#EXCLUSSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 152

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 หลายเดือนก่อน +15

    ikibidi, basi wanawake watengewe sehemu yao, ila sio kuchanganyika na wanaume

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ule utaratibu wa coco beach wa watu kutiana vidole unaanzq

    • @ArRahman-ih1pi
      @ArRahman-ih1pi 7 วันที่ผ่านมา

      Sahihi iyoo

  • @NaimFabric
    @NaimFabric หลายเดือนก่อน +12

    Msihukumu kwa kejeli na kashfa mkamilifu ni Allah pekee njia ya kumuongoza kwa wema

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 23 วันที่ผ่านมา +4

    Tafadhali dada Usituvunjie Heshima zetu sisi hatuhofii hatari

  • @dulrinao8995
    @dulrinao8995 22 วันที่ผ่านมา +3

    Oohhh good job sis @ albainy keep it up, so long as you are not misbehaving,alhamdulillah.

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 29 วันที่ผ่านมา +6

    Keahiyo ulianza na baibui mom kweny trouser kesho kutwa tunakuona kitovu nje mapaja nje allah akuongoze

    • @samwa9496
      @samwa9496 12 วันที่ผ่านมา

      Utaogelea na buibui mtandio ukikukaba ndani ya maji

  • @arafatsalum-f8h
    @arafatsalum-f8h หลายเดือนก่อน +14

    Mche Allah dada yngu Mimi nkushauri kama huna kazi ya kufanya nende kaisome dini yko ni vip mwanamke wakiislam antakiw kuish

    • @faiso1cadeey397
      @faiso1cadeey397 28 วันที่ผ่านมา

      Kkkkkkkjkkkkkkkkkkkk😂😂😂😂❤

    • @AmbreenNaufal
      @AmbreenNaufal 26 วันที่ผ่านมา +2

      Yàan tungekuwa karib ningekuagiza ata soda......umeongea point sanaaà

    • @arafatsalum-f8h
      @arafatsalum-f8h 20 วันที่ผ่านมา

      @@AmbreenNaufal hhh inafika huku

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 19 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤🎉🎉😂😂gud pont

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 16 วันที่ผ่านมา

      Hebu muacheni hicho ni kipaji chake asinge pata umaarufu Leo ukamuona hpo watu wanatafuta riksi ukisema upate Cha halali utachelewa cn ni mungu tu atawasamehe

  • @afrahali1233
    @afrahali1233 หลายเดือนก่อน +32

    Kuogolea ni rukhsa kwa wanawake lkn uharaam unakuja hapo wanapochanganyika na wanaume .Watafutiwe sehemu yao wanawake peke yao ya kuogolewe na sio kuchanganyika na Wanaume.

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 26 วันที่ผ่านมา

      We vip mbona unapo lala kitandani huweki vitanda viwili uweje burudani pawe nakitengo wanawake niwabovu ila kunavitu wanaweza wehuwézi

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@simbaedouardo8499unatakiwa utofautishe mke kwenye ndoa na mwanamke wa kando niharamu kuchanganyika wanawake na wanaume ambao hawastahili kuchanganyika

    • @manjemk8331
      @manjemk8331 25 วันที่ผ่านมา

      Hujui usemalo mungu akusamehe tuu​@@simbaedouardo8499

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 21 วันที่ผ่านมา

      ​@simbaedouardo8499kwa muktadha wa dini ya kiislam.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา

      Inamaana ww na ndugu zako wakike mlikua mnalala kitanda kimoja?

  • @omarnzee1014
    @omarnzee1014 28 วันที่ผ่านมา +3

    Usihamasishe dada wa kiislamu kwenye machafu nakuusia uisome dini na kumcha Allah na usione unalolifanya ni fahri au sawa kwenye dini

  • @latifasuleiman7527
    @latifasuleiman7527 หลายเดือนก่อน +7

    Hilo nikosa kidini halafu ni hatari kwa afya yake

  • @jamilanassor6975
    @jamilanassor6975 23 วันที่ผ่านมา +3

    Ume pata faida ipi wacha hiyo siyo sawa kwaww haikupi faida

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni aibuu kwa mwanamke ni auraa mwanamke hatakiwi afanye hivyoo mwenye kujistiryy😢😢ila kama tutakoseyq tusameheyane😢

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา +2

    Kama uliwashajihisha wanawake wenzako una share yako kwa Mungu hata kama utakuwa haupo tena duniani,ukishajihisha mazuri utalipwa mazuri na ukishajihisha mabaya utalipwa mabaya mbele ya ALLAH

  • @JokhaSimon
    @JokhaSimon 16 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ni vzuri sana ila mtandio usivae tafuta kofia zipo

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 หลายเดือนก่อน +6

    Juwa kuwa unahatarisha maisha yako, siku moja utakuja kuniambia au kutuambia. Siwezi kusema zaidi.

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli hivo.mwanamke tulia

    • @hummymgaza6915
      @hummymgaza6915 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo wanaume hawahatarishi maisha ila akiwa mwanammke ndo anahatarisha maisha 😂

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 22 วันที่ผ่านมา

      @@hummymgaza6915 pole kwa kutokuelewa na kutetea.
      Kuna kijana alikuwa hapo kachumbe hiyo hapo Forodhani. Kwa bahati mbaya akapata injury/ajali hapo, akapooza mwili mzima kuanzia shingoni. Masking namuonea huruma. Na matibabu yake ni magumu sana.
      Namwomba Mwenyezi Mungu asitufikishe huko, unafikiri ingekuwaje kama ni wewe.
      Tahadhar kablal-athar. Angalia athari -risk factors za kila kazi unayofanya. Mimi ninaekwambia ni daktari nakutahadharisha kama mwanamke mwenzako, kama ndugu yako katika imani. Nakuhurumia kama mwanangu, ujana ni maji ya moto watu husema. Jihurumie na nakuusia kama ninavyousia nafsi yangu. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi insha'Allah

  • @ZulfaIsmail-w1d
    @ZulfaIsmail-w1d 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mtoto wakike kwakujitoa mhali

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora หลายเดือนก่อน +4

    Kama umeamua kufanya swimming basi nunua loose swimming suit. Hijab hatari hiyo kwa kuogelea

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 18 วันที่ผ่านมา +2

      Zipo nguo maalum sikuhizi kwa wanawake wa kiislam

  • @RamadhaniMkimbilile-z8t
    @RamadhaniMkimbilile-z8t 16 วันที่ผ่านมา +1

    Waislam tukasome dini yetu
    Huwez jua kama huyo dada amekosea ama laha ikiwa hujasoma dini yako

  • @salma_74
    @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

    Maadili hakuna kwanza mchanganyiko ikisha kivazi maana mara full coverage mara modern coverage. Na alicyosema kuwa ati nchi za nje wanafanya sio kila kinachofanywa nje za nje ni kivuri. Kuhamasisha wanawake wenzako sio kitu kivuri. Kutafuta maisha ni vizuri lkn tukumbuke tutaondoka

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hata uogelee na baibui haifai. M’ke wa kiisilam hairuhusiwi, ukikoga nguo hua zinakamatana na mwili na kuonyesha maungo yako. Na kumbuka upo nje hata wanaoeza kukuoa wanakuona.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา

      Na hata kwa w’me wanaoogelea na bukta zilokua fupi juu ya magoti haifai.

  • @zoab2699
    @zoab2699 หลายเดือนก่อน +2

    Si bora ungenda chuoni akuhifadhi quraan

  • @Hawa-rt3jl
    @Hawa-rt3jl 9 วันที่ผ่านมา

    Sio mbaya lkn wanawake watengewe sehemu yao

  • @singasingasingasinga3973
    @singasingasingasinga3973 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani ujingamtupu vijana na wasichana wa nchizamagharibi kilasiku wanaumizakichwa kufanya maendeleo

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt 11 วันที่ผ่านมา

    Kupiga makachu ndo nn!?

  • @ZuweinaSalim
    @ZuweinaSalim 7 วันที่ผ่านมา +1

    Inamana nyinyi nyote ni wasafi mna mambo mabaya zaid hamsemi yenu

  • @Bimkubwa-s9q
    @Bimkubwa-s9q 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sio mzanzibari huyo

    • @salma_74
      @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

      Nakuunga mkono maana MZANZIBARI Kamili hawezi kufanya 100%

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 11 วันที่ผ่านมา

    Ndugu yangu unaazisha kundi ila unajitengenezea moto cz wafuas wanawza kutumia fursa ya kufanya maovu

  • @suleimanissa2089
    @suleimanissa2089 หลายเดือนก่อน +1

    Muendelee hivyo hivyo kumuasi Allah , kesho yaumul qiyama mutayaona makachu

  • @MattarBakar
    @MattarBakar 28 วันที่ผ่านมา +2

    Lakini mbona amejistiri vzuri tu?

    • @mussasaidhamad1891
      @mussasaidhamad1891 25 วันที่ผ่านมา +2

      @@MattarBakar kaka kujistiri wajua au wasema tu mtu wamuona nyonga iko nje huyo

    • @salma_74
      @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

      Anajistiri na kuvua maana shape yake inaonekana. Halafu kuwa mwislamu tena mzanzibari kufanya hivyo ni aibu kwake na familia. Pesa sio kila kitu.

  • @AbassAbdalla-e7j
    @AbassAbdalla-e7j หลายเดือนก่อน +2

    Usihukumu hivyo

  • @rashidsam511
    @rashidsam511 29 วันที่ผ่านมา +6

    Huyo sio mwanamke wa mwanzo kupiga makachu kwasisi wenyeji wa forodhani

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 29 วันที่ผ่านมา

      @@rashidsam511 hao wte niwashenz kama yeye mwanamke unaogeleaje mbele za wanaume kibao kama sio ushenz ninini
      Mwanamke akiroa nguo zake huchora mwili
      Wake kwamwanamke anaejiheshim hawezi ogelea mbelea mbele za wanaume
      Huyu nimshenz kama washenz wengine

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 17 วันที่ผ่านมา

      UJUE KUNA WATU WAZANZIBARI ILA WAGENI HAPA ZBAR AIDHA WALIKUA MAENEO MWENGINE NDIO WANAANZA KUKOSA KILA KITU WANACHOONA WAO HAWAKITAKI MIMI NIMESOMA TUMEKUJA NDOGO 1970 RESSES MCHEZO WETU FORODHANI WATOTO WA KIKE WAKIOGELEA NA KUPIGA KACHU ILIPO KUNYWA FLOATING RESTAURANT KUNA MTOTO ALICHUPIA KWENYE NONDO NDIO IKAWEKWA MARUFUKU. SASA KIZAZI CHA 2000 NDIO HAWAJUI HIYO HISTORIA NA ALIE MUOKOA PALE NI KIJANA AKIITW NOUSHAR AKIKAA MALINDI.

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli kabisa

    • @salma_74
      @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

      Kama kweli wewe ni Mzanzibari haswa utajua kama anavyofanya huyo mwanamke ni sawa au laa. Maana sio teenager bali ni adult

  • @IbrahimMussa-g6l
    @IbrahimMussa-g6l 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ushauti achana na iyo michezo sio swa kwa mwanmke wala sio uhodari stara unahisi itakuepo hapoooo

  • @AishaSuleiman-h4j
    @AishaSuleiman-h4j 10 วันที่ผ่านมา

    Sio kuogelea tu wanawake tinaweza mambo mengi ila tatizo linakuja maeneo hayaturusu ss wanawake ukitizama ss wanawake tunataka heshma na sitara mchnganyiko ni haramu .Sehemu nyingi nchini kwetu zinawafeva wanaume mazingiza hajaturuhusa

  • @abdillahimohd8614
    @abdillahimohd8614 หลายเดือนก่อน +4

    kaanza makachu na mabuibui, baadae pedo kesho bukta bas tayari tushamkosa

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 12 วันที่ผ่านมา

    SASA UYO DADA NAPO SEMA MCHE ALHA KAKWAMBIA MUNGU WAKE KASAHAU YUPO KAZINI DADA YETU KIFIKA MDA WA SWALA AYUPO APO NA NANIPENDA DIN YAKE

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nenda kawachokoze Wapemba na Maadili yao

  • @anisawahyi2940
    @anisawahyi2940 10 วันที่ผ่านมา

    Kwanini msitafute sehemu Nyengine ya kuruka nyie wanawake tu ili musichanganyike na wanaume

  • @salma_74
    @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

    Umri wako ni wakujitambua sio kukurumbuka kufanya mambo ya upuuzi.

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 23 วันที่ผ่านมา +1

    Asitutie Aibu zanzibar Sote kupiga makach tunajua

  • @rajabuhassani4504
    @rajabuhassani4504 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani faida yake nini kwako mpaka uminyane.? Athari za utalii hizo.

  • @singasingasingasinga3973
    @singasingasingasinga3973 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mwanamke naamini ukimpa milioni10 hajui chakufanya

    • @baloz8974
      @baloz8974 29 วันที่ผ่านมา +1

      Hebu jaribu kumpa tumuone kama hatofanyia kitu

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 29 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo kwani ana familia jman? Wamekuelewa au kushawashinda hawakuwezi Tena ?

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา

      Alibishana na wazazi wake mpaka wakaona wazazi hili ni fungu la kukosa liache lende

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 16 วันที่ผ่านมา

    Ukisikia mcharuko ndo huyu, yeye na majuba yake hawaoni hata aibu, wakati hapo kuna mabalehe wanaogelea hapo nayeye anaenda hapohapo, ndomana hamuolewi

  • @latifasuleiman7527
    @latifasuleiman7527 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuomba wapemba waache usiwashauri hivo

  • @SheikhAly-v9f
    @SheikhAly-v9f 15 วันที่ผ่านมา

    Uyu dada anatabua mbaya pia afai ktk jamii yetu pia asome dini ajuwe nini anaitajika kufanya

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 หลายเดือนก่อน

    Vikisi si kazi wala mwanangu simruhusu kwenda vikosi ,vikosi kz ya kishenzi

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket หลายเดือนก่อน

    Uvae maova roli ili usionekane sehemu ya kiuno na tumbo tumeona hapo blauzi imesogea juu unapoingia kwenye maji

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 22 วันที่ผ่านมา

    Mwanmke anaongea kwakujiamin sanaa

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj หลายเดือนก่อน +1

    SS ww umejiajir nn apo 😂😂lbd ulita uonekane mwanamke WA kwanza kuogelea😂😂

  • @singasingasingasinga3973
    @singasingasingasinga3973 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenyekaziyake hasa hawezikufanya hivi nawengi wapelelezeni

  • @MishaHass
    @MishaHass หลายเดือนก่อน +1

    Ana HASHUO tuu wala hapendez😏ndonn

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani wanaongea nn siskii hata kdg au cim yang nimbovu jaman

  • @singasingasingasinga3973
    @singasingasingasinga3973 หลายเดือนก่อน

    Yaani wazungu washatumaliza ilasisi hatui

  • @aliissa-je6gt
    @aliissa-je6gt หลายเดือนก่อน +1

    Tafuta bwana akuowe ukae kwako musitake kutuharibia nchi yetu

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mwache apige makachu bado tutaendelea kuipeperusha bendera ya zanzibar, makachu forodhani yapo Enzi na enzi

    • @salma_74
      @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

      Je ingekuwa dada yako ungesema hivyo hivyo

  • @MohammadMohammad-n2q
    @MohammadMohammad-n2q หลายเดือนก่อน +1

    Mbara huyo

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni หลายเดือนก่อน +5

    Damu halisi ya kizanzibar hairuhusu hio hali muulizeni vizuri anapotokea.

    • @HamisMberwa
      @HamisMberwa หลายเดือนก่อน +2

      Wewe huwajui wazanzibar Nenda Urowa

    • @YussufSuleiman-i5i
      @YussufSuleiman-i5i หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo Zaman sio leo

    • @AishaSaid-l2w
      @AishaSaid-l2w 27 วันที่ผ่านมา

      Kitu Kibaya ni kujichanganya 2🤝

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา

      Siku hzi ndugu zetu wa Pemba mnafanya llte mpaka mitandaoni mnaingia mkakata viuno na wengine na waume zenu. Wenyewe mnasema mmechangamka

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา

      Na ukimchunguza pengine anatoka huko huko

  • @aminasoud7797
    @aminasoud7797 หลายเดือนก่อน +1

    Usitake kutuuwa huwezi kuja tuu ukajitupa utauwa watu wewd

  • @AliyMansa
    @AliyMansa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwehu huyu

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 20 วันที่ผ่านมา +1

    Sioni makosa amejistiri. Lakini anaongea sana khaa😂

    • @salma_74
      @salma_74 11 วันที่ผ่านมา

      Unauhakika hiyo ndio stara au

  • @mrpeace8419
    @mrpeace8419 หลายเดือนก่อน +3

    Mshenzi uyo akawasaidie wazee wake kupika hana adabu 😢

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo sio mzanzibar malaya wa bara

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 หลายเดือนก่อน +3

      Acha upumbavu wenu dhidi ya bara,, kama Malaya limepatikana kwenu malizaneni nalo...

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy หลายเดือนก่อน +1

      Bila mwanaume mwanmke hawezi kua Malaya sasa una akili umenielewa

    • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
      @mwanamkeshujaabongoflavama7180 หลายเดือนก่อน +1

      Na zuchu nae ni mtu wa wapi

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@mwanamkeshujaabongoflavama7180zuchu mnyamwezi wa tabora zanzibar ni muhamiaji haramu

  • @latifasuleiman7527
    @latifasuleiman7527 หลายเดือนก่อน

    Lazma wageni wapende😅

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 หลายเดือนก่อน +2

    Hana bikra uyo...📌📌📌 yan mm na bikra yng nkapige makachu foro!!!😕😕 afu mzanzibar gan asojieshim😒😒😒🤔🤔

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis หลายเดือนก่อน

      Kwan bikra ni nn

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy หลายเดือนก่อน +1

      Bikira hata kwa salehe madawa zipo..we.unaringia bikira Dunia ya saivi 😂😂😂😂

    • @baloz8974
      @baloz8974 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@AminiMsellem-gk3yy😂😂😂😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 29 วันที่ผ่านมา

      @@saumuabdallah198
      Mko wengi wazanzobari msiejiheshim
      Huku Bara tunae huyu malaya mwenzenu kutwa kuanika uchi zunyo wahuko huko kwenu em tokeni hapa mko wengi mno
      Zanzibar heshima na maadili ya dini ilikua Zaman nasio sasa
      Nyie ndo mnaongoza kuziniwa nyuma
      Kwalengo la kuibakiza bikra siku yakuolewa
      Mnadai kuficha aibu na fedheha

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 29 วันที่ผ่านมา

      @@saumuabdallah198 mwanamke anaejiheshim
      Hawezi vaa makorokokoro mwilini kama mikucha kope minyoya kichwani lkn sasahivi nyie mwavaa
      Hamna maadili yyte niwashenz kama washenz wengine ipokua wachache nahii nikwawake wote

  • @singasingasingasinga3973
    @singasingasingasinga3973 หลายเดือนก่อน +2

    Akili zishazubaa fanyeni kazi kilasiku munatekwa nyinyitu akili?

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 หลายเดือนก่อน

    Lakini mtoto wa ki Islam ni lazima ujistiri kwa sababu mavazi unayo ya vaa yana kuwa hayana stara, bora uvae nguo ilio na stara

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 24 วันที่ผ่านมา +1

    Anatafuta fursa kupitia utaratbu mmbovu

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 หลายเดือนก่อน

    Wanawake oyee vazi sahihi pambana unaweza MANSHAALLAH

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 หลายเดือนก่อน

    Kwanza dada kabla kwenda Pemba,waombe wakuu wawaruhusu vijana kupata fursa ya kuogolea hapo WETE -PEMBA

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u หลายเดือนก่อน

    Mbara

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman หลายเดือนก่อน +1

    Hana adabu

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu หลายเดือนก่อน

    Anapepo chafuhuyo sio bure itakua amerogwa

  • @Mamaboys-m7x
    @Mamaboys-m7x หลายเดือนก่อน +1

    Wapi wamekataza kuogelea swala si amejistiri

    • @aishanassor8057
      @aishanassor8057 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna stara hapo
      Nguo zikisharowana stara iko wapi?
      Mchanganyiko wanawake na wanaume kuna stara gani hapo
      Muhim kuwe na sehem yao wanawake pepke yao na wanaume hawaendi huko hata kuangalia iwe wanawake watupu

  • @AbassAbdalla-e7j
    @AbassAbdalla-e7j หลายเดือนก่อน

    Wewe saumu bikira unayoo

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 หลายเดือนก่อน +3

    Atafute vazi lakurukia mbona yapo ya stara hilo abaya sio mahala pake

  • @bas2823
    @bas2823 หลายเดือนก่อน

    GO AHEAD N DRIVE N SWIMMING"! DONT GIVE UP" DONT LISTEN TO THOSE WHO KEEP FEMALES TO BE IN THE KITCHEN TO COOK N TAKE CARE OF THE FAMILY N HOME ONLY"! KEEP IT UP" DO IT"! N DONT GIVE UP" PLEASE👌 KEEP IT UP"!👍😍😆! SWEETIE"💖🤍👌🌷🌹🌻🙏"! PROUD OF U FEMALES"😍😆👌"

  • @Asiya-w8b
    @Asiya-w8b หลายเดือนก่อน +1

    Kuogelea sio dhambi tunaruhusiwa hat ss wanawake kuogelea musimuhukumu bure Hakuna cha ajabu hapo

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 29 วันที่ผ่านมา +2

      @@Asiya-w8b
      Wewe nimshenz waonekana kama yeye
      Naunaonekana
      Huna malezi mazur namaadili huko kwenu bint aliefunzwa hawezi jinyea hivi
      Sasa umeruhusiwa ndo ukachanganyike na wanaume nani kakuruhusu hivyo ukoo wako ama

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 25 วันที่ผ่านมา +1

      Maadaili ya mtanzania aliyepata malezi sahihi ya wazazi au jamaa zake hawezi kwenda kujichanganya na madume pale vyenginevyo huyo ni kivuruge au wazazi hawana kauli juu ya huyo mtoto baba au mama akiongea moja mtoto anaongea kumi na moja