Wazanzibari wengi wana pesa majumba na magari mazuri mazuri, kwao kwenda US, UK or Dubai ni kama Mwijaku kwenda karikaoo lkn husikii kelele wala hawana mbamba. I am respectful them!!
Zuhura Shabani ni mwimbaji wa taarabu bora kwangu. Wallahi nimukumbuka mengi sana kiasi kwamba mpk nimemkumbuka Shenazi (mnenguaji). Watoto wa mwaka 2000 hamukumbuki huyu. Allah awarehemu alio tangulia mbele ya haki. Ameen
Hii ni bahati yangu tangu ningali tumboni ridhiki na hadhi yangu wimeandikwa mbinguni 🎶 🎵. Nimefurahi sana kumuona Bi Zuhura Shaban 💐💐 i love her sana🥰🥰🥰
Haichukuliwi kua uimbe kwa harusi inayokkugusa ila kuimba ni kuimba tu naomba kwa upande wangu usiimbe popote rudi kwa Allah kikamilifu mamaa na Mola atakusaidia. Inshaallah nahija utaenda lnshaallah
Mtangazaji hajajipanga na maswali. Kwa mtu ambae hamjui ilipaswa afanye full research awe na maswali yenye mpangilio. Lakini amekuwa anatapanya maswali, hana flow. Mara kauliza hiki mara karukia huku.
Mtt wako yuko vizuriiii kukukataza,Nasi tunakwambia basi tena na Allah anakataza haya ,acha Mara moja, Allah atakusaidia inshaallah, tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Kama unataka Mungu akusamehe bc mali zako zote ulizozipata kwa njia ya haramu (kuimba) zitoe sadaka uanze 1 kutafuta maisha. Hapo ndio Mungu atakusamehe. Lkn kwa mali za kukata viuno mbele ya halaiki kazi bure.
Kuacha kuimba sababu ya watoto si kweli mwanahawa ally uyo hapo anawatoto wakubwa sana mpaka vitukuu lakini uyo hapo kaimba mpaka kazeeka ww unatuambia watoto ni ww tu mwenyewe uwe ujataka
Nakubali imebakia jina tu Melody,nakukumbuka sana enzi hizo akina marehemu Haji Muhammed,mulipiga pesa sana. Na mafanikio ya dada Zuhura sio mziki tu bali naona mumewe sio Paka wa Biti Khatib.
Interview ni mzuri lkn sijapenda kuanikwa neema zako in public sbb ya hasad na kijicho. Huu sio utamaduni wa wazanzibari. Haya ni mambo ya kina mwijaku na malimbukeni wengine typing lukole.
akikufungia hili karimu hukufungulia lile kiumbe ukidhulumu itakusakama milele maneno yako mama kwenye wimbo wako mzuri NDIO MAJALIWA YALIVYO mola wetu azidi kukubariki wewe ni fahari ya mziki wa mwambao
Mashaa Allah ❤❤❤ watu wana maisha na hawajionyeshi tizama kasir la maana mola amtunzie maisha yke ammyn🤲🤲
Masha Allah masha Allah nampenda sana sana sannaaa aunt Zuhura yaani nampenda ndani ya moyo wanguu huu mtaa unaitwajeee
Ngome kongwe
Wazanzibari wengi wana pesa majumba na magari mazuri mazuri, kwao kwenda US, UK or Dubai ni kama Mwijaku kwenda karikaoo lkn husikii kelele wala hawana mbamba. I am respectful them!!
@@omarymsusa8903 mmmh aaah wapi wengi mnaishi nyumba za urithi
@omarymsusa8903 Yaani Dubai China UK etc wanaenda na hata na mikoba ya ukili kila wiki😂😂😂 hata hawana habari
Mashallah nmefurah kumuona dada kipndi munaimba mm nlikuwa tunakuja kucheza mule Amani judo nlikuwa nasoma darasa la 4 mashallah sasa nmm nmekuwa mama ila naomba Sana uwache kabsa kuimba kwasababu amelaaniwa anayeimba na anaye skiliza piya
Mashaallah Nyumba Safi Na Nzur Alhamdulillah ❤
Bora ulivyokuwa umekaa kimya kuliko kujitangaza binaadam huasda!mungu akulinde mpenzi wetu Amin.
Bismillah mashallah Allah azid kukuweka mama yangu kipenz nyimbo zako Bado zipo kwenye moyo wangu
Omar Adam Mlamali,
Ukoo wao Wanazuoni wakubwa!
Wallah huyu alikua star balaa nampendaga hadi leo and she's very very beautiful... mashallah...
Zuhura Shabani ni mwimbaji wa taarabu bora kwangu. Wallahi nimukumbuka mengi sana kiasi kwamba mpk nimemkumbuka Shenazi (mnenguaji). Watoto wa mwaka 2000 hamukumbuki huyu. Allah awarehemu alio tangulia mbele ya haki. Ameen
Hii ni bahati yangu tangu ningali tumboni ridhiki na hadhi yangu wimeandikwa mbinguni 🎶 🎵. Nimefurahi sana kumuona Bi Zuhura Shaban 💐💐 i love her sana🥰🥰🥰
Bado ana sauti ya uimbaji.Mungu akupe maisha marefu.
Katika wasanii wa kitambo wa taharaab huyu ndio katoboa kwa kweli❤❤❤❤
Usisahau sabah salum pia katoboa
Sio zuhura tu mwanahawa rukia khadija yussuf yan waimbaji wa melody ni wote wanatakiwa wapewe maua yao
Alikuwa anafanya biashara pia
Mashallah bi zuhura shaaban umeimba nyimbo nyingi sana ila naipenda sannaaaaa wema ❤❤
Haichukuliwi kua uimbe kwa harusi inayokkugusa ila kuimba ni kuimba tu naomba kwa upande wangu usiimbe popote rudi kwa Allah kikamilifu mamaa na Mola atakusaidia. Inshaallah nahija utaenda lnshaallah
Na yeye tena😂
@@mufa4994Na maneno ya nyimbo hizo yasiwe machafu pia
Mshangazi nimeukubali huu,ningepata mshangazi kama huu naupelekea moto tu
Dunian tenda wema tu pepo utaiona
Maashaa Allah zuhura Shaban maisha yako km waharaab kabisa jumba hamna mfano km waqatar wallah
Anaishi maisha ya kizanzibari
Ni mwarabu pia@@suleimanh1826
@@suleimanh1826 si maisha ya kizanzibar anaishi maisha yake alojaliwa na Allah maana si wazanzibar wote wanaishi kama anavoishi!!!
Anaishi maeneo Gani?
Maashaallah hii faniture ndio ndoto yangu kabisa nimeipigia chabo uturuki❤❤❤❤
Bismillah mashallah nyumba nzuriiiiiiii
❤❤❤ nyumba nzuli sana
Mtangazaji hajajipanga na maswali. Kwa mtu ambae hamjui ilipaswa afanye full research awe na maswali yenye mpangilio. Lakini amekuwa anatapanya maswali, hana flow. Mara kauliza hiki mara karukia huku.
Tupeleke kwa Khadija Yusuf sasa❤❤
Akawahoji wote walokua wakiimba melody waimbaji wa zaman bado rukia ramadhani khadija yussuph na wengine wote
Mtt wako yuko vizuriiii kukukataza,Nasi tunakwambia basi tena na Allah anakataza haya ,acha Mara moja, Allah atakusaidia inshaallah, tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Siadhiriki my favourite😍😚😘😆
Nimefurahi kumuona zuhura mashaAllah❤
Naipenda sana sifedheheki❤
😂😂😂nakumbuka huo ugomvi ulitokea dodoma nami nikihudhuria hilo tamasha mligombana kwenye stage ulisababishwa na wivu😂
Kupenzi chetu saw anasema wameelanika wote muimbaji na muumbiwa tubia ulie uanze mwazo asaa Allah atatusameh Ahsante
Mashaallh raha yuko vile vile hazeeki❤❤❤
Maa'shaallah sauti yake yakuimbia na aliyokuwa nayo sasa tofauti mie nadhani ht njiani nisingemjua yaani nyimbo zake nazipenda mno
You are so kind ❤ Masha'Allah Tabara'Allah
MaashaaAllah ❤
Nyimbo zake nzuri bi zuhura ❤❤buzi na ile yeye na abdul misambano nadhani
Nyimbo yake ya afagiliwi mtu imeondolewa cjui kea nini
MashaAllah mabrook ❤️
Jani kumbe watu wanaishi Duniani Wallahi
Naipenda sana siadhiriki ni nyimbo nzuri sana
Nimependa alivyomkaribisha vizuri. Hamjibu vibaya mtangazaji. Ana kauli nzuri sana nimependa
Mshangazi kama huu nitaupataje aisee.mishangazi inajua kupenda.kama huu mshangazi sitaucheat kabisaa.
Sifa yao wazanzibar ukarimu ni namba 1
Mashaallah nyumba mzuri sana hao ndiyo wasanii ndiyo waliojipata kimaisha hongera sana bi zuhura❤❤❤❤
Maashallah dada zuhura nyumba nzuri san❤❤❤
Mashallah Mama 🎉🎉🎉🎉
Mashaa'ALLAH ❤
Na mm siadhiriki naipenda kuliko taarab zote
Mashaallah Zuhra M/Mungu amekujaalia Alhamndulilah
TabarakAllah ❤❤
Masha Allah tabaraka rahmani kwa hilo kasri
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Jicho la hasada lisikuone
Mashaallah' Mashaallah' Mashaallah❤
Maa Shaa Allaah.
allah atusamehe tulipokosea, atubadilishie makosa yetu kuwa mema na atujaalie pepo
Amin Yarabbi Amin kwa sote Amin
Kwa kupambana kwako yastahili Maisha mazur ALLAH Atuhifadhi 🎉🎉
MashaAllah Zuhura tumefurahi kukuona
Aisee! Watu wanaishi na wala hawana tafrani mjini kimyaaaa lakini balaaaaa
𝘔𝘮 𝘯𝘪𝘦𝘮𝘦𝘴𝘩𝘢𝘯𝘨𝘢𝘢.𝘸𝘢𝘵𝘶 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘪𝘴𝘩
😂😂😂hiloo salehe leo ujaenda jikoni kula na kufungua mafriji😅😅😅
Kaja kizanzibary hakuna hulka izo lazima ufatee maadili nyumbani 😂😂😂
😂😂
Mashallah Mashallah Mashallah
Tatizo la Saleh huonyeshi hisia za kumpongeza ukiingia. kwenye majumba yenye muonekano mzuri.Mash'alla anaishi kifahari❤️
Aliniua huyu dada na nyimbo elina nakupenda.
Uyo alochungulia apo kanichekesha il ilo jumba mashaalah 😅😅 mam you made it
Mashaaallaaah! Nazipenda sana nyimbo zako hasAa ile HASARA ZAKO
Msemaji wangu❤❤❤❤❤
Masha Allah Tena? 😢
@@fatumasaleh8048wanajitoa fahamu hao
MASHA AllAH
Da humo ndani sio powa maua yake jmn ❤❤❤❤
Safi sana salehe...mtafute Sihaba Juma
Hongera anty lolooo
Kama unataka Mungu akusamehe bc mali zako zote ulizozipata kwa njia ya haramu (kuimba) zitoe sadaka uanze 1 kutafuta maisha. Hapo ndio Mungu atakusamehe. Lkn kwa mali za kukata viuno mbele ya halaiki kazi bure.
Masha ALLAH ALLAH amlinde na hassad
Ameen
Mashallah❤
Apo sale alikuwa mpole kweli hana mbamba😂😂😂
Kachukua haraka kakuachia baraka wa kumi ni wa kumi wa moja haongezeki mshukuru Allah hajaweza kukuathiri pahala
Swalehe watafute awa waimbaji pia
1. Rukia Ramadhan
2. Eshe
3. Sabaha Juma km sikosei
4.mwanamtama Amir
5. Ally Star
Huyu mama lzm aishi maisha haya mana kipindi kile alikuaga dada mzuri sana mashallah
No, aliacha kuimba akawa mfanyabiashara nahc ndpo alipoanza kujipanga. Si unajua mtu maarufu halafu afanye biashara hua na wateja wengi.
From 🇧🇮 mashaallah
Mashalaha
Mashallah aishi pazur mashallah
Anaongea vizuri kama mama Samia
Kuacha kuimba sababu ya watoto si kweli mwanahawa ally uyo hapo anawatoto wakubwa sana mpaka vitukuu lakini uyo hapo kaimba mpaka kazeeka ww unatuambia watoto ni ww tu mwenyewe uwe ujataka
😂😂😂😂 kweli kabisa
Nakubali imebakia jina tu Melody,nakukumbuka sana enzi hizo akina marehemu Haji Muhammed,mulipiga pesa sana.
Na mafanikio ya dada Zuhura sio mziki tu bali naona mumewe sio Paka wa Biti Khatib.
Nyumba yakifahari saleih hajanwa ata maji,nyumba zakawaida anatoka ameashiba
Ungekuwa Gygy mn ange sema mulikuwa 5.000,0000
Ungekuwa kwa lulu divo angepelekwa mpaka Cho chamdada wakazi😅😅😅😅
Umeniangusha dah 😂 hujapata msosi 😆
Atakuwa amekula lkn ajaweka kwenye kipind😂😂😂
Mashallha da zuhura allha akulinde
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
Allah tusndike kwa herufi kubwa "Allah "
Mashallah yupo mzuri vilevile ni kweli azeeki
Amejipanga❤❤❤
Mashallah hajazeeka yupo safi kbs mashallah mashallah mashallah ❤❤❤
🔥🔥🔥
Hazeeki mashallah kamzid mama angu umri
Kasema kazaliwa 1936...au sijaelewa
Masha Allah m.mungu akihifadh
Leo saleeh kiranga komo ,makoch ya watu kimguu ulitaka uweke juu ya kochi wapiii😂😂😂😂 heshima kwa adabu
Like zangu😀
Salehe hujapata msosi leo😂😂😂😂😂
1936,, mbn mwili bado unanguvu😢😢😢 mashaAllah,,,1990 ndio kwnz nazaliwa ila nyimbo zako nmeanza kukariri1999.
Anashibaaa weee kipenzi ndioo hazeeki ila mhhh1936 hapana😂😂
1966
19666 sio 1939
Mashaallah
1966. 1936 mweh si angekua Mzee Sana
Naishi kwa nguvu za mungu kumbe watu waumia
❤❤❤ hatari
Bi zuhura shaabani
Fundi Mmoja wa Taarab
❤❤❤❤❤
Kama mzee yussuph aliacha paa kisha akarudi tena kuimba taarab
Saleh kawa mpooooole leo😂😂😂😂
Umemuona eee uchiz na uroho kapoa
Mama anaishi mitaa ya Daraja Bovu hahahaaaaa...Daraja Bovu sijawahi kuliona Gorofa kama hiloo
😂😂Sasa tufanyaje emb pitia pitia Tena labda utaliona
Shakhani iyo cyo daraja bovu
Bwana mtangazaji! mwanamke haambiwi amenenepa.
Interview ni mzuri lkn sijapenda kuanikwa neema zako in public sbb ya hasad na kijicho. Huu sio utamaduni wa wazanzibari.
Haya ni mambo ya kina mwijaku na malimbukeni wengine typing lukole.
Mshangazi huu aisee,Hebu nijaalie na mimi niupate mshangazi mmoja kama huu sitaenda kwengine tena.
Acha umalaya dogo utakufa na ukimwi👏
@@fareedufahamu8893 una wivu mtoto wa kiume,Acha hizo mshangazi huu wa kuupelekea moto unakuhonga
🎉❤
Daaah
Maashaallah
Wee mwijaku njoo uwone mkasili huu .wew unasema unanyumba😂😂😂
Umeyatupa mwenzngu umeyatupa! Kitumbua changu mchanga usinitilie Umeyatupa mwenzngu Umeyatupa!! Mwana wa mwenzio usinivunjie 😂😂😂😂 hatari sio mchezo kipindi icho ilikuwa Haille Selassie 😅
akikufungia hili karimu hukufungulia lile kiumbe ukidhulumu itakusakama milele maneno yako mama kwenye wimbo wako mzuri NDIO MAJALIWA YALIVYO mola wetu azidi kukubariki wewe ni fahari ya mziki wa mwambao
Kapatikana leo hakuna msosi
❤