Ume explain vizur lakin fanya research za facts kabla hujazitoa, army yes ni 17-40 lakin marines ni 17-27 na ndio jeshi gumu kuingia na pia inategemea kama ni officer au enlisted mm niliingia Marines kama enlisted na baadae nikabadil nikawa officer na sheria za officer za kuingia ni tofaut pia lazima uwe na Bachelors degree sio form 4 na lazima uwe raia wa marekan mwenye uwez wa kupata secret clearence kutoka usalama na sio greencard
Mshana tunampa hongera kwa mafanikio ya sasa. Usibweteke. Waswahili waliisha wahi kusema "USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO". Kwakuwa leo umebadilisha maisha kwa kiwango ambacho hukutegemea,ukumbuke yapo maisha mengine yanakuja. Maisha yanayokuja yanaweza kuwa mazuri zaidi ya haya ya saa au vinginevyo. Historia ya mambo ya huko watu wanayo.... Hongera sana...Nakushauri ukumbuke huo msemo wa WAHENGA hapo juu.
Mshana ni mkweli mimi nilitembelea Marekani katika State Connecticut New York na Washington DC nilikaa almost kwa mwezi, kazi zipo la muhimu ni watu kujiongeza,wa Kenya waganda na wanegeria wako mbele.
Jamani hata jeshi la Tz halina tofauti na uko zipo sekta zote ht mnaona kaxi zao wanajenga majengo mpk ikulu wamejenga km ni hodp zipo nyingi za jeshi madaktari ni wanajeshi mpk wanasaidia kutoa huduma kwa raia Tatizo waTZ huwa hamfanyi tafiti nchini mwenu kwanza mnapenda kusifia sn nchi za ughaibuni wakati hayo mnayoyaeleza hp tz yapo na yanatendeka kitu km hukufatilii utafiki hakipo kumbe kipo miaka yote Hapa TZ Ukiingia jeshini itategemea na elimu yako umemaliza chuo umesomea nini ? Utafanya mafunzo ya jeshi halafu utahudumu kwa fani yk km mwanasheria , inginia ,accountant,mwl , Dr utahudumu jeshini kutokana na fani yk , SUMA JKT Mnawaona mpk kilimo jeshi linaongoza Elimisha watu kwa kuwa na utafiti wa kutosha kucompare na nchi yk pia epukeni zana yakufikiria ukiwa marekani au nchi yyt ndio utatoboa maidha yako si kweli jamani Wapo watu wameishi ulaya zaidi ya miaka 20 hadi wamezeeka wamerudi Tz wana afya njema ni kulalamika hk ughaibuni life ni ngum tunao nfugu zetu kbs Mtu kakuta aliowaacha wana life yao inajitosheleza kumudu life yk ,hio zana ya kutafuta mke / mme mzungu ndio utoboe ni zana imepitwa na wakati sio Tz hii wako wengi wameumia na hio zana ulaya ndio kuna mafanikio Ukitaka mafanikio ht Tz wako watu wamefanikiwa zaidi ya nyie mlioko ughaibuni
Ila mwamba anajua kujielezea sana nakingine nilichokipenda anayemfanyia interview yupo vzr sana ana maswali ya kizushi anauliza maswali ambayo hata sisi wazikilizaji unapata ushawishi wakumsikiliza.ongera sana mshana
Kuna Mshana The Blacksmith na Dogo Jack wa U.S.A japo siku hizi amepotea ila ni Wana ambao wamemaliza mabando ya Vijana wengi sana huku Bongo By the way Big Up Sister kwa kazi nzuriiiii 💥
Mashalah mashalah mashalah naona unapendeza asaiv..kweli ata mim natamani Sana namimi ningekuwa mwanajeshi marekani.. inshallah mungu atabariki one day
Dogo nimekuelewa sand ninachonikera nikumwambia mtoto washable kwamba umefeli wangebadisha neno kufeli wakaweka neno lingine ukimwambia mtoto umefeli anajua maisha maisha yake ndobasi kumbe kufeli masomo sio kufeli maisha
He is very right. Nilifindishwa Biology na Mathematics na wamarekana kidato Cha pili na tatu. Topic Moja tulikuwa tunafundishwa Muda mrefu sana wakitaka Kila mmoja aijue.
Tunashukuru kwa mafunzo mazuri,ila mwanamke wa kizungu haaminiki saana anaweza akawa na wewe kwa muda mrefuuu.Lakini unapokuwa tajiri huwa wanabadilika na kukupora Mali.
Nafikir hapo kwa Mkenya tumeona tofauti ya wenzetu na sisi waafrika,hizo ndio tabia zetu wa afrika tunavyonyanyasana Shuleni na Vyuoni,hizo ndio tabia zetu na ndio maana disco tu
Ume explain vizur lakin fanya research za facts kabla hujazitoa, army yes ni 17-40 lakin marines ni 17-27 na ndio jeshi gumu kuingia na pia inategemea kama ni officer au enlisted mm niliingia Marines kama enlisted na baadae nikabadil nikawa officer na sheria za officer za kuingia ni tofaut pia lazima uwe na Bachelors degree sio form 4 na lazima uwe raia wa marekan mwenye uwez wa kupata secret clearence kutoka usalama na sio greencard
NAKUMBUKA MWAKA WA 2002 LILIKUA GIMBO LA TEXAS MJI NI SAN ANTONIO NIPO KWENYE MALL NILIFATWA NA OFFICER ALIJARIBU KUNISHAWISHI KUJIUNGA NA JESHI LAO MAREKANI NIMEWAKATALIA.
Mwaona ni kitu kikubwa Sana kua mwanajeshi UsA....ata mm ningekubali sababu Kuna uhaba wa kazi Africa ila niutumwa kimpango...Juzi Kambi ya kijeshi Iko Iraq ilishambuliww wanajeshi wa kiafrica ndio walifariki apo kwa Kambi ya kimarekani jama wanakuweka front ama maali atari
Na yule mkenya aliekuwa rais wa kwanza wa USA mmemsahau!!??. mnashangaa kua mwanajeshi wa marekani!!! Huo ni ushamba, America nchi ya aajabu tu wanaishi kama wanyama, wazee wa propaganda!!!...bongo mother land, I love tz...!!
TH-cam channel ya Mshana: th-cam.com/video/JhEsd0XCXJM/w-d-xo.htmlsi=6Ko3uJO2rLFJBKz5
Safi sana, I hope making it to US Army one day, Niko kenya
Ume explain vizur lakin fanya research za facts kabla hujazitoa, army yes ni 17-40 lakin marines ni 17-27 na ndio jeshi gumu kuingia na pia inategemea kama ni officer au enlisted mm niliingia Marines kama enlisted na baadae nikabadil nikawa officer na sheria za officer za kuingia ni tofaut pia lazima uwe na Bachelors degree sio form 4 na lazima uwe raia wa marekan mwenye uwez wa kupata secret clearence kutoka usalama na sio greencard
Mshana tunampa hongera kwa mafanikio ya sasa. Usibweteke. Waswahili waliisha wahi kusema "USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO". Kwakuwa leo umebadilisha maisha kwa kiwango ambacho hukutegemea,ukumbuke yapo maisha mengine yanakuja. Maisha yanayokuja yanaweza kuwa mazuri zaidi ya haya ya saa au vinginevyo. Historia ya mambo ya huko watu wanayo....
Hongera sana...Nakushauri ukumbuke huo msemo wa WAHENGA hapo juu.
I am happy for you Mshana.Mungu anavusha ni subra tu
Kabisa ndugu I testify that
TABORA: FAMILIA WALAZIMISHWA KUFANYIANA TENDO LA NDOA NA WATOTO WAO MBELE YA MTUTU WA BUNDUKI.
th-cam.com/video/sz0SzXHBaZg/w-d-xo.html
Ongera sana kwa mahojiano mazuri,aise tumejifunza mengi, Mungu awabariki kweli.
Hongera sana Mshana sasa fanya mambo ya maendeleo
Mshana ni mkweli mimi nilitembelea Marekani katika State Connecticut New York na Washington DC nilikaa almost kwa mwezi, kazi zipo la muhimu ni watu kujiongeza,wa Kenya waganda na wanegeria wako mbele.
May the Lord God help Tanzania people
Bado yule wabuza pia
Jamani hata jeshi la Tz halina tofauti na uko zipo sekta zote ht mnaona kaxi zao wanajenga majengo mpk ikulu wamejenga km ni hodp zipo nyingi za jeshi madaktari ni wanajeshi mpk wanasaidia kutoa huduma kwa raia
Tatizo waTZ huwa hamfanyi tafiti nchini mwenu kwanza mnapenda kusifia sn nchi za ughaibuni wakati hayo mnayoyaeleza hp tz yapo na yanatendeka kitu km hukufatilii utafiki hakipo kumbe kipo miaka yote
Hapa TZ Ukiingia jeshini itategemea na elimu yako umemaliza chuo umesomea nini ? Utafanya mafunzo ya jeshi halafu utahudumu kwa fani yk km mwanasheria , inginia ,accountant,mwl , Dr utahudumu jeshini kutokana na fani yk ,
SUMA JKT Mnawaona mpk kilimo jeshi linaongoza
Elimisha watu kwa kuwa na utafiti wa kutosha kucompare na nchi yk pia epukeni zana yakufikiria ukiwa marekani au nchi yyt ndio utatoboa maidha yako si kweli jamani
Wapo watu wameishi ulaya zaidi ya miaka 20 hadi wamezeeka wamerudi Tz wana afya njema ni kulalamika hk ughaibuni life ni ngum tunao nfugu zetu kbs
Mtu kakuta aliowaacha wana life yao inajitosheleza kumudu life yk ,hio zana ya kutafuta mke / mme mzungu ndio utoboe ni zana imepitwa na wakati sio Tz hii wako wengi wameumia na hio zana ulaya ndio kuna mafanikio
Ukitaka mafanikio ht Tz wako watu wamefanikiwa zaidi ya nyie mlioko ughaibuni
I like mshana jamn Mungu aendelee kumbariki.... Arudi tena mara ya 4 tupate madini ❤
Hao ndio watangulizi wa mstali wa mbele wenyewe wanakuja nyuma😅😅😅
Ila mwamba anajua kujielezea sana nakingine nilichokipenda anayemfanyia interview yupo vzr sana ana maswali ya kizushi anauliza maswali ambayo hata sisi wazikilizaji unapata ushawishi wakumsikiliza.ongera sana mshana
God is great,congratulation Mr Mshana
Be bless Mr mshana harika
Wow hongera sana kijana wetu kwa kujituma. Keep on going kijana.
Asante Yesu
I appreciate.
@@mshanatheblacksmithhongera kaka
Congratulations brother @@mshanatheblacksmith
Mshana Mshana.nakumbuka ulituadisia ulivyo kwenda Tena tumekuona Tena big up mshana
Kuna Mshana The Blacksmith na Dogo Jack wa U.S.A japo siku hizi amepotea ila ni Wana ambao wamemaliza mabando ya Vijana wengi sana huku Bongo By the way Big Up Sister kwa kazi nzuriiiii 💥
Shukran kaka
Very good, and welldone mpambano kwenye maisha ndo kila kitu🙏💫🫶🫶
Sera ma katiba za wamarekami ni nzuri Sana neo maana ni taifa litakalooendwa Sana siku zote UZURI WA NCHI NI KATIBA
MashaAllah Mshana amejipata alijua nini anataka hongera sana
Mashalah mashalah mashalah naona unapendeza asaiv..kweli ata mim natamani Sana namimi ningekuwa mwanajeshi marekani.. inshallah mungu atabariki one day
Sasa wewe mwanamke na jeshi wapi na wapi
Wewe kajiunge na M 23 au ADF ya Congo DR itakufaa sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
jeshi sio kutamani,sasa we tamani utarud baada ya wiki moja
@@Hussein-gx4qu mbona kwenye majeshi yetu hata wanawake wamo tu chaajabu nini
Mbagala imeshatoa wanajeshi wawili marekani MLAY NA MSHANA WOTE WAKO MAREKANI👍
Mpare na mchaga...
Saf mbagala yetu
@@dorahmushi-we6tswatani yaani good
Nimejifunza vingi. Asanteni.
Elimu nzuri sana hii mmetupa chakula cha ubongo Hongereni sana Dating assistance na Msahana the blacksmith
Karibu kijana na asante sana sana
Asante sana,hongera
Jeshi la wataabishaji dunia
Mshana hongera san
Safi sana mshana nafurahia interview zako keep moving broh
Wow Mshana.
Nimependa sana hii interview isee
Mshana interview zako is the best,unaelezea vizuri sana na kwa uwazi na upana,dada pia na penda una maswali mazuri na unampa nafasi ,,,hakika na enjoy
Ahsante sana, please share na wengine wajifunze 🙏
Hangera sana 🙏
Dogo nimekuelewa sand ninachonikera nikumwambia mtoto washable kwamba umefeli wangebadisha neno kufeli wakaweka neno lingine ukimwambia mtoto umefeli anajua maisha maisha yake ndobasi kumbe kufeli masomo sio kufeli maisha
He is very right.
Nilifindishwa Biology na Mathematics na wamarekana kidato Cha pili na tatu. Topic Moja tulikuwa tunafundishwa Muda mrefu sana wakitaka Kila mmoja aijue.
SHIDA SISI MTHIHANI
So what??
Mw Mungu akubariki sana.Ameeeen.
Mungu mbariki shena aendelee kutupa darasa
Thank you so much br for ur story...
Safi sana mshana
Indeed I like you boy Mshana and your Wife, May the Lord God bless you. Watu wengi waige kijana Ana Roho zuri
Dah yaani adi raha.hongera sana
Safiiiii sana. Tutakutafuta
Asante kwa elimu
Upambane Usipambane Uyo kashandikiwa Na Mungu kuishi hayo Maisha
😂😢😅😂😢😅😂
Soja mshana mtu imara 🔥
Hongera sana Shena kwa kazi nzuri.
Mshana Asante kwa Elimu nzuri.Nawapenda sana.
Mshana na Mlay. Mpare na Mchagga ndani ya jeshi la Marekani. Kilimanjaro tuko vizuri
Mwamba alipata mama wa kizungu familia bora ndani ya Califonia lazima maisha yangekuwa tu mepesi ..
Mungu akujaalie khery
Nimesoma mengi from Mshana
ogera sana kaka pambana nimeamini Mola akipag lake hakuna wa kulipangua
I really appreciate you all🤝
Hawa Wapare na Wachagga. ni noma!!!😂. Wako vizuri sana!
Na sio wachoyo wa elimu
Watu wanabaati ss wenge ap tz tukiomba kujiunga jwtz barua zetu zinaliwa na mashine ila mungu yupo akipanga litatimia
Wanajeshi weusi marekani wanawekwa frontline wakati wa vita kama chambo
Asante sana
Ni unono hapa ❤
Mungu amjalie Mema kwa kaz yake!!
Safi sana big up
Ongera sanaa
Brother amenichekesha kwelikweli eti"huyu wa kwetu😂😂"
We jamaa muungwa sana angekuwa engine angevimbaaa
Oky fine yaaani nyote hapo hongereni sana kwa kutusanua ipaswavo hamna mbamba kabisa mmb yote ni really
Furahagani kujiunga najeshi ladhulma utafurahi duniani lakini itakuwamajuto mbele zamungu
Wivu tu kama mwanamke!!yanakusaidia nini
Mwambie huyo
Acha wivu
Udini unatopotosha sana...
Bona iwe majuto mbele za Mungu
Tunashukuru kwa mafunzo mazuri,ila mwanamke wa kizungu haaminiki saana anaweza akawa na wewe kwa muda mrefuuu.Lakini unapokuwa tajiri huwa wanabadilika na kukupora Mali.
Nafikir hapo kwa Mkenya tumeona tofauti ya wenzetu na sisi waafrika,hizo ndio tabia zetu wa afrika tunavyonyanyasana Shuleni na Vyuoni,hizo ndio tabia zetu na ndio maana disco tu
Watanzania wote tukufuate wewe jeshi letu litabaki na nani? Tuache kidogo baki Marekani kuwa Mmarekani😢😮😊
Mshana is very open
Ninaomba link ya mshna ya TH-cam
th-cam.com/channels/vXGx7uNM-Nj4RQoVCPpg2A.html
october last year till october this year mshana the blacks i m following you
good one,thumbs up.
Thank you! Cheers!
Hawa ndo huwekwa Front kwenye vita kama chambo
Focuse it was the key, Respeck big yout
Ume explain vizur lakin fanya research za facts kabla hujazitoa, army yes ni 17-40 lakin marines ni 17-27 na ndio jeshi gumu kuingia na pia inategemea kama ni officer au enlisted mm niliingia Marines kama enlisted na baadae nikabadil nikawa officer na sheria za officer za kuingia ni tofaut pia lazima uwe na Bachelors degree sio form 4 na lazima uwe raia wa marekan mwenye uwez wa kupata secret clearence kutoka usalama na sio greencard
Karibu sana kwa kipindi tujifunze kupitia wewe pia, +4367764790884
Kijana anaonekana kinge cha UGOKO au hajiamini 😂😂😂
Nimependa kuona hizo bendera
Nimeipenda mno hapa Sasa na sisi wenye ndoto za USA tunapata moyo kuwa one day yes🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Njooo sasa huku Russia tunakusubili😅😅😅😅
Karibu pia sana kwa kipindi +4367764790884
Acha maneno ya wivu
Baba levo ajifunze kuoji kamauyudada
HariiKa mshana mbongezi murungu akinke nzinya
Nimefurahia maongezi yenu,mm mwenyewe ni soldier wa Tanzania navy.
Hongera sana 🥰
@@OfficialDatingAssistance Hi
NAKUMBUKA MWAKA WA 2002 LILIKUA GIMBO LA TEXAS MJI NI SAN ANTONIO NIPO KWENYE MALL NILIFATWA NA OFFICER ALIJARIBU KUNISHAWISHI KUJIUNGA NA JESHI LAO MAREKANI NIMEWAKATALIA.
Dah mshana kanipa elim ya kutosha ila dah najuta mpaka nakumbuka elim
Ninependa saaanaaa ujasiri wa mwana mbagala, napenda tuwasiliane usinitupe unikumbuke,
Mwaona ni kitu kikubwa Sana kua mwanajeshi UsA....ata mm ningekubali sababu Kuna uhaba wa kazi Africa ila niutumwa kimpango...Juzi Kambi ya kijeshi Iko Iraq ilishambuliww wanajeshi wa kiafrica ndio walifariki apo kwa Kambi ya kimarekani jama wanakuweka front ama maali atari
Hongera mshana kwa hatua hiyo but nenda ufanye checkup Naona Kama una Oral candidiasis
Kaka tunaotaji fika huko weka no yako kwa wadau ili tuongee privet
Natamani sana kuingia uko
Ilike it
Oa bro uku mbagala rangi tatu ni vigodoro tu 😂😂
Wiki kumi kidogo sanaa
Ongera sana mshana,kwa jina naitwa Simon,Jina lako kama tunatoka mkoa mmoja
Kaka nataka kujua maana ya Green Card
Dadangu unajua sana kuhoji unampa mtu nafas ajieleze alafu unauliza
Shukran kaka
❤
Na yule mkenya aliekuwa rais wa kwanza wa USA mmemsahau!!??. mnashangaa kua mwanajeshi wa marekani!!! Huo ni ushamba, America nchi ya aajabu tu wanaishi kama wanyama, wazee wa propaganda!!!...bongo mother land, I love tz...!!
Dah Bora wewe umetoboa kaka connection sasa
Hivo huku Africa wazungu watakubaliwa??? 😂 kukaa na kua jeshi
vipi umri hawazingatii? au makovu mwilili vipi kamanda angu
Kwa lugha nyingine hawana roho mbaya kama Wa?????????!
Bro uko vizuri kwa mafundisho
from Mbagala kuwa mwanajeshi marekani katiba ya nyumbani Tanzania hilo lipo ? from Kenya kuwa mwanajeshi Tanzania? Afrika wajinga kweli kweli...
Habari ?ninaomba ushirikiano naomba nataka kuja MAREKANI nifanyeje ndugu?
Kwaiuo ikitokea marekan ikawa na vita na tz huyu takatuchapa wabongo
Lazima upewe KILA kitu ila utalipia roho Yako,kwenda kupigana vita ambayo haina tija.
Ukisikiliza interview vizuri nadhani utaelewa kua sio kila mwanajeshi ni mpigana vita
UNAWASHAURI NINI WA TANZANIA WALIOPO BOMGO YETU???
Mimi nilichelewa kutizama swali lang wanachua had wafupi
Tunataka uliingiaje jeshi
Jeshi la wauwaji walete vurugu duniani
😂😢😅😂😢😅😂