OMBA VISA YA CANADA KABLA YA SEPT 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Kwa ushauri wa kitaalamu kuhusu visa za nchi za Ulaya na Marekani tuandikie WhatsApp 0752546710

ความคิดเห็น • 15

  • @Alltogethercrew
    @Alltogethercrew 2 วันที่ผ่านมา

    Amna kitu hapo

  • @maryamdotto2633
    @maryamdotto2633 26 วันที่ผ่านมา

    Samahan brother ww uko wapi naitaj nikutafute what's up

  • @twahiruabdul
    @twahiruabdul 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante ndg

  • @maryamdotto2633
    @maryamdotto2633 26 วันที่ผ่านมา

    Kaka nachangamoto ya cm yangu Niki save number naambiwa ni invite je waweza chukua number yangu

  • @husseinsalimbora3534
    @husseinsalimbora3534 3 หลายเดือนก่อน

    Habari ni nzuri sana.

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 2 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru

  • @benedictobujiku9526
    @benedictobujiku9526 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye hiyo namba yenu ya sim niweke cod ya wapi? Mi nipo sauzi, nataka kuongea na nyinyi kuhusu safari

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwamfano mimi nime apply kazi za mashambani hivi karibuni lakini sija jibiwa bado je kama watachelewa kujibu hadi mwezi huo je itakuwaje endapo nitapata nafasi ya kuja CANADA?

    • @ElizabethKitime
      @ElizabethKitime หลายเดือนก่อน +1

      Umeapply vipi maana kila nikijaribu nashindwa nielekezi

  • @alphoncemaganga1876
    @alphoncemaganga1876 3 หลายเดือนก่อน

    Ok asante kwa uelimishaji,mm nahitaji kazi canada ,je unaweza nisaidia? danmaga31

  • @BenjaminiPeterUdoba
    @BenjaminiPeterUdoba 2 หลายเดือนก่อน

    Nimechukua namba nitawatafuta

  • @user-sy7dw6be5v
    @user-sy7dw6be5v 3 หลายเดือนก่อน

    Bro mwezi wa tisa wa mka upi

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 3 หลายเดือนก่อน

      Kazi hakuna immigrant wengi wanahamia nchi zingine

    • @jescanicodemus
      @jescanicodemus 2 หลายเดือนก่อน

      @@joejoshua7791wewe upo nje

  • @eleunolakihanza910
    @eleunolakihanza910 หลายเดือนก่อน

    Je kama hujui kingereza inakuwaje hapo ndio changamoto