PART2:ASKOFU DANIEL MTOTO WA MOSES KULOLA/WALIMTEMBEZA MZEE KULOLA UCHI GEREZANI/JINI LILINIFATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @rtp9010
    @rtp9010 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana askofu. Umeshiba ushuhuda, na uwezo wako wa kujieleza ni mkubwa mno. Hakika ubarikiwe sana

  • @alainmuhigirwa5151
    @alainmuhigirwa5151 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu Kristo apewe sifa. Nimeguswa sana na maisha ya mzee wetu Moses Kulola. Aka Johannesburg South Africa kama hauingii mu maisha ya uhuni, kufanyikiwa kimaisha siyo rahisi. Kila siku tunachekelewa sisi tunayo fuata mafundisho. Heri mwisho muzuri. Mzee wetu atabaki heros hadi mwisho. Mimi mukongomani kutoka D.R.Congo apa kwa mzee Mandela 🇨🇩🇿🇦

  • @Gigi_4823
    @Gigi_4823 ปีที่แล้ว +1

    You're highly favored by God Dr.Daniel Kulola

  • @Priska247
    @Priska247 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kuongeya tujuwe wachungaji wanapitiya matatizo gani, Mungu awabariki nakuwakumbuka sana

  • @apostlezizi
    @apostlezizi ปีที่แล้ว +2

    Umetubariki sana mtumishi kwa ushuhuda huu

  • @Juliusmelk
    @Juliusmelk ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa mtumishi.

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa nasubiri kwa hamu 👌👏

  • @richardmoses7470
    @richardmoses7470 ปีที่แล้ว +4

    Injili isiyogoshiwa ya Mzee kulola yoooooooooo

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️🔋 nipoo

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว

      💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿

  • @fredmwaifwani1802
    @fredmwaifwani1802 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua, Emanuel ayekuwa mwanakwaya Temeke si moto wa kulola?

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +3

    Lakini huyo Moses nimemsikia akihubiri alikua na nguvu sana na anahubiri sana huyo Mzee alikua moto sana

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Ruben sio mtoto wa kuzaa wa Moses Kulola?

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 ปีที่แล้ว +2

    Mmh ase kweli Wito WA Moses mmh hatar

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 ปีที่แล้ว +1

    Pastor kakobe unamtambua vipi katika uduma ya mzee kulola,samahani lakini?

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว +2

    J.boys 1999

    • @HighzackMichael
      @HighzackMichael ปีที่แล้ว

      J boys 1999 maana yake nini samahani lakini

  • @elishamayeka5460
    @elishamayeka5460 ปีที่แล้ว +1

    NAKUPATA VYEMA BABA