Maajabu Ya Kibali Cha KiMungu | Supernatural Shift | Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Maisha Ni Tofauti Unapoyafanya Kwa Nguvu Ya Kibali Cha KiMungu. Kibali kinakufanya uwe na nguvu ya kushurutisha watu na matokeo, Kinakuletea mema ya Mungu kupitia watu walio kwenye maisha yako. Mtu mwenye kibali cha kiMungu hawezi kufeli kwenye maisha akijua namna ya kukitumia. Unapoendelea kusikiliza mafundisho haya ninakuombea uingie hatua za juu za maisha ya kibali katika Jina la uweza la Bwana Yesu

ความคิดเห็น • 7

  • @paulinagabriel3003
    @paulinagabriel3003 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mtu wa Mungu kwa neno hili la hekima 🙌🏻🙌🏻🙏

  • @rizikijonathan-9872
    @rizikijonathan-9872 2 หลายเดือนก่อน

    Wani, bariki,sana,mtushiii🙏

  • @bonifacemoses6774
    @bonifacemoses6774 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu pastor nampenda kwa kweli

  • @sirizabiblia5276
    @sirizabiblia5276 4 หลายเดือนก่อน

    Word. Bless you Man of God

  • @rizikijonathan-9872
    @rizikijonathan-9872 หลายเดือนก่อน

    Una, ongeaa,na, maisha yangu 😢, kabisa,ume misaidiaa,sanaa,kua, baraka milele yote 🙏🙏

  • @tanzaniagamers-rc7fc
    @tanzaniagamers-rc7fc 4 หลายเดือนก่อน

    I receive fevor is the name of JESUS CHRIST 🙏🙏🙏

  • @MlokoziKabugumila
    @MlokoziKabugumila 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli huyu mtumishi nimetokea kumuelewa!.