"WALIONITEKA NAWAJUA, WALININYWESHA SUMU, NILIKUWA NAWADAI, KESI IKAFUTWA" - ASKOFU IKONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 807

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 4 ปีที่แล้ว +100

    Tanzania zaidi ya uijuavyo. Askali wanalinda wahalifu du! Pole Sana ndugu.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 ปีที่แล้ว +6

      Hatari kweli yaani Mungu atunusuru yarabi

    • @matthiask2087
      @matthiask2087 4 ปีที่แล้ว

      Tumbavu

    • @matthiask2087
      @matthiask2087 4 ปีที่แล้ว +2

      @@leokamil6284 he is lying.

    • @joycemagessa350
      @joycemagessa350 4 ปีที่แล้ว +1

      wanalinda maelekexo wafanye nini

    • @maryamoman1370
      @maryamoman1370 4 ปีที่แล้ว

      Haswaa nchi yetu bhana

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 4 ปีที่แล้ว +3

    Oooh! Pole sana mtumishi wa mungu, vita si vyetu na kwa taarifa yao wajue kwamba mungu yuko nawe atakupigania kwa kila njia.

  • @bishopephraimmwansasu6094
    @bishopephraimmwansasu6094 4 ปีที่แล้ว +65

    MUNGU akutendee Mema Mtumishi wa Mungu... Kisasi Cha BWANA kitawatafuna mpaka visigino vyao... Pole Sana mkuu. Mungu akutetee

  • @sylviah9666
    @sylviah9666 4 ปีที่แล้ว +29

    😭😭😭😭😭😭its so sad,,,,wanadamu tumegeuka kuwa wanyama,,,Pole sana Askofu,,,Bwana akupiganie, ndiye mtetezi wetu.

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Mtumishi wa Mungu, damu ya Yesu Kristo izidi kukiponya katika jina la Yesu Kristo maana ni damu inayohuisha

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว +2

    Askari skari Askari.Mungu yupo.

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +70

    Leo wanakuona tena MUNGU WETU NI MKUU pole sana baba watalipwa hapahapa duniani Ameen

    • @1942143
      @1942143 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu yupo!

  • @lilianmngulwi7119
    @lilianmngulwi7119 4 ปีที่แล้ว +34

    Mungu amekushindia hawajaweza kugusa roho yako.

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 4 ปีที่แล้ว +44

    Pole sana Mtumishi wa Mungu.Mungu wa mbinguni aendelee kukulinda na kukutunza.

  • @nowelaraymond703
    @nowelaraymond703 4 ปีที่แล้ว +15

    Mungu Baba naomba uingilie kati hili tatizo. Shughulika mwenyewe!

  • @vivianpudo2832
    @vivianpudo2832 4 ปีที่แล้ว +13

    Bible says Touch not my anointed and do them no harm, kweli hao watekaji wako Taabani na Mungu

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 4 ปีที่แล้ว +2

    Na walaaniwe kwa kumfanyia hila mtumishi wa Mungu na watu wote waseme amina

  • @azizamaki7860
    @azizamaki7860 4 ปีที่แล้ว +10

    Daaah inauma Allaah akutie nguvu

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole ndugu yangu lkn muamini mungu ipo cku ya malipo kila mtu atasema kwa kile alichokitenda wakati wa uhai wako ila nawaonea huruma sana hawa viongozi wa hii inchi 😭😭😭😭

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mtumishi wa Mungu kwa yote uliyoyapitia hakika Mungu alikukinga na mauti mpaka leo hii bado uko hai. Mungu aendelee kukulinda na kukukinga na watu waovu dhidi yako.

  • @nehemiahdaniel2070
    @nehemiahdaniel2070 4 ปีที่แล้ว +23

    Pole sana Askofu.. Mungu atawalipa sawasawa na matendo yao

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 4 ปีที่แล้ว

      Jamani jamani kuweni n hofu ya Mungu mtakuna kujibu nn

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 ปีที่แล้ว +84

    Hutakufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya BWANA.MTETEZI WAKO YU HAI .

    • @magumechannel4965
      @magumechannel4965 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa.. Maana bila Mungu hawezi

    • @aminahhill1277
      @aminahhill1277 3 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

    • @adamajwek2974
      @adamajwek2974 3 ปีที่แล้ว

      @@magumechannel4965
      .
      ..
      .
      .
      ...
      ..
      Mm
      . Mm
      M.M.
      M
      Angeny
      Mm
      Mm
      .
      .
      Yes
      Yes
      Mm
      ..
      .
      .
      .
      .
      Mm
      .
      .
      .
      .
      .
      .
      .
      .
      .
      .
      .

    • @Gadielrussia
      @Gadielrussia 3 หลายเดือนก่อน

      AMEN

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 2 หลายเดือนก่อน

    Inaonekana kampuni inamilikiwa na hao retired army , sasa gharama ya kudhuru ni kubwa kuliko wangefidia tuwe makini na kampuni za ulinzi . Pole sana pastor endelea kuliweka kwenye maombi Mungu wa haki atafanya 🙏🏽

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika MUNGU NI MWEMA 🙏🙏🙏

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 ปีที่แล้ว +16

    Yupo mungu msemaji was mwisho......!!!!!!!!

  • @prospernjau7122
    @prospernjau7122 4 ปีที่แล้ว +29

    HAKI ITENDEKE KWAUYO MCHUNGAJI NAKWAIMANI YANGU SWALA LAKO LITAPATA UFUMBUZI KWAJINA LA YESU AMEN

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepesi mtumishi wa mungu ooh God

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba. Askofu Mungu atakuponya

  • @upendomkuwele3592
    @upendomkuwele3592 4 ปีที่แล้ว

    Pole baba, Mungu ataendelea kukutetea na amesema mwenywe atapigana na wanaopigana nasi, ivyo usijali Mungu yuko kazin kwaajli yako

  • @norymnceri3877
    @norymnceri3877 4 ปีที่แล้ว

    Pole kwa uliyoyapata mtumishi wa Mungu. Mungu atawatoa hao watu mahali wamejificha na watalipa kwa mabaya waliyokufanyia kwani yule ako ndani yako ni mkuu kuliko yule ako ndani yao 1 John 4:4

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 4 ปีที่แล้ว +1

    Awa watekaji kila siku awajawahi kukamatwa.Mungu atawalipizawao na vizazi vyao.vile walivyokutendea ndivyo itaka yowspata wao na vizazi vyao. Mungu akubariki uzidi kumtegemea .Barikiwa Baba Askofu

  • @samomnanka2779
    @samomnanka2779 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Askofu... Global malizieni stori hii na ikiw3zekana iende mamlaka za juu

  • @nurukitomary8087
    @nurukitomary8087 4 ปีที่แล้ว +3

    Huu ugonjwa mama yangu alikuaga nao sema alishatangulia mbele ya haki. Pole Sana Baba Mungu yupo.

    • @rhodarichard4366
      @rhodarichard4366 4 ปีที่แล้ว +1

      Nuru...jamen pole san kuondokewa na mama..polee

  • @wizahenry8846
    @wizahenry8846 4 ปีที่แล้ว

    Daah pole aisee moto wa jehanamu huko hapa hapa duniani Mungu anajua kwa nn aliruhusu itokee🙏

  • @sameraafreqe7964
    @sameraafreqe7964 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana Aisee mmmm hatar sana wame kubadilisha rang

  • @robertmoca5898
    @robertmoca5898 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndg! Binafsi niwaombe viongozi wandamiz wzr mambo ya ndani na Serikali kwa ujumla,ikiwa Haya mmeyasikia ama kwa kusoma nilivyosoma hapa, ili kulinda imani inanyoashiria kupotea ndani ya nchi yetu hawa wahusika wakamatwe na Hatua Kali zichukuliwe dhidi yao. Matukio Hata yanaongezeka mno ndani ya nchi yetu!.

  • @wangariann9704
    @wangariann9704 4 ปีที่แล้ว +1

    May the Lord make you well. Pole Sana. Malipo nihapa tu.

    • @evanslawrence7764
      @evanslawrence7764 4 ปีที่แล้ว

      Mchungaji fake huyu achana nae" there's no born again who strifes and struggles with Sinners. A real pastor w'd leave it God. Kneel down and pray and they all haveend up dying one after the other

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 4 ปีที่แล้ว

    Pole baba dunia hadaa ulimwengu shujaa. Mungu yu hai.

  • @dominickkway432
    @dominickkway432 4 ปีที่แล้ว

    Loh pole sana rafiki yangu bishop BWANA YESU akupiganie

  • @veronicaanosisye4160
    @veronicaanosisye4160 4 ปีที่แล้ว +35

    Pole sana kwako na familia. Mungu akutetee

  • @simonmwabukusi6274
    @simonmwabukusi6274 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana Mchungaji......Nimeumia sana kwa kweli....Nakumbuka ulikuwa unakuja sana Kufanya huduma TAG KEKO kwa Mchungaji Moses Wami....Mungu akutunze baba

  • @stanleyericki695
    @stanleyericki695 4 ปีที่แล้ว

    Poleeee jamni askofu

  • @trespaul7928
    @trespaul7928 4 ปีที่แล้ว

    Eeeeeeehhhhh pole sana babangu tunakuombea kama watanzania utapona

  • @nevernicodem8420
    @nevernicodem8420 4 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana baba Mungu unaemtumikia hatokuacha kamwe........ila wasamehe Mungu atatenda

  • @marykibunja1912
    @marykibunja1912 4 ปีที่แล้ว

    Waash hii sio sawa kabisa mungu akutete

  • @villanjimmy7625
    @villanjimmy7625 4 ปีที่แล้ว +3

    Mim nitaendlea kusema Mungu atakulpia insha Allah

  • @langamorocco5802
    @langamorocco5802 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimbaya Sana.Mungu hakulinde sisemi kitu.

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole mtumishi wa Bwana hata uzima ulionao kwa sasa ni neema tyuuu mshukuru aliye juu

    • @edhe9772
      @edhe9772 4 ปีที่แล้ว

      Teddy Mwageni sana jamani

  • @mwasongweimani5495
    @mwasongweimani5495 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu! Hii nchi haina haki kabisa.

  • @scoanupdates1523
    @scoanupdates1523 4 ปีที่แล้ว

    watanzania for sure nini mnaulizanga watumishi wamungu!.God will reward u mtumishi.

  • @florameza9529
    @florameza9529 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole baba Mungu atawalipa

    • @anthonywashokera7909
      @anthonywashokera7909 3 ปีที่แล้ว

      Da pole Sana, kampuni zingine ni za wezi, majambazi.

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Awaone.
    Hakuna uovu usiokuwa na malipo.

  • @lukagulagekidehele5788
    @lukagulagekidehele5788 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Askofu wa Kanisa la matendo makuu Tanzania kwa matatizo yaliyokufika, Mungu ni mwema na wa watu wote tumtegemee sana.

  • @pastornyundo1835
    @pastornyundo1835 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana pastor mungu atawalipa hao watu

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 4 ปีที่แล้ว

    Akuna lisilowezekana kwa mungu pole kwa mkasa mkubwa mungu anayaona majaribu yako atakushindia

  • @pariciakidaha7533
    @pariciakidaha7533 4 ปีที่แล้ว +7

    Ee Mungu baba wa mbinguni nena nao hao waalifu

  • @helenamwaipopo967
    @helenamwaipopo967 4 ปีที่แล้ว +11

    Malipo ni apaapa dunia yatawakuta makubwa Mungu yupo nyinyi endeleeni na hiyo tabia mbaya hukumu yaja,pole sana Mungu atatupigania na hao Israel watoa roho

  • @joshuajoshua7092
    @joshuajoshua7092 4 ปีที่แล้ว

    Pole mungu nimwema wataaxibiwa hapahapa dunian

  • @petrokambo779
    @petrokambo779 4 ปีที่แล้ว

    Dar pole Sana mtumishi

  • @babayakeanna8595
    @babayakeanna8595 4 ปีที่แล้ว

    Pole mchungaji Mungu ni mwema atatenda

  • @barbaraschuhmacher7745
    @barbaraschuhmacher7745 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mungu atakusaidia

  • @mr.rogers9238
    @mr.rogers9238 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee namfahamu Vizuri sana , , , Daaah Binadamu kwakweli Maisha haya Tunaishi na Makatili sana

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 4 ปีที่แล้ว

      Wala ata sio mzee ni kubadilika tuu hali aliyonayo

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu macho yako salama.

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mzee. Inasikitisha sana tena sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akubariki na kukupa unafuu.

  • @zuhuradanny6307
    @zuhuradanny6307 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana,Inatia huruma binadam amekuwa km mashetan jaman,KISASI NI CHA BWANA WEWE MSHUKUR MUNGU KWA KILA JAMBO

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 4 ปีที่แล้ว +5

    God stand for you pastor

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana mchungaji mungu akutangulie

  • @zenobiandunguru5854
    @zenobiandunguru5854 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu akuponye

  • @elihazinadaudi4224
    @elihazinadaudi4224 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Baba

  • @georgekimasa7393
    @georgekimasa7393 4 ปีที่แล้ว +37

    Sisemi sana maana mh mengine tumuachie Mungu

  • @neemadonardi7518
    @neemadonardi7518 4 ปีที่แล้ว

    Dhuuu!!! Pole sana mtumishi MUNGUakutie nguvu

  • @happymunuo418
    @happymunuo418 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo naamin anayaona haya

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว

    Pole sanaaa Binadam sijui tunarlekea wapii.Mali yako inaweza kukudhuru kabisaa ndio maana staki mambi ya kukopeshana

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 3 ปีที่แล้ว

    Duh jaman roho himeniuma kwakweri pole sana kakaangu kipenz mungu atakuripia

  • @faridanurdin4910
    @faridanurdin4910 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Allah akupe subra

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana baba mungu ni mkubwa kabra hujafa hujaumbika

  • @rosemary3816
    @rosemary3816 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakina tundulisu mko wengi pole Sana baba angu mungu ni Mwema at awalaani mpaka mwisho wa maisha yao😭😭

  • @neymakato6661
    @neymakato6661 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana lakn mshukulu sana mungu bcoz u still have life and continue praise the Lord

  • @salamaseif4032
    @salamaseif4032 3 ปีที่แล้ว

    Duu pole xana mungu atakusaidia

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 4 ปีที่แล้ว +12

    SubhanaAllah...Dunia imeharibika, kila nchi ya Dunia wanadamu wamejaza maovu, hii ni ishara wazi ya kwamba Kiyama kiko karibu, Tujiandaeni waja turudi kwa Allah kikamilifu hali ya kwamba Ameturidhia.

  • @giftmlange3327
    @giftmlange3327 4 ปีที่แล้ว +2

    Saizi mwanadamu sio dunia imeisha bora ukutane na mnyama aisee😢😢 pole sana

  • @pstgeorgemwendwa615
    @pstgeorgemwendwa615 4 ปีที่แล้ว

    pole sana askofu mungu akutie nguvu zaidi

  • @maulidimuhammed7851
    @maulidimuhammed7851 ปีที่แล้ว

    Duuu pole sana kumbe na wewe mkono wa MAKUFULI ULIKUPATA Mungu akaongoze na akulinde.Ila usijali yameisha hayo na vitendo hivyo havina nafasi tena katika utawala wa MAMA MUUNGWANA.

  • @chaskariuki3346
    @chaskariuki3346 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana na mungu awe nawe

  • @innocentlegos4530
    @innocentlegos4530 4 ปีที่แล้ว

    Mwanahabari,Naomba muwe mnafuatilia hadi haki itakapopatikana,ikiwezekana,muwe mnafuatilia hata kwa hao anaowataja ndo hili Jambo liwe wazi zaidi,,Mungu azidi kukulinda mtumishi

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mtumishi mungu wetu site yupo na atakulinda Kwa yote amin🙏🙏

  • @moreenmrema7722
    @moreenmrema7722 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo na anaishi kwa kila amwaminiye

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 4 ปีที่แล้ว

    Pole Baba,,,"Haki haipotei, Pasipo Matumaini MUNGU anaionesha na kuinua juuu ili Ulimwengu ushuhudie"

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah pole sana hakika Mungu atawaadhibu kwa unyama wao

  • @emmyjohn3970
    @emmyjohn3970 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo hakika Mtetezi mkuu atazidi kukutetea

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 4 ปีที่แล้ว

    Tunakuja Hawa watu waliumiza Sana wananchi kabula ya msimamizi wahaki magufuri ninajua sasa tunae anayetutetea Mungu anamtumia Sana ni mtumishi wa wananchi kweli mfikishie tarifa zako Mungu atatenda

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atapigana nao.pole mtumishi

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mtumishi wa mungu

  • @marydavid9337
    @marydavid9337 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana, Mungu ninaemwamini atatenda kwako

  • @harounjc6550
    @harounjc6550 4 ปีที่แล้ว

    Si paswi kutoa hukumu kwa mwanadamu, naamini Mungu kipitia watu wake atatenda haki, Pole sana mtumishi

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mzee wangu ila walichokufanyia kitawarudi na kitazitafuna familia zao! Hii laana haita waacha salama na kabla ya kufa kwao watalipwa yote hapa duniani, wao pamoja na familia zao..

  • @msitaphashemdoe5895
    @msitaphashemdoe5895 4 ปีที่แล้ว

    Inaumiza saana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Mungu Pekee Ndiye Mwenyemamlaka ya kumuadhibu Binadamu 😭😭😭 Pole Sana Mtumishi Wa Mungu Kwa Yote Yaliyotokea 🙏🙏🙏🙏

  • @christophersaimoni2054
    @christophersaimoni2054 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana m2mishi wa Mungu.

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Pole mtumishi hutakufa bar utaishi ili uyashuhudie matendo makuu ya MUNGU🙏😥

  • @dominickkway432
    @dominickkway432 4 ปีที่แล้ว

    Bishop pole sana

  • @uniquemukabs1921
    @uniquemukabs1921 4 ปีที่แล้ว

    Soo painful pastor,but God is still on the throne and he will fight for you,keep on praying

  • @witnesimigodela2474
    @witnesimigodela2474 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu pole mchungaji, Mwambie baba Magufuli akusaidie kesi yako hii inauzunisha sana

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah mungu wetu halali....waachee tu mungu pigania huyu mtumixhii anapitia magumu kma ya ayubu...katka bibilia....

  • @olivermkama7767
    @olivermkama7767 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo pamoja na wewe