"HUYU NAMFUKUZA LEO, NILISHAMUONYA, ANATEMBEA HADI NA WAKE ZA WATU, HAFAI" - MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2020
  • "HUYU NAMFUKUZA LEO, NILISHAMUONYA, ANATEMBEA HADI NA WAKE ZA WATU, HAFAI" - MAGUFULI
    Leo Juni 28, 2020 Rais Magufuli amefanya ziara mkoani Pwani na kuhutubia wananchi baada ya kuzindua miradi mikubwa ya maji mkoani humo.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 642

  • @evelynesabina8168
    @evelynesabina8168 4 ปีที่แล้ว +124

    Im a kenyan but i love the way Tanzanian president handles issues... God bless you president

    • @majiramhesi9093
      @majiramhesi9093 4 ปีที่แล้ว +1

      Thanks men

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 4 ปีที่แล้ว +6

      Salaam Eveln kwa upendo wako kwetu, Mungu awajalie nanyi pia huko Kenya hata Kama si leo basi siku zijazo.

    • @nubiasahil2752
      @nubiasahil2752 4 ปีที่แล้ว

      i guess you are not Kenyan

    • @brayo001
      @brayo001 4 ปีที่แล้ว +1

      Haya mambo ya serikali ya Moi

    • @saadakiyungi6437
      @saadakiyungi6437 4 ปีที่แล้ว +2

      Shukrani ndugu zetu wa kenya

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว +34

    Magufuli is a real guy. Love him and look after him. Opportunity nocks once. !!!!

  • @mosesbabyenda6079
    @mosesbabyenda6079 3 ปีที่แล้ว +7

    I have liked his way of resolving issues there and then. RIP Rais Magufuli

  • @nickyfranchesco5611
    @nickyfranchesco5611 4 ปีที่แล้ว +37

    From Kenya,Magufuli napenda sana vile unavyo endesha serikali kupitia kumuamini Mungu..Mungu akubariki JPM 🇹🇿🇰🇪..Ikiwezekana ukimaliza term yako TZ jameni pia kuja Kenya uwanie kiti ya urais

    • @dhahajongo9049
      @dhahajongo9049 4 ปีที่แล้ว

      This our president we love so much

    • @nickyfranchesco5611
      @nickyfranchesco5611 4 ปีที่แล้ว

      @Dhaha Jongo huyu jameni akimaliza term yake aje Kenya apewe kiti ya urais

    • @roi2554
      @roi2554 4 ปีที่แล้ว

      watanzania tupo radhi mh.rais magufuli utawale hadi pale mungu atakapochukua nafsi yako amin

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 4 ปีที่แล้ว +22

    Wakenya tuko wangapi hapa tujuane na pia tukiona namna ya kuwa kiongozi bora sio tu bora kiongozi? Big Ho Mangufuli pia sisi tunaona mambadiliko

  • @mwalimuali6579
    @mwalimuali6579 4 ปีที่แล้ว +31

    Am watching this vedio from 🇰🇪 but kusema kweli he is a serous president with his responsibility yani tungekua na watu wa 10 tu kama hawa kenya tusingekua hivi leo👏hongera magufuli

    • @khamisijuma3167
      @khamisijuma3167 4 ปีที่แล้ว

      Mwalim Ali ,uliyosema niukweli kabisaa wakenya nilini tutapata viongozi Kama Dr John pombe magufuli

    • @jayr1472
      @jayr1472 4 ปีที่แล้ว

      Maze aletwe kenya afagie kina waiguru

    • @stn4873
      @stn4873 3 ปีที่แล้ว

      Sisi TZ tunae mmoja, nyie Kenya mnataka muwapate 10?

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 4 ปีที่แล้ว +43

    Hongera kwa kuteuliwa Hakika Allah humpa amtakaye maombi yako Allah ameyajib endelea na sala na kutoa sadaka majib take ndiyo hayo

    • @zaitunmtinange3453
      @zaitunmtinange3453 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakika ukimtegemea Allah yote yawezekana

    • @user-hb8vi9fx6g
      @user-hb8vi9fx6g 4 ปีที่แล้ว +6

      UTADHANI NDOTO KUMBE NDO KWELI ! MANA WAWEZA KUOGOPA HATA KUINGIA OFISINI KWA SABABU HUAMINI AMINI HIVI !

  • @patrickmgaza9927
    @patrickmgaza9927 4 ปีที่แล้ว +89

    Sio mchezo dakika 0 maisha yanabadilika

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 3 ปีที่แล้ว +11

    Hapo ndipo unapotambua elimu ni funguo ya maisha.!!!

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 4 ปีที่แล้ว +56

    KWELI RIZKI ANAEPANGA NI MWENYEZI MUNGU !
    DAH HII NIME IPENDA

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 4 ปีที่แล้ว +19

    Magufuli sifa zako zinaenea ulimwengu mzima Mungu akubariki best president ever in afrika

  • @paurosiabaylon8369
    @paurosiabaylon8369 4 ปีที่แล้ว +36

    Kiukweli huyu ni Rais wa miujiza kabisa....! Be Blessed uzidi kumtegemea Mungu

    • @jabilishekusa2202
      @jabilishekusa2202 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu raisi naomba uje Jimbo letu la Bumbuli Kuna kijiji chetu Cha magila bado hakija pata umeme walikuja kupima nKueka alama za nguzo Hadi leo hatuioni kinachoendelea halafu Kuna kitobgoji Cha mtimule hawakufika hata kueka hizo alama sisi wote niwatanzani naomba waziri jafo aliangalie hili tatizo.asante

    • @ismailothman2917
      @ismailothman2917 4 ปีที่แล้ว

      Ndomana kaitwa yesu nilicheka yani JPM jembe

  • @victorsimundwe2518
    @victorsimundwe2518 4 ปีที่แล้ว +26

    Yes thats Mr President 👍

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 4 ปีที่แล้ว +40

    MAGUFULI BABA LAO;kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿

  • @kundaellyimo7523
    @kundaellyimo7523 3 ปีที่แล้ว +15

    Hata tokea rais kama hili Jembe JPM KIRUUUUU rest in peace my HERO 😥

  • @malihaa5158
    @malihaa5158 4 ปีที่แล้ว +28

    Rais Magufuli...Mimi hapa nakuomba ukimaliza miaka ya kuhudumu TZ Basi uje Kenya tukuchague uwe President. Hoyeeee

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 ปีที่แล้ว +125

    Mke wa das sasa anasema "unaona umalaya wako ulipokupeleka"

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 ปีที่แล้ว +45

    Jamani ukipewa shavu piga Kazi, hacheni kuzengua kama enzi zileee za unanijua mie ni Nani , hizo enzi zimeishaaa bongo , ni mwendo wa rula..kunyoosha mistari ..

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว +2

      Watu bado wako kwenye usingizi wa unanijua mi nani wakati sikuizi ni heshim kazi yako kwani wananchi ndio waliokuajiri.

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว

      Mwendo wa kunyooshwa kama nguoo

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 4 ปีที่แล้ว

      Mwendo wa rula🤣🤣yaani huyu nampenda hadi nasikia kuzimia🤣🤣

    • @shebaminde7656
      @shebaminde7656 4 ปีที่แล้ว

      @@childofgod4412 M nampenda mpk nataka kuchizika hanaga muda wa kupoteza ukiharibu na yy anakuharibu

  • @angiewamuchomba8106
    @angiewamuchomba8106 4 ปีที่แล้ว +4

    Am from Kenya 🇰🇪 and this is my president Pombe.👏👏👏👏👏

  • @esperancenathali
    @esperancenathali 4 ปีที่แล้ว +11

    Wasichana tunaweza au sio 💪💪💪💪

  • @grecioussilas9885
    @grecioussilas9885 4 ปีที่แล้ว +53

    hakika mwanaume yeyote ili aimudu familia lazima awe na mahamuzi kama haya ya mh rais wetu

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 4 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania mshukuruni Mungu kwakuwapa kiongozi anayejali maisha yaraiya wake namchapa kazi Hana utani nakazi yake

  • @rabbithare381
    @rabbithare381 3 ปีที่แล้ว +4

    That's the quality of leadership Africa lacks.. The short time the almighty gave us Maghufuli we have learnt a lot...
    RIP JPJM..

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 4 ปีที่แล้ว +9

    Mzee baba nakukubali sana huwa hupepesi macho

  • @denisehaguma535
    @denisehaguma535 4 ปีที่แล้ว +8

    Tanzanian is blessed to have u,I wish all African leader should be like you

  • @GATHATWADAVID
    @GATHATWADAVID 3 ปีที่แล้ว +7

    "Hakuna kuhamisha,ukiharibu nawe unaharibikia hapo"Kenya kweli tuna safari ndefu kabla tupate kiongozi kama JPM.

  • @wazirikhamisi4828
    @wazirikhamisi4828 4 ปีที่แล้ว +37

    YANI WW MAGUFURI BONGE LA JITU LENYE MIAKILI MINGI SANA NDIO MAANA SIACHI KUKUTETEA HATA HUKU MTAANI KWA WANAO KUPONDA NA KUKUCHUKIA

    • @kingcosta2460
      @kingcosta2460 3 ปีที่แล้ว

      unatafta misifa wala hakuoni😂😂

  • @jeandamascenenyiridandi2208
    @jeandamascenenyiridandi2208 4 ปีที่แล้ว +10

    Nakubari Muze Makufuri

  • @mgotemgote3993
    @mgotemgote3993 4 ปีที่แล้ว +28

    Kapambane Dada yetu

    • @georgemashauri4657
      @georgemashauri4657 4 ปีที่แล้ว

      Huyo mama ni sawa na masai alie okota neema bilion 7

    • @simonkasya6500
      @simonkasya6500 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akisema ndio hakuna wakusema hapana

    • @mtweveandrew1861
      @mtweveandrew1861 4 ปีที่แล้ว

      @@simonkasya6500 kwer kabsa

  • @amashbaibe8361
    @amashbaibe8361 4 ปีที่แล้ว +8

    Magufuli I just love the way u deal with issues on the sport not tomorrow wao

  • @isaacsasamoah4318
    @isaacsasamoah4318 3 ปีที่แล้ว +7

    Am a kenyan but I loved you honoured you the way you handled tanzanian matters indeed you were people's president let God find a perfect place to get you laid 😭😭😭😭😭😭rest in peace my president

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Magufuli ni Rais kweli kweli
    Asante Yesu kwa zawadi nzuri.
    Tanzania itasimama imara milele!

  • @IssaMHaji
    @IssaMHaji 4 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee natamani Mh..MAGUFULI hata awe ni Mrithi wa Baba wa Taifa abaki na hicho cheo hadi mungu atakapo muhitaji mwenyew Yaani sijui nimfananishe na nani katika Uchapa kazi hongera sana Rais wetu
    CCM OYEEEEEEE

  • @aikandelema4349
    @aikandelema4349 4 ปีที่แล้ว +33

    Magufuli Mungu akutunze. Tunahitaji watendaji wenye nidhamu

  • @athumanimngumi9983
    @athumanimngumi9983 4 ปีที่แล้ว +22

    Haha haha hii ndio TZ nliokua naitaka

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 ปีที่แล้ว +9

    Watanzania muna bahati sana kenya kwetu viongozi wanaongea kuhusu siasa maendeleo akuna

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +25

    3:25 waziri katoa jicho haamini kinachotokea 😂😂😂 kufumba na kufumbua huna kazi aise... Kama yesu atavorudi

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 4 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆

    • @omikajanja1134
      @omikajanja1134 4 ปีที่แล้ว

      Yaan acha tu

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahaaaaa ......
      Kama yesu atakavorudi nakunyakua

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 3 ปีที่แล้ว +4

    why white people killed this guy

  • @eliamwamengo8119
    @eliamwamengo8119 4 ปีที่แล้ว +11

    Safiiii

  • @brownisalano4590
    @brownisalano4590 3 ปีที่แล้ว +2

    Brown Isalano form Kenya I love President magufuli

  • @ramadhanisaidi4586
    @ramadhanisaidi4586 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Rais wetu kwa kuweka nidhamu ya utumishi. Pia ni ujumbe tosha kwa jamii ambayo inatuzuunguuka. Kiukweli mke wa mtu anatakiwa aogopwe kama ukoma.

  • @Emmanuelbahatiartist
    @Emmanuelbahatiartist 4 ปีที่แล้ว +4

    Like this magufuli Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu mwamba namkubali sana

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว +14

    Uncle mangufuli sio muchezo

  • @Itarusii
    @Itarusii 4 ปีที่แล้ว +21

    Style ya uongozi Mheshimiwa Rais ni ya aina yake😅

    • @neydenyo6786
      @neydenyo6786 3 ปีที่แล้ว

      Yaan hakuna hata balaza kukaa duh!!!

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 4 ปีที่แล้ว +17

    hahahahhaha magu amenifurahisha sana,ndo kawaida yetu wana sayansi hatuna complication,bali tuna action

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 ปีที่แล้ว +37

    That's my President ☝️❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @lovemyselflovemyself954
    @lovemyselflovemyself954 4 ปีที่แล้ว +6

    Raisi wote wa Africa wange kuwa Kama wewe basi watu wa singe tegemea wazungu. Wewe ni raisi wakipekee Mungu akulinde wengine wajifunze kupitia ww 🙏🙏

  • @raymondmollel2028
    @raymondmollel2028 4 ปีที่แล้ว +24

    Amekula mboga ya watu

    • @geofreymsengi9971
      @geofreymsengi9971 4 ปีที่แล้ว

      Ndio ivyo amekula Mboga ivyo atajutia

    • @macmassau1994
      @macmassau1994 4 ปีที่แล้ว

      Ukila vya wakub........ yatakukuta

  • @yassersaid8233
    @yassersaid8233 4 ปีที่แล้ว +1

    Salute magufuli hapa kazi tu na uaminifu wengine jina tu sio waaminifu kwenye kazi kazi yao kukuangusha lakini tatizo hawajielwi ukweli ni kweli MTU ameshindwa kazi pia chini this is answear

  • @mauricemunyongiro8631
    @mauricemunyongiro8631 4 ปีที่แล้ว +7

    I like this Tz Prezzo if only Kenya can follow suit corruption will be history.

    • @marywanjiru2303
      @marywanjiru2303 3 ปีที่แล้ว

      Magufuli juu...Kenya haki ni kwa mwenye ako na pesa pekee anaeza Fanya chochote very corrupt

  • @shakiEntmtTv
    @shakiEntmtTv 4 ปีที่แล้ว +23

    We need makufuli in Kenya. 🤣🤣🤣

    • @mrmangetown4323
      @mrmangetown4323 4 ปีที่แล้ว

      We have only one magufu my dear .

    • @yusrahb4461
      @yusrahb4461 4 ปีที่แล้ว

      @@mrmangetown4323 we can share au vipi?

  • @eriqo0495
    @eriqo0495 4 ปีที่แล้ว

    I just love your president Tz.. Mmebarikiwa na rais mwenye maarifa.. Mungu amlinde na amjalie neema maishani

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 ปีที่แล้ว +5

    Weldone muheshimiwa Jafo na Rais

  • @frowinimwinuka9736
    @frowinimwinuka9736 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa kutupatia kiongozi mzuri hongera sana JPM

  • @christinaonyango6085
    @christinaonyango6085 4 ปีที่แล้ว +1

    Sina cha kukupa Baba zaidi ya kuzidi kukuombea kwa Mwenyezi Mungu,muumba wa mbingu na dunia ,kweli wewe ni mfano wa kuigwa,safi sana ,nakupenda sana.

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว +7

    From the bottom now top yeaa

  • @mohamedadam5987
    @mohamedadam5987 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera uncle maguu. Mie rais wangu pumbavu hajielewi kuiba ndio anajua

    • @Mandugudigitalify
      @Mandugudigitalify 4 ปีที่แล้ว

      ...yaani yule ana njaa za kidinasour!! Hadi mpagavu anaufanya mchongo eti!!??

  • @christopherryoba4068
    @christopherryoba4068 4 ปีที่แล้ว +27

    No one like you my president Jpm

  • @rutembesashabikumi2282
    @rutembesashabikumi2282 4 ปีที่แล้ว +22

    He should rule 20 years ur country has never seen a ruler like him

    • @kessyselemanirajab5310
      @kessyselemanirajab5310 4 ปีที่แล้ว

      He is not ruling, he is leading

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 4 ปีที่แล้ว

      Term limits are there to be respected he will go when his time is up we are not a dictorship

    • @ngwanafabian7532
      @ngwanafabian7532 4 ปีที่แล้ว

      @@kessyselemanirajab5310 any way

  • @marieelias8947
    @marieelias8947 4 ปีที่แล้ว +1

    If Africa could get ten presidents like this man , then we can consider the continent saved . Because I believe even the rest will follow the lead. Long live Magufuli ✊🏾

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 4 ปีที่แล้ว +4

    Raisi wetu anatembelea ukweli just why we love ya ❤️

  • @amani2555
    @amani2555 4 ปีที่แล้ว +23

    _MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA_
    😂😂😂😂

    • @sijalikifunyo912
      @sijalikifunyo912 4 ปีที่แล้ว +3

      Mwana kulifind mwana kulifound. 😁😁😁😁

    • @frankkashner
      @frankkashner 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @fatmakigada3829
      @fatmakigada3829 4 ปีที่แล้ว

      Jaman mmenichekesha adi machozi nyie Mwana kulifind na kulifound

    • @thebigdeal4480
      @thebigdeal4480 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwana kuli find mwana kuli get

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 ปีที่แล้ว +3

    That was our beloved president...😭😭😭

  • @vumipeter9404
    @vumipeter9404 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndiye Baba. Mungu ampe Maisha marefu Raisi wetu. Hana ubaguzi. Ukifanya kazi hana shida na wewe.

  • @mkulasmwanza1297
    @mkulasmwanza1297 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 4 ปีที่แล้ว +9

    Vitabu vya Dini vinasema usitamani cha mwenzio na kama kweli basi jutia na utubu ulicho kifanya

  • @swafaasaleh1425
    @swafaasaleh1425 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamn Tanzania tumebahatika kupata president km huyu 😘😘😘😘 hadi raha long life our president

  • @stevemwakalama1295
    @stevemwakalama1295 4 ปีที่แล้ว +1

    Kenya needs servant leadership like this.

  • @ismailahmed5133
    @ismailahmed5133 4 ปีที่แล้ว +10

    Duh,,Mjomba MAGU ,,sio poah,,

  • @carolinekeli1088
    @carolinekeli1088 4 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya, Love Magu sana

  • @n7428
    @n7428 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow hua nafurahi kuona mwanamke ana fanikiwa na kutuwakilisha vema💪🏿

  • @patrickissakalenga589
    @patrickissakalenga589 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akuwezeshe Baba MAGUFULI. Mimi sio mtanzania. Ila viongozi wa Afrika kwa ngazi zote wangekuiga wewe, Afrika ingeheshimika ulimwenguni kote. Mungu akuongezee siku za kuishi na aruhusu viongozi wengine wakakuiga wewe.

  • @mundiakinyuakarue1151
    @mundiakinyuakarue1151 3 ปีที่แล้ว +1

    May you live long African king

  • @IssaMRajab-su5lh
    @IssaMRajab-su5lh 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ni kiboko, wish we had this kind of Leaders in East Africa 🙌

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 4 ปีที่แล้ว +13

    Hapo wapinzani hatuna hoja, kwa kweli mzee anafanya kazi inayofaa kwa kila mwananchi

    • @hassanimwakatika9822
      @hassanimwakatika9822 4 ปีที่แล้ว

      tunajua ni malaya wake wivu kuriko mama janet

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 ปีที่แล้ว +2

      @@hassanimwakatika9822 na wew pia si Malaya wake Ndio maana unatoa povu

    • @setholivier4862
      @setholivier4862 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanimwakatika9822 jinga sana

  • @annikhaoya470
    @annikhaoya470 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli Nakupenda bure Baba wa Tanzania. Ina mfano mzuri. 254 love you

  • @jamessonofafrica4515
    @jamessonofafrica4515 4 ปีที่แล้ว +19

    Asante sana baba wa taifa kwa kazi unao fanya tunge penda kuwa namarais kama wewe

    • @Mandugudigitalify
      @Mandugudigitalify 4 ปีที่แล้ว

      AFRICA inahitaji kuungana na kumpa huyu hata angaa miaka ishirini anyooshe hadi Lybia!

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 4 ปีที่แล้ว +10

    Samahani wakubwa siko katika vyama vya siasa, lakini huyu bwana hunigusa sana yuko Kiafrika kabisa sio Kibeberu yaani USTAARABU MWINGI! Huyu Rais hana huo utamaduni wa ng'ambo hata kidogo! RAHA SANA, MICHAKATO IMEKOSA NAFASI KATIKA UTAWALA HUU!

  • @milcankwabi3676
    @milcankwabi3676 4 ปีที่แล้ว +12

    Ndoa na iheshimiwe na watu woteeee

  • @neemamwanga4910
    @neemamwanga4910 4 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua watu km hao wanatesa mpaka wake zao sababu awara anaishi kwa raha kuliko mke alafu anajiona mwamba pumbavu kabisa tumbua hiyoooo

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 ปีที่แล้ว +5

    Vyeo nje nje kwa magu

  • @fetysaidsaid708
    @fetysaidsaid708 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana bb mungu akubariki sana baba yngu 😍🙏🤲

  • @drukundo4276
    @drukundo4276 4 ปีที่แล้ว

    Am original from Burundi but I live in USA 🇺🇸 bro am tell you this President Magufuri is the best president in whole Africa

  • @lauraabass1077
    @lauraabass1077 4 ปีที่แล้ว

    Mhe bwana nampenda hapo hapo kaunganisha hadhari kama mmeisoma, kawaonya na hawa wawili wasije wakafanya udasi wao maana mhe mkuu wa mkoa kamchague mmama Afsa Tawala hafla. Inshallah kheri Tupige kazi Watanzania.

  • @shafiqramzi5776
    @shafiqramzi5776 4 ปีที่แล้ว

    The best president ever love kutoka Uganda watanzania mmshukuru Mungu mna Raisi wa kikweli

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @paulnjeule2510
    @paulnjeule2510 4 ปีที่แล้ว +2

    Such kind of roadside declarations have advantages and a fair share of disadvantages. A lot of consultations and deliberations should be made upfront.

    • @robertj.4484
      @robertj.4484 2 ปีที่แล้ว

      When will the common mwananchi be served if these endless consultations continue?

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana rais wetu kipenzi mungu akulinde kwa yote maana wapinzaniwako hawapendi haya maendeleo ya nchi yetu sikuzote wanaombea mabaya tanzania kama wawo wazungu.lisu mbowe zitto kabwe hawo wengine kama kina lema na wenzake bendera hufata upepo two.

  • @user-qm3pi7vx9u
    @user-qm3pi7vx9u 6 หลายเดือนก่อน

    Tuna maliza hapa hapa,daaah uncle maguuuuu🎉🎉🎉🎉

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 4 ปีที่แล้ว

    Assante raisi wangu mpaka unalinda ndoa mashaallah mungu akuongoze Ktk kazi zako

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupumzishe salama baba.

  • @allyhussein9024
    @allyhussein9024 4 ปีที่แล้ว +24

    Rais wetu tunakuomba ufike Lushoto Tanga

    • @gadielshedaffa3333
      @gadielshedaffa3333 4 ปีที่แล้ว

      Kuna mbwai uko waume?

    • @kimwerionlinetv5574
      @kimwerionlinetv5574 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gadielshedaffa3333 😂😂😂😂osie wan koma na usheko iweee ekadu eite akategheeze wandughu wetu hambu kaya hechikosa vyaonga😂😂😂😂

    • @reginasoki5025
      @reginasoki5025 4 ปีที่แล้ว

      Kuna nn tena

    • @allyhussein9024
      @allyhussein9024 4 ปีที่แล้ว

      Kuna majipu mengi

  • @violetcarroll4930
    @violetcarroll4930 4 ปีที่แล้ว +6

    tumbua tumbua mzee

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 4 ปีที่แล้ว +2

    Ha ha Magu nimeipenda hiyo fasta fasta watu wakizingua toa hapo hapo panga wengine

  • @jumafungameza2840
    @jumafungameza2840 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali Rais Magufuri mtetezi wa wanyonge

  • @Emma-zi9mw
    @Emma-zi9mw 4 ปีที่แล้ว +8

    Hakika hiki combo tuazimeni huku Bdi mwaka mumoja tu tutarejesha wallah..

    • @fredrickkagwa8853
      @fredrickkagwa8853 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha mukinogewa?

    • @dianamkita6571
      @dianamkita6571 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha,,Sisi waswahili husema,",kiendacho kwa mganga hakirudi"..Tunampenda Rais wetu jamani...

    • @paskalmasake3342
      @paskalmasake3342 4 ปีที่แล้ว

      Acheni kujidharau,,,kwan nyinyi hamuwezi?

    • @Emma-zi9mw
      @Emma-zi9mw 4 ปีที่แล้ว

      @@dianamkita6571 iyo ni kweli but huyo jama anastahil urais wa inci yeyote apa duniani n mfano muzuli kwa sisi vijana hongereni saana

    • @Emma-zi9mw
      @Emma-zi9mw 4 ปีที่แล้ว

      @@paskalmasake3342 sasa ww nduguyangu kama nimufatiriaji muzuri wa siasa na mimi na kuuliza ww kwa muono wako unaona tunaeza??

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 ปีที่แล้ว

    Jamani...viongozi na maadili..Nampendaga sana huyu raisi...Magufuli Hoyee
    Jokate hoyee
    Wanawake hoyeee..wanawake tunawezaaa...
    Mungu ibariki Tz.

  • @deogratiaselias3294
    @deogratiaselias3294 4 ปีที่แล้ว +8

    Watanyooka tuuu unaleta ujuba kwa magufuli wewe

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว +1

    Usitegemee kuwa na kazi bas ukawazini wake za watu ujui kuwa s vizr kwa jamii inayo kuzunguka na Allah awapendi wazinifu