia Tuwaombee, Aamina.
Nampendaa sana hyuu dadaa jmn uuuwiiii
Gooooooood sanaa
Sauti kama mama yake anaimba sana uyu mtoto
👌
umeonaeeh
@@qatarqqt8013 k
Nakupenda Sana zuchu
Muwe mnatoa miwani tuwaone vizuri km tunavyosikiliza vizuri
Heko Mrembo Zuchu Hoyeee WCB Hoyee Magufuli Hoyeee CCM Hoyee!!!!! Keep it Daughter.. Wonderful Weldone WCB And Management Under Diamond Simba Heko!!!!!!!!
DJ kaonekana katumwa kila mara anaambiwa asuburi ila anazingua kweli
Ivi ni dayamond?au daimond?🤣🤣🤣🤣zuchu wanguuuuuu
Diamond anamchango kwenye sanaa ya bongo
Zuchu❤❤
Please Tanzanian thank you for showing Magufuli love but don't make big mistake to change constitution🙏🙏🙏
Wana mbrand tu zungu ngoma sio kali kivile kama ya harmonize
Huyo harmonize hiyo nyimbo isinge kuwa WCB ingekuwa kali kuanzia audio mpaka video imetoka usafini
Hiyo nyimbo nikali yani acha tu
@@deoodp1893 kbs
Kujua vitu vikali mpaka uwe na akili pia, si kila mtu anajua ngoma kali. Pole sana!
Wivu huo
yooooo hata mimi nimetoka mashozi.uyu rahisi Mungu amulide anasitaili kura nyigi.Mangufuli hatamimi nakutakiya mafanyikiyo megi
Vizuri San zuchu
Daah nakukubali mnoo
Imebadilika kweli Kwa njaa na dhiki ya maisha
😮
Hadi raha adija kopa akimsaidia mwanawe
sana tu
Nzuri sana❤
Zuchu we love you rip magufuli he was a dad to all
Rip magu😭😭😭😭
Zuchu kama zuchu anajua saan mond azid kumpa kampan na ingependeza mond na zuch huko mbele ziendelei mtamalizia wenyew
Mnawazaga ngono tu
Ngoma Kari kweli
Zuchu anaimba yani acha tu
Zuchu moto kweri
Hii nyimbo ni kampeni tosha tu.
Magu akifika anaiweka tu CD ikiisha anasepa, 😂😂😂
Diamond love you so much
😹😹😹
Kabisaaaa
Kabisaaa imeeleza kila kitu safiii
Kabisa yan
congratulation dada hapo umeuwa
Zuchu 😘
nice
Kiukweli umeimba Zuchu, mwaaaaa
I love u zuchuu
kwakweli moyo wangu una umaaaaa sannn kutu badilishaaa kazii sana
Hatarii
Kenya yetu sisi mambo mazuri kama haya twayaona kama NDOTO!
Poleni
Like mom like daughter
Wimbo wa kawaida sana ila promo tu ndo inambeba
@@adambakule7066 kawaida sana
Nace chana mawimbi domgo
Zuchu kanapenda kilia
Waooooooh
Pumzika salama Rais JPM.. Moyoni ungali Rais kusema hayati imenishinda
Anajuwa
DJ anakiherehere😂😂
atari
Furahaa yotee hiii imekujaa kuwa kilioo kikubwaa kiasi hichiii yaawaa 🤸😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
Yani mama ni mama tu
Inapendeza jinsi khaja anavuompa mwanawe motisha
Ata mm nimelia kwa kweli
JD Mshamba
Bonge la nyimbo dadeki
Ongera
Repose en paix magufuli
Mie pia chozi limenitoka
Rah Kweli ❤
daaah bongo kuna wadau wanafki
sawa zuchu
Rick media poor quarity video
Natamani sana niupate
Jaman sijui nimelia nini
Saivi utakua umejua
True walai
👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥👹🇹🇿😇🇮🇱💀🔥 KWA PESA ZA ZANZIBARI MUNATUIBIYA NA LANAZENU ZA SIYASA KUTUKANDAMIZA ZANZIBAR YETU NA
Ccm hai
Mmi mwenyewe nimekuerewa huu wimbo
Maashaa Allah
Muziki mupmwa wa ramconz
Woyooooooooooooooooh
Tanzania ni nchi ya watanzania siyo nchi ya ccm jamani ccm ni chama kina wanachama wake siyo watanzani wate wanaoipenda ccm mimi sipendi acheni njaa wasaka tonge pumbavuu
Zuchuuuu
Hd nimetingisha kichwa aisee
Sasa zuchu unalia kwa sababu magu kweli we mjinga, lia kwajili ya allah tubu tubu dada yangu kazi kwako
“🤩Haswa😍 👏🏾” 👇🏾
“Ndiyo inavyo takiwa namna hii 💪🏾”
“🤩 Haya ndiyo maendeleo ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ali sema kwamba”; 👇🏾
“Wa Tanzania 🇹🇿 wana yataka ndani ya CCM, na waki yakosa tu, basi wata yatafuta nje ya CCM, ambavyo ni vyama vingi vya siasa” 👇🏾
“Lakini sasa yana patikana ndani ya CCM! Kidumu chama cha mainduzi, CCM Oyeeeee 😲💪🏾”
“MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 😍🇹🇿🦚🌴🏝🌳🥀🌹❤️”
“MUNGU Ibariki Afrika 🌍, Amen 🙏🏾” l
Zuch
Haaaayhaaay
K
Goma la nguvu
danwlod
Bunyata magesa
Huyu Dem simsomagi
Zuchu upo vzr hongera sn