Waoo ..,Askofu nashukuru kwa ushuhuda .. mzee namjua alipokuja kenya 1990 RGC huruma..nilikuwepo.. nakumbuka sana uimbaji wa choir yenu.. Abel ndugu yako, your sister..I loved you guys..injili ya mzee naikumbuka sana.. choir ya revival tulikuja mwanza..mlitukaribisha vizuri sana.. mzee akatukaribisha tena Dar..kule mnazi moja kwa crusade.. ..Askofu Moses endelea na kazi... soon nakukaribisha kenya... . God bless you and your family na kanisa lote
Nimetumika na Moses Kulola pamoja na Daniel Moses Kulola kwenye the SOWERS Band kama bassist... Ilikuwa baraka sana kutumika na watumishi wa Mungu hawa. Huduma iendelee mbele anko Danny.
Moses - Musa, thats why hata mlipo muombea milango ya Gereza ikafunguka "Inanikumbusha story za kina petro na Paulo" watumishi kitabu cha Matendo waliomba wakakuta petro anagonga mlango kufungua wakastajabu "the same kulora aliwashangaza baada ya kuruhusiwa na mwinyi"
Watumish wa Mungu wengi kwani waongo wanafanya biashara makanisani Hila huyu Mungu azidi kukutunza wewe pamoja na familia yako uduma yako izidi kukuwa na Mungu akufungulie milango ya baraka na uduma
Mtumishi wa MUNGU ni kawaida kabisa wengine walipita kwa ajili ya kutengeneza njia ili wengine wapite kwa urahisi lakini lengo ni kuendeleza kile ambacho YESU alikianzisha. Kama ilivyokuwa kwa akina Paulo kwa kanisa la kwanza
Simulizi hii imenigusa sana askofu Moses kulola ndie alie niombea Sara ya Toba alikuwa mchungaji na muhubiri ambaye hadi mm kila wakati nasikiliza mahubiri yake ni kama yupo hai
Naumia moyoni, Moses kulola ilimgharimu mpaka uhai wake kusajili kanisa lakini leo ukienda hayo makanisa yanayoanIshwa ibada ni za ikabodi, daaah Mungu tuhurumie
Mzee wetu Mbarikiwa Mwakipesile alifuatilia usajili ila akapewa masharti magumu ikiwemo kutapeli watu na kutoa RUSHWA alipokataa akanyimwa usajili, waulizeni waliosajili wakikupa yote waliyopitia utatokwa MACHOZI NDG, kwenye madhehebu kuna Waka moto
this type of man of God are rare nowadays ma fake wamejaa eti prophet eti apostle wabongo you are blessed kwakweli much love from me🇰🇪
Waoo ..,Askofu nashukuru kwa ushuhuda .. mzee namjua alipokuja kenya 1990 RGC huruma..nilikuwepo.. nakumbuka sana uimbaji wa choir yenu.. Abel ndugu yako, your sister..I loved you guys..injili ya mzee naikumbuka sana.. choir ya revival tulikuja mwanza..mlitukaribisha vizuri sana.. mzee akatukaribisha tena Dar..kule mnazi moja kwa crusade.. ..Askofu Moses endelea na kazi... soon nakukaribisha kenya... . God bless you and your family na kanisa lote
Mtumishi wa Mungu songambele na kazi ya Mungu.Usimwache Mungu unayemtumikia.Thawabu yako utapata wakati wa Arusi ya Mwanakondoo.
Asante mtumishi kwa kutii cha Mungu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, ninakumbuka mengi sana kipindi kilichopita wakati unapiga solo guitar kwaya ya Bugando
Thanks tumebarikiwa kwa ushuhuda wako watching from nairobi
Thank you so much man of God for that powerful testimony. Let us preach the true Gospel without changing.
Maombi hayo haliwasha moto sana hadi baba wakamutosha kwa haraka, Mungu awabariki
Dah! Wanakataa kukupa madhabahu!! Pole sanaaaaa
Nimetumika na Moses Kulola pamoja na Daniel Moses Kulola kwenye the SOWERS Band kama bassist... Ilikuwa baraka sana kutumika na watumishi wa Mungu hawa. Huduma iendelee mbele anko Danny.
Mungu aendelee kukutunza Anko Daniel
Moses - Musa, thats why hata mlipo muombea milango ya Gereza ikafunguka "Inanikumbusha story za kina petro na Paulo" watumishi kitabu cha Matendo waliomba wakakuta petro anagonga mlango kufungua wakastajabu "the same kulora aliwashangaza baada ya kuruhusiwa na mwinyi"
Asante tunabarikiwa kwa ushuhuda
ubarikiwe sana mtumishi songa mbele
Nimetiwa moyo na ushuhuda huu. By Pastor Daniel kutoka SEIC -Musoma Mara
Watumish wa Mungu wengi kwani waongo wanafanya biashara makanisani
Hila huyu Mungu azidi kukutunza wewe pamoja na familia yako uduma yako izidi kukuwa na Mungu akufungulie milango ya baraka na uduma
Huyu bado Yuko katika misingi Ile yenyewe kabisa. Hajajichanganya hata kidogo
Migogoro ya namna hiyo ni mipango ya kuzimu
Mtumishi wa MUNGU ni kawaida kabisa wengine walipita kwa ajili ya kutengeneza njia ili wengine wapite kwa urahisi lakini lengo ni kuendeleza kile ambacho YESU alikianzisha.
Kama ilivyokuwa kwa akina Paulo kwa kanisa la kwanza
Simulizi hii imenigusa sana askofu Moses kulola ndie alie niombea Sara ya Toba alikuwa mchungaji na muhubiri ambaye hadi mm kila wakati nasikiliza mahubiri yake ni kama yupo hai
Shalom naomba sana Kupata namba ya Huyu Mtu wa Mungu
Namba yake ni hiyo kwenye screen hapo
Songa mbele mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana
Askofu Razaro wa TAG na team yake ndio walifanya huo unyama, walitaka wampoteze kabisa mzee kulola.
Nakumbuka vizuri japo nilikuwa mdogo
Muogope Mungu.Sio vyema kunena Usiyokua na uhakika nayo.Ila Mungu Akusamehe.
Habari nzito ndugu waislaam
Naendelea kujifunza
Wacha nicheke kuna clip nilisikia akisema nipee taji yangu Yesu nilikufanyia kazi na uaminifu tokea ujana wangu mpaka uzeeni
Nini kilikuchekesha
Ama kweli wewe Dani ni Mwinjilisti
Waliojihusisha katika Mateso ya Mzee Kulola, wanahukumu yao baadae..
Nimeelewa jinsi familia mnaanza kazi mnauza asset za familia kununua kiwanja na vifaa then wanakuja viongozi kusema ni mali ya taasisi..
Naumia moyoni, Moses kulola ilimgharimu mpaka uhai wake kusajili kanisa lakini leo ukienda hayo makanisa yanayoanIshwa ibada ni za ikabodi, daaah Mungu tuhurumie
Nahomba number yake yasim tafathali nataka kuhongeya naye please
Nambayake Ni hyo juu
Kumbe hata moses kulola alipambania kusajili e.a.g.t kikosi kazi mko wapi mpate hii mpate hii .jifunze kitu
Mzee wetu Mbarikiwa Mwakipesile alifuatilia usajili ila akapewa masharti magumu ikiwemo kutapeli watu na kutoa RUSHWA alipokataa akanyimwa usajili, waulizeni waliosajili wakikupa yote waliyopitia utatokwa MACHOZI NDG, kwenye madhehebu kuna Waka moto
Kumbe umehama e.a.g.t
Samaani iyi number ahitumiki WhatsApp