Asante sana, nimeomba hii green kadi mara tatu, naaminni kwa mara ya nne nitakapoomba na jamaa yangu oktoba nitafulu kuchaguliwa mwaka ujao kwa neema ya Mola, Amina
@@EBMSWAHILI kaka naomba namba zako nataka unisaidiye kujaza fomu mimi ni mshindi wa mwaka hu nisaidiye unielekeze nakosa wakunielekeza na unambiye kiasi cha pesa ndalopa nisaidiye sana
Habari yako Coach, mimi ni Alex baliba from Tanzania, nimekuwa nauliza ivi, Mtu ambae ana Mke na mtoto Marekani anaeza akafanya aje??? Please naomba jibu please
Kaka ni lijaza last year swali langu mimi elimu yangu ni.ya primary work experience yangu ni business na mimi hupenda sana kua Draiver wa trailer au heavy track au laity car.naomba ushauri wako kaka
Kaka EBM Mimi Kama ni olevel secondary School,ila nina diploma ya miaka miwili ya Tanzania ambayo kitanzania ni elimu ya vyuo vya ufundi stadi ila nikijaza vocational school kuna shida Kaka.?
Ndio, inawezekana ila lazima iwe ndani ya muda wa mwaka wa Green Card Lottery. Kama muda wa kuingia ukipita, itakulazimu kuja kwa njia ya sponsorship na sio lottery. Huwa nashauri ni vyema nyote mje pamoja
Samaham Father EBM🙏 Kama umeenda kuApply namtu ambaye unatarajia kuingianae kwenye ndoa inakuwaje mtaApply kama mmeoana au? Hii ni case yangu binafsi Mm natarajia kuoa mwezi wa 11 mwaka huu sasa dirisha la kuomba Dv lottery ni mwezi wa 10 tunataka kuApply je tunaweza kuApply kama watu walioowana ili kuongeza Double chance?
@@jumamaruzuku4816 mnaweza kuapply imshu imakuja kwenye tarehe mliyojaza za ndoa yenu na tarehe original mliyooana kabisa yani kifupi kwenye dv lottery ulijaza tarehe tofauti na utakapo funga ndoa cheti chako kitakapotoka kitasoma tarehe tofauti tayari utakuwa disqualified kwenye interview yako
Ndoto yangu ya kufika marekani hii hapa jamani inaenda kutia🙏 please jamani mimi natamani sana kucheza hii green card ila ndo sijui nianzie wapi 🤔 mimi nipo dar res laam niwapi naweza kwenda kwa hapa dar
Brother God bless you watu tushatapiliwa sana umekuja kutukomboa brother. Sasa brother toa tu number zako I knows that everyone is need you like me so number yako ni muhimu my brother.
Asante sana, nimeomba hii green kadi mara tatu, naaminni kwa mara ya nne nitakapoomba na jamaa yangu oktoba nitafulu kuchaguliwa mwaka ujao kwa neema ya Mola, Amina
Kaka salama unaweza nipa elim zaid uliombaje
Utapata kaka inshaallah 🙏🙏🙏
@@Lifemotivation7171 nashukuru sana kwa kunitia moyo
Hongera sana chif kwa semna zuri sana mungu akubariki sana
Hongera sana kaka ebm unatupigania sana sisi hatuna cha kukulipa ila mungu atakulipa
❤❤
Pia mm nataka unifanye bro my name is suleiman I'm form kenya niarobi
Asante Bro.EBM, naomba kuuliza, vip Kama Sina ndoa na Nina watoto.
So Nice kaka, nisha like na kushare 🎉
❤napenda jinsi unawaelimisha wa Africa
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
Maelezo yakinguvu mkuu nayashabikia vilivyo,naona ushindi wangu ukijitokelezea baada ya kuangalia filamu hii,mungu akushidishie.
Mungu akubariki mno kwa moyo wako wa kutusaidia watz weng
Habari....swali langu kwako ninkwamba ..unaweza host mtu akisha shinda green card
Mimi nimuchindi wa mwaka hu ila nimekosa wakunielekeza nisaidiye sana unipe namba zako na unambiye kiasi cha pesa nitalipa kaka nisaidiye
Vip kwema
Asante Sana kaka nimekuelewa vizuri 🎉
Asante
@@EBMSWAHILI kaka naomba namba zako nataka unisaidiye kujaza fomu mimi ni mshindi wa mwaka hu nisaidiye unielekeze nakosa wakunielekeza na unambiye kiasi cha pesa ndalopa nisaidiye sana
@@mauwafrancine9956hello
Thanks bro
God bless you Ernest unatotoa matongotongo. Sasa Iringa utakuja lini tupige Picha?
Asante kaka nimefanya shared kwa magropu ya WhatsApp na nimewaelekeza
Mbona simu haipokelewi
Mkuu je kwa wanandoa mnaweza kutumia emeir moja au emeir tofauti kwenye maombi ya green card?
Utanizaidia
ABM kwa dareslam upigaji wapicha mpo sehemu gani?
Au kwenye ile form nitajaza aje kuonesha kama Mke na mtoto wako marekani naomba unisaidie sana please
Kaka tunakupataje October nataka unisaidie kuapply, tunaomba mawasiliano pls
Nimeleewa Sana bonifasi Sasa tunakusubiri Arusha kwajili ya picha na application October
Kaka pole kwa majukumu ofisi ziko wapi kwa Dar es salaam
Ernest kwema ninapo omba Green card nilazima niweke picha za watoto na mke au niwajaze tu kua ninao asante
❤❤❤❤❤
Thanks
@@EBMSWAHILI number ya simu tunaitaji
Naomba nielekeze mwaka huu office yako ipo wapi?
Mimi sikufika secondary je naweza kufanya nini nahitaji kushiriki
Habari yako Coach, mimi ni Alex baliba from Tanzania, nimekuwa nauliza ivi, Mtu ambae ana Mke na mtoto Marekani anaeza akafanya aje???
Please naomba jibu please
Vip kuhusu swala la lugha
😊
Kk habari za siku mwaka huu tunajaza Green card lini nikutakie week end njema
Kaka iyo green card holder nita ipata baada ya kufika American au
Kaka ni lijaza last year swali langu mimi elimu yangu ni.ya primary work experience yangu ni business na mimi hupenda sana kua Draiver wa trailer au heavy track au laity car.naomba ushauri wako kaka
Mimi nilikuwa nauliza kwamba kama mtu umemaliza elimu ya high school alafu umemaliza hadi level ya diploma hapo unajaze?
Jaza high school
Kaka EBM Mimi Kama ni olevel secondary School,ila nina diploma ya miaka miwili ya Tanzania ambayo kitanzania ni elimu ya vyuo vya ufundi stadi ila nikijaza vocational school kuna shida Kaka.?
Kwa Daresalam Ni sehem gani pakuandaa picha na kila kitu kwa anaejua Tafadhali naomba nielekeze
Nenda Mlimani City kuna jengo linaitwa Sky City Mall nyuma yake kuna mtaa unakuelekeza moja kwa moja zilipo ofisi za EBM
00
Nauliza kama uko na office huku Kenya nairobi au kisii asante
Habari nataka namimi unifanyiye lakini mimi Niko Rwanda unaweza Kuni saidiya Kuni fanyiziya green card
Na mm naitaji utaku wa maeneo gani mm naitaji nicheze baati nasibu green card
kama umeApply wewe na mwenza wako namkashinda namkapata visa je inawezekana mmoja akaondoka kisha baada ya muda mwingine ndio afuate?
Ndio, inawezekana ila lazima iwe ndani ya muda wa mwaka wa Green Card Lottery. Kama muda wa kuingia ukipita, itakulazimu kuja kwa njia ya sponsorship na sio lottery. Huwa nashauri ni vyema nyote mje pamoja
Shukran sana kiongozi
Naomba mungu akutunze mzee wangu 🙏 maaana sioni wakunisaidia hii kitu nikishinda tofauti naww
Samaham Father EBM🙏
Kama umeenda kuApply namtu ambaye unatarajia kuingianae kwenye ndoa inakuwaje mtaApply kama mmeoana au?
Hii ni case yangu binafsi
Mm natarajia kuoa mwezi wa 11 mwaka huu sasa dirisha la kuomba Dv lottery ni mwezi wa 10 tunataka kuApply je tunaweza kuApply kama watu walioowana ili kuongeza Double chance?
@@jumamaruzuku4816 mnaweza kuapply imshu imakuja kwenye tarehe mliyojaza za ndoa yenu na tarehe original mliyooana kabisa yani kifupi kwenye dv lottery ulijaza tarehe tofauti na utakapo funga ndoa cheti chako kitakapotoka kitasoma tarehe tofauti tayari utakuwa disqualified kwenye interview yako
Mwaka huu inaombwa lini
Mzee wa kaz. Je upgaji picha mwanza ni lini mbn ni kama wa dsm wamepewa kipaumbele
Mikoani tunaandaa utaratibu
Ndoto yangu ya kufika marekani hii hapa jamani inaenda kutia🙏 please jamani mimi natamani sana kucheza hii green card ila ndo sijui nianzie wapi 🤔 mimi nipo dar res laam niwapi naweza kwenda kwa hapa dar
Tuonane tufanye maandalizi please.....nipo dar pia
Kwa mara ya kwanza ukishinda pia auendi kuomba visa
Umemaanisha nn hapa kiongozi?
Hata mimi sijamuelewa
@@EBMSWAHILI❤
Jamn si nimeskia no more green card lottery 😢
umesikia wapi?😂😂😂😂
Mwaka huu application zinaaza lini 2024
Mwezi wa 10
mwenye form four lakini ana diploma yeye achague level gan ya elimu. hapo haujaclarify
Ningekushauri tumia work experience
High school no degree
Wewe jaza primary tu kwasababu kule hii form 4 yako na diploma haijulikani ndio maana nikamwambia jaza primary then ujiandae kwa work experience
Brother God bless you watu tushatapiliwa sana umekuja kutukomboa brother. Sasa brother toa tu number zako I knows that everyone is need you like me so number yako ni muhimu my brother.
Kaka angu hixi msg zangu huzioni naomba namba.ya watsap mimi napiga cm officin hampokei
Ernest kwema ninapo omba Green card nilazima niweke picha za watoto na mke au niwajaze tu kua ninao asante
❤❤
❤❤❤