Tazama Rais Magufuli 'alivyomjaza fedha' Bibi Havintishi wakati akihutubia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 402

  • @MaryErnest-pm1qz
    @MaryErnest-pm1qz ปีที่แล้ว +5

    Tutakukumbuka daima aiseee

  • @MuffyDollars
    @MuffyDollars 6 ปีที่แล้ว +17

    All the way toka 254 mi namkubali sana sana sana sana rais wa tz....anafaaa tuzo kama zote africa hii na duniani kwa jumla..sijaona kiongozi kama huyu toka nazaliwa...best leadership ever

  • @salimabuuhudhayfa8166
    @salimabuuhudhayfa8166 2 ปีที่แล้ว +20

    MashaAllah from kenya this is the spirit of a president we need in the world

  • @ivanseny8385
    @ivanseny8385 3 ปีที่แล้ว +11

    Sijui kama kutawahi kuwa na rais kama huyu.mungu akulaze maali pema haki.poleni tena watanzania mara nyengine pleni kwa kumpoteza gwiji huyu.poleni.

  • @hassanabdurahman953
    @hassanabdurahman953 3 ปีที่แล้ว +23

    Oh my Allah, how much we need such a humane man in Somalia and all our continent Africa is the richest and poorest continent in the world😪
    Yaa Allaah, make his grave a garden of paradise, and make the current President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan the best successor.
    Your brother:
    We ❤ 🇹🇿❤ from Somalia ❤🇸🇴❤

    • @adeshg_m_a6537
      @adeshg_m_a6537 2 ปีที่แล้ว

      Thumma amin🤲

    • @samsonsamwel8750
      @samsonsamwel8750 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanadamu tuna mapungufu mengi lakin we we munguni mwema na mwenye rehema umrehemu marehemwetu rais john pombe makufuli tukate tens mbinguni amina

  • @maendaamos2690
    @maendaamos2690 3 ปีที่แล้ว +25

    You will remain in the African hearts you were a king of Tanzania's BT you took the heart of the rest of Africans presidents

  • @richardmungori7197
    @richardmungori7197 3 ปีที่แล้ว +46

    This is the best president ever found in the world,May the almighty lord keep him in eternal peace,amen.

  • @sadickponera2464
    @sadickponera2464 2 ปีที่แล้ว +38

    Hamna rais Kama magufuri mungu amlaze maar pema 😭😭😭😭😭 upendo wako upo mioyon mwetu kwel vzr havidumu

  • @mealemalika7565
    @mealemalika7565 5 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah yani ni raha sana kuwa na rais kma Magufuli

  • @suleimanabdi2573
    @suleimanabdi2573 2 ปีที่แล้ว +5

    Walahi what a wonderful president may Allah bless him.For he is a good leader.

  • @saraphinajoely7047
    @saraphinajoely7047 3 ปีที่แล้ว +4

    Yani ww legend nakuelewa sana pumzika kwa amani sana

  • @yaelijoseph8742
    @yaelijoseph8742 3 ปีที่แล้ว +44

    😭😭😭😭😭😭 Ee Mungu tusaidie Watazania tutalia Sana, jamani

    • @milkamugomo218
      @milkamugomo218 3 ปีที่แล้ว

      Tayari watazania wanalia sio soko kuchomeka kila kukicha mabanda ya Wafanya biashara wadogo dogo kubomolewa

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 ปีที่แล้ว +6

    Inauma Sana Ee Mungu tuhurumie utupe mwisho mwema 🙏

  • @riska4049
    @riska4049 2 ปีที่แล้ว +6

    This was the best version

  • @sariysariy6293
    @sariysariy6293 6 ปีที่แล้ว +6

    Wow so touching 👍 up mr president

  • @dennisbaya3807
    @dennisbaya3807 2 ปีที่แล้ว +4

    I'm crying manze magufuli one of the best na huyo mama nimeskia huruma Sana

  • @selemanatanasi5404
    @selemanatanasi5404 2 ปีที่แล้ว +5

    Kilichochema kweli akidumu tutakukumbuka sana mungu akupe umri mrefu UKo akhera

  • @Crabtree1844
    @Crabtree1844 2 ปีที่แล้ว +17

    Jembe kutoka Chato. Ewe mwenyezi Mungu ulitupatia dume kweli. Sijaona Afrika mzima. Aaah, shuja wetu! Asante Mungu, hapa tumeona Rais wa wanyonge.

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

      Na ht tokea HD Dunia. Imapinduke Samia ss ivi. Hy yote akangalia. A nakuona maguful mpuuz. Yy. Ndo mjanja na uyo bwna ake kikwete

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 3 ปีที่แล้ว +16

    😭😭😭😭😭😭😭Mungu akuweke Baba 😭😭😭😭😭😭Pahara pema peponi Amina

    • @khalfanifarisy8313
      @khalfanifarisy8313 2 ปีที่แล้ว

      Kafa kwenye imani yakumkiri Maria Mama wa Mungu. Hiyo kufuru kubwa! Wakristo wote motoni msitubu

  • @AdnanAli-cu4wy
    @AdnanAli-cu4wy 2 ปีที่แล้ว +24

    You’re one In million Rest In Peace mr president

  • @Patientngoi6863
    @Patientngoi6863 2 ปีที่แล้ว +13

    Entant que congolais, je n'ai jamais vu un président si merveilleux comme cet homme 😭😭😭j'avais beaucoup pleuré cet homme

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 2 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli alikuwa anakulazimish ucmpende kwa Mazuri na vitndo vyake lakini haya manyang'au ya sasa yasio na huruma yanatak tuyapende kwa kujisifia wao ni one like mwamba a.k.a jiwe r.i.p

  • @bahihira949
    @bahihira949 2 ปีที่แล้ว +3

    Ivi asaivi uyu raisi ambaye yupo anaenda kusikiliza kero na lawama zinazo wakabili wananchi aina km hii..!!😣😓

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu kwa ajili J.PM

  • @getrudamihayo5312
    @getrudamihayo5312 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sama

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 6 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana Rais wangu Mungu akulinde

  • @kasianngungo9769
    @kasianngungo9769 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitakukumbuka sana sana

  • @samsonjaoko4938
    @samsonjaoko4938 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nairehemu roho ya marehemu rais magufuli mahala pema.

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani jamani.

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera raisi kwakutetea wanyonge tuna kupenda sana lakini mungu kakupenda zaidi

  • @mohammedware4664
    @mohammedware4664 2 ปีที่แล้ว +2

    I swear am crying.
    Yaani hapa lengo lake sio kulipa ile faini yake. Ametaka kubadilisha maisha yake.

  • @official1onlinetv668
    @official1onlinetv668 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuweke pema baba yetu

  • @namanyagard9146
    @namanyagard9146 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mama akoaje?Mama atakaa na taswira maishani mwake

  • @denisjohanes1278
    @denisjohanes1278 3 ปีที่แล้ว +40

    Daddy u still live in our hearts and thoughts 😥

  • @kabintmpase4945
    @kabintmpase4945 4 ปีที่แล้ว +9

    Maguu maguu maguu maguu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JudeDex
    @JudeDex 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtamukumbuka raisi Magufuli,kama Lumumba apa Congo déc.

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah hii kweli tz bara warrah akuna tena😓😓😓😭😭😭😭

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 6 ปีที่แล้ว +8

    Respect u
    Mr president

  • @jacksonmeshack5102
    @jacksonmeshack5102 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mkuu wetu

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 2 ปีที่แล้ว +7

    This made me cry. Rest in eternal peace daddy. Till we meet again

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wazuri hawakawi duniani.
    Mungu Umkumbuke Mwanao Magufuli Pombe.

  • @gisorealphonse6306
    @gisorealphonse6306 2 ปีที่แล้ว +2

    He was good president

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 3 ปีที่แล้ว +11

    We miss u babaaa

  • @cassianusbarongo606
    @cassianusbarongo606 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah daima tutakukumbuka

  • @AthumanAthumanTz
    @AthumanAthumanTz 6 ปีที่แล้ว +8

    Mungu nimwema

  • @adijaaddy6357
    @adijaaddy6357 ปีที่แล้ว +1

    Poleni watanzaniya kweli mmekos mtu wa maaana

  • @Gee_Matick
    @Gee_Matick 6 ปีที่แล้ว +11

    Rais wetu nchi yetu.....

  • @BestidaJohnson
    @BestidaJohnson 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amlinde Rais. Wetu mpendwa mchapakazi

  • @MuhanedSusu
    @MuhanedSusu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good leadership

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 2 ปีที่แล้ว +7

    Forever you will be in our hearts daddy

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 6 ปีที่แล้ว +10

    Hv huyu Mkurugenzi ndo kusema hakuwa na hiyo elfu 50 au ndo alitaka kugomesha ? Asante mh Rais kwa upendo wa wanyonge Mungu akupe maisha marefu

    • @noahgody572
      @noahgody572 3 ปีที่แล้ว +1

      He is dead😢😢

  • @abdallahkawambwa2666
    @abdallahkawambwa2666 3 ปีที่แล้ว +3

    Tutakukumbuka sana

  • @JessicaRasigu-u8v
    @JessicaRasigu-u8v ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭pumzika kwa Amani Simba wa African inaiuma adi wa Leo Raisi wangu,japo walikuuwa moyoni mwa watanzania wanyonge utaishi daima JPM

  • @denisomondi8364
    @denisomondi8364 2 ปีที่แล้ว +1

    I like it so much

  • @safinaibrahim115
    @safinaibrahim115 2 ปีที่แล้ว

    Tulikupenda baba magufuli mungu kakupena zaindi pumzika kwaamani

  • @samwelilaizer661
    @samwelilaizer661 2 ปีที่แล้ว +5

    😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭😭😭😭 Hakika kila kuitwapo Leo nikiisikia sauti Hii natokwa na macho kipenzi wawanyonge hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima wananchi wanauawa ovyo Hakika ungekuwepo haya yasingetoke ngorongoro

  • @vincentnuwagaba989
    @vincentnuwagaba989 2 ปีที่แล้ว +1

    forever my president lala salama baba

  • @JamiraJafari
    @JamiraJafari 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana magu mungu akuweke mahari pema peponi 😢😢😢😢

  • @michelkinama8233
    @michelkinama8233 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akueke amahari pema peponi. Amen

  • @mouriceokello2245
    @mouriceokello2245 2 ปีที่แล้ว +1

    Lala salama rais

  • @michaelnjoroge3543
    @michaelnjoroge3543 2 ปีที่แล้ว +2

    Aki ya mungu tutawi pata kama huyu apa kenya tanzania hoiye

  • @boonylowasa5785
    @boonylowasa5785 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Rais JPM👍👍👍

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 2 ปีที่แล้ว +2

    Magu baba daaah😭😭 mungu tuludishie magu wetu mchukue .....dah

    • @salmaseif6284
      @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว

      Itabaki stori tu saivi umerudi uleule utawala wa majambazi tu

  • @benzunya
    @benzunya 10 หลายเดือนก่อน +1

    NALIA SANA 😭😭😭😭

  • @babajohn8308
    @babajohn8308 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila magufuli dah

  • @sakeenaanzi4431
    @sakeenaanzi4431 2 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri wake na roho ya huruma kwa wananchi wake umenitoa machozi, mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @jacksonplonguramoi8640
    @jacksonplonguramoi8640 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana rais, Kenya tohige hii

  • @abuanzal7355
    @abuanzal7355 2 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭 the president that will never be forgotten

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂Magu bn eti. Xichukue zote 😂😭😭😭kwann Ulienda mapema baba jmn

  • @allasheh7721
    @allasheh7721 2 ปีที่แล้ว +5

    The best president in Africa I wish Kenya had such a caring president

  • @fredyeartes1602
    @fredyeartes1602 2 ปีที่แล้ว +2

    Sempre amigo do seu povo...

  • @ahmedsaidi438
    @ahmedsaidi438 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah wapi kama ww baba mungu amrehem

  • @alexsmongo1106
    @alexsmongo1106 2 ปีที่แล้ว +2

    Aseeeeeeee huyu raisi mungu amlaze pema poponi alikuwa mkweli kwenye ukweli,ukimdanganya umejidanganya mwenyewe aseeeeeeee,hakuna raisi kama huyu tena nchi yeyote duniani

  • @pendokitamale5263
    @pendokitamale5263 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani magu me nakukulilia sana

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤😢😢tulikupenda sana magu

  • @michaelfabin7097
    @michaelfabin7097 2 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 R.I.P my father

  • @MaryErnest-pm1qz
    @MaryErnest-pm1qz ปีที่แล้ว +5

    Mungu akiamua kukutoa kwa staili yoyote utatoka hapo unafungua duka umaskini bai

    • @MuhanedSusu
      @MuhanedSusu 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤ good leadership

  • @EdsoniPetro
    @EdsoniPetro 27 วันที่ผ่านมา

    Daah tutakukumbuka daima magufuli🎉

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 2 ปีที่แล้ว +1

    Vitu vizuri havidumu jamani tutakukumbuka daima

  • @neemamaiko1342
    @neemamaiko1342 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuwekeee babaaa

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว +2

    Mi nikiangaliaga clip za huyu mzee huwa machozi yananilenga lenga, hakika hatuji kupata rais wa aina hii tena Tanzania😭😭😭😭

  • @aysherbenta5426
    @aysherbenta5426 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama zichukue zote...daaaah eeee mungu baba tutakukumbuka daima kipenzi chetu

  • @JumaKonddo
    @JumaKonddo 17 วันที่ผ่านมา

    Tunakukumbuka daima

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 3 ปีที่แล้ว +3

    Allahu Akbar , rip jpm

  • @jacintawabomba207
    @jacintawabomba207 2 ปีที่แล้ว +2

    I wish this was done in kenya

  • @ssuunasteven4166
    @ssuunasteven4166 2 ปีที่แล้ว +3

    U will always stay in our hearts

  • @HenrySimfukwe
    @HenrySimfukwe ปีที่แล้ว +1

    Magufuli was the victorious and historical president in Africa

  • @Hellenlubuva1931
    @Hellenlubuva1931 2 ปีที่แล้ว +2

    Tutakumbuka sana raisi wetu na rais wa wanyonge rest in paradise Dady

  • @avirarenatus1782
    @avirarenatus1782 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢e 2:55

  • @dahirhamadi6016
    @dahirhamadi6016 2 ปีที่แล้ว +3

    This is how great leaders model the way.

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 6 ปีที่แล้ว +8

    Mambo mengine huja kama Neema tu, Mungu akubariki Sana mh John Magufuli.

  • @felixafwayi6105
    @felixafwayi6105 2 ปีที่แล้ว

    Kiongozi Rais Magufuli a true African leader

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunateseka baba😭😭😭

  • @benoitmpoyo7035
    @benoitmpoyo7035 2 ปีที่แล้ว +1

    Bonjour

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika vizuri siku zote huwa havidumu

  • @pendoamoss7819
    @pendoamoss7819 3 ปีที่แล้ว +2

    Uwiiiiiii magu

  • @mamasahim5573
    @mamasahim5573 3 ปีที่แล้ว +2

    mungu akusameh zambizako

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 ปีที่แล้ว +1

    In Africa hakuna president kama John pombe magufuli 😢😢😢😢😢😢😢

  • @elinathanbanka5485
    @elinathanbanka5485 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏 Rudi Tena baba

  • @saidhamad4665
    @saidhamad4665 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke mahala pema