Muhtasari: Waebrania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waebrania, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Waebrania, mwandishi anaonyesha jinsi Yesu ndiye ufunuo kamili wa upendo na rehema ya Mungu na anastahili kujitoa kwetu kwake.
    #BibleProject #Biblia #Waebrania
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2