Tariq Kipemba Afunguka Hatua kwa Hatua Alivyomwagiwa Tindikali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 270

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +25

    Alhamulillah uaona jicho Moja,Allah azii kukuponya na akulipie Kwa dhuluma uliyofanyiwa amiin amiin

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +32

    Huyu kaka ni innocent jamani, ameumizwa sana, eeee Mungu tusaidie

    • @rahmatambwe1069
      @rahmatambwe1069 ปีที่แล้ว

      Pole sana Tariq m/ mungu ndio hakimu ashidwi na japo . Kikubwa ni kumshukur Mungu . Allah ndie Hakim atakulipa tu. Pole sana

  • @fatmagwimile1354
    @fatmagwimile1354 ปีที่แล้ว +2

    Binadamu wabaya Sana pole Sana brother Mungu atakuponya

  • @kipanyamagician5732
    @kipanyamagician5732 ปีที่แล้ว +74

    Ana voiceover nzuri mpeni matangazo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @all-victorious2156
      @all-victorious2156 ปีที่แล้ว +1

      Unaelewa maana ya voiceover kweli??😂😂

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 ปีที่แล้ว +1

      @@all-victorious2156 🤣🤣🤣

    • @danielarapmoi3041
      @danielarapmoi3041 ปีที่แล้ว +2

      ​@@all-victorious2156 hajui wewe sasa sema maanake nini voicecover

    • @MOTHERFLOWERS385
      @MOTHERFLOWERS385 ปีที่แล้ว +1

      ​@@all-victorious2156 ALITAKA KUMAANISHA ANA SAUTI NZURI YA KUWEKA VOICEOVER 😂😂😂😂😂😂

  • @kalemberehema1205
    @kalemberehema1205 ปีที่แล้ว +1

    Daaa kijana mzuri jmn kweri km alivosema nitamuharibu sura kweri wamekuharibu jmn pole sana Lkn bado handsome tu Mungu awalaani waliohusika

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka Tariq' Usichoke kumuomba ALLAH

  • @moddy8744
    @moddy8744 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Atakulipia Inshallah na M/Mungu Atakurejeshea hali yako na utaona Inshallah Ameen

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx ปีที่แล้ว +3

    Daah pole bro mwenyezi mungu akufanyie wepesi unasauti mzuri kabisa ya kidume kabisa

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana kk Tarki Mungu atakulipia kwa wote walioshiriki kukufanyia unyama huo

  • @allandavid870
    @allandavid870 ปีที่แล้ว +22

    ana sauti nzuri anaweza kua mtangazaji

  • @nadiahussein5079
    @nadiahussein5079 ปีที่แล้ว +10

    Pole Sana Tariq Allah Inshaa Allah atajuponya Ila una sauti nzur Sana wakupe kipindi Cha mapenzi unawezaaa sana

    • @JamesYakusora
      @JamesYakusora ปีที่แล้ว

      Polis mpo wapi jamniiii msaidieni huyu kaka huyu mbwaa akamatwee

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka angu MUNGU yupo tumshukuru Kwa Kila jambo

  • @AshaHamisi-hw8lr
    @AshaHamisi-hw8lr ปีที่แล้ว +6

    Polee. Sana taliq Mungu Akufanyie wepesi

  • @paulmbawala-ox3by
    @paulmbawala-ox3by ปีที่แล้ว +4

    Pole sana my bro Uzur n kwamba Mungu hapokei rushwa kaa kwakutulia Naamn Majbu ya huyo mtu alofanya hvyo Utayapata jmn hvyo bc Amn kwamba Mungu bado Anakupenda Mno jmn

  • @saumuhamisisaumuhamisikumb9733
    @saumuhamisisaumuhamisikumb9733 ปีที่แล้ว +3

    pole kk Allah akuzidishie subra nimitihani ya dunia kabla hujafa hujaumbia 😢

  • @DorcusErastoMsumari-ul8kp
    @DorcusErastoMsumari-ul8kp ปีที่แล้ว +4

    Mungu akiwa upande wetu ni nani aliejuu yetu, uzuri ni kwamba Mungu ni mwenye haki atafanya jambo🙏🙏

  • @barakapallangyo4577
    @barakapallangyo4577 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana bro........ Mungu atakupa uponyaji

  • @christineadolf5164
    @christineadolf5164 ปีที่แล้ว +1

    😢pole sana Kaka, Mwenyezi Mungu atakupigania na aliye kutendea huo unyama hatapata amani kamwe

  • @joharishabani138
    @joharishabani138 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ana nguvu sn, pole sn ndg yetu kaka Tariq

  • @shairiharuna2544
    @shairiharuna2544 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana tariq Allah atakua nawe,,inauma saana

  • @BALOZIWAGHETTO
    @BALOZIWAGHETTO ปีที่แล้ว +2

    Voice ya huu mwana Kali sana inatosha utangazaji🔥🔥🔥🔥

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 ปีที่แล้ว +7

    Usijali kaka mungu hahongwi..mapema mnoo utaona matokeo yake .yako itakua ndogo.inauma sana hakika nimetoa machozi

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana bro ,huo ni ushujaa kwa Mungu.

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 ปีที่แล้ว +13

    Daah!!kweli hujafa hujaumbika 😰😰😰💔pole san tariq 😭😭…kweli mwanaume unamfanya unyama km huu kwa mwanaume mwezio kisa tu amekataa kufanya ushaitwan wako 😭😭😭😭💔💔💔💔💔inauma sana nchi yetu imeharibika 😭😭😭mashoga watatuangamiza 😭

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว +1

      Alaaniwe huyo mshenzi yeye na kizazi chake😒Ameniuma huyu kaka jamani 😪

  • @aggiemarley5742
    @aggiemarley5742 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka. Ana sauti nzuri sana, anafaa kuwa radio presenter jmn

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 ปีที่แล้ว +4

    Pole kaka mungu ni mwema

  • @magdalenabenedict2089
    @magdalenabenedict2089 ปีที่แล้ว +4

    Pole bruh 😰but u stil handsome good enough uko na soul nzuriii may almighty God stand with you in every situation

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana Tariq Mungu atakuponya Inshaallah huyo muhalifu alaaniwe Shoga mkubwa anaharibu vijana wa watu

  • @khalilamahalu
    @khalilamahalu ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi utarejea katika hali ya kawaida biidhnillah Alhamdulillah allah kareem upo hai mengine yatawezekana kwa uwezo wake Allah

  • @mariyammaria669
    @mariyammaria669 ปีที่แล้ว +8

    Duu yani nimejiakia vibaya for this guy😰😰mwenyezi Mungu atakupigania pole sana 😥😥natamani anioe bure nipende alivyo maskini.. binadamu wabaya 😭😭😢😢

  • @rhoidakalinga3043
    @rhoidakalinga3043 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana kaka taliq Mungu atipa

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว +4

    Kilio chako tumekisikia na pole saan na wewe mpuuzi unaejiona mungu mtu nakwambia utakuja kufa kifo kibayaa na kaburi lako lisionekane..na hao maaskar wenye tamaa mungu hatawalanii,polee saan kaka yanguu

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว +21

    Jaman had nmelia😭😭 huyu kaka alkuwa mzuriii mweee, nlimuona kipind anaumwa hum hum mtandaon, daaa pole sana kaka, Mungu anakupenda

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Acha tu hujafa hujaumbika

    • @gradnessshitindi3694
      @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว +2

      @@leokamil6284 n kwel kabisa, hatupaswi kulingia maumbile yetu, huyu kaka ananiuma Mimi jaman utazan mme wangu, nataman ningemuona live nilie mbele yake uchungu uishe afu nmwambie Mungu yupo😭😭

    • @jbrainyjoel2632
      @jbrainyjoel2632 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo saivi akuvutii tena au

    • @patricemichael6743
      @patricemichael6743 ปีที่แล้ว

      @@jbrainyjoel2632 😅😅😅😅😅

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana. Ni vizuri piw tukwjifunza kuweka siri za watu hasa wanapofanya mambo ambayo yanaweza kuwaaibieha katika jamii kwa sababu wwtu wabhivo mara nyingi wanakuwa ni narcissits yaani wanataka kila walitalo liende na ukiwakataa kwa hasira wanalipa kisasi ns wana tatizo la akili wako tayari kufansa lolote kukuumiza. Na pia watu wengi wakikataliwa kimapenzi juwa wanaweka bifu kali sana. Na si vema kuwa na mazoea na watu hasa tusiowajua vizuri. Kwa ufupi watu usizoeane nao kabisa na inawezekana kabisa kuishi vizuri na watu bila kuzoeana nao

  • @harriethkalindili7980
    @harriethkalindili7980 ปีที่แล้ว +21

    Mungu amekupigania na ataendelea kukupigania🙏

  • @lucyshila6193
    @lucyshila6193 ปีที่แล้ว +9

    Aiseee hii dunia jamani ni ngumu sana, pole sana taric

  • @pamelaclaud4520
    @pamelaclaud4520 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kweli Tariq mungu akutie nguvu sana kwakweli inauma sana

  • @hidayangalla9256
    @hidayangalla9256 ปีที่แล้ว +4

    Pole Kaka Bora Kama unaona, Ayo mengine achana nayo

  • @abdhulihassan8501
    @abdhulihassan8501 ปีที่แล้ว +1

    Kwani bila sound track interview haifanyiki ama? Media house kuba lakini mnakaa kama limbukeni vile. Pole sana bro Tariq story yako yatia simanzi sana.

  • @jescahaule4802
    @jescahaule4802 ปีที่แล้ว +2

    Tarck pole Kaka mungu amesimama nawe kwenye kilalenyeher hujafa hujaumbika Ila binadam ni mnyama

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 ปีที่แล้ว +5

    Ina uma sana pole mpendwa wangu

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 ปีที่แล้ว +5

    Hasbiawallahu wanimawakili huyo aliyofanya hivyo ajue mungu yupo na atalipa kwa wakati wake atakumbuka alivyokufanyia Allah atakupa tahfifu tarik

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 ปีที่แล้ว +12

    🙏🙏Mungu ni Mkubwa sana Broo Tariq utapona na haki yako utapata tu🙏🙏Na pia mwenye kutoa adhabu ni mwenyezi mungu TU... 🙏🙏

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 ปีที่แล้ว +6

    🙏🙏Pole sana broo Tariq mungu atakuponya..... sote tunakuombea broo ..... ❤

    • @lydiamsheri4095
      @lydiamsheri4095 ปีที่แล้ว

      Ni kweli sisi wanadamu tuna maudhi saaaana kwa wenzetu lkn sio kwa adhabu hii jamaniii daaaaa.Mungu wewe ndio jibu

  • @marthamngao923
    @marthamngao923 ปีที่แล้ว +8

    Hakimu ni Mungu atakulipia tuu malipo ni hapa hapa dunian

  • @faustinahugo9621
    @faustinahugo9621 ปีที่แล้ว +2

    Pole kaka mzuri jaman 🌺

  • @giftyzawadi5411
    @giftyzawadi5411 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mungu yuko pamoja nawe

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 ปีที่แล้ว +5

    Mweeee Mungu atakulipia ,

  • @Habibtyjojo
    @Habibtyjojo ปีที่แล้ว

    Masikini nyiii doh pole Sanaa kaka mungu atakufanyia wepesi na Alie Fanya ivo alaniwe😭😭

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว +1

    💔Jamaniiii TARIQ pole sanaaa bro omba usaidi kwa mh.mama samiya huyo muuaji,shoga ashikwe

  • @sundaycharles7262
    @sundaycharles7262 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana brother

  • @UmmyMaskat
    @UmmyMaskat ปีที่แล้ว

    Pole Sana Kaka 😭polisi mungu anawaona🙌

  • @dayanamsuya6516
    @dayanamsuya6516 ปีที่แล้ว +1

    Hivi mahakama zinaweza kuleta shida ya kisasi ,kha kwangu mungu atanisamehe

  • @emma-9525
    @emma-9525 ปีที่แล้ว +2

    Polee sanaa jamanii😭😭😭 jamanii tariq

  • @LoveJack-wy7mi
    @LoveJack-wy7mi ปีที่แล้ว +8

    Daah binadam tumekuwa wanayama San aisee kaka wa watu alikuwa mzur daah 😭🙌

  • @nelsonmataba1426
    @nelsonmataba1426 ปีที่แล้ว +3

    Mpeni kazi clouds

  • @hawasaid2670
    @hawasaid2670 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka 😭😭😭😭

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 ปีที่แล้ว

    Allh atakuponya brother

  • @dottohami
    @dottohami ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka Tareeq

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana jmn dah dunia hii🙄🙄

  • @gililwise
    @gililwise ปีที่แล้ว +7

    Yupo Mungu atashughulika naye hataishi milele malipo ni hapahapa duniani.

  • @mohammedaliy3307
    @mohammedaliy3307 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana broo Mungu atamlip kwa hili, hakika malipo ni hapa hapa duniani, hakika broo ww upo sawa hauna tamaa then tusiwaamin watu kwa urahisi 🙏🙏

  • @IpyanaMwaikwaja-wr3ut
    @IpyanaMwaikwaja-wr3ut ปีที่แล้ว +12

    Ana sauti mpeni kipindi

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 ปีที่แล้ว +7

    Mwachie mungu ndo hakimu wa kweli jali afya yako kwass

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md ปีที่แล้ว +2

    Best interview,

    • @irenemburu88
      @irenemburu88 ปีที่แล้ว

      Uhai wako uko haja cos u r alife thank God he is on ur side

  • @fatumadjumbe2714
    @fatumadjumbe2714 ปีที่แล้ว +6

    Kaka angu kwakweli ulikua handsome kinoma sana, daaaa Mungu ata kutana nae tuu

  • @reginarudovick3401
    @reginarudovick3401 ปีที่แล้ว

    Niliishi na wapare nilijuta kuzaliwa ila namshukuru Mungu nilijifunza.Roho chafu sana ndomaana wanakaa milimani hawana tofauti na wanyama.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +13

    Kuna mambo nchi hii yanafanyika inasikitisha sana

  • @JosephineCleophas-bo5of
    @JosephineCleophas-bo5of ปีที่แล้ว +4

    Pole sana jamani mungu ana kupenda bado

  • @LilynavoMziray-uk2lx
    @LilynavoMziray-uk2lx ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Tariq

  • @EddaPeter-yn3nk
    @EddaPeter-yn3nk ปีที่แล้ว

    Mungu Baba simama nauyu kaka maumivu hambayo kayapata basi wayapate naao waliyo yatenda maana kitu ambacho walikitaka kwake ni rahana nayeye halikuogopa mungu kukitenda mfanye uyo binadamu ajuwe kama we mungu upo naunalipa hapa duniani hapa hapa

  • @flyingdresszanzibar
    @flyingdresszanzibar ปีที่แล้ว

    Ana sauti nzuri sana kwa utangazaji mpeni awe anatangaza ata kipibd cha utalii kikuwa ata nusu saa.utalii wa zanzibar na mbugani

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka

  • @teachermadii2305
    @teachermadii2305 ปีที่แล้ว +1

    Pole sn kaka na mitihan ya dunia

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 ปีที่แล้ว +4

    Tumuombe sana mungu atulindie watoto wetu na hili balaa la ushoga wanaume wengine wamekuwa kama mashetani kumuingilia mwanaume mwenzio kweli mungu atakuondolea Kila jeraha kijana

  • @rahmbanzi620
    @rahmbanzi620 ปีที่แล้ว +2

    Kwakua umeona Tena Kaka kaa kwa kutulia achana nao mungu atalipa

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว +12

    Police wapuuzi sana hapo pesa ilitembea dah

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว +6

    Pole sn broo mungu ni mkubwa kikubwa umeona mengine muachie allah ndio mjuzi

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana brother 😢 ila malipo sikuhizi hayachelewi Mungu atalipa

  • @allymtawa-dy4km
    @allymtawa-dy4km ปีที่แล้ว

    Ukweli huwa unatolewa na mahakama kwa taarifa ya upelelezi ikikamilika. Hizi taarifa za kumuhoji mtu Mmoja mmoja kwenye media huwa hazina mashiko Sana.

  • @jobmaclean5382
    @jobmaclean5382 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana kaka. 😢

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko ปีที่แล้ว +13

    Hiyo ndo nchi yetu ya tanzaniya pole sana bro ila mwachie mungu 🙏🏼🙏🏼✍🏽 yeye ndio hakimu wetu wa haki maskini hana sauti😭😭

  • @oliviadaniel3473
    @oliviadaniel3473 ปีที่แล้ว

    Nimesikilza hii ctory hadi machozi jamani.Mungu awatetetee sana ndugu zetu wa kiume na vizazi vyetu na maharamia kama hawa,nilichofurahi waau hata uliwez kuona hata kama kwa jicho moja.Mungu wetu mwaminifuu

  • @HerymanyMtindo-jo8fl
    @HerymanyMtindo-jo8fl ปีที่แล้ว

    Pole mwamba

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 ปีที่แล้ว +3

    Mlipaji ni mungu peke yake pole sana broo ila hii Tanzanian selikali inashida sana daah inasikitisha sana

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว +3

    Bado mzuri sanaa wala hakuna tatizo

  • @catherincharles345
    @catherincharles345 ปีที่แล้ว +10

    Mwili unanitetemeka sana

  • @tasokwamichael2433
    @tasokwamichael2433 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwaminifu japo ni maumivu umeyapitia lakini shukuru Kwa uhai tu mengine yapo tu kaka

  • @josavage
    @josavage ปีที่แล้ว

    Pole sana broo maana story kubwa sana na ni ya kweli

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 ปีที่แล้ว

    Mungu atakulipa kaka

  • @kevokeface8744
    @kevokeface8744 ปีที่แล้ว

    Mpeeni kazi ya utangazaji anaweza

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hili Allah Yuko Upande Wako....

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว +1

    Ushahid wa ushoga ndio unaongelea lkn sio ushahid wa yeye shoga kuhusika na tukio...... Pole sana lkn brethren

    • @genarahaswile2990
      @genarahaswile2990 ปีที่แล้ว

      haongelei ushoga anazungumziw chanzo cha ttz

  • @swaphiatysaid5332
    @swaphiatysaid5332 ปีที่แล้ว

    M nampenda huyu kaka jmn

  • @husseinmboje1449
    @husseinmboje1449 ปีที่แล้ว

    Daah inauma sana

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 ปีที่แล้ว +6

    Masikin alizungkwa na maadui manaswara sio watu wazur😢 Allah ametuambia tusiwaamin😭

  • @dausonpaulmaguru7068
    @dausonpaulmaguru7068 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwamba

  • @jacksonjamesndyabawe495
    @jacksonjamesndyabawe495 ปีที่แล้ว

    Hila malipo hapa hapa Duniani
    . Kumbuka wewe unayemfanyia mwenzako hivyo kwamba umeumbwa na mungu na huyo amezaliwa na binadam.. Tuache chuki.. Kumbuka kwamba Ana wazazi ambaye alitunza mimba yake miezi tisa.. Unafikir anajisikiaje mzazi wake.. Hila.. Mungu yuko pamoja na wewe my brother

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 ปีที่แล้ว +6

    Dah mpaka maumivu yaani.. hapo sasa ndo pale wapare wakisemaga Wana roho mbaya nashndwa hata jinsi ya kujitetea.

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว +2

      Roho mbaya haina kabila ndugu yangu.

  • @catherinekimwai9592
    @catherinekimwai9592 ปีที่แล้ว

    Thank GOD umerudi salama MUNGU ALINDE UHAI WAKO