Hii inaumiza sn😭.Pole sn mtumishi wa mungu😰.Huwezi kuamini km haya yanatokea Tanzania ni aibu sn...na huyu ni mchungaji bado anafanyiwa haya,Je kesi za walalahoi inakuwaje?Nawaza tu🤔
This is truly horrific, but all in all, we give thanks to the Almighty God that he spared the life of this man of God. I hope and pray that justice will will be served and that the culprits will face the full force of the law. Man of God, may the Lord appease you and give you peace in your life. Men and women of goodwill, please come together and help this servant of God get the medication he needs and God will bless you abundantly. May the peace of our Lord Jesus Christ be with you sir.
Mungu humlipa mtu sawasawa na matendo yake,na wakati mwingine malipo huwa ni hapahapa duniani hivyo acha Mungu atende ktk hili amini Mungu ataendelea kukushindia Bishop.
Binadamu mnaingilia kazi ya Mungu, Kutoa roho ya mwanadamu ni Kazi ya Mungu. Mindy alivyo mkuu Mmeshindwa. Vyombo vya sheria km mnawaonea huruma waarifu, Tukabidhini wananchi wenye hasira tuwashughulikie.
Pole sana Askofu Polisi wasipokuwa waaminifu ni janga kubwa sana....ila kwa utawala huu na nguvu ya social media...hii imeisha Wamemgusa mtumishi wa MUNGU wamegusa jicho la MUNGU.
I will be happy when he get all of his right .., I wish all the people who involved like those police officers especial in majengo police to be arrested soon, Mr President we need your say on this , Anna mwigira we need to hear your voice on this
Baba askofu Mshukuru Mungu Kwan amekuokoa japo umepita katika magumu na maumivu sana ila naamin utautangaza ukuu wa Mungu na kufanya kazi yake kwa Mara nyingine tena na kwa ushuhuda mkubwa na waliotenda hayo kuaibika milele.Sema amen kama upo nami kumtia moyo Askofu.
Mtumishi wa Mungu Mungu akujua, waliofanya kosa Hilo, ni mashetani yaliyotupwa duniani, nina hakika, Mungu amekujibia kupitia SADAKA zako na kweli kama Mungu yupo, atakupa pesa , pesa dhahabu ni Mali ya BWANA. Eee mungu Taz moyo wa huyu mtumishi. Kila neno analolisema Lina upendo, hatoki kwenye reli. 😊
Nalay pole sana baba umepitia magumu nabado mshukuru mungu sana sio sawa nakufa mtumaini mungu ndiye uko nae apo ulipo nami sina lazaidi yakukuombea kwamungu azidi kuimalisha ngozi yako inasha allah muamini tu mungu ipo siku utakuwa sawa
Pole sana Askofu Mimi najiuliza huyu ni kingozi wa dini kafanyiwa hivi sasa watu wengine wa kawaida itakuwa wengi wanapata mateso makubwa sana .Ashukuru ametekwa bado yupo hai wengine wamepotea kabisa .
Pole sana B shop Mungu amekutendea na bado yupo kazini atazidi kukutetea Yeye ni Mungu sio mtu atasimama upande wako jamani namfahamu huyu pastor amewahikuja kutufundisha pole sana
Raisi wetu wewe ni baba wawanyonge tunaona sana kazi zako, tunakuomba sisi wanyonge tusiojua sheria mchungaji anahaki Yakesi kusikilizwa upya, hiyo ngozi inatuumiza baba
Eeh binadamu jamani hofu ya Mungu haipo hata chembe, nashindwa hata kuongea acha niendelee kulia na kumllia Mungu wangu azid kkutea na kkulinda daima na mille. Pole sana askofu na familiya yako yote. Daa! Pole sana baba
Wengine jamani tujifunze hapa, ukipuliziwa sumu ukizinduka, jambo la kwanza ukienda hosp uombe kupewa huduma ya kuondolewa sumu mwilini haraka kabla haijasambaa sana mwilini.
Tumushukuru mungu amekutoa mbali napia sumu emeisha kwamwili but fatilia kesi hawa watu washikwe nitakusaidia maombi but sina lakusaidia God bless you afungue njia ufanikiwe na kesi yako.
Naandika huu ujumbe kwa maumivu na uchungu mkubwa sina cha kukusaidia lakini Maombi yangu kwako naamini Mungu atakupigania ipo siku utaipata haki yako Hakika 🙏🙏🙏
Pole sana Askofu, Mungu uliyenaye ndani yako ni mkubwa sana kuliko hiyo SUMU, amekupigania hadi hapo wewe ni VICTORY, ni mshindi, kinachofata MSHUKURU MUNGU kwa SADAKA.yako maalum,,maana hata ukinywa vitu vya kufisha havitakudhuru kabisa MARKO 16 : 18, sumu imebounce, YESU JUU MUWEZA WA YOTE , hao watu wasamehe 7 mara 70, endelea kumkabidhi MUNGU maisha yako,,,,,,,Please MH Rais wetu, wewe ni mtetezi wa watu wako pale wanapoonewa,,,, msaidie huyu Askof mtumishi wa MUNGU,,,roho inaumia sana kuona binadamu mwenzako anavyoteseka,,,Mh Rais tumeona mazuri mengi uliyowafanyia watu,,,nami naamini utamsaidia, maana wewe unaroho nzuri sana ya huruma..Askof usiwe na HOFU,,,pokea uponyaji wa YESU
Pole sana Mtumishi Wa Mungu. Mungu atawawajibisha hao wote walioshiriki. Rais wetu tunakuombe Umsaidie Huyu Askofu maana wanyonge wanateswa na wachache wenye vyeo.
Vita sio zetu Mungu akupiganie man of God,and those who were behind this they will never have peace neither go unpunished there's God in heaven yote achia Maulana🙏
Mungu halali wala hasinzii anadhirisha ukuu wake popote na kwako pia namuona Mungu ndani yako na maisha yako atakuinua na kukutendea mema Hakika machozi yamenitoka
Pole sana ila kwa Sasa ungeachana na hio kesi ushulikie mwili wako usije Pata mabaya zaidi maana Hao tayari ni maadui zako, mwachie mungu atapigana nao malipo ni duniani
Huyo ni mungu tu aliyokutete sawaa na neno la mungu isaya kila silaha itakayo inuka juuyako haitafanikiwa na kinywa kitakacho kuhukumu kitahesabiwakuwa kimekosa asante mungu kea hili
Wui pole sana mtumishi wa mungu...may they never rest until they repay u everything u hv lost...may God see u through upone kpsaa...may God contunue protecting you from those evil hands...
Binadamu awana huruma akati dunian tuna pita kweli unamfanyia Binadamu mwenzio ivo utafikilia ww utaishi dunian milele mungu amekoponya baba umemshinda shetani sifa na utukufu za zake mungu
Mshukuru mungu unaendelea vinzuri wewe nimtu wa mungu Hilo nijaribu mungu alijua utaliweza achana nayo kabisa hiyo kesi.muombe mungu ndio hakimu wa mwisho atahukumu tu.maana usije ukapotea kabisa
Ushaur wangu madam askof anawajua hao watu asiogope kufatilia kwa kuwa watamuua asiogope mana mungu yupo upande wake hao watu watiwe mbaron tanzania ni ya kila mt haki itendeke jmn.
ALLAH ATALIPA ,,,, BANA ASKOFU POLE SANA YAAANI MTU ADAI HAKI YAKE KISHA AFANYIWE HUJUMA TENA KATIKA AFYA YAKE ,,,, ALAFU POLISI NI MANYUMBU KINYAMA YAANI
When God is on your side no weapon raised against you shall prosper to God be the glory
Hii inaumiza sn😭.Pole sn mtumishi wa mungu😰.Huwezi kuamini km haya yanatokea Tanzania ni aibu sn...na huyu ni mchungaji bado anafanyiwa haya,Je kesi za walalahoi inakuwaje?Nawaza tu🤔
Aiseee huyu baba ni mtu wa IMANI pamoja na yote anayopitia ila hajakata tamaa!Mungu akutete jipe moyo Mkuu askofu
Binadam tumegeuka simba,kweli baba wawatu anepoteza kabisa ngozi yake anahitaji apewe msaada kwakweli
This is truly horrific, but all in all, we give thanks to the Almighty God that he spared the life of this man of God. I hope and pray that justice will will be served and that the culprits will face the full force of the law. Man of God, may the Lord appease you and give you peace in your life. Men and women of goodwill, please come together and help this servant of God get the medication he needs and God will bless you abundantly. May the peace of our Lord Jesus Christ be with you sir.
Waombee tu kwa mungu atawalipa tu
Waliokutesa ni zaidi ya wachawi, Mungu hatawaacha salama, kisasi cha Mungu na hukumu yake itawapata tu Yeremia 30:16, 11:20
Tunakuombea
Amen
Ni heri ya Vita inayoonekana kuliko amani tuliyonayo ya watu wasio julikana
Wasamehe
Pole Bishop,yule aliye kuweka Hai ndiyo huyo atakutetea ,Macho yamungu inaona mbali Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina
Amen
Umeishi kwa muujiza wa Mungu. Mshukuru Mungu. Waombee adui zako. Ni aibu kwa nchi yetu. Ila angalia wasije wakakutafuta kukuua tena
Hawatoweza maana Mungu yupo upande wake na ninaamini watafahamu ukuu wa mungu
Serikali ichukue Sheria. Mwenye hoteli atiwe ndani na huyu bishop apewe ulinzi cos ashatoboa siri.sije wakamvamia wakamuua. Pole Sana Bishop
Waa,,😭😭😭😭😭😭 God is ur fighter,,, he wil never leave u,,, apigane na wanao pigana nawe,, mungu mwenyewe awe adui wa adui zako avenges belongs to HIM
Pole sana!! Mwenyezi Mungu Akufanyie wepesi, wakati wowote ni ujue ya kwamba Allah Anawapenda waja wake na Atakurudisha katika hali yako IshaAllah.
Mungu humlipa mtu sawasawa na matendo yake,na wakati mwingine malipo huwa ni hapahapa duniani hivyo acha Mungu atende ktk hili amini Mungu ataendelea kukushindia Bishop.
Binadamu mnaingilia kazi ya Mungu, Kutoa roho ya mwanadamu ni Kazi ya Mungu. Mindy alivyo mkuu Mmeshindwa. Vyombo vya sheria km mnawaonea huruma waarifu, Tukabidhini wananchi wenye hasira tuwashughulikie.
God will fight for u he have never loss any battle wait and see what God is about to do he is a great GOD.
KILA ALIEHUSIKA ALAANIWE NA WATU WOTE WASEME AMEN.
Ameeeeee
Amen
Ameeeeen
Pole sana Askofu
Polisi wasipokuwa waaminifu ni janga kubwa sana....ila kwa utawala huu na nguvu ya social media...hii imeisha
Wamemgusa mtumishi wa MUNGU wamegusa jicho la MUNGU.
I will be happy when he get all of his right .., I wish all the people who involved like those police officers especial in majengo police to be arrested soon, Mr President we need your say on this , Anna mwigira we need to hear your voice on this
Yaani hata huvyo anajitahidi,mi ninavyisikiliza stori yake machoz
Hiyo sio kazi ya laisi IGP silo hata Hilo linakushinda jmn tumwogope mungu
Mwenyezi Mungu akuponye mtumishi wa Mungu
Mungu ataendelea kukupigania pastor na waliokutendea huu unyama watalaaniwa siku zote za maisha yao,na wasipolipwa wao basi vizazi vyao
Baba askofu Mshukuru Mungu Kwan amekuokoa japo umepita katika magumu na maumivu sana ila naamin utautangaza ukuu wa Mungu na kufanya kazi yake kwa Mara nyingine tena na kwa ushuhuda mkubwa na waliotenda hayo kuaibika milele.Sema amen kama upo nami kumtia moyo Askofu.
Amina
Daaaah Mungu Aendelee Kukupigania Mtumishi 👏🙏🙏
Damu ya Yesu ilio mwagika pale msalabani itapenya kwenye ngozi yako na itarudi yote pale maalabani yalikwisha.
Amen
When the enemy comes in like a flood, the spirit of the Lord will lift up a standard against him. Isaiah 59:19
Pole sana baba mchungaji, Mungu akuwekee wepesi
Hili tukio limeniumiza sana!Mungu akurejeshee afya yako ya ngozi!
Pole sana baba Askofu Mungu yupo pamoja nawe ataendelea kukupigania na kukutetea,na hao watu waliyokufanyia hivyo Mungu atawarudi tu
There is God in heaven who answers all our prayers..He will fight for you mtumishi
Pole sana mtumishi nimeumia sana mwanadamu nimtu ambae hanabadilika mungu akujalie. Dah,
Namshukuru MUNGU kwa ajili yako, MUNGU azidi kukulinda askofu
Mtumishi wa Mungu Mungu akujua, waliofanya kosa Hilo, ni mashetani yaliyotupwa duniani, nina hakika, Mungu amekujibia kupitia SADAKA zako na kweli kama Mungu yupo, atakupa pesa , pesa dhahabu ni Mali ya BWANA. Eee mungu Taz moyo wa huyu mtumishi. Kila neno analolisema Lina upendo, hatoki kwenye reli. 😊
Pole sana askofu. Umepitia magumu. Lakini hata mti unapokatwa huchipuka tena. Mungu atakurudishia hali yako katika jina kuu la Yesu
If God say Yes nobody can say no...dats is a testmonie'Hallellujah glory be to God..🤲
Nalay pole sana baba umepitia magumu nabado mshukuru mungu sana sio sawa nakufa mtumaini mungu ndiye uko nae apo ulipo nami sina lazaidi yakukuombea kwamungu azidi kuimalisha ngozi yako inasha allah muamini tu mungu ipo siku utakuwa sawa
Pole Sana mtumishi wa MUNGU,kweli MUNGU ni MUNGU na atawaai bisha wote waliohusika,
Pole sana Askofu Mimi najiuliza huyu ni kingozi wa dini kafanyiwa hivi sasa watu wengine wa kawaida itakuwa wengi wanapata mateso makubwa sana .Ashukuru ametekwa bado yupo hai wengine wamepotea kabisa .
Naamini utapona,na utalipishiwa na Mungu. Pole sana askofu.
Pole sana B shop Mungu amekutendea na bado yupo kazini atazidi kukutetea Yeye ni Mungu sio mtu atasimama upande wako jamani namfahamu huyu pastor amewahikuja kutufundisha pole sana
Raisi wetu wewe ni baba wawanyonge tunaona sana kazi zako, tunakuomba sisi wanyonge tusiojua sheria mchungaji anahaki Yakesi kusikilizwa upya, hiyo ngozi inatuumiza baba
Eeh binadamu jamani hofu ya Mungu haipo hata chembe, nashindwa hata kuongea acha niendelee kulia na kumllia Mungu wangu azid kkutea na kkulinda daima na mille. Pole sana askofu na familiya yako yote. Daa! Pole sana baba
Pole sana mchungaji Mungu akusimamie
Istqafillah yarabbi waone waja wako wana roh za kinyama mpk sheitwan anaogopa duh mungu akupe wepesi baba angu
I can feel his pain kwakwel nahisi ni kwasabab tu nimwanaume ila mtu unaweza ukaliaa kwakwel anaongea kwa huruma sanaa...like he have nothing left😞😞
Nimemuonea huruma nimelia maskin
Inasikitisha sana
Inauma sana
Askofu nakushauri upige goti na nyoosha mikono juu Mwenyeezi Mungu angeshusha fimbo kwao mpk wangeona bora wangeenda mahakamani. Maana ni haki yko
Kwakweli mungu ni mwaninifu sana kwako baba asikofu..... Na Mungu atokuwacha kamwe.... Amen
Hivi Inakuaje askari anang'ang'ania file utasema yeye karani wa mahakama! Wapeleke kesi Mahakamani ili haki itendeke. Period
The lord is with you powerful man of God more prayers from uganda you will be healed in jesus name amen
Wengine jamani tujifunze hapa, ukipuliziwa sumu ukizinduka, jambo la kwanza ukienda hosp uombe kupewa huduma ya kuondolewa sumu mwilini haraka kabla haijasambaa sana mwilini.
kweli kbc my
C mpaka ujue
Paka ujue my maana yey angejua mapema yasinge mfika haya yeye alijua yupo mzma
Sasa c ile kutokujua jaman
Na ndio maana nasema tujifunze kutokea hili,
Tumushukuru mungu amekutoa mbali napia sumu emeisha kwamwili but fatilia kesi hawa watu washikwe nitakusaidia maombi but sina lakusaidia God bless you afungue njia ufanikiwe na kesi yako.
Pole sana kaka m mungu atakupa nguvu hakuna kisicho wezekena
Allah atakufanyia wepesi mtumishi Dah ama kweli binadamu ni hatari sana
Bina adamu ni wanyama mnoo. Mungu yupo nawe insha allah
Naandika huu ujumbe kwa maumivu na uchungu mkubwa sina cha kukusaidia lakini Maombi yangu kwako naamini Mungu atakupigania ipo siku utaipata haki yako Hakika 🙏🙏🙏
Pole sana Askofu, Mungu uliyenaye ndani yako ni mkubwa sana kuliko hiyo SUMU, amekupigania hadi hapo wewe ni VICTORY, ni mshindi, kinachofata MSHUKURU MUNGU kwa SADAKA.yako maalum,,maana hata ukinywa vitu vya kufisha havitakudhuru kabisa MARKO 16 : 18, sumu imebounce, YESU JUU MUWEZA WA YOTE , hao watu wasamehe 7 mara 70, endelea kumkabidhi MUNGU maisha yako,,,,,,,Please MH Rais wetu, wewe ni mtetezi wa watu wako pale wanapoonewa,,,, msaidie huyu Askof mtumishi wa MUNGU,,,roho inaumia sana kuona binadamu mwenzako anavyoteseka,,,Mh Rais tumeona mazuri mengi uliyowafanyia watu,,,nami naamini utamsaidia, maana wewe unaroho nzuri sana ya huruma..Askof usiwe na HOFU,,,pokea uponyaji wa YESU
Mungu atakupigania baba endelea kujipigania afya yako 🙏
Inauma sana, pole Mtanzania mwenzangu Mungu Mwenyezi akupiganie kwa kutumia watumishi wake waliopo selikarini.
Duuh inauma Sana Askari wanajuwa yote walio kunganisa mpango kushambuliwa inakatisha tamaa kwa haki
Waachie Mungu...They will never see peace in their lives.
Pole sana Mtumishi Wa Mungu. Mungu atawawajibisha hao wote walioshiriki. Rais wetu tunakuombe Umsaidie Huyu Askofu maana wanyonge wanateswa na wachache wenye vyeo.
Yaan hapo ulikua na vita yakiroho umewashinda wakaona wakufate kimwili. Usiludi nyuma nenda mbele shetan yuko kazin Sasa.
Kweli kabisa yaani hii ilikuwa ni gelesha tu shetani ni mpumbavu
Pole sana baba mungu hakusaidie upone
Vita sio zetu Mungu akupiganie man of God,and those who were behind this they will never have peace neither go unpunished there's God in heaven yote achia Maulana🙏
Nakuombea, na Yesu aizidi kukuimarisha siku hadi siku kwa utukufu wake. Amina
Ipo cku ukashangaa unaludi kwenye hari yak cku hio cm ikiisha nguvu we muombe mwenyezi Mungu tu atakufanyia wepesi ishalah
Askofu mungu akupiganie na hao wanaokupiga Mungu afanye njia zao ziwe utelezi na wakose Amani Hadi waombe msamaha
Pole sana father Mwenyezi Mungu akusimamie 🙏
Mungu halali wala hasinzii anadhirisha ukuu wake popote na kwako pia namuona Mungu ndani yako na maisha yako atakuinua na kukutendea mema
Hakika machozi yamenitoka
Hakika Mungu unatutetea mno.
Nimefurahi kusikia ngozi yako itarudi mungu ni mwema
Daaah achen Mungu aitwe Mungu mipango ya mwanadamu ina mwisho Kazi ya Mungu haina mwisho utarudia hali yako kiafya na kiuchumi mara mia Mungu yu nawe
Ata hainingii akilini polis kukwepesha kesi na viongozi wao wapo inaumiza sana
No weapon formed against you shall prosper in it's mission. God is on your side
Nimeguswa, nimeumia, Bwana yesu kristo ninaomba uwaibishe wote waliyotenda unyama huu
Pole sana ila kwa Sasa ungeachana na hio kesi ushulikie mwili wako usije Pata mabaya zaidi maana Hao tayari ni maadui zako, mwachie mungu atapigana nao malipo ni duniani
Huyo ni mungu tu aliyokutete sawaa na neno la mungu isaya kila silaha itakayo inuka juuyako haitafanikiwa na kinywa kitakacho kuhukumu kitahesabiwakuwa kimekosa asante mungu kea hili
Wui pole sana mtumishi wa mungu...may they never rest until they repay u everything u hv lost...may God see u through upone kpsaa...may God contunue protecting you from those evil hands...
Kuibiwa 1 Million imeleta gharama ya karibu Millioni 200...
Mungu angali na makusudio na maisha yako mtumishi. Ni kumshukuru Mungu sana kwani ungali hai. Mungu akuonekanie upate huo msaada.
Binadamu awana huruma akati dunian tuna pita kweli unamfanyia Binadamu mwenzio ivo utafikilia ww utaishi dunian milele mungu amekoponya baba umemshinda shetani sifa na utukufu za zake mungu
Yani nimeishiwa nguvu leo ndio nimekujua nilikuwa na kusikiaga tu ila nimeumia sana mungu yuko utashinda pole mchungaji
Binadamu🙏🏼🙏🏼🙏🏼Mungu tupe mioyo ya huruma
Mshukuru mungu unaendelea vinzuri wewe nimtu wa mungu Hilo nijaribu mungu alijua utaliweza achana nayo kabisa hiyo kesi.muombe mungu ndio hakimu wa mwisho atahukumu tu.maana usije ukapotea kabisa
Ni Zambia kubwa Sana pole Sana babaangu mungu atatenda miujiza juu yako,hapo haki uko wapi? Wanyonge tunaonewa
Hapo mchezo umechezwa na OCD,OCS,pamoja na kampuni ya ulinzi wamepiga pesa ili kuizima kesi.
Acha wajifahalishe hapa dunia lkn mungu anawangoja
Pamoja na mwenye hotel
Kitu his kinanishanga nikwamba badala ya ulipe mtu haki yake unaenda kuhonga polisi
Mwenye hotel nae anahusika
Hiyo hela walihonga huko siwangemlipa tu hivyo vioo
Pole sana Askofu.....Mungu anawewe na utapata ushidi wa Mungu....endelea kumutumainia
Wamegusa mtumishi wa Mungu, Mungu atatenda
Mungu yu juu askofu polisi wamezoea kupotezea kesi tu but Mungu hajakusahau kwetu Kenya mambo ni hayo tu pole sana
Pole bishop.
Ni mapito magumu katika maisha! Mungu yupo, na ni mwema kwako.
Aisee..!!! Mungu atakusaidia. Inaumiza sana. Justice delay is justice denied.
Pole sana mungu yuko pamoja na ww utapona tu hayo yote mithihani tu
Usijali jasho la mtu aliliki hivi hivi ipo siku italipa tu kiukweli inauma sana pole sana mungu atakushidisha kesi utashida
Anajielezea vizuri Sana
Mungu akubariki sana mtumishi wa MUNGU
pole sana mtu wa Mungu, katika jina la YESU tunakuombea upone
Namwomba Mungu Mh Rais asikie.
Dah pole sana .rahis baba msaidie hyu askofu
Pole xna babangu ila Mungu yupo na ulipo toka ni mbali naimani mwendo utaumaliza tu yote ni mtihani tu ila jipe moyo tu yataisha
Ukimkuta binadamu mwenye roho mbaya ni bora ukutane na simba anaweza kukuacha kuliko mwanadamu
@Happy Nicholaus Ni kweli binadamu wengine ni zaidi ya wanyama.
Kweli
Mungu ni mwema atakujibu
Magufuli needs to hear this Jaman 😩🥺
Pole Sana askofu mwenyezi Mungu azidi kukutetea
Imeniuma xanaa, pole mtumishi mungu hatatenda miujiza yake
Pole sana mtumishi gharama ni kubwa sana, naomba serikali ikusaidie
Ushaur wangu madam askof anawajua hao watu asiogope kufatilia kwa kuwa watamuua asiogope mana mungu yupo upande wake hao watu watiwe mbaron tanzania ni ya kila mt haki itendeke jmn.
Nchi mbaya sana hii, hata mtumishi wa Mungu hayuko salama!, hatari!
Yaani yaani hawa askari mungu awashugulikie tu
Mtumishi tumia na virutubisho vya NEO LIFE pole sana baba
ALLAH ATALIPA ,,,, BANA ASKOFU POLE SANA YAAANI MTU ADAI HAKI YAKE KISHA AFANYIWE HUJUMA TENA KATIKA AFYA YAKE ,,,, ALAFU POLISI NI MANYUMBU KINYAMA YAANI
Global mbarikiwe Sana saut za wanyonge zinasikika