PART7:ASKOFU DANIEL MTOTO WA MOSES KULOLA/WALIMTEMBEZA MZEE KULOLA UCHI GEREZANI/JINI LILINIFATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @BlessingGiven-d7k
    @BlessingGiven-d7k ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mchg Daniel nimekufaham nikiwa binti ninakupenda na ninaheshimu sana kazi yako na huduma yako, ninaimani utafanikiwa zaidi sana na huwa nakumbuka mahubiri yako na ipo siku nitafika kanisan kwako naridia tena ninakupenda maana una injili iliyonyooka, na umeitwa kweli, Mungu hawezi kukuacha kama usipo muacha, nasikitika tu watu wachache wameshindwa kutambua ulichonacho ,Mungu anakupenda sana wewe songa mbele na injili na wito ulioitiwa ,nabarikiwa sana na huduma yako, Mungu akukumbuke tokea utoto hadi sasa unapoelekea uzee.

  • @alifridahocharo
    @alifridahocharo ปีที่แล้ว +2

    Watching from kenya I wish you are our pastor here in nairobi

  • @enocewanjara6546
    @enocewanjara6546 ปีที่แล้ว +1

    Umenibariki sana Pastor Kulola. Wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu na mwenye Mamlaka ya Kristo Yesu.

  • @johnsondiscoequipments992
    @johnsondiscoequipments992 ปีที่แล้ว

    Ongera sana ubarikiwe zaidi na zaidi mungu yupo nasi kaza mwendo pastor mungu hakuzidishie nguvu ya kuokoa waliopotea

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kazi ya Bwana.

  • @BahatEdison-pv6rv
    @BahatEdison-pv6rv 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie sana

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk ปีที่แล้ว

    Congratulations Pastor....Big vision 👏

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod ปีที่แล้ว

    Very true pastor more grace.

  • @BerthaEzekiel-ss2dq
    @BerthaEzekiel-ss2dq 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana akutie nguvu mtumishi nyumba ya Mungu itasimama tu

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Huko Congo nasikia mpaka watoto wadogo wana tabiri

  • @kimbanguwakalola3640
    @kimbanguwakalola3640 ปีที่แล้ว

    Hapana szan

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 ปีที่แล้ว

    Shalom nilikuwa nahitaji number yake yasim ya WhatsApp