DED matatani akidaiwa kuonesha dharau kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Abdul Mtaka ameingia matatani kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa baada ya kudaiwa kuonesha dharau wakati akiulizwa maswali mbalimbali.
    #AzamTVUpdated

ความคิดเห็น • 2