mbna hizi zingine hamusemi zimetengenezwa wapi au nchi gani kwani unaweza ulizwa meli kubwa kuliko zote iko nchi gani huna jibu jitahidini kutaja na nchi.
Lol😛 kila kitu ni kuexperince, na ukisha experience unaona ni cha kawaida, tena pengine kikakucosha Pia, nimeshasafiri na kati ya hizo meli kutoka Miami mpka karribean hataa hamu ikanishia Kwani mawimbi yalikuwa makubwa kichwa chote kinazunguka shuti unajisikia kuumwa ndani ya meli week nzima, Labda wewe utaiweza hiyo khali Manake wataka kufanya kama home kabisaaa
Napenda kupanda meli namba 1 ndiyo ninamwomba mwenyezi Mungu aniwezeshe kupanda meli hiyo najua yeye ndiyo mwenye uwezo
Ktv online mko vzr Sana kwa Zanzibar tunaomba mtuweekee history za nchi mbali mbali
Yussuf Miraji .
Good good!!!! Zote mzuri sana
Sitegemei kupanda hata moja kati ya hizi ila nna malengo ya kutengeneza yanguu!!! Yakitoi
Namb 1
Namba moja nzuri zaidi
Namba 1
Namba Moja baraa
No moja insha allah mwezi ujao nategemea kuipanda
Moja ni moja tu
Namba on
Very nace
Hiyo namba 1 ndy kiboko yao
No 1 ndo Bab laoo
Meli ya namba moja(1)nataka kuipanda katika maisha yangu
Mashallah ❤
1
harmony of the sea
no 1 imetisha
thanks for the ability of building big Sheeps Mey the Lord protect the environment
First
Me sitaki hata moja katika hizo bora mungetuekea na jahazi
Number 1
Viumbe wamaajabu wanaoishi kwenye sayari
No 1
Namba 6 nimeipenda
Bora azam sealink2
😂😂
ase noma sana
Meli no. 1 iko sawa
Meli no I ndiyo imenifufaisha
Namba moja
safi sana
Ktv mko vzuri it’s better mtengeneze na documentary
Namba moja nimeikubali
Liberty of the seas
mbona mv victoria haipo?
My favorite cruise ever is allure of the sea
Oasis
Da nataman kupanda iyo namba 1
khamis fadhil zengine hutamani?maana sisi wengine tunatamani tupande zote 10.
Nataka meli yenye uwanja wa mpira
namba imenivutiaaa soo one day ntaipanda tuu mungu akipenda
by mido mbwir
Haujui kupangia yaani mb zangu jamani
no 4 imetisha
mapinduzi 2 inatisha zaidi
Hiyo no 1 ndio mpango mzima
Bora ngarawa (mtumbwi)
Mbona MV.nyerere hujaweka
Nitapenda mapinduzi 2
harmony
Mimi nataka nikapige mzigo umo kwenye iyo Harmony of the seas fanyeni mambo nitume cv zangu nikapige mzigo wacheni maneno yenu
mbna hizi zingine hamusemi zimetengenezwa wapi au nchi gani kwani unaweza ulizwa meli kubwa kuliko zote iko nchi gani huna jibu jitahidini kutaja na nchi.
Namani kupanda nambakumi namba moja niliisha impanda katikati yajiji la drb mjini sauza afriika kwasamani yarandi alfu tatu miatanu
Nomber moja
No: 2 area of sea..
iyo yenye mitaa km Zanzibar ili ck nikipanda nijione nami npo Zenjbar kumbe kwny meli
Oesis of the sea
Duh! !....
Oasis of the sea
Namba tatu co poa
Zote ziko pow maana mhh
Mbona hukutaja zinamilikiwa na Nchi gani yaani kila meli ipo nchi gani
Kwa mm zote
3
Zote zimenivutia
Mie ni baharia naomba tafadhali nipate web site ya hii ya kwanza au ya pili nataka nifanye kazi
Naomba nisipande hata moja
Mbona husemi ni za nchi gani au hujui...?
Namb moja
Namb 1 mungu atujalie nas tupande
Mv mapinduzi
Ww umevutiwa na meli ipi kt ya izo
Kilnd
hakuna meli ya kupanda hapo
.
Mtu akichomoa better hapo patakua hapatoshi
Nambbe5
1
Oesis of the sea
Yan mm nitatman jpo kuiyona hiyo namba 10 kwa 7bu ip kma zanzbar
Aiseee zotee ni nomaa Ila no 1 ndio kinara
nikiwa na iyo namba 1 sijengi yumba umo panatosha
Lol😛 kila kitu ni kuexperince, na ukisha experience unaona ni cha kawaida, tena pengine kikakucosha Pia, nimeshasafiri na kati ya hizo meli kutoka Miami mpka karribean hataa hamu ikanishia Kwani mawimbi yalikuwa makubwa kichwa chote kinazunguka shuti unajisikia kuumwa ndani ya meli week nzima, Labda wewe utaiweza hiyo khali Manake wataka kufanya kama home kabisaaa
sitaki usafili wamajini mwiko
😁😁😁😁😁rafiki yangu
number one
No 1
Namba moja
1
Namb 1
Namba moja
1
Namba moja
1
Namba moja
1