Hii ndiyo inaitajika unaokoka unaleta na ukoo na kijiji kizima Kwa kuwaombea Yesu anawatafuta akipigilia muhuri ulichotamka juu ya Familia tunazotokea.
Kweli Kwaya pia mimi nimesikia hivyo la kutoka kuzimu, pia Sindano hizi sindano tunazodungwa hosp Zina uhusiano mkubwa sana na kuzimu, Kuna mahali majaliwa alisema ndugu yake alipodungwa sindano tu akafariki, em Davsta muulize aelezee uhusiano huo upoje
Kinamuuma shetanix3 hakika Yesu ni mfalme wa wafalme na kila Goti litapigwa mbele zake... KIZURI NINACHOMPENDEA YESU HATA UWE MBAYA KIASI GANI SIKU UKITAKA AKUONGOZE NJIA SAHIHI HATAACHA UPOTEE SAULI KAUA WAKRISTO LAKINI YESU HAKUACHA APOTEE
Mwapenda kiki kutumia usilamu wasilamu hakuna suna ya siku arubaini kwaza hapo niurongo.tumezoea msemo wa kuota nikatokea na yesu ww umebadilisha tu umeongea na makaika
😂😂😂Sasa km uliambiwa ganga ndo shidah ndo uliambiwa umetoka kwenye dini uyo ni tapeli tu mnajiwa na mashetani usingizini😂😂😂Eti kwaya ndo kuabudu we cheza miziki tu Eti nikuabudu
Bahati nzur mtu Anatoa ushuhuda hajapangwa Wala hawez wapanga maana atawapanga wangap ili iweje maana yeye hana kanisa la kiwavuta.Hao watoa ushuhuda wanafahamika hawawez danganya waislam wange waua kama walivyotaka
Mapya nimengi yapo kikubwa ulikua unataka usikilize story ubaki na Imani Yako isiona ukombozi kwa Mungu lakini saiz unapata story na unabadilishwa au kujengwa kiimani
Kwa yesu kuna raha ,wewe edelea kukana hapo ,na kudumisha ndini utajua mbinguni hakuna ndini watu wote ni kitu kimoja,nawenye wataeda mbingu ,ni wale walio mpokea yesu usipo mpokea yesu jeanamu inakuhusu.
Hii ndiyo inaitajika unaokoka unaleta na ukoo na kijiji kizima Kwa kuwaombea Yesu anawatafuta akipigilia muhuri ulichotamka juu ya Familia tunazotokea.
Yani hapa nikama Yesu alikasirika nahilo jini nahio mizimu haleluya Mungu ni mkuu
Mungu ni mwema aliyajibu maombi yako. Hakuangalia dini bali wokovu wako. Asifiwe Yesu.
KAZI njema sifa na utukufu Kwa bwana wetu yesu Kristo 🙏🙏🙏
Barikiweni Na JEHOVAH MUNGU Nyote ni kazi njema
Ameen,nimefurahi sana kumwona Siraj, usijaribu kurudi nyuma Siraj,Mtetezi wako Yu hai,ni Yesu Kristo wa nasareth.
Truly Jesus came to set the captive free
Mungu ni mwema kwa Yesu kuna raha leta kijiji mzima
Ahsante MUNGU kwa mema unayonitendea sina lakusema zaidi ya shukurani kwako,,, napata kujua nakujifunza mengi juu ya hizi chanels
Shukran bro
Kweli Kwaya pia mimi nimesikia hivyo la kutoka kuzimu, pia Sindano hizi sindano tunazodungwa hosp Zina uhusiano mkubwa sana na kuzimu, Kuna mahali majaliwa alisema ndugu yake alipodungwa sindano tu akafariki, em Davsta muulize aelezee uhusiano huo upoje
Kinamuuma shetanix3 hakika Yesu ni mfalme wa wafalme na kila Goti litapigwa mbele zake... KIZURI NINACHOMPENDEA YESU HATA UWE MBAYA KIASI GANI SIKU UKITAKA AKUONGOZE NJIA SAHIHI HATAACHA UPOTEE SAULI KAUA WAKRISTO LAKINI YESU HAKUACHA APOTEE
Waislamu walio sikiliza huu ujumbe alafu wasiokoke imekula kwao davista anahubr kwa channel bila yeye kujijua
Na hizi choir, siko kwa wingi makanisani like CATHOLIC AND SDA CHOIR KUBWA, KUBWA.
Wateja mlio udumiwa na kaka yetu hapa si mko mendi na muokoke,mkupwa wenu aliokoka.
Safi Mr dm
Kuua unayofanya ni kumkabidhi shetani nafsi zao,wanaweza kuwa hai kimwili lakini kiroho walikwisha kufa.inamaanisha wakifa ni kuzimu wanaelekea.😢
❤❤❤❤
Hapa upande ya kwaya tunaitaji mafunzo zaidi
BROTHERS, ebu tueleze kwa nini wanganga or ulumwengu wagizi wanapesa sana kutumia mbuzi,Kondoo na kuku????????
Ni Uohana 1:1....
Lkn Mr Davister Kuna mambo mengi alisema ataelezea badae ko Bado tunasubili
Jamaa anaoneka bado anasali na kusujudu
Sijda iliokaa muda mrefu unaweza kaa nayo Zaid hata ya miezi sita mpaka kuja kuondoka ilhali umeacha kusujudu
UCHAWI HAUHUSIANI NA DINI YA KIISLAM.... UNAWEZA KUWA MKRISTO NA BADO UKAWA UNALOGA TU NA BADO UKAWA MUISLAMU NA UKAWA UNALOGA TU HIYO IKO WAZI
Ni kweli,mimi ni Mkristo,Luna wskristo wengi ni wachawi.Haimanishi kuwa Mkristo hawalogi,Mtu wa Mungu ni yule Mwislamu au Mkristo asiye mchawi.
@yukundapeter8200 Unae Akili sana asante kwa kuliweka wazi Mungu Akuongeze maarifa ZAIDI
Ee ni kweli
Wanaamini hewa utaaminije kitabu ambacho hujawahi kusoma...
Malaika anaongea na mganga😅...tunasubur ao dada zake pia waje kuongea mengine....kuwa wametokewa na yule mzungu😊😊
Malaika anaweza kuongea na kila mtu
Kama hauna zuri la kuambia watu,nyamaza kimya.
Hata wewe anauwezo wakuongea nawe Wala Hana mipaka ilimradi Mungu amekusudia jambo nawewe na itakua hivyo
Mwapenda kiki kutumia usilamu wasilamu hakuna suna ya siku arubaini kwaza hapo niurongo.tumezoea msemo wa kuota nikatokea na yesu ww umebadilisha tu umeongea na makaika
Sasa Uyo ndio Shekhe mbona mnaturetea vichekesho huyo ni maamuma
KWANI KUKU AKONA NGUVU NGANI KWA UNGANGA, COZ KILA TAMBIKO UNASIKIA KUKU ILIUZIKA.
Allah awaongozeni kwaujumla 😂😂😂 ulivo pendeza na sijida ss unanuru ya kumsujudia Allah kbs
Huyu mwingine bado kanisa hata kwa uso wake unasoma vingine
😂😂😂Sasa km uliambiwa ganga ndo shidah ndo uliambiwa umetoka kwenye dini uyo ni tapeli tu mnajiwa na mashetani usingizini😂😂😂Eti kwaya ndo kuabudu we cheza miziki tu Eti nikuabudu
Chanel hii mwanzo ilikuwa mzur tunajifnza .......ila sasa ya kikristo..Amna jipya
Bahati nzur mtu Anatoa ushuhuda hajapangwa Wala hawez wapanga maana atawapanga wangap ili iweje maana yeye hana kanisa la kiwavuta.Hao watoa ushuhuda wanafahamika hawawez danganya waislam wange waua kama walivyotaka
Kama una ushuhuda wako,uko huru kutoa tutakusikiza vizuri.
Mapya nimengi yapo kikubwa ulikua unataka usikilize story ubaki na Imani Yako isiona ukombozi kwa Mungu lakini saiz unapata story na unabadilishwa au kujengwa kiimani
Huwe unasoma ata haya moja ya qur'an maana ata rafudhi yako si watu wa diini
Davista nina swali,inakuwaje nusu jini anaokoka??
Bona wanaokoka sanaa, sheitani hana kitu ni mwizi ni kubadirisha roho anabadirishiaga mtu.
Malaika gani amtokeze yeye kumuona malaika mchezo muogo tu huyu jama
Nyinyi waislamu mnapenda Sanaa ushirikina na majini
Huyu jama hakuwa hata mwislam muogo tu
Kwa yesu kuna raha ,wewe edelea kukana hapo ,na kudumisha ndini utajua mbinguni hakuna ndini watu wote ni kitu kimoja,nawenye wataeda mbingu ,ni wale walio mpokea yesu usipo mpokea yesu jeanamu inakuhusu.
Angalia paji la uso wake ana alama uson alikua ana swali sana
Iyo ni ushuhuda wake,kama uko na yako uko huru kutoa tutakusikiza.