UKWELI Kuhusu UGUMBA: SABABU za KUTOPATA MTOTO ni HIZI | HARD TALK With LILIAN MWASHA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • UKWELI Kuhusu UGUMBA: SABABU za KUTOPATA MTOTO ni HIZI | HARD TALK With LILIAN MWASHA...
    LILIAN MWASHA Kupitia Kipindi cha Hard Talk, amezungumza na Daktari bingwa wa Uzazi, Dkt Mulanzi Amry, juu ya matatizo ya kutopata watoto...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 20

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada nimechelewa kukujua kwa muda mfupi nimefwatilia nimepata kitu una kitu Cha ziada Asante na watalamu unaowaleta wako vizuri sana

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 ปีที่แล้ว +1

    LOOOVE YOU LILIAN SUCH A SWEET SPIRIT⚘🧡

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 ปีที่แล้ว +2

    Another Genius... Dr long time ❤️🇬🇧❤️🇬🇧🇬🇧

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 2 ปีที่แล้ว +1

    Hard talk with lilian mwasha kudos kwa kipindi kizuri chamafunzooo mnoooo

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 2 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi kizuri sana dada Lilian🇺🇸

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 ปีที่แล้ว +1

    Leo dada umechemsha..umetoka nje ya mada
    Mada kuu ilkua ugumba lakini umemtoa doctor nje ya mada..tafadhali rudia kipindi kuhusu mada ya ugumba

  • @rafikindugu4674
    @rafikindugu4674 3 ปีที่แล้ว +6

    Dada, umeharibu kipindi na maswali ya siyo kabiliana na subject. Unapo alika mutaalam kama huyu Dr, basi zingatiya subject yako.
    Hivi sasa, nini watu wameelewa kuusu UGUMBA?

    • @asumpta
      @asumpta 3 ปีที่แล้ว

      Lili mimi mwanamke wa watoto wa 4 wanza wa kike wa kwanza ana miaka 30 na wa pilii ana miaka 25 wa mwisho ni mapacha wa miaka 13 na mimi nina miaka 52, nilipata période saana wakati nikiwa na miaka 50, wakagundua nilikuwa na fibrose wakanifanyia opération, sasa

  • @asamsam5608
    @asamsam5608 3 ปีที่แล้ว +6

    Ivi dada Lilian kile kipindi cha Women matter kimekufa?

  • @ramlamrishohaji1161
    @ramlamrishohaji1161 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna wengine wanapata hedhi siku 21, je huwezi kufanya ujauzito

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr anajua sana

  • @sarahahmed8813
    @sarahahmed8813 3 ปีที่แล้ว +1

    Bima ama riba 😇

  • @emerencesifa6131
    @emerencesifa6131 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazito kabisa

  • @asumpta
    @asumpta 3 ปีที่แล้ว +1

    Liliani swahiba nina swali mimi nina watoto wa 4 na nina miaka 52 na mtoto wa kwanza miaka 30 wa 2 miaka 25 wa mwisho ni mapacha wa miaka 13, nilikuwa na période kwa miaka 50 tena nyingi mabonge ya damu, ilkagundulika nina fibrose wakanifanyia opération, sasa nipo vizuri swali hizo damu ujana wangu mpk sasa zinatoka wapi? yani huo uchavu wote wa damu unatoka kwa kwa njia gani?

    • @asumpta
      @asumpta 3 ปีที่แล้ว

      Nakuomba umuulize Docteur

    • @asumpta
      @asumpta 3 ปีที่แล้ว

      Kwa maana sina hedhi tena na kizazi wameshatoa na mimi niliwaambia ma docta watoe kizazi chote, ila huo uchafu wa damu sasa unatokea kwa njia gani?

    • @evancekimath7405
      @evancekimath7405 3 ปีที่แล้ว

      Iko hivi,
      kwanza hongera sana uko salama,
      Nipende kukuambia tuu kua damu ya hedhi inatokea pale ambapo ukuta wa kizazi(layer of the uterus) unapokua unatoka nje baada ya maandalizi yakutungwa mtoto kutokufanyika ndani yakizazi ambapo sasa katika kukwanguka kwake inakua inatoka nadamu ambapo mwisho wasiku ndio tunaiita damu ya hedhi.
      Sasa tuhamie upande wa scenario yako, umesema kizazi kimetolewa kitaalamu wanaita Total Trans abdominal Hysterectomy au (T.A.H),
      Kama kizazi hakuna basi lile swala lakukwanguliwa kwa ukuta wa kizazi nao hakuna na damu hakuna, waooooh , hivyo uko salama kabisa nahuna shida ,keep in praying madam , thankyou !!

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini utumie dawa km vipi vyakula vitakusaidia

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu nae anakosea kosea hafai