Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2024
- Ambwene Mwasongwe presents the Official Music for "Unikumbuke"
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke
Nimekuita uambie watu ushuhuda wangu
Miaka tisa nimekaa jela
Nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa
Namshukuru Mungu nimetoka
Usiku ule nilikamatwa kama mchezo
Na mke wangu na mtoto mdogo
Nikadhani labda walikuwa wanatania
Labda ilikuwa siku ya wajinga
Hakuna mtu alielewa ukweli wa ushahidi wangu
Wala sikuwa na wakumweleza akanielewa
Mazingira ya kesi, ushahidi, sheria za kazi
Siri ni ban, mpaka mke wangu kaniambia
Kama umefanya kiri kosa tujue moja
Nikumbuke, kumbuka haki yangu, sikufanya ubaya
Nikumbuke, nikumbuke, sikufanya ubaya
Nikumbuke, namna walivyonishtaki kwa hila na wivu
Nikumbuke, bwana unikumbuke nililia
Hey, kumbuka bwana haki yangu
Hey, wakumbuke, walivyo kufanikiwa jela
Uwakumbuke, Mungu wakumbuke washa mshumaa ndani ya nyumba
Mkumbuke mtoto mchanga asiye na hatia
Uwakumbuke, kama ningekuwepo angekonda
Kumbuka Adam, aliyebaki, alikufanya kushtuka kwa ajili yako
Nilidhani Mungu kalisahau faili langu
Nikadhani kwamba nitaaibika
Sikuwa tena na tumaini lililobaki
Haki yangu ilikuwa tumaini pekee
Waweza elewa shahidi wangu alikuwa Mungu
Labda na wale walioua
Mwisho wa siku Mungu alinitetea
Na waliofanya kosa kunikana
Haki yangu ikasitana kama mtende na mwelezi
Pale banoni, walinichimba wakuning'oa sababu ya Mungu
Waliinamisha wakunivunja, walinitikisa sikupukutika
Walinichuma ili niishe
Wewe bwana ulinitetea na haki yangu
Nikumbuke, kumbuka maadui walivyonizunguka
Nikumbuke, kumbuka ushahidi wa maneno yao
Nikumbuke, kumbuka walivyonichafua jina langu
Nikumbuke, kumbuka walivyoniona
Mi ni mhalifu, hey ukalisafishe jina langu
Hey bwana, uwakumbuke! Uwakumbuke Ukarehemu makosa yao
Uwakumbuke! Japo walifanya ubaya bwana na uwasamehe
Uwakumbuke! Nilienda jela nikiwa bado sikujui
Uwakumbuke! Nimetoka nimeokoka nimekujua
Nikumbuke! Bwana unikumbuke usinisahau
Natengeza fadhili zako, niimbe Mungu baba
Nimefurahi, niimbe Mungu bwana
Nimefurahi, niimbe Mungu bwana
Nimefurahi, niimbe Mungu bwana
Nimefurahi, niimbe Mungu bwana
#AmbweneMwasongwe #Unikumbuke - เพลง
Nmemwona huyo mwanajeshi aliyefungwaga bila hatia i hope uliimba kwa ajili yake, kama umemnotice huyo mjeda...nipe likes
😭😭😭 nakumbuka nilipoambiwa nmeuziwa simu ya wizi kumbe ni mchezo ulichezwa pamoja na mwanamke ambae nilijitoa sana kwake na kuja kuhukumiwa 1year jeal
😭😭😭 Kuna watu wanapitia pagumu!! Mungu kutana na watu ambao wanapitia pagumu na wanasikiliza huu wimbo, wakumbuke Bwana!!!
Mungu uwakumbuke wote wanaopitia magumu.
Amina🙏
Wakumbuke wote Bwana wenye shida mbalimbali
Oooh Haleluya
Amina
Ee mwenyezi Mungu mkumbuke uncle wangu najua hana hatia 😭
Eee Mungu uikumbuke Tanzania yetu Mauwaji yamekua mengi sana 😭😭😭😭 tusamehe uturehemu na ututakase Yesu 🙏🏼🙏🏼 turudishie kupendana na kuchukuliana madhaifu tunaomba Baba 😭😭🤲🏾. Amen
Amina
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
@@lusajomwasanga1877 Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
AMEEEEN
Kwakwel hata kutembea tunaogopa,Mungu tukumbuke
Mungu unikumbuke
Kupitia wimbo huu MUNGU akawafariji n kuwakumbuka wote wanaopitia magumu
amiina
Amen
Mungu endelea kunikumbuka katika nyakati hizi ngumu
Hallelujah tuliusubiri sana video hii. Hongera sana mtumishi wa Mungu . Utukufu ni kwa BWANA
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏
UNIKUMBUKE ni moja ya nyimbo ninayoipenda sanaa nikiwa nasikiliza najikuta nafarijika Mungu akubariki ambwene mwasongwe kwa tungo nzuri za nyimbo zako 🙏🙏🙏
Hakika wimbo ni mkubwa sana huu watanzania,Mungu amtunze hakika
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Huu wimbo kwaajili ya Nazalet,pole bro kikubwa upo huru Rip shemeji na mtoto.
MUNGU akufunge mkanda kaka Nazareth kaka ambwene ubarikiwe kwakufariji wengi tuliovunjika moyo
Wimbo huu unaniumiza sana kila nkikumbuka hii story ya mauaji mwaka 2006 ubungo mataa (Kijazi Interchange), huyo main character kwenye video ndio alikutana na huu mkasa kukaa miaka tisa kwa kesi ya kusingiziwa an. Ila Mungu mkubwa na anataendelea kumuweka juu ya maadui zake. Amen
Aamiin 🙏
Nimeisikiliza story ya Kaka Nazareth kwa Milard Ayo! Atukuzwe Mungu sana kwa kumuinua na kumuokoa mtumishi wake
Amen
Pole sana kaka Nathareth kwa mapito makubwa na mazito uliyo yapitia hakika ni mungu tu na pia ubarikiwe sana kaka ambwene mwasongwe kwa huu wimbo mzuri wewe kufariji mioyo ya watu iliyovunjika kwa changamoto nzito tunazopitia apa duniani ubarikiwe sana kaka
Inasikitisha sana,Wengi wanaonewa!
Asante sana Ambwene kwa kunikumbusha juu ya wafungwa. My prayers are with all those who are imprisoned. May the strength of the Lord be with them all.
Hakika sio wote wanaokwenda jela wamekosa, wengine wanasingiziwa tu.
Wimbo huu unanikumbusha nina rafiki yangu tuliyesoma wote kozi ya utabibu CO mwaka wa kwanza then akahamia chuo kingine baada ya kumaliza mwaka wa pili akabambikiziwa kesi ya kumbaka hadi kufa mtoto wa kaka yake akaenda jela ila baada ya mwaka mmoja ikabainika amesingiziwa daaah so pain , Mungu ndio mtoa haki ahsante sana kaka ambwene napenda sana tungo zako ujumbe katika nyimbo zako.
Duh
Hii pia ni true story
Hii pia, ni true ctory kabisaaa
@Martin Kawishe Ndy na askar mwenyewe si yupo humo huyo mwenye macho yaliyolegea aliyefungwa pingu kavaa shati la blue
Daaah hiii ni historia nishapitia Zamani
Tatizo nikisikilizaga hii nyimbo lazima nitokwe machozi 😭😭😭 nakumbuka mbali sana 😭😭😭
😭😭😭😭
Poleehh 😥😢🙏
Sio wote walioko jela n wakosaji ama Wana hatia ila n kwamba tu wamejikuta either kusingiziw ama jumba bovu kuwaangukia ee mungu usikiaye maombi Kila aliejikuta uko bila hatia jua la haki likamzukie na ukamkumbuke...hakika Ambwene mm huwa najikuta nasikilz nyimbo zake natokwa tu na machozi ....
I cried a lot, but nmekumbukwa na nimefurahi🙏🙏🙏🙏
Niliingoja kwa mda Sana kaka ubarikiwe Sana kwa kazi nzur Mungu akubariki 🙏🙏🙏
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏
Kumbe huu wimbo ni true story ya huyo mwanajeshi kweli mungu yupo😭😭😭
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu pamoja na woye ulioshirikiana nao. Kazi yenu ni njema sana.
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏
Nimelia Sana
Baba angu alikamatwa Kwa kosa la kusingiziwa
Akaenda Segerea 😭😭😭
Alipotoka baada ya miaka miwili akafariki 😭😭😭😭😭
Mungu wangu nakuomba umrehem baba yngu
Na uwakumbuke wote wasio na hatia 🙏🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Pole sana😭😭
Tukumbuke eemungu kwakweli umeweza juniliza maana nimefwatilia kisa kilichomtokea muhusika wahuu ujumbe kwakweli nilimwonea huluma eemungu simama nae mpenguvu nauvumilivuz😂😂😂😂😂😂😂😂
Aisee pole sana
Nilifatilia history yauyo jamaa mwanajsh aliefungwa bilakosa nakupoteza mke namtt Mungu ambariki bado anampend
leo nimefuatilia nimegundua kumbe huu wimbo ni tukio la kweli kabisa!!!!!daah hii dunia mungu ndio mjuzi wa kila kitu
Na mhusika mwenyewe yupo kwenye video
YESU NIKUMBUKE NAMIMI
Blessed my brother #Ambwene🙌🙌🙌👏👏👏🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Umenibariki sanaa.Yesu Nikumbuke
Ambwene ni mwimbaji wangu bora kabisa wa gospel tangu ule wimbo misuli ya Imani hajawahi nangusha,,,,, utukumbuke eeh Yesu Kristo wa Nazareth 😭🙏🏻
Ambwene nyimbo zako zote ninzo na aziweza kuzimba zote na kuzipagila Mungu akubaliki zinanifaiji sana
Unaeza zania Ni Serekal kumbe Mambo mengine Yanatokana na mauchawi ya family zetu wasiopenda kutona tuko mbali
Amen Mungu unikumbuke katika maisha yangu
Hii nyimbo inanifanya nimkumbuke mzazi mwenzangu, pumzika kwa amani kpnz changu 😢😢😢
Nikiona sms kama hyo yako napata matumani kweli upendo wakweli bado upo, Kuna sisi upo kwenye ndoa ila mume anakutelekeza na watoto alafu anakuambia yeye aishi ofisini analala huko huko ofisini ingalia ana kwake ataki kurudi nyumbani kwake Huku mkiwa hamna ugovi wowte, Mungu uikumbuke ndoa yangu mim sijui chochte bwana ...😢😢😢
Mungu yupo atasikia haja ya moyo wako atakutetea.
Nimelia sana😭😭😭😭😭😭Unikumbuke Mungu wangu 🙏🙏🙏
Unaweza guswa na Habari ya Yusuphu,kumbe hata sasa Kina Yusuph wengine wangali wakionesha ukuu wa Mungu, Akhsante Mungu kuyashuhudia haya katika macho yangu,Wewe ni Mungu wa Nyakati Zote,Ambwene Ambwene
Ambwene ni miongoni mwa waimbaji wenye upako. Mungu azidi kukuinua Mtumishi. Ambwene est parmi les chanteurs nommés. Que que Dieu continue à t'élever son Serviteur. Ambwene is among the annointed singers. May God continue to raise you up. Jumbe zako sku zote zinagusa nyoyo. Tes messages, toujours touchent la coeur. Your messages are always touching the souls. Que Die te bennisse beaucoup.
Huyu mwamba nimeifuatilia story yake ni ya kweli kabisa na nimeona kwe wimbo, Pole chief kwa mapitio wanyakyusa wanasema
"UNGAPASYAGA PAPO NDE NUNGWE "Mungu amrehemu Mtoto na shemeji yetu na dada.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻
imenisikitisha mnoo pia😭
Alikua mwanajeshi Sio??
@@cyprianmkindi7276 ndio
Umeiona wapi hiyo historia niifatilie
I found myself crying. God,ur the one who knows every one's need. Answer us according to your will
Huu wimbo nimeusikiliza na nimesikiliza na historia ya huyo baba, binafsi namuombea sana kwa Mungu amukumbuke na kila kilichochake kirudi kwake kwa jina la Yesu kristo. ikiwa wana wa Israel walikumbukwa basi na yeye akumbukwe ili sifa na utukufu virudi kwake Yesu.
Nimefulahia pia kumuona kaka yetu aliefungwa miaka 9 katika video hii Yesu ambariki sana ubarikiwe pia kaka ambwene ww wa juu sana
Mungu unikumbuke na mimi 😭😭😭😭
Mwezi mungu nikumbuke baba nime pambana sana jmn lkn sioni tumaini langu
Amen amen 🙏🏽
Mungu ni mwema na hamtupi kamwe mja wake.
YEYE NI ALFA NA OMEGA 🙏🏽
Huwatendea mema walio wema na wasio wema 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hamu sasa imepata tiba Mungu akutunze mtumishi wa Mungu kazi nzuri na ujumbe ni mzuri sana unamafundisho makubwa🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙌🏻
"Nimekumbukwa, nimefurahi"
Nimeupenda sana wimbo huu!
Mungu akubariki sana Brother kwa kazi njeema hiiiii
True story
Mungu awaongoze wote watumishi wamungu na Mr Nazareth mungu amludishe kazini mwake aendelee kulijenga taifa
Kaka yangu Ambwene, this song speaks our life, some of us been to jail without having committed a crime! We’ve cried a million times before God and now we here, MUNGU NI MWEMA!! NIKUMBUKE, NIMEKUMBUKWA🙏🏽😭😭
Amina utukufu kwa Mungu
Wewe ni mshindi haki yako istawi kama mtende wa lebanoni,umekita mizizi ndani ya Neema ya Mungu,,,shuhudia wema wake wengine wamjue
nimemuona huyu jamaa aliyesingiziwa kesi hiyo kweli kweli Mungu huwa anasababu ya kila jambo haijawahi kuwa rahisi kaka samehe kunajambo Mungu ameakuandalia sehemu mwanandamu hakupanga au kupaswa kujua haikuwa bureee, nahisi huzuni sio huruma na ninaamini katika Kristo anayeishi Utakuwa mkuu siku moja, Amen
Bwana unikumbuke na Mimi japo Ni mdhambi na mchafu nisie faa hata kulitaja jina lako.
Hakikaa mungu atukumbukee
Bwana tukumbuke
I pray for my friend who is in jail with her wife and their small beutiful daughter God remember them naomba uwakumbuke ugenini huku nawaombea kila siku🙏🏻
MUNGU awakumbuke
Amen
Amen
Mungu wa Israel aisikie sauti yako🙏🙏
Amen ubarikiwe mtu wa Mungu Roho Mtakatifu akutunze sana
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏🙏
Bro hivi ni wewe sijaamini kama ni mwasonge, nyimbo mbaya pia sauti sijakuelewa
Nimefurahi kumwona mwenye ushuhuda huu hapo
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙌🏻
Unikumbuke e Yesu na mimi...
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
@@danielmparanyi amen
A great song .Hakika Mungu nikumbuke,kumbuka wote ambao were falsefully accused.🙏 Blessed from Kenya🇰🇪
Brother ujawai kuaribu mungu azid kutupigania mbeya Tanzania mbeya boy unyakyusa mwing Sana kwa mungu wetu love song
@@malilamusic-tz6097 j
Kweli kabisa Wakumbuke Wote Yesu. ❤from🇰🇪
Mawe
Unaimba baba, Mungu aliyekukumbuka, anikumbuke Na mimi
Amen, Mungu atukumbuke ktk maisha yetu ya kiroho na kimwili.
Testimony ya jamaa mmoja hivi,inaumiza sana
POLE SANA KAMANDA KWA YALIYOKUFIKA, MUNGU BADO ANAKUKUMBUKA 🙏 ALL THE BEST
Huyu main character kwenye hii video hii ni history yake ya kweli kabisa..great work bro ambwene..so touched
Wangemrudisha kazini jamani
Best artist of Gospel ever I'm from Colombia Bogota
Huyo kaka Mungu amkumbuke nimesikia kisa chake nimerudi kusikiliza wimbo tena duuh Mungu yupo na amkumbuke kila kilichoibiwa kikarudishwe katika jina la yesu amina
Waweza kudhani unapitia majaribu mqgum kumbe la kwako ni dogo sana, Mungu nipe moyo wa kuvumilia majarbu nayopitia , nijue kuwa unanifundisha na mwisho ntatoka salama
I have cried 😢 jamani. Ila nani Kama MUNGU anaetufuta machozi yetu. Nazareth will never be the same, but GOD has already changed his story. Isaiah 61:3 “…to bestow on them a crown of beauty instead of ashes, the oil of joy instead of mourning, and a garment of praise instead of a spirit of despair”. GOD BLESS you all.
Amen amen thanx
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, hakika umeubariki Moyo wangu
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏
Stori hiyo nimefatilia sana ata Mimi nilifungwa songea kwa kuzingiziwa na msanii super danger niliumia sana naamini mungu yupo Tena leo nakuona Tena na ambwene mungu tusaidie dunia tunapita
Wow nyimbo nzuri sana
Wapo watu hawafungwa jera lakini wamefungwa kimaisha hakika Mungu akukumbuke Na uende kufurahi zaidi na kuendelea kutumainia neno la bwana daima.
Mtetezi ni YESU KRISTO tuu pekeyeke
this song made me so emotional, God is good ya'll
Mungu awe nawe na tuzd amini kwel Mungu yupo nasi sote. Nakutakia maisha mema ndg MWAINYEKULE
Mungu amtie nguvu namoyo huyo bwana mkubwa kwan story yake inahuzunisha sana kiukweli
Wampe mafao yake huyo mwanajeshi
Nimekumbukwa nimefurahi. 🤗🤗🙌🙌
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Umeupiga mwingi humu mtumishi unajua sana god bless u
Kaka ambwene ninajua kuigiza hasa upande machozi ukiwa na wimbo wa aina Hiyo nitafute.
😂😂😂
I fall in love with this song the first time i came across it in TH-cam, the song has been an inspiration to me. Keep up with the good work man of God and may you manifest his will. Unikumbuke
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏
Na ni story ya kweli ya huyo Baba aliyeonekana kwenye video
Huu wimbo Umekua Kama wimbo wa taifa kwenye simu yangu ,yamenikuta uliyo imba ,nilimwacha mke wangu tukiwa na miezi miwili tumeoana😭😭😭😭,inauma Ila nauona muujiza ya Mungu ninayo mengi yamekaa moyon
Pole hata hapo kwenye huu wimbo kuna huyo mweusi mwenye macho makubwa ndo stori ya maisha yake alifungwa miaka tisa bila kosa na mkewe na mtt wakaungua ndan ya nyumba nawalikiwa watumishi wajeshi sasa huku mtaani si ndo wamejaa huko magereza Mungu turehemu
Mungu hunikumbuke kwenye magumu nayopitia ,,hunikumbuke kwenye huu ujauzito nilio nao nijifungue salama✍️💆
Ambwene ur so perfect …nabarikiwaga2 na nyimbo zote za kwako 😍
Watching from Europe 🇪🇺 this song makes my faith 🙏 to God stronger than I thought 🙏 God bless Man of God @Ambwene mwasongwe
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏
Rudi nyumbani kumenoga dada
Nimekumbukwa
Mungu akutunze akupe hitaji lamoyo wako. Najua baada ya mapito yote. Uliopitia. Mungu nijibu tosha la maisha Yako brother. Mungu anaekupenda sana,kukaa gerezani ilikuwa kusudi la Mungu. Ili umtumikie, usajhigweghe fijho gwa jesu🙏🙏🙏. Najua umeacha kulia 😭umeshaamini sasa, songs mbele🏃🏃🏃
Nimekumbukwa mimi😭😭😭 utakumbukwa pia🥰 kwa jina la yesu.
Thanks for the great song with a very strong message, more grace to sir.
Nikumbuke mungu wangu barikiwa mtumishiii
Daah baada ya Ile stori ndo nimeupata huu wimbo
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻
Mambo ya 2022 🔥 🔥. Unatibu sana mioyo yetu kaka. Mungu akutunze
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏🙏
Mungu akubalik kaka abwen barikiwa
Kwa kweliiiiiiih n 🔥 jaman.. wakuwapi waimbaji kumi Kama Huyu Tanzania ety...
Jaman jaman.. Kuna watu wameitwa kwenye uipaji,, nikiwa nimesongwa na mawazo.. nasikia rohoni usiruhusu maneno yakuvuruge,, hakika MUNGU akubariki kaka ambwene jamani.
The last part of this song had me in tears.........🙌
Nimelia kama mtoto. Asante Yesu kutukumbuka,usiacha tuaibike na hata tukiaibika, Utukufu wake ni mkubwaaa mnoooo
🙏🙏🙏
Hongera Mtumishi wa Mungu Ambwene kwa wimbo wenye kiss Cha kweli, Ni kweli wapo WENGI magerezani kwa makosa ya kubambikiwa tu na wengine wapo hump kimakosa, yote kwa yote tuwaombee MZEE WA SIKU AWAKUMBUKE na ikiwezekana hata kuwatembelea, ukweli inauma sana.
Maisha yanasiri kubwa, Ukubwa wa Mungu ndiyo uzima wetu leo. Mungu utukumbuke leo🙌🫂
Glory glory glory! Glory to Jesus.. Thank you Servant of God for such a great message to the body of Christ
Historia ya hii nyimbo inaumiza sana eeeeh yesu nikumbuke ktk maisha yangu niliposhitakiwa ktk madhabahu za kuzimu bila kuwafanya chochote nikumbuke.
Nikumbuke kama nimefungiwa ktk gereza lolote lile la ulimwengu wa roho nikumbuke yesu kunitoa.
Aisee hii story inalizaa sana barikiwaa ulivyo muwekaa na muusikaaa 😭🙏🙏🙏🙏
Be blessed brother ambwene me and my whole family tunakukubali sana HUDUMA YAKO NI NJEMA INATUBARIKI NA KUTUIMARISHA DAY AFTER DAY @ ambwene Mwasongwe
For those who don't know this song is a true story.. a really true story, and the Storry teller is on the song. God remembered Him.
Dahh siku ya kwanza kusikia wimbo huu nililia sana nikasem Mungu naomba hili lisinikute
Ubarikiwe kwa nyimbo zilizobeba jumbe za ukombozi na tumaini la maisha ya sas na yajayo
Congratulations my brother Ambweni 🇺🇸
Mungu akutie nguvu 🙏📖🙏🇺🇸🇺🇸💓🇹🇿
this testimony develops our faith, be greatly blessed.
Hakika MUNGU amenikumbukaaaa
Uncle Ambwene Mungu akuinue zaidi na zaidi, hakika hii nyimbo imenifikisha mbali najikuta nahisi kulia, be blessed, macho yanashindwa kustahimili kutunza machozi acha yatiririke
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
This song is my testimony..... ✍🏽 In tears every time I listen to it 🙌🏾 Nimekumbukwa ✅
Unanikumbusha mbali kama ulvyo wimbo ndivyo ninavyopitia Sasa Tena aliniacha mjamzto n mpaka Sasa hajatoka yesu akutangulie kaka kea kunifalij
Mungu azidi kukuimarisha na kuwatunza
Akukumbuke Mungu wa amani
Mungu akukumbuke
Nikumbuke ee Bwana unipe haja ya moyo wangu katika jina la YESU Amina.
Amina na amini huu wimbo uta kubariki pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri inaendana na stori ya mwamba Mmoja namuona humu mungu atulinde tusibambikiziwe kesi za uongo.