Daah Ya Moto Hii jamaani Wadau wenzangu kutoka Snake boy mpaka huku tujuwane hapa na kwa nguvu zake Allah Mwaka 2024 Tutatoboa kibabe Sana.. Naomba likes za kutosha Tuwape nguvu Team Magic Ring kutoka clam vevo🎉🎉🎉🎉
Likes za director "KAKOSO" zije hapa. The super ever seen before director in East Africa 🌍 kwakweli huyu jamaa anafany KAZI kubwa sana imagine ameweza kumtengeneza best comedian hadi kua best actor sio kaz rahis jaman kama unamkubal huyu jamaa gonga likes nyingi hapa ❤❤❤
Mchezo mzuri,funzo ni kwamba usiwahi tamani maisha ya wengine mana hujui yanawagarimu kiasi gani japo kwa muonekano wa nje wanaonekana wenye furaha 😢...utajiri wa ivi koma 🏃♂️, hongereni nyote mloshiriki🎉🎉🎉🎉
Vevo, iii movie Ina message nzuri saana please people if you come across this movie don't even hesitate, watch this teaching movie it has a very good message to all people who want fast money these are the results Keep it up 🥰😍
Kwahio unataka kunambia kua watu wengi wenye pesa wanaishi na mazito ila big up bro tunasubiri part 2 yake mana hii pete haiwez kurithiwa na vipi utaepuka huu mtihani umiza kichwa sana kakoso hii magic ring nzuri sana inafunza
MOVIE HII imevunja record ya movi nyingi Tz🇹🇿 vevo wewe aaacha . views yake piya ni nyingi mnooo ,clam atariii.wewe shabiki gonga ata like 3 kama umeikubali
Nakumbuka ile magic house ya the great giant KANUMBA.. Asante vevo kwa zawadi hii nyingine yenye ubunifu mkubwa naomba niishie hapa
Daah Ya Moto Hii jamaani Wadau wenzangu kutoka Snake boy mpaka huku tujuwane hapa na kwa nguvu zake Allah Mwaka 2024 Tutatoboa kibabe Sana.. Naomba likes za kutosha Tuwape nguvu Team Magic Ring kutoka clam vevo🎉🎉🎉🎉
kutoa big boss
Umetisha sana clam vevo pambana mda wako huu
😊
Hii.move.moto.sana.naomba.iwe.na.muenderezo
Tupo hapa 🎉🎉🎉
Likes za director "KAKOSO" zije hapa. The super ever seen before director in East Africa 🌍 kwakweli huyu jamaa anafany KAZI kubwa sana imagine ameweza kumtengeneza best comedian hadi kua best actor sio kaz rahis jaman kama unamkubal huyu jamaa gonga likes nyingi hapa ❤❤❤
Kabisa yn❤🎉
Ata moja wakuu kila siku nawaungia mm tu izo like 👍
Vevo is something else..he has really transformed bongo movie industry..we Kenyans are proud of him
Mashabiki kutoka Kenya 🇰🇪 weka like
Hii ni Steam mpya ya kikazi hongereni sana staff clam Vevo
Uzuri imekuja Leo na imeisha Leo sasa Nina matumaini ya bigboss 😅😅😅😅 sasa. Naomba bigboss ikae Adi 2025
Ndioooo
Adi mimi big boss
Mm pia
Movie kali sana....I leave this comment here for only kenyans wenye wamewatch,just confirm kwa kupiga like,Now and future for vevo🎉
Asante sana kwa kutuleteya CHOMBO Full Movie,,, imepowa kinoma yani ❤❤❤
Vevooo 😂😂😂wallahi hii movie nzuri sana sana dah kiboko VEVOOO MIE NATAJA KUISHI NA WEYEYE 😂😂😂tunakukubali from uk 🇬🇧
Mchezo mzuri,funzo ni kwamba usiwahi tamani maisha ya wengine mana hujui yanawagarimu kiasi gani japo kwa muonekano wa nje wanaonekana wenye furaha 😢...utajiri wa ivi koma 🏃♂️, hongereni nyote mloshiriki🎉🎉🎉🎉
Fact
Hakika
Kweli
Kabisa
Mapokezi ya hii movie yamekua makubwa sanaaa
Aliegundua hili agonge like tusonge hewani🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Stori mzuri hakika inafundisha kitu
Good movie mwisho kabisa ujembe kwa vijana wenzangu utajiri wa kweli unatoka kwa Mungu tu big up vevo
Nakubali sana clam kwa sasa huna mpinzani umeifufua bongo movie❤🎉😊
Oya kaka unajua sana mungu aendelee kukupigania katika tasnia yako kaka kwamaana nichuma juu yachuma lakini naisubili hiyoo mpya I LOVE MY TEACHER
Hii nayo kali sana mkuu wetu.... Yenyewe imenyooka na inayombamba kikweli... Asante sana mwanangu
Nimefrah movie nzuri VEVO leta kipya tena ❤❤❤❤❤
Daah ninakazi nzuri sana hiphop inatamba Africa nzima y maneymaneymaney naombeni likes ata milioni moja au mbili
Butua kapendeza sana,
Amebaki chibu na tanu😂😂
Mkuu nimeikubali sana movie hii ila tunataka sehemu ya pili ❤ itolewe haraka ❤❤
Daaaah sema jamaa anajuwa xna 🎉🎉🎉 mauwa mengi kwake CLAM 🎉🎉 From Congo 🇨🇩🤝🇹🇿🎉🎉
😂😂😂 KAMA ULIJUA HII MOVIE ITAKUA SEASON HALAFU IMEKUA NDIVYO SIVYO GONGA LIKE HAPA
@@bongozoomtv ni wengi tulijiandaa kwa hilo.. amejua kutunyoosha 😅😅
Alishaandika full move hamjaelewa manaake nini
nyie wote amna akil mmeandikiwa full movie au kusoma amjui
@@supermatty7499yan kusoma hawajui ata picha hawaon daah😂😂
Asa ushaandikiwa hapo juu full movie afu unategemea iwe season 😅😅
Natoka Kenya 🇰🇪 Clam nakukubali zaidi ya muigizaji yeyote wa kibongo
Nakata kwenda nyumbani 😂😂😂😂😂😂😂 vevo nakukubali Mungu azidi kukuza kipaji chako ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉💍💫
Wangapi awachoke hii movie kama mimi wanipe sapoti za clam🇹🇿😍📺⭕
❤
Kazi nzuri san clam najuwa itakuwa filamu nzuri nakufata kutoka Congo uvira 🇨🇩❤️❤️❤️
Woyooooi jaman namm leo nimewahi nipe I like zangu basi🎉🎉
Clam VEVO huna kazi mbovu ongera sana director Kakoso na crew mzima
Vevo wengn jau Natka kuishi nawww 😅😅😅jini ya bongo noma sna veeeeevooo
Asalam alaykum jmn ambao tumetok pamoj ktk snake boy tujuane ,jmn naombeni like zenuuu😢😢❤❤❤
Nimekupa
Kabla xijaanza kuiangalia naiman clam hukoxei ni bonge la movi hili😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉
Oyaa huyu jamaa taratibu tutamwelewaa tyu🔥🔥Hii ni tunu tena Ya Taifa🙏
Movie nzurii sana Clam hujawahi kukosea🎉🎉🎉❤
Kazi bomba🎉🎉 clam,,,,, twashuru sana mashabiki wako toka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
😂😂😂😂 mm nataka kwenda nyumban 🎉🎉🎉🎉 hakika vevo noma 🎉🎉🎉
Duuuuh hyu jamaaa jaman nimashine,,,,hem gonga like hapa kama unamkubali vevo
Love from Burundi mr sammy kazi nzuri kabisa Jamani wanay onakuw iyi kazi ninzur munip like abarundi mukunda clam mump like
Turaha Abasaza kbs Uyu Mujama Arakaze ariko nawe utubere icitegererezo muri sana Y' Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥
Moto sanaaaa VEVO ooh I🎉🎉🎉🔥🔥🔥👑
Nampa hongera sana muogozaji na team nzima mmefanya poa sana
Vevo, iii movie Ina message nzuri saana
please people if you come across this movie don't even hesitate, watch this teaching movie it has a very good message to all people who want fast money these are the results
Keep it up 🥰😍
Haha nimeinjoy sana sereas and comody ...hii kitaalam tunaita tregdy comedy.... dum la hovyo umeuwa kaka❤....clam good kabisa.....🎉🎉🎉
Umenikumbusha mbali mzee ulivosema tregdy comedy ktk somo la English advance😊
@@mohammedkidody5618 absolutely right.....
Even literature o level.....unakutan nazo hizo ...
Vevo tutasonga nawe kila hatua,much love from Kenya 🇰🇪
Vevo anataka kwenda nyumbani akati yupo kwake😂😂😂😂sema respect sanaa team vevo kazi nzurii🎉
Ipo vizuri san ni mm huyo
😂😂😂😂 hahaha 😂😂🤣😂🤣 mm mwenyewe apo nimecheka kwa sauti
🤣🤣🤣🤣nime Cheka mpaka nimelia
Anataka aende nyumbani kula chapati na maharage
😂😂🤣🤣🤣🤣🙌lafu anafanana na uo msukule 😅
😂😂😂 alafu haka kajamaa katakuwa kachawi kweli maana kanaweza hahahahaaa vevo sheta aka shetani
Kwahio unataka kunambia kua watu wengi wenye pesa wanaishi na mazito ila big up bro tunasubiri part 2 yake mana hii pete haiwez kurithiwa na vipi utaepuka huu mtihani umiza kichwa sana kakoso hii magic ring nzuri sana inafunza
Hiki kichwa cha vevo kina faa kipewe nchi maana sio kwa miakili mingi wanao sapot like hapa jaman
Nakukubali sana mwamba wangu clam vevo aujawai kuniangusha❤❤❤❤🎉🎉🎉
Tuliodhani magic ring ingekua season tuko wap😂😂
Kumbe ni nini?
Uko mwenyew tu😅
Kumbe single movie
@@paviusdonart4073 🤣🤣 na wewe ukoo 😅
@@INNOSENSIALIWEWA single movie dear
ihi jo utamu sana movie zury zaidi kabisa toka Angola 🇦🇴🇦🇴 tukonaiangaliya ❤❤
❤❤😂😂😂😂😂ila vevo nimeinjoi mi nataka kwenda nyumbani Kula chapati na malage😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipo hapa, number one viewer from Kenya, likes apewe clam vevo
Number one.. tusonge na clam hakuna p diddy hapa❤😂😂😂😂clam forever we huogopi❤😂😂😂
P Diddy 😂😂😂😂
P didy tena😂😂😂
MOVIE HII imevunja record ya movi nyingi Tz🇹🇿 vevo wewe aaacha . views yake piya ni nyingi mnooo ,clam atariii.wewe shabiki gonga ata like 3 kama umeikubali
❤
Tumemiss big boss 🙌 😎
Movie kali sana Courage sana Ma star ❤❤❤
Aisee ii ni bonge la movie clam umecheza sana
Wangp waliotegea hii kitu iachiliwe team strong hoyeeeeeeeeee wa kwanza apa nawapenda saaana nikiwa 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Twakupenda pia❤❤
@@mwanaisha1998 ♥️♥️💞💞
Wa kwanza
❤❤❤❤❤❤❤𝒕𝒘𝒂𝒌𝒖𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒑𝒊𝒂
twakupenda pia ❤❤❤
Stephen kanumba is back in Tanzania through clam vevo... Who believes so
Dats True
Absolutely❤🎉
Humjui kanumba vizuri kaa kimya
@@ngasakayeji8507😂😂😂
Weee sio kwa ubaya VEVO yuko vzuri ila KANUMBA ahh Hana mfano
Jamani MWISHO mzuri😀😀😀😀😀😀natak kwend 'nyumbani
Watanzania na wakenya tutafute pesa , tufanye kazi ... Kama wakubaliana na mm gonga like 😅
Vevo ana jua aki ya Mungu kanumba karudi tena 😂❤
Kuna makosa madogo amjayagundua kuna watu waliokufa wanaonekana na kisha kuna waliokufa waislam lakin wameweka makaburi misalaba
Tena sanaaaaa ❤
@@wanatangawaja6397kama nani mbona hueleweki
Am from mombasa kenya,napenda scriptwriter ya team kubwa 😮😮😮😮congratulations
Tko pamoja
Kenya Tumpee Clam Heko Kwa Kazi Amazing
Big boss inatoka sikugane
YOUNG KANUMBA WA BAADAE HUYU BIG UP.BRO🎉
😂😂😂😂😂 kazi nzuri congratulations 👏🎉🎉
Wa kwanza from Zambia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umetisha sana clam vevo
#Clam Chris ni mwatosha Tosha huyu kutoka Mombasa kenya ongera👊
One of the best movie Big up boss vevo 👌👌
Aah kwakweli nimejifunza kitu asanteh vevo 🎉
😂😂😂😂😂😂pete msenge San ndio umchukue dem wa vevo kweli jmniiiii... nimechekaa kisengeee
Si kaambiwa achague yoyote😅😅
@@ChristinaJonh-e5d yn daaaah nimechekaa jamanii khaaa
Ndo maana wanasema hakuna kitu Cha Bure maana Ake Mali hyo inamuuma pamoja na kutafta ili SoFi ampende lakini kafa Yan imuume huyo ndo kafara
Hii nauhakika baada ya wiki ishafika 1M
Tumpeni kakoso wetu na clam support jmn
❤❤❤
Clam & your team are the best actors in Tanzania you are deserved to be awarded.....from south gonga like
Mambo ya kilam vevo hongela san kaka uko vzurii ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Chili bhna anajua sana Iko kipande mganga wa jadii 🔥🔥🔥
Napenda kaz za clam vevo Napenda pia mazingira harisi kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Move kali sana,, sema hiyoo rangii mlioiweka humoo daaah,, naona kama haijakaa ppw sana aiseeh
Ila kweli rangi,dah!
Simu zenu izoo ndo wenge
Real
@@babigotz9319😂unatetea kitu kinachojionesha wazi
Kweli ni cm zao mbona rangi nzuri ya kijijini tu.@@babigotz9319
Enyewe hakuna cha bure pia P Diddy anakupiga maji ndipo akupee Grammy award 😂😂
Ahahaha izo ela mnamchangabya clam.....😅😅😅😅
Fantastic content with good set up big up to all who participated in this wonderful movie 🎉🎉🎉🎉
Butua umependeza sana ulivyo nyoa
Amependeza kwr❤
Angemshauri na Tanu anyoe Yale manywere
Ata kwenye utajir anakuwa n mandevu yamejifunga funga
Kazi nzuri san clam najuwa itakuwa filamu nzuri
wakwanza jaman kwenye magic❤
😂😂😂😂 nimecheka bure, pete + mwenye pete wote wahuni
We want the part 2 please, this story is so interesting ❤❤❤
Zumba na sengo wakua ma tajiri kwasababu ya millioni mbili 😂😂😂 ndomana mungu atupe tena pesa 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂 Zumba sengo kweli mm wakutupia watu pesa pombe c chai 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 Vevo ni mwehuu mwehu sanaa
Vevoooooooo tayar nishakula naww kula chumaa icho si unyama ee ila mzimu😂😂 kazi nzur clam 💞
Zumba na sengo 😂😂😂million mbili zimeisha kwa usiku mmoja
Safi sana wow congratulations
Weeeee namie sija chelewa sana nipo kabisa kama unamkubali Calm vevo weka likes hapo 15th ila nawapongeza sana kitu kizuri kabisa jaman ❤
Big Bossie iko wapi nyie...😢😢🎉
anywei acha nijiComfort na Magic ring in the meantime maana Clam hajawai tuangusha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Semaaa jamaa kapatia huyo aliegiza kua yy nd jini pete😂😂😂
Dah haha haha ha clam upo vzur sana unawezaje kufanya maamuz pasi na kunishirikisha dah we neng'eneka tu 😂😂😂 jamaa kakuzingua sana yule
Maana ya hii filamu, kula kidogo lala mapema,
HERI MUKATE kwa Amani kuliko keki kwa vita,❤❤❤❤, waliyo nielewa nipeni like
Hakuna kitu cha bure duniani, fanya kazi upate pesa🎉😊 #big lesson 🙏🙏🙏🙏
Nilikuwa sitak kucomment mpaka iishe...
Ila sengo mnafik sana kwanin umcheke zumba kwa ajir ya kugawa pesa mtaani
😂😂😂😂😂😂😂
welcome to Genius level talente Cc# clamVeVo 🤘🏻🤘🏻🤘🏻
Daah broo ujumbe umzuri