UTAKUFA NACHO KIJIBA CHA ROHO... JOKHA KASSIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2022

ความคิดเห็น • 33

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 ปีที่แล้ว +7

    Vizazi na vizazi watackiliza hii nyimbo,iko poa sn.

  • @msafirinuru5701
    @msafirinuru5701 ปีที่แล้ว +6

    Walaih hii nyimbo,huni gusa sana..naienzi hii nyimbo sana,huni ongoa wakati nina mzongo wa mawazo😁😁👍👍🙏🙏.allah atujalie ya kheri,atuepushe na yashari!!!!..

  • @jumaomar4646
    @jumaomar4646 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awazidishie inshaallah

  • @jumshkoja636
    @jumshkoja636 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah mama nyimbo ya zama lakini Bado nikiisikiliza ni km ni ya juzi na maneno ambayo yanamafumbo

  • @jokhakassim4241
    @jokhakassim4241 2 ปีที่แล้ว +6

    Paaambe tu Asanteni

    • @mwanakomboliganje4750
      @mwanakomboliganje4750 2 ปีที่แล้ว +2

      unalo lililokukaa na roho mbna hamjaupload,naitafuta sanaa

  • @hellenkageha7984
    @hellenkageha7984 9 หลายเดือนก่อน

    Naipenda Iko sawa

  • @KhairatyIqra
    @KhairatyIqra 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeielewa san

  • @rehemanjoki532
    @rehemanjoki532 9 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar is in my list of destination ❤

  • @user-ie6qg5uz4d
    @user-ie6qg5uz4d 7 หลายเดือนก่อน

    Hizinyimbo zilikua tamu sana

  • @user-ew2yj3rx5b
    @user-ew2yj3rx5b 4 หลายเดือนก่อน

    Hinyimbo nishida jaman

  • @msafirinuru5701
    @msafirinuru5701 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah allah akinijalia,uhai,uzima,pia nafasi ya fedha nitakuja kutalii zanzibar,nione madhari ya uko👁️👁️👁️🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯🦈🦈🦈🦂🦂🦂🦂....

    • @RioIpo
      @RioIpo ปีที่แล้ว +1

      Karibu sana

    • @ayshajeffa6592
      @ayshajeffa6592 ปีที่แล้ว

      @@RioIpo kabisa

  • @bensonmudogo5358
    @bensonmudogo5358 ปีที่แล้ว +2

    Twende kazi

    • @NajmahBakari
      @NajmahBakari 10 หลายเดือนก่อน

      Hapi chacha

  • @user-wl8sd3vz4i
    @user-wl8sd3vz4i 9 หลายเดือนก่อน

    Pambe hatar❤❤❤❤

  • @user-km8ft8ee8y
    @user-km8ft8ee8y 2 หลายเดือนก่อน

    na wapewe dozi lao,hao vijiba vya roho

  • @user-yo1do6ny5g
    @user-yo1do6ny5g ปีที่แล้ว +1

    Waaaa! Nani anigaramie safari za zanzibar niende nione hawa malkia wa kusema ukweli in lyrics? Nisibaki kubweka na windo lishaenda yawa!

  • @user-fx9rp5sr4z
    @user-fx9rp5sr4z 3 หลายเดือนก่อน

    Vitu kwa mpango

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h 8 หลายเดือนก่อน

    Izo ni atari sanaa kipindi iyo acha kabisa

  • @ahmedkhamyc-lv5zw
    @ahmedkhamyc-lv5zw ปีที่แล้ว

    Zanzibar beutiff island of africa

  • @user-jq9mi2oi1u
    @user-jq9mi2oi1u 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu hawezi kuingia huku kwenye mikito anaweza zimia by mr &Mrs Tausi wa Ghana Airport road location

  • @SalimSabenji
    @SalimSabenji 3 หลายเดือนก่อน

    Nlienda likizo tanga mjini kwa dadaangu 2004 duuu nainjoi

  • @farhadahmed3654
    @farhadahmed3654 ปีที่แล้ว

    Jitahidi

  • @user-mv2wd5oo5p
    @user-mv2wd5oo5p 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😊😅😊😅😅😅😅

  • @nakioazaria3624
    @nakioazaria3624 ปีที่แล้ว +1

    Kipind hich tumepanga yaan ukiweka tu wapangaji wengine wanajua umewawekea ilikuwa Raha sana

    • @RioIpo
      @RioIpo ปีที่แล้ว

      Hahahaha
      Zamani raha kweli yaani ukiiweka akili zao unawapigia mafumbo wao

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 ปีที่แล้ว +1

      umeoneèee

    • @NajmahBakari
      @NajmahBakari 10 หลายเดือนก่อน

      Mwenye kijiba cha roho akaugue hospitalini😂😂

    • @hamisally9255
      @hamisally9255 9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

    • @hamisally9255
      @hamisally9255 9 หลายเดือนก่อน

      Fitina mbaya

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 ปีที่แล้ว +1

    Inanikumbusha mbali Sanaa hii nyimbo jamni