Mzee kulola alikuja kijijini kwetu mwika kwenye huduma ya mikaeli na watoto kanisani kwetu,akatoa million 2 kuchangia jengo letu la sunday school, enzi hizo million 2 ilikua kubwa mno,nikama million 10 ya saa hivi.. ilikua mwaka 1998,nilikua mdogo ila namkumbuka sana, Mungu ailaze Roho yake mshali pema peponi.
Asee namkumbuk sas askof kulola mwanzilishi wa kanisa la EAGT mlinisaidia san niliwajua toka mwaka 2005 nikiwa la sita na nilipona kichwa kupitia moja ya makanisa yake. Pia nakukumbuka san Daniel pamoja na mike kulola mlikuw mnakuja sana kuhubiri kweny kanisa nililokuw nikosali miaka hiy Mungu awabariki san jaman yan sijui nisemeje ila Mungu awe nanyi kila siku za maisha yenu
Came across this channel and saw this interview reminded me alot of babu Askofu Moses Kulola nimefurahi sana most of the things mtumishi is talking about are very true I was very young but old enough to know this is my family ,best interview I've seen from tanzania media congrats Davistar
Holy Spirit Forever, 🙏🏼 ❤️ Asante sana Davistar Mata Media 🙏🏼 milele daima. Nimejifunza na bado najifunza na nimefunguka na mengi! KAZI TAKATIFU MNAYO IFANYA 💯 🙏🏼
Barikiwa mtumish nakumbuka ulikiwa unakuja morogoro Kwa mchungaji peter denis eagt ,nikiwa mdogo nilienda huduma Yako ubarikiwe San nimekumbuka mbali nilivoon interview hii
Kweli kabisa nakumbuka miaka 1983 hadi watoto darasani walikuwa wanaupako wa Moses korola unapenda nikuambia !!! Na walikuwa pure walokole sio hawa wa leo
Ubarikiwe sana, ninaswali vp kuhusu Michael yule wa butimba mbona na yeye tunasikia ni mtoto wa mzee kulola na wengi Wana amini ivyo ,lakini kwenye listi ya wa toto Alali wa mzee kulola ulio wataja sijamsikia hata huduma yake , je yeye c mtoto wa mzee kulola ? Au ni ninani katika familia? Samahani mtumishi wa Mungu, tufahamishe tu tujue
For some reason i may not agree with preachers who don't take good care of their families in the name of serving God..read the scriptures..am a servant of God and i know sometimes its just lack of proper planning..watoto wanahitaji kula boss.
Nafurahi unavyo document Injili tofauti na Wazee walikuwa na Mzee wako lakini hawakurekodi Matendo makuu ya Injili ya Kulola. Jambo hili lilinusukuma baada ya kupata taaluma ya Habari. 1996-2001 nilifanikiwa kuanza kupiga video. 2001 Kamati ya EAGT Dsm ilinipa jukumu la kupiga video kipindi kilirushwa CTN /CTC Chanel saa 5 asubuhi. Kwahio Kulola alirushwa Mara ya kwanza Dar kwenye TV. Dakika 30. Easter Crusade kwa Mchungaji Andrew. Kiwanja kidogo chekundu ambapo kwa sasa pamejengwa Kikwete sports complex. Shalom.
Sijui ulikwama wapi Daniel, Nakumbuka mikutano mingi ya Baba mlikuwa pamoja. Mlizunguka sana nakumbuka enzi hizo NMC sasa hivi ni Soko. Kwanini yale mahubiri ya viwanjani hujaendeleza? Niliyafatilia sana.
Nadhani viongozi wa E.A.G T. ya sasa inabidi wajitathmini. Waangalie jinsi wanavyoenenda katika huduma. Umewahi kujiuliza kwanini Watoto wengi na wajukuu wa Mzee Moses Kulola wameondoka E.A.G.T.!? Ni kwa sababu mambo yamebadilika. There's no divine connection between the current EAGT and the Kulola's family. This is no fair. You shouldn't mistreat the family of your founder.
😂😂😂😂😂😂😂 madness huyu anamuona murabu yule yesu😂😂😂😂😂 hamna kitu kama hiko makarai hayo hiyo picha uliyoletewa ni ya mtu binafsi kabisa na hiiyo kazi y makanisa kutembez watu uchiiiii Kuwait na sauti za kwenu wenyewe
Mzee kulola alikuja kijijini kwetu mwika kwenye huduma ya mikaeli na watoto kanisani kwetu,akatoa million 2 kuchangia jengo letu la sunday school, enzi hizo million 2 ilikua kubwa mno,nikama million 10 ya saa hivi.. ilikua mwaka 1998,nilikua mdogo ila namkumbuka sana, Mungu ailaze Roho yake mshali pema peponi.
Mungu amkumbuke amrehemu alipopunguka ameni
@@essaumpuma2981 qppll .
Ushuhuda mgumu ! Umenikumbusha mbali! Itoshe tu kusema Mungu akubariki
Injili ya mzee kulola ilikuwa ni Moto, Tutaikumbuka daima.
Jamn Mchungaj Daniel eeh amekuwa ASKOFU jamn nimefurah san kumuona...UBARIKIWE SANA Baba 🙏🙏🙏 ❤❤❤
Nimefurahi sn Kukuona tena Mutumishi Daniel! Nilikuwa nikijiuliza uko wapi? Niliokoka kupitia huduma ya Mzee Kulola, Arusha! Mungu Akubariki sn.
Ni moyo wa aina yake. Ni Moyo wa Kristo uliokuwemo ndani Yake.
Asee namkumbuk sas askof kulola mwanzilishi wa kanisa la EAGT mlinisaidia san niliwajua toka mwaka 2005 nikiwa la sita na nilipona kichwa kupitia moja ya makanisa yake. Pia nakukumbuka san Daniel pamoja na mike kulola mlikuw mnakuja sana kuhubiri kweny kanisa nililokuw nikosali miaka hiy Mungu awabariki san jaman yan sijui nisemeje ila Mungu awe nanyi kila siku za maisha yenu
Came across this channel and saw this interview reminded me alot of babu Askofu Moses Kulola nimefurahi sana most of the things mtumishi is talking about are very true I was very young but old enough to know this is my family ,best interview I've seen from tanzania media congrats Davistar
Holy Spirit Forever, 🙏🏼 ❤️
Asante sana Davistar Mata Media 🙏🏼 milele daima. Nimejifunza na bado najifunza na nimefunguka na mengi!
KAZI TAKATIFU MNAYO IFANYA 💯 🙏🏼
Kwa nini, lewo watoto wa viongozi hawaja pewa cha babao ila waombe wapewe chao
NAMSHUKURU MUNGU KWA MARA
YA MWISHO KUMUONA ASK KULOLA ALIMTAMBULISHA
AKAHUBIRI BIAFRA DAR, MUNGU
AMBARIKI.
Mbeya tunamfahamu vizur xana Daniel kulola kweli nimeamini mtoto wa Simba Ni simba 🔥🔥🔥
Looking good for 59! God bless 🙏🏾
That's why I like this channel,kazi nzuri Mr fact👏🔥🔥🔥🔥🔥💯
Daah huyu mwamba.. nina mkubali sana.. Daniel Moses kulola
Hata mimi wakati wa udogo wangu nilijua kuwa wokovu ni watu waliochanganikiwa
Naikumbuka injiri yako bukoba nyamukazi kwa mchungaji wini barikiwa Sana
Historian nzuri waweza kutana na wandishi mkaandika kitabu
Kaka Daniel Kulola nakuelewa sana. Mungu akubariki
Alinisaidia kujazwa kwa Roho Mtakatifu ndani yangu pale Kanisani Mnazi mmoja
Barikiwa mtumish nakumbuka ulikiwa unakuja morogoro Kwa mchungaji peter denis eagt ,nikiwa mdogo nilienda huduma Yako ubarikiwe San nimekumbuka mbali nilivoon interview hii
Asnt sn kaka davister kumleta huyu muheshimiwa
Kuna moses kulola mmoja tu, huyu ndo alikuwa EAGT, Mungu atusaidie
Kweli kabisa nakumbuka miaka 1983 hadi watoto darasani walikuwa wanaupako wa Moses korola unapenda nikuambia !!! Na walikuwa pure walokole sio hawa wa leo
Nisimulie napenda
Umenifurahisha hiyo kauli ya " unapenda nikwambie!!" Alikuwa anaitumia basi niliipenda mno yani
Ameeen bwana Yesu asifiwe mtumishi
Moses 🙌🙌🙌apewe tuzo yake
Watoto wa mzee Eli.
Jamn mtu km Mzee Mses Taji yake inang'aaa mbinguni
Asante kwa ku2lete hii nyingine
Wamayo akae kando kwanza 😂😂😂😂
Moses kulola namkumbuka aliniombea uwanja wa Furahisha nilikuwa na tatizo la kutokula nyama likaisha
Kitambo sn nishawahi kusali hapo kabisan kwako baba nakujua sn
thank you davistar i cant wait to watch hadi mwisho🙏🏾
Ubarikiwe sana, ninaswali vp kuhusu Michael yule wa butimba mbona na yeye tunasikia ni mtoto wa mzee kulola na wengi Wana amini ivyo ,lakini kwenye listi ya wa toto Alali wa mzee kulola ulio wataja sijamsikia hata huduma yake , je yeye c mtoto wa mzee kulola ? Au ni ninani katika familia? Samahani mtumishi wa Mungu, tufahamishe tu tujue
Michael ni mjukuu wa Kulola mtoto wa William Kulola.
Asante nimefurahi leo
I remember Moses Kulola
Hapo station mwanza panaitwa TAFIKO
Ni mtoto wake kabisaa mpaka uwaraza kalithi kama mimi nilivyo lithi uwaraza wa Baba
Safi mchungaji nimebarikiwa na story yako
Huyo alikua ni jasusi kutoka mbinguni kweli anapewa pesa anaipeana na kwake kuna shida waa
Sijaelew
Mungu mkubwa m2mishi barikiwe
Tuleteeni Part 2 jamani.
Mzee mwakisyala ailfariki 😢😢😢 ilongo
Namkumbuka irongo usangu
Nilikuwa na baba yangu mzee mkikuyu na mama yangu Paulina
Wa 10😁😁😁🔥
nilisoma na Rachel. she was a singer
Nasema hivi mchungaji uliona jini😆😆
Nimekua wa mwisho 😢😢
Ameen dávister
Msinyoe pembe za vichwa vyenu
Davista mbona ile story ya yule jamaa hujaimalizia??
Vyombo vya music ilikuwa ngumu kupata mpaka missionary awaletee maana zilikuwa bei ya ni ya fuso ndio maana yake haikuwa lahisi.
Safi sana
For some reason i may not agree with preachers who don't take good care of their families in the name of serving God..read the scriptures..am a servant of God and i know sometimes its just lack of proper planning..watoto wanahitaji kula boss.
Nafurahi unavyo document Injili tofauti na Wazee walikuwa na Mzee wako lakini hawakurekodi Matendo makuu ya Injili ya Kulola. Jambo hili lilinusukuma baada ya kupata taaluma ya Habari. 1996-2001 nilifanikiwa kuanza kupiga video. 2001 Kamati ya EAGT Dsm ilinipa jukumu la kupiga video kipindi kilirushwa CTN /CTC Chanel saa 5 asubuhi. Kwahio Kulola alirushwa Mara ya kwanza Dar kwenye TV. Dakika 30. Easter Crusade kwa Mchungaji Andrew. Kiwanja kidogo chekundu ambapo kwa sasa pamejengwa Kikwete sports complex. Shalom.
Hakika Kulola alikuwa mtumishi wa kweli
Wanasema wewe ndio fungu la kumi la familia
Sijui ulikwama wapi Daniel, Nakumbuka mikutano mingi ya Baba mlikuwa pamoja. Mlizunguka sana nakumbuka enzi hizo NMC sasa hivi ni Soko. Kwanini yale mahubiri ya viwanjani hujaendeleza? Niliyafatilia sana.
Na yule jangalason,, alikua mwimbaji,,kweli ilikua ni moto
J.boys 1999
Daniel ubarikiwe sana, kutukumbusha habari za mzee Kulola. Mimi mch Senga. Mabatini wakati wa mzee, nilifika sana.
Mungu akubariki sana
Mtumishi Senga shalom!
Nadhani viongozi wa E.A.G T. ya sasa inabidi wajitathmini. Waangalie jinsi wanavyoenenda katika huduma. Umewahi kujiuliza kwanini Watoto wengi na wajukuu wa Mzee Moses Kulola wameondoka E.A.G.T.!?
Ni kwa sababu mambo yamebadilika. There's no divine connection between the current EAGT and the Kulola's family. This is no fair. You shouldn't mistreat the family of your founder.