Mungu alimpa binadam uwezo wa kufanya vitus kama hivyo.Na siyo chamahajabu sana.Leo Kuna simu za Hatari mno ambazo za kuona haha kama Yukon mbali.Wazungu si kama watu weusi hapa.Tuendelee kushangaa tu!!?
.Ahahahah! Ama kwl dunia ni kijiji kwa maoni yangu ingelikimilika mapema iyo meli ilikusudi kizazi cha sasa kile burudani before kwenda janam alaf iyo meli yenyewe haizami
Maelezo yako hayako fasaha yanazalisha masuali mengi na kujirudia rudia gharama zimepatikanaje? Wakati hata ujenzi haujasnza, inaonekana kama umevamia michapo
😂😂😂😂 inawezekana lakini hio mikono ya mbele isiguse maji kitendo cha kugusa maji ndio uwongo utapo anzia kwani meli huzuiwa na mawimbi makubwa kutokana na muundo wake. Kwa muundo huo ata chumbe haifiki hio.
ndio maana mashagala wanaplkwa shambani Waka Kate mitende ili ikajengewe meli upo chonjo bro 😂ladha wa fanye ukarbati w meli y jangwa n siyo y kwenye maji juu uarabuni sehemu kubwa n jangwa 😢Tema unacho tafuna usitudanganye kazi nikula kiporo cha jaba n sup y bangi tu apo 🖖🙌
Kwanza iyo mitende wanakata bure? Au wewe ni gorikipa unadaka tu nakula? Alafu usiongee kitu kama huna ushaidi nacho uliwai kwenda uko ukaona kazi zao jinsi zinavyofanyika au ndo umeangalia tu hii video ndo ukaanza kuyawaza yako?😢
Mmmmhhh siongei nachojua Mungu ni Fundi mkuu na hivi huko hakutakuwa na ibada ni anasa tu ohooo
Iyo mer inafaida gani hata isitenge nezwet mer kilakitu asa naipanda nenda wp mambo yakuzimutu jamani msijifanye mungu nyie mogopeni mungu
Mmmmmmh ushetani tuuh huo hata mfanyeje amuwezi jifananisha na mungu
Mh! Hao watakao Jenga iyo meli itakuwa siyo kizazi Cha leo
Ndo maana kasema ni mji, watu wataishi humo cyo upande saa hafu uombe kushuka no hayo ni makazi ya wenye pesa waliochoka kuishi nchi kavu.
Boat ndogo zipo na ndege bado tuko nauwezo wa kwenda kusalimia ndugu ❤😂😂
Titanic ilikua gumzo na hii huwezi nishawishi ATI ya milele tusileteame viini macho
Wooh it's wonderful
Poaaaa sanaaa tuuuu Kwa ujumbe mzuri
Intended wapi sasa
mmmmmh!! wanatakiwa kuwa makin yasijetokea kama yaliyo ikuta meli ya TITANIC mwaka 1912
Ni miaka mingi sana ikija kukamilika sio Leo wala kesho
Mm nikahisi iko tayari na inafantabkazi kumbe ni ramani tu , apo umefail
60million,,si waturuhusu wakenya tuishi huko sotee tuachr izi shida😅
🤣🤣🤣
Sio 60milioni ni elfu 60
😂😂😂
@@dansonmketi4827❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅
😃😃😃✍🏼
Sawa Meli tumeiona ila maelezo yako mtangzj mmmh
Nomasana szani kama usalumautakuepo kwa%100
It is possible but so difficult.
Mmh hizooo ndoto hisia zako nkajua iko tayar
Kudadeki kwahiyo haijatengenezwa yaan mmearibu Mb zangu mtazilipa
😂😂😂😂😂😂😂
Mungu atawaonyesha subiri muone
Jux
Kama haisimami iliwekwa vipi kwenye maji
Kumbuka haijakamilika ni ramani tu
Wanatu dangaja tuuuu haooo
Pia meli haisimami na imejengwa.Chukua mfano wa Floating Hotel huko CHONGQING Uchina.
Haiwez simama kokote hapa dunian kwaiyo inatengenezewa kwenye maji au
Ebwana eeeeh apo mungu wacha aitwe mungu na sio yesu mwanadamu
Unazingua🙄 kuandika MELI KUBWA DUNIANI HII HAPA alafu unatuonesha picha, ata haijatengenezwa 🤠
ana tuonyesha uanja wa mpira
Acha uongo😮🤔🤔🤔eti saudia
Itazinduliwa mwaka bank?
Mnaikumbuka titanic lakini jiwe moja tu imebaki historia
Kkk inaonekana uyuana. Tudanganya
SAWA nakubali
Inatakiwa uwe makini heading iendane na content
saw ntainnua endapo ikikamilika❤❤
Haa! Haaaaa!!
Kuna mashamba ndani umo mwamba!!!!!
Isije peleka watu kuzim hiyo jamani kama titanick
Naona Mnataka kupunguza idadi ya watu duniani waje kuzama majin
Kikweli yapendeza ...ila yafaa kuelewa vyote ni vyaulimuengu tu..so vione na ukaviache vile vilivyo maana usije ukatamani kile abacho uwezi kifikia juwa tu utachali msamba .
Mm nilizani ndio ipo ili niende nikaione kumbe bado aaaaa uongo huo
Mungu alimpa binadam uwezo wa kufanya vitus kama hivyo.Na siyo chamahajabu sana.Leo Kuna simu za Hatari mno ambazo za kuona haha kama Yukon mbali.Wazungu si kama watu weusi hapa.Tuendelee kushangaa tu!!?
Umenichekesha kwenye simu mimi kuna mtu ameniambia kitu kama nilistuka kwani alisema kweli
Mmmh adi mbuga za wanyama 😮😮😮
Ichek TH-cam andka vocal man hallow utaipata Kaz hyo
We mweu kweli kumbe ni yajayo tu unakera we jamaa
Haiongezwi mafuta makabuli yatakuwa humohumo😮
Swagaaaa
Kalime tu kuku weewe
Eti bado haijatengenezwa
.Ahahahah! Ama kwl dunia ni kijiji kwa maoni yangu ingelikimilika mapema iyo meli ilikusudi kizazi cha sasa kile burudani before kwenda janam alaf iyo meli yenyewe haizami
Maelezo yako hayako fasaha yanazalisha masuali mengi na kujirudia rudia gharama zimepatikanaje? Wakati hata ujenzi haujasnza, inaonekana kama umevamia michapo
Mmh!! We ukiwaza hera ya msosi wenzako wanawaza kubuni vitu vikubwa vya maendeleo, daah!! Kweri BONGO nyosso.
😂kumbe bado haijatengenezwa
Sio kweli
Hii sio kweli
Acha uongo keanu ya wap
Daah 🎉
Hatari sana
Haitii nanga bandari yote duniani swali langu je? Ilitengenezwa baharini huko huko au ilitengenezwa nchi
kavu ikapelekwa baharini?
Haijatengenezwa bado
Kwa mzungu ataitengezea majini ili watu wasiibe ujuzi.
Acha uongo bado ujasema na mtasema😂
Nakubar
Huo n uongoooo bhana
Na ugali upo?
Hiyo meli inazidi meli ya taitaniki iliyozama
Kama haisimamii watu watakuwa wanapandeje?
Ndege.
Huko ndo pa kuenda na mke wa mtu
Ila kweli niwoongo bala
Acha kuwadharau wakenya
Nice
Je kilimo nacho kpoo ndani ya hyo meli
Daaah!!!
Kumbe haijatengenezwa alaf unazingua ww
This is extreme bhangi!!!
Pumbavu sana mwandishi unatusimulia vitu ambavyo havipo
Mbona ishatengenezwa bado hujajua
Sasa mi najiuliza kama haisimami watu hawapandi meli hiyo
Mututa hamia huko kama ni kweli
Uwongo uwongo
😂😂😂😂 inawezekana lakini hio mikono ya mbele isiguse maji kitendo cha kugusa maji ndio uwongo utapo anzia kwani meli huzuiwa na mawimbi makubwa kutokana na muundo wake. Kwa muundo huo ata chumbe haifiki hio.
Uo ni uongo bwana ayo magame tu
How about the people will they get education?
Huo ni mji kila kitu kipo.
Wataishi watu waliochoka kukaa nchi kavu.
ni urongo huo na ndani wewe ni shabiki wa man unted kwa nn wanapendakuongea vitu visivyo na havitafanyika
ndio maana mashagala wanaplkwa shambani Waka Kate mitende ili ikajengewe meli upo chonjo bro 😂ladha wa fanye ukarbati w meli y jangwa n siyo y kwenye maji juu uarabuni sehemu kubwa n jangwa 😢Tema unacho tafuna usitudanganye kazi nikula kiporo cha jaba n sup y bangi tu apo 🖖🙌
Kwanza iyo mitende wanakata bure?
Au wewe ni gorikipa unadaka tu nakula?
Alafu usiongee kitu kama huna ushaidi nacho uliwai kwenda uko ukaona kazi zao jinsi zinavyofanyika au ndo umeangalia tu hii video ndo ukaanza kuyawaza yako?😢
Hamna kitu kama icho 😂
Mmmmh.
Haitatokea
Duuuuh!!!!
Mabilionea wangapi wa Afrika mashariki watauza mali zao zote ili waweze kuimiliki hii meli😂😂😂
duu had kiwanja cha ndrge
Way🤚
iliwekwaje kweny maj
Ishiiii😢😊
Kama aisimami abiria wanaxhukaje
Kweriiiii😅😅😅😅😅😅😅
Uzuri wako umejitakasa mwisho wa story mana likua unadanganya watu
LAHAULA
AMA KWELI AKILI NI MALI
Akunaa
Hhhhhj stak kusemaaaaa 😢😢😢😢😢
Addis ababa
Kumbe ndoto
Watu Wana pandaje
uongo umezidi sasa
Uwongo huwo
We niliongo
Shenzi kabsa
Ticket itakuwa shingap
Siamini wala sikatai