Nakupenda sana dada Lilian your always inspired me everytime I listened to you. Sikuamini the day you passed by at my shop at masaki and nikaomba uniachie baraka hakika ulichoniombea ndio kimekua wateja wapo wa kutosha na sijaacha ushauri wako wa kutoa fungu la kumi na namuona sana Mungu akinipigania na kunipeleka mbali sana 🙏🏽 God bless you abundantly my beloved sis, You’re someone special in this world ❤️
Nampenda huyu dada jamani, I really do celebrate your existence in this world Dada Lilian, you are indeed a blessing, I always get something when i listen to you ❤❤ Barikiwa sana sana
Lillian, you came and our lives crossed, I pushed you and put you in-charge of a number of programs you may not understand what it meant. Today, I have heard your inside. You are one of the great students I had visited home, meeting parents than any student of my career back in the days. Roots & Shoots programs, in those maroon uniforms, so you had your agenda. Thank God that he revealed to you who you are meant to be. Whatever you have Lillian does not and will never belong to you, even the way you are, it has a meaning, you are there to uplift a number of souls. In tears of joy and thanksgiving I remain thanking God for you.
Nilijikuta Nakupenda kwa ajili ya sauti yako tangu upo ITV but today nimejikuta Nakupenda kupitiliza❤❤❤. Leo umenifunza, umeniliza but umenifunza Mengi zaidi na kunipa Hamasa ya kuendelea kuutafuta uso wa MUNGU zaidi.. ..Mungu azidi kukuinua zaidi.
Dada Lillian nimekuelewa sana na kauli yako kwamba mtu atakupenda tu kwa kile ulichokibeba,una kitu cha tofauti. Maneno yako yamenigusa sana. Hasa jinsi unavyoonyesha kuthamini vile alivyo vifanya Mungu. Hongera sana.
Lily nimefurahi sana kusikia ushuhuda kuhusu mdomo wako,mi ni miongoni mwa watu ambao tangu niko mdogo siwez bagua mtu na kila aliebaguliwa nampenda zaid,ila pia nilikua nasema mbona mdomo wako umepinda nafikir ni macho yangu,bora unajiamini maana binadamu wengi huhukumu tu bila sababu,God bless u with big and beautiful voice,nakukubali sana akili kubwa sana Mungu amekupatia.
Lilian umenifunza mengi sana mungu akubariki saana i pray God to bless me with understanding and mature man. Watu ambao wanamuita diamond elumite wanapata dhambi bure angekuwa huko hangeruhusu hicho kipindi wasafi i love you sister lilian God bless you.
You are a powerhouse Mami if grace was a person🇰🇪🇩🇪 Nakukubali sana na kitu Chaa ajaabu I look at you and God directs me to your words not your mouth 👄 and your beautiful by the way ......and women matters healed my life ❤️🔥
The wound is the place where the Light enters you (Rumi). May God continue to bless you beautiful woman, thank you kwa ku share your life experiences with us...
Wooow what a powerhouse woman....Because of this interview my life will never be the same again...Love you lotz lilian. Thanks Suzy for hosting such a great show.
Wow wow👋👋👋👋my fav women Kwa vipind vyako navipenda na NAKUPENDA SANA my Lilian mwasha so much💋💖💖💕💋💖💖hivyohivyo NAKUPENDA na uko vizur SANA SANA tu penda SANA my Lilian 💖💖💖💖💖
Nilikuwa na mwanamke ambae anajua uzuri ktk ndoa ni kujipodoa na kujipost kwenye insta na whatsapp status. Nimepata genius na well thoughtfull woman she is all i deserve to be with in my life... God knows more🙏 Yeye si mrembo kama wa mwanzo ila huo urembo niliuacha kwa kuangalia maisha mbele na aina ya mama wa watoto wangu. So lilian nakupongeza sana u are very strong.young ladies should learn a lot from u. Be blessed🙏
I've walked away from this great interview with this, Aggie, Embrace your rejection. Gods purpose will be done. Thanks Lilian and your brilliant interviewer.
I REAAALLY LOOOVE SISTER LILIAN. LILIAN UNA ROHO NZURII SANA SANA. UNA SPLENDID SPIRIT YA PEKEE SN. THANK U GOOD GOD FOR THIS WONDERFUL UNIQUE WOMAN. GOD BLESS U EXCEEDINGLY N ABUNDANTLY..EVERYDAY.
Oooh my God Mungu akubariki dada lilian hakika nimejifunza mazuri kwako alafu nilikuwa napenda kitambo nilikuwa nikikufuatili na Anti sadaka lakini siku wahi kugundua chochote zaidi nilikuwa nakupenda Sana
Lilian you are beautiful both inside and outside. I love you sister and you are unique, a mentor, a coach, a woman of God. Thank you for encouraging so many of us out here. I love your voice, very powerful and positive. Keep going sister, we appreciate and love you out her. You are uniquely made by God himself for His own Glory. Happy 2023
Nikweli kabisa mm nimewah kuomba nirudishwe DARASA kwasababu ya vijana watatu lakini yupo Mmoja simsahau had leo kisa Baba yangu alikua Shoe shine so nilipata taabu kubwa Sana Darasan Kisa mtu Mmoja tu dah nikuwaombea Sana watoto
Natamani niseme Mungu naomba niwe kama lilian lkn napata nguvu ya kusema Ee Mungu naomba nitembee kwenye kusudi uliloniumbia maana nimeona nguvu yangu nikubwa Sana Ila Haina saport bila wewe Mungu nionyeshe njia ya kuanzia kusimama kwa miguu miwili kwenye hili kusudi ndani yangu Amen
Asante sana......kweli maisha ni kujikubali, Nimekubali kuna mtu vile alivyo ni kwa utukufu wa Mungu, tumtukuze Mungu kwa jinsi tulivyo na hata kwa makovu tuliyoyapata maishani.!! Asante sana Lily😍
What a strong woman in Christ. Keep it up for the healing of the nation particularly the youth. Take or leave it a day shall come when everyone will stand before Christ on the judgement day to account for your life on earth to receive eternal life or hell. Blessings Lily may the HS keep you.
Mimi mwnyw nakupenda sana lilian Mungu azidi kukuinua you inspire a lot of people wanaojikataa nimependa et bby ukinizingua haaaaaah very confidence God bless u madam
Halleluya mpendwa Lilian nimekupenda zaidi mana bwana Yesu umemjaza ndan yako hauna shaka Mungu atunze una kitu kizuri nakipenda ndani yako Yesu azidi kukuinua.
Asante Lily,umenifanya nisimame tena,nilishajikataa mnoooo japo sina ulemavu wowote ila nimekuwa nikipingwa kwa kila kila kitu.Kiwe kizuri kizuri au kibaya😢
Wewe ni mwanamke wa shoka binafsi nakukubali sana.nafuatilia sana vipindi vyako ila kiukweli ukijikubali mwenyewe mapungufu yako huwezi kuhofu lolote mtu hata aseme nini.uko vizuri dear keep it up
Roho Mtakatifu kupitia mtumishi mmoja aliwahi kunifundisha , kuwa mara nyingi ukiona vita inalenga mahali flan basi kuna possibility kubwa mno kuwa Mungu atatumia hyo sehem kujitukuza , hvyo shetan huwa anavipga sana ili kujaribu kuzma kusud lkn Mungu n mkuu vita huwa anashinda, hvyo kwa maarifa hayo nashuhudia kuwa adui ailileta vita kwenye midomo na sasa mdomo huohuo ndo unamhubri Kristo, na kuwa faraja kwa wengi Glory to God
Aisee, yan imeanza tu but imenichoma. Well said, shetani anajua kusudi la watoto na hakika anajua kuua hilo kusudi endapo mtu akikua akishindwa kusimama na Mungu au wazazi wake wakishindwa. I'm impressed
Nakupenda sana dada Lilian your always inspired me everytime I listened to you. Sikuamini the day you passed by at my shop at masaki and nikaomba uniachie baraka hakika ulichoniombea ndio kimekua wateja wapo wa kutosha na sijaacha ushauri wako wa kutoa fungu la kumi na namuona sana Mungu akinipigania na kunipeleka mbali sana 🙏🏽 God bless you abundantly my beloved sis, You’re someone special in this world ❤️
Nampenda huyu dada jamani, I really do celebrate your existence in this world Dada Lilian, you are indeed a blessing, I always get something when i listen to you ❤❤ Barikiwa sana sana
Yuko vizuri mnoooo kikazi
Binafsi nachukia mtu kutumia weakness ya kumfifisha..iwe ya ugonjwa au kuzaliwa...songa mbele dada wewe ni super women 🤗
Uko vzuri sana
Hata mm nachukia mno ,mtu anayemtenga mtu au kumtenga kwa sababu ya Upungufu fulani,Mungu atamlipiza kisasi .maana anapendezwa na udhaifu huo.
Bora we umekomenti kiswahili nikaelewa
Bora we umekomenti kiswahili nikaelewa
I need a woman like Lilian 🙏 she is genius ooh God, be blessed Lilian
😚 😚
I am here😁
@@bellabakera 😅 can I have ur whatsap Number or Instagram user name ?
@@delekalxon7221 nipe number yako ntakucheck
Unatumia jina gan Instagram?
Lillian, you came and our lives crossed, I pushed you and put you in-charge of a number of programs you may not understand what it meant. Today, I have heard your inside. You are one of the great students I had visited home, meeting parents than any student of my career back in the days.
Roots & Shoots programs, in those maroon uniforms, so you had your agenda.
Thank God that he revealed to you who you are meant to be. Whatever you have Lillian does not and will never belong to you, even the way you are, it has a meaning, you are there to uplift a number of souls. In tears of joy and thanksgiving I remain thanking God for you.
Nilijikuta Nakupenda kwa ajili ya sauti yako tangu upo ITV but today nimejikuta Nakupenda kupitiliza❤❤❤.
Leo umenifunza, umeniliza but umenifunza Mengi zaidi na kunipa Hamasa ya kuendelea kuutafuta uso wa MUNGU zaidi.. ..Mungu azidi kukuinua zaidi.
Nice interview and I like they way she is comfortable no matter her situation...I have learnt a lot from her and am a big fan of Wasafi Sunday worship
Pole Lilian, i understand your concern: it is unfortunate that most people judge others from appearance.
Ubarikiwe sana mama, uishi milele. Self confidence is the key to success.
One of the best interviews, its more than an interview...it is a healing session
Namshukuru Mungu kusikiliza kipindi hiki umeniongezea kitu cha kumshukuru Mungu thanks. Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi dada
The beauty of the person is what she caries...Well said
Dada Lillian nimekuelewa sana na kauli yako kwamba mtu atakupenda tu kwa kile ulichokibeba,una kitu cha tofauti. Maneno yako yamenigusa sana. Hasa jinsi unavyoonyesha kuthamini vile alivyo vifanya Mungu. Hongera sana.
Lily nimefurahi sana kusikia ushuhuda kuhusu mdomo wako,mi ni miongoni mwa watu ambao tangu niko mdogo siwez bagua mtu na kila aliebaguliwa nampenda zaid,ila pia nilikua nasema mbona mdomo wako umepinda nafikir ni macho yangu,bora unajiamini maana binadamu wengi huhukumu tu bila sababu,God bless u with big and beautiful voice,nakukubali sana akili kubwa sana Mungu amekupatia.
Kila nikisikia sauti yako on Sunday worship daah you heal all the wounds i hv through yr voice trust me you inspire alot of women out there 🙏🙏🙏
wapi mpenzi
Lilian 💟nakupenda sana.dini ndo kila ktu...ur enough matured 🤗.mtangazaj 💙💞
Dada uko vizuri sana,hamna mtu mbaya duniani kama yupo unaesema tengenexa hata wa mti tumuone
Mungu akubariki sana dada nikikuangalia na kukusikiliza napata nguvu sana ya kupiga hatua
I have never so ua mouth aki,u are beautiful na napenda Sana kipindi Chako kizuri ata sioni kasoro aki,ya vry powerful Sana
I just love her inspiration lilian u are so amazing
She is so strong 👏🏾👏🏾👏🏾 i love the interview
Lilian umenifunza mengi sana mungu akubariki saana i pray God to bless me with understanding and mature man. Watu ambao wanamuita diamond elumite wanapata dhambi bure angekuwa huko hangeruhusu hicho kipindi wasafi i love you sister lilian God bless you.
You are a powerhouse Mami if grace was a person🇰🇪🇩🇪 Nakukubali sana na kitu Chaa ajaabu I look at you and God directs me to your words not your mouth 👄 and your beautiful by the way ......and women matters healed my life ❤️🔥
The wound is the place where the Light enters you (Rumi). May God continue to bless you beautiful woman, thank you kwa ku share your life experiences with us...
It's wonderful to see you sister Lilian
See you at church next Sunday
Wooow what a powerhouse woman....Because of this interview my life will never be the same again...Love you lotz lilian.
Thanks Suzy for hosting such a great show.
Amen. God is great God is everything. We can count our blessings and we cant be able to count all of them. Thanks God
Mungu akubariki sana dada Lillian...nafurah kukuona leo..
Niliipenda mno sauti yako..bt 2day I do love you sisy
Amen dada Lilian yani umenitoa machozi kwa kweli na Mungu haendelee kukubariki
Wow wow👋👋👋👋my fav women Kwa vipind vyako navipenda na NAKUPENDA SANA my Lilian mwasha so much💋💖💖💕💋💖💖hivyohivyo NAKUPENDA na uko vizur SANA SANA tu penda SANA my Lilian 💖💖💖💖💖
Nilikuwa na mwanamke ambae anajua uzuri ktk ndoa ni kujipodoa na kujipost kwenye insta na whatsapp status.
Nimepata genius na well thoughtfull woman she is all i deserve to be with in my life... God knows more🙏
Yeye si mrembo kama wa mwanzo ila huo urembo niliuacha kwa kuangalia maisha mbele na aina ya mama wa watoto wangu.
So lilian nakupongeza sana u are very strong.young ladies should learn a lot from u.
Be blessed🙏
at list ulitomba, hawezi kukuringia mkikutana na yeye ana mume mwingine, usiniambie ni wema sepetu...
What a blessing message Asante Lilian
nimeipenda hii ya kuwa ukiwa Nuru giza halitakupenda ni kweli kabisa Mungu atupiganie
I've walked away from this great interview with this, Aggie, Embrace your rejection. Gods purpose will be done. Thanks Lilian and your brilliant interviewer.
Nmekupenda sn dada Interview yko imeponya wengi Barikiwa sn
Powerful so amazing.thank you for healing me Dada lilian.God bless you
Ua inspiring,ktk Quran ts so water first and gods miracles mashaalah ua damn ryt. Unaeleweka. Allah bless us ol
I REAAALLY LOOOVE SISTER LILIAN. LILIAN UNA ROHO NZURII SANA SANA. UNA SPLENDID SPIRIT YA PEKEE SN.
THANK U GOOD GOD FOR THIS WONDERFUL UNIQUE WOMAN. GOD BLESS U EXCEEDINGLY N ABUNDANTLY..EVERYDAY.
Nimebarikiwa sana na maneno yako dada Lilian 🇺🇸
Mungu akubariki dada Lily nimejifinza jambo kubwa sana sister Lily GOD bless you more❤
Dada lilian u are a hero mom God bles you abundantly
Dada suzi hata Amen husemi umenyamaza tuu jifunze kusema Haleluya na Amen
Oooh my God Mungu akubariki dada lilian hakika nimejifunza mazuri kwako alafu nilikuwa napenda kitambo nilikuwa nikikufuatili na Anti sadaka lakini siku wahi kugundua chochote zaidi nilikuwa nakupenda Sana
This interview teacher me allot thank God for everything you
Hee!!sijawahi on a kama mdomo umepinda kwa kweli,nimekuangalia Leo kwa umakini ndo nimeona.Barikiwa sana Dada angu.
Hata mim sijawah kufahamu🙂💕🙏Mungu n mwema
Lilian you are beautiful both inside and outside. I love you sister and you are unique, a mentor, a coach, a woman of God. Thank you for encouraging so many of us out here. I love your voice, very powerful and positive.
Keep going sister, we appreciate and love you out her. You are uniquely made by God himself for His own Glory.
Happy 2023
Nimejifunzaaa mengi sanaa ya kidunia na mbinguni pia ubarikiwe dada Lily super woman, beautiful with BRAIN🤗🤗🤗
Kiukweli sikuwai kujua mdomo wako umepinda kila siku nakuangalia leo ndo nimekuona
Nikweli kabisa mm nimewah kuomba nirudishwe DARASA kwasababu ya vijana watatu lakini yupo Mmoja simsahau had leo kisa Baba yangu alikua Shoe shine so nilipata taabu kubwa Sana Darasan Kisa mtu Mmoja tu dah nikuwaombea Sana watoto
Pole
Kweli kabisa
Ooh pole. Nothing to be ashamed.. Baba ni Baba.
Tunamshukuru mungu sana kwa uwepo wako ,wengi tunapona
Mungu sijawai juwa kama uko nakasolo nasikilizaga sauti yako tu ilivyo nzuli nausinge sema nisinge juwa masha ila uko poaa sana
Bas humfatilii...amepinda kabisa mdomo
This woman🙌🏾🙌🏾😭😭😭 she’s soooo POWERFUL💪🏾💪🏾💪🏾 GOD bless you ma’am😘😘
Lillian umesema maneno yote na ni ya kweli kabisa, mungu akubariki.
Namkubalii sanaa huyu mdadaa @Lilian.....👏👏blessing 👍🏼
I love Lilian Mwasha God bless her
I love listening to you lilian be blessed coz you bless alot of people
Kiukweli napenda kila kinacho kutoka mdomoni mwako Mungu azidi kukuinuwa maana ktk yote uliyo yaongeya kuna watu wengi wamejifunza
The lady is sooo on point.each and every word..thats not normal.thats a blessing.
Natamani niseme Mungu naomba niwe kama lilian lkn napata nguvu ya kusema Ee Mungu naomba nitembee kwenye kusudi uliloniumbia maana nimeona nguvu yangu nikubwa Sana Ila Haina saport bila wewe Mungu nionyeshe njia ya kuanzia kusimama kwa miguu miwili kwenye hili kusudi ndani yangu Amen
Asante sana dadaangu kwa kunitoa usingizini MUNGU akubariki sana nakupenda sana ni kweli yatupasa tumshukuru MUNGU wetu kwa wema wake
You are my mentor sisters Lilian God bless you 🙏🙏
Asante sana......kweli maisha ni kujikubali, Nimekubali kuna mtu vile alivyo ni kwa utukufu wa Mungu, tumtukuze Mungu kwa jinsi tulivyo na hata kwa makovu tuliyoyapata maishani.!!
Asante sana Lily😍
Lilian you are an inspiration and a Supper woman💞🌺🌺🌺
Duuu had nimetokwa machoz
Hongera Lilian
Ur so winner, nimejifunza kitu
What a strong woman in Christ. Keep it up for the healing of the nation particularly the youth. Take or leave it a day shall come when everyone will stand before Christ on the judgement day to account for your life on earth to receive eternal life or hell. Blessings Lily may the HS keep you.
Mimi mwnyw nakupenda sana lilian Mungu azidi kukuinua you inspire a lot of people wanaojikataa nimependa et bby ukinizingua haaaaaah very confidence God bless u madam
Kweli kabisa uzuri wa mwanamke haupo nje upo ndani yakile ukicho kibeba
You are such a talented woman I just like you,mind you that you will always be beautiful and God uses you for His glory for sure i love you
Ninampendaa nanilijua tu ni maumbile ya mwenyez mungu alivyo muumbaa pole dadaa lilian❤❤❤❤❤
Halleluya mpendwa Lilian nimekupenda zaidi mana bwana Yesu umemjaza ndan yako hauna shaka Mungu atunze una kitu kizuri nakipenda ndani yako Yesu azidi kukuinua.
im from.zanzibar, lilian mwasha nimejifunza mengii sana... sana.. na pia tunatakiwa kujifunza sana... kupitiaaa ww.
Lilian nakupenda sana sanaa huduma yako n kubwa sanaaa
Mungu akubariki Mtumishi ..hakika tukishukuru kwa kidogo Mungu hufungua njia zaidi
Dada Lilian wewe ni mtu wa kipekee sana! Una kitu kikubwaa mnooo ndani yako! Umenigusa sana leo !
I LOVE YOU Lilian super women 😍😍😍😍😍😍😍😍👌👌👌👌👌👍 nime jifunza mengi sana
I love you Da lily nakufatilia since 2016 am so blessed to know you
You inspire me, madame, excellent 🙏🙏🙏🙏
Interview ndio hii sasa nimejifunza jambo God bless you
Amina, umenipa mwanga Dada Lilian Mwasha, nimekupenda bure my,,Daima nitamtumaini Yehova ktk majira na nyakati zote.💪💒🕘
Asante Lily,umenifanya nisimame tena,nilishajikataa mnoooo japo sina ulemavu wowote ila nimekuwa nikipingwa kwa kila kila kitu.Kiwe kizuri kizuri au kibaya😢
Ukimtumania Mungu atakutia nguvu na atakupa kibali cha kushangaza. Mkarbie yeye Mwamini yeye Anafanya
Nimekupenda Lilian, Mungu azidi kukutumia🙏 powerful woman of God 👏👏👏nimejifunza sana
Binadamu ni watu malizia don’t worry 😉 MUNGU yu nawe ❤️🙏
I love you lily
ooooo!!Yes kwenye magumu na machungu ndiyo utajua Mungu ni Mungu.
Nakupenda Sana dada Lilian ni dada ambae upo happy muda wote ebu jiamin kwanza ww msomi mzur dada angu🥰
Kweli umeniamsha my Sister. Nina sababu ya kumshukuru Mungu sana. Umegusa moyo wangu
Be strong babegal...wanadamu divyo tulivyo..jUST BE U! ..I love u..you are an amazing woman..GOD bless u.
Powerful woman Lilian Mwasha 😍😍😍😍😍😍😍
Nakupenda bure ....kweri on life kunavitu tunachukuliaga kwaida tu.
Barikiwa sana Dada , MUNGU mwema sana kwako.
Amne Lilian. More blessed. Kazi ya Mungu haina makosa.
Am blessed keep on going Lilian
Lilian,I've been following you from Nairobi Kenya.
I'm really inspired by you especially in this interview.
God bless you.
Nimebarikiwa sana kupitia hii interview!!
Wewe ni mwanamke wa shoka binafsi nakukubali sana.nafuatilia sana vipindi vyako ila kiukweli ukijikubali mwenyewe mapungufu yako huwezi kuhofu lolote mtu hata aseme nini.uko vizuri dear keep it up
My sister Lilian, you are so beautiful inside and outside. God has a reason for making you like that. Anyways, you are beautiful 😻
You outclassed the another lady
Roho Mtakatifu kupitia mtumishi mmoja aliwahi kunifundisha , kuwa mara nyingi ukiona vita inalenga mahali flan basi kuna possibility kubwa mno kuwa Mungu atatumia hyo sehem kujitukuza , hvyo shetan huwa anavipga sana ili kujaribu kuzma kusud lkn Mungu n mkuu vita huwa anashinda, hvyo kwa maarifa hayo nashuhudia kuwa adui ailileta vita kwenye midomo na sasa mdomo huohuo ndo unamhubri Kristo, na kuwa faraja kwa wengi
Glory to God
Aisee, yan imeanza tu but imenichoma. Well said, shetani anajua kusudi la watoto na hakika anajua kuua hilo kusudi endapo mtu akikua akishindwa kusimama na Mungu au wazazi wake wakishindwa. I'm impressed
She's lovely and super women❤️❤️💪🏽💪🏽
Woww madam Lilian nimekuelewa sanaaaa Mungu azidi kukutumia
Thanks sister Lilian you make me step ahead and be strong💪 in Jesus might name may God be with you🙏💓💓💃💃🔥🔥
Lilian i love you mpz. Una confidence mpk shetani anaogopa. Wish to meet you even through network. How can we?!
nimeanza kukufuatilia sn dada lilian mwasha kipindi cha terminal mwenyezi mungu akubariki sana kuna sehemu nakuona mbali sanaaaa ktk maisha yako.