Nimejikuta nasoma comment zote 789 nikiangalia ipi iko tofauti na what i felt nimekugundua holy spirit works the same kwa watu wake ......naombeni mlike na kuweka comment hapa ili nirudi kuisikiliza tena hi nyimbo
I can't imagine it's today I've known about this song .and it's been here for 5 years...I came here from Angel Atieno's music cover of this wonderful song...
Ni kati ya nyimbo ambazo siwezi kuforward! Nasikiliza mpaka mwisho na wakati mwingine naurudiarudia! Ujumbe ni mzito mno!!! Kwa aliye rohoni hawezi kushindwa kuuimba wimbo huu tena kwa roho! Barikiwa mtumishi!
Huyu ndo mtu anafanya muziki wa injili kama karama na sio biashara. Ni mahubiri ya kutia moyo na kuinua, kututaka tusikatishwe tamaa na hali tunazopitia. Ubarikiwe sana Ambwene.... your songs are always inspiring and drawing us closer to God!
Ni kati ya nyimbo bora sana nyakati zote waweza kuusikiliza na ukafarijika ukajikuta umekubalika mbele za Mungu kimaono na ukakumbuka ulipo kosea na ukashuka kutubu ili mradi uwe family ya Mungu
I love Jesus Christ. Kumbe sisi ni wamaana kiasi hio kwa Mungu alie Juu zaidi. Thank you My Father and King. God is sounding an alarm frim zion to His people using this amazing Spirit filled melody. Believers Our Father is speaking to us! God bless this anointed servant of His. Amazing! New strength renewed
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tu uzao mteule aaah aah aah Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah Taifa takatifu aah aah ooh ooh Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh Nimemwona Mungu amewaleta kutoka Misri wana nguvu kama za nyati Watawavunja adui mifupa Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale Yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki nani wakuwapinga Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande, katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah Tumekubalika Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za ki-falme ametuchora Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah aaah Usiye lala aah Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, Walitubadilisha majina hawakubadili Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, Kule walipotusukumia Ndiko Mungu hupumzikia, Walidhani wanatukimbiza kumbe Wanatusindikiza Bwana wangu, Yesu Yesu Yesu Shindii, Yesu Mwamba, Yesu Wewe, Yesu Aah haaa aah Jiwe langu Yesu Ngome Yesu Mwamba aaah Bwana Yesu Ooh uuh Jiwe langu Yesu Mwaminifu Yesu Haki Yesu Ngome Yesu Nguzo Yesu Aah aah Jina lako Yesu Yesu Yesu Haki Yesu Mwaminifu Yesu Wewe Yesu Aah aah Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za kifalme Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano
THE REPUBLIC OF TANZANIA IS BLESSED WITH VERY POWERFUL,TRUE AND DEDICATED MINISTERS OF THE GOSPEL.YOUR TIME TO SHINE ALL AND ACROSS THE WORLD IS RIPE.MAY YOU SHINE LIKE JESUS IN WHATEVER YOU DO FOREVER AND EVER.THANK YOU MY BROTHER AMBWENE MWASONGWE.I DO MINISTER YOUR SONGS IN CHURCH SERVICES,CONFERENCES AND ANY RELATED CHRISTIAN ACTIVITIES.AM GRATEFUL AND HAPPY FOR.MAY YOU TAP MORE ANNOINTING EXCEEDINGLY AND ABUNDANTLY.
This song is so uplifting. After going thru rejection and lame accusations. Suffering depression and ulcers. Am hear recuperating and came across this song. Indeed am not afraid since my strength is from God. #my favourite song
This song....Is real inspired by the Spirit of God.Wana wa Nyumban mwake Mungu hawaguswi.. JUST KNOW WHO YOU'RE NENO LINASEMA WENYE HAKI WATAKOMBOLEWA KWA MAARIFA...SO FIND YOU IN CHRIST.
Tulipona kwa Farao tukiwa ugenini, hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, tulinusurika vita,....... tulipona magonjwa,......... tulishinda upweke,.......... Mungu alikuwepo hatukua peke yetu...... 🙏🙏 Mungu,, am inspired to move on despite all the difficulties God is with us
CHARTS ARTISTS PLAYLISTS Stream Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika Tumekubalika Ambwene Mwasongwe 7:08 Download Low size version (3.4 MB)Promote ↑ embed song· Lyrics Chorus Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Tu uzao mteule aaah aaaaah aaah Ukuhani wa ki-falmee eeeh aaah aaah Taifa takatifu aaah aaah oooh ooh Watu wa milki ya Mungu aaah aaah oooh oh VERSE Nimemwona Mungu amewaleta kutoka Misri wana nguvu kama za nyati watawavunja adui mifupa vipande vipande watawachoma adui kwa mishale yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki nani wakuwapinga wana nguvuu aaah Mungu kawapa aaah wanaweza aaah BWANA kawapa aaah........OOOH Wanautishoo aaah BWANA kawapa aaah oooh oooh Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande, katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah TUMEKUBALIKA Chorus Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za ki-falme ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Usiye lala aaah aah Usiye lala aaaah aaah Usiye lala aah aaah aaah Usiye lala AAAA AAAAH VERSE Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia IKULU, kule walipotusukumia ndiko Mungu hupumzikia, walidhani wanatukimbiza kumbe WANATUSINDIKIZA Bwana wangu ..........' YESU YESUU YESU Shindii ................... YESU Mwamba......... YESU weweeh ..... YESU aaah haaaaaaa aah Jiwe langu YESU Ngome YESU Mwambaaa aaah Bwana YESU Oooh uuuh Jiwe langu YESU Mwaminifu YESU Haki YESU nguzo YESU Jina lako YESU Haki YESU Mwaminifu YESU Weweeee aaaaaah aaaaah Chorus Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za kifalme ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano 2
Nimejikuta nasoma comment zote 789 nikiangalia ipi iko tofauti na what i felt nimekugundua holy spirit works the same kwa watu wake ......naombeni mlike na kuweka comment hapa ili nirudi kuisikiliza tena hi nyimbo
Kuja usikize huu wimbo Tena pia Mimi nasikiza nikisoma hallelujah
❤❤
I'm still watching 10.03.2024 , i need the comments if you want to be blessed for this year and accept the power of God
I can't imagine it's today I've known about this song .and it's been here for 5 years...I came here from Angel Atieno's music cover of this wonderful song...
2024 NI MWAKA WA BARAKA KWANGU NA FAMILIA YANGU SINA BUDI KUMSHUKURU MUNGU WANGU......HAKIKA YU UPANDE WANGU
Ubalikiwe sana tunakupenda Burundi nyimbo nzuri sana inavutiya mpaka machozi yanatoka Mungu akubaliki uzidi kusonga mbele brother 🙏
Mwaka ni 2024.. kama ulikuja hapa 2042 likw hii comment tujue kama bado nitakuwa hai.
Usijali utapapita utaishi hadi 2090❤❤
Tumekubalika,4th Dec 2024..I love you lord,so much
18.2.2024 still watching😢
Mungu akubariki Ambwene
6th Dec 2024 tumekubalika....thank you God for your unending love ❤️
I'm among those who knew the song through Angel Atieno. 12/12/2024
Ni kati ya nyimbo ambazo siwezi kuforward! Nasikiliza mpaka mwisho na wakati mwingine naurudiarudia! Ujumbe ni mzito mno!!! Kwa aliye rohoni hawezi kushindwa kuuimba wimbo huu tena kwa roho! Barikiwa mtumishi!
Linus Tumwesige kweli kabisa kaka
Kbs bro
Mung akubaliki xn
Amen
Haichoshi kabisa
“Usiwachokoze walio na Mungu, wamebarikiwa na Mungu
Wakitupwa Jangwani wateseke wafe, huigeuza bustani”
Amen
Amina
Amen, asante kwake Mungu hasiyewaacha watu wake
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kwakweli
I found myself here today and I can't get enough of this song
Tengeneza live performance ya hii wimbo na uweke subtitle ya kiingereza utatazamwa hadi nigeria. Very powerful and Lifting up song. God bless you
This makes me feel so high when am down.....it makes me to remember whom I am ...."watu wa miliki ya Mungu
Walidhan wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza,Jina la bwana Yesu libalikiwe sn
Amen
Ubarikiwe sana
Amina
Mungu atubariki Sana wote tunaoendelea kusikiliza wimbo huu 2021
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
Nimerud 2024 kuckiliza
Nani amebarikiwa na Wimbo huu mpka Leo hii 15/5/2020 naomba like zenu maana ndio sifa yetu mbele za MUNGU wetu
Mungu yote nimepitia kama Sio kwa uwezo sijui ningekua wapi leo
Huyu ndo mtu anafanya muziki wa injili kama karama na sio biashara. Ni mahubiri ya kutia moyo na kuinua, kututaka tusikatishwe tamaa na hali tunazopitia.
Ubarikiwe sana Ambwene.... your songs are always inspiring and drawing us closer to God!
nyimbo zako nadhani huwa zinaombewa kabla hazijatungwa.....nyimbo zako zanifanya nimtafute Mungu kwa ukaribu
Amen 🙏
Kabxa
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@@esperanceruziga1990 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏🙏
@@jacobomwiru9517 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏🙏
Walitubadili majina hawakubadili hatima wapi like yako kwa ambwene
Tumekubalika na Mungu, tuna nguvu za kifalme❤❤ 6th Dec 2024
Ni kati ya nyimbo bora sana nyakati zote waweza kuusikiliza na ukafarijika ukajikuta umekubalika mbele za Mungu kimaono na ukakumbuka ulipo kosea na ukashuka kutubu ili mradi uwe family ya Mungu
I love Jesus Christ. Kumbe sisi ni wamaana kiasi hio kwa Mungu alie Juu zaidi. Thank you My Father and King. God is sounding an alarm frim zion to His people using this amazing Spirit filled melody. Believers Our Father is speaking to us! God bless this anointed servant of His. Amazing! New strength renewed
Kama umebarikiwa na huu wimbo gonga like 🙏🏽❤️
Bless you
Bless wote wanasiikiliza huh wimbo
Nimebalikiwa
Awesome
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
sijui kwanini i love this song,so emotional n annoited.i feel like crying.....God bless you.nani ameguswa kama mimi?
Tupo wengi
It's such a powerful song
Mimi pia nimeguswa
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
@@deboramoffat6301 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
Wimbo wa faraja na ushindi utubariki kwa pamoja tunao usikilza 2020 Amen. 🙏
Amina
Amina
Wimbo huu unanifariji sana
Amina🙏🙏
À
Wakati nasikikiza hii nyimbo nimelia kwakweli nani kalia na mm Ubalikiwe mtumishi
Charles Michael ,TUU UZAO TEULE
Ukiamin kupitia wimbo huu mungu atakufanikixha katika kila jambo unaloliitaji
Ni kweli tumekubalika na mungu bila yeye Kuna wakina sisi sijui tungekua wakina nani
The republic of Tanzania is blessed to have this servant of God. Much love from kenya.
Sir you are also a blessing In Kenya,,, your ministry stirs something from within me
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tu uzao mteule aaah aah aah
Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
Taifa takatifu aah aah ooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati
Watawavunja adui mifupa
Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
Yeye kawabariki nani aawalaani,
Mungu kawabariki nani wakuwapinga
Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
Tumekubalika
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah aaah
Usiye lala aah
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu
Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao
Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao,
Walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu,
Kule walipotusukumia
Ndiko Mungu hupumzikia,
Walidhani wanatukimbiza kumbe
Wanatusindikiza
Bwana wangu, Yesu
Yesu Yesu
Shindii, Yesu
Mwamba, Yesu
Wewe, Yesu
Aah haaa aah
Jiwe langu Yesu
Ngome Yesu
Mwamba aaah
Bwana Yesu
Ooh uuh
Jiwe langu Yesu
Mwaminifu Yesu
Haki Yesu
Ngome Yesu
Nguzo Yesu
Aah aah
Jina lako Yesu
Yesu Yesu
Haki Yesu
Mwaminifu Yesu
Wewe Yesu
Aah aah
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano
"Walipotutupa shimoni, tukaibukia Ikulu".
Barikiwa mtumishi Ambwene.
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
Wahbil
Mungu akubaliki sana uimbe zaidi
Nikikumbuka mwaka 2022 mpaka 2023 Ulivyokuwa mbaya kwangu machozi yananitoka Kweli mungu ni mwema 🙏🙏
Mwalimu wangu ,this song is incredible....Mungu ni mwema ,na azidi kukufunulia zaidi🙏🙏
We ambwene kiboko ya injil
THE REPUBLIC OF TANZANIA IS BLESSED WITH VERY POWERFUL,TRUE AND DEDICATED MINISTERS OF THE GOSPEL.YOUR TIME TO SHINE ALL AND ACROSS THE WORLD IS RIPE.MAY YOU SHINE LIKE JESUS IN WHATEVER YOU DO FOREVER AND EVER.THANK YOU MY BROTHER AMBWENE MWASONGWE.I DO MINISTER YOUR SONGS IN CHURCH SERVICES,CONFERENCES AND ANY RELATED CHRISTIAN ACTIVITIES.AM GRATEFUL AND HAPPY FOR.MAY YOU TAP MORE ANNOINTING EXCEEDINGLY AND ABUNDANTLY.
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
Mungu abariki kazi za mikono yako mtumishi wa Bwana Ambwene
Walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu glory to the most high God
❤️ KIBALI NEEMA BARAKA SISI NA UZAO WETU NA VIZAZI VYETU SISI TU UZAO WA AGANO.
Thank you Jesus Christ The Lord for we are the CHOOSEN......😊
Walijua wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza 😘🙏🙏🙏 Asante
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏🙏
Ni kwel yesu umenichora kwenye vitanga vya mikono yako peke yangu nisinge fika leo
Wimbo huwa unanibariki mnoo hakika walidhan wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza
Acha t nainjoy,hatuwez tishwa kwa maneno yao,
Ahsante Mungu ni wewe uliyesimama na Mimi ndio maana Leo Niko hapa ni wewe tu, jina lako litukuzwe.
2020 asante Bwana Yesu kwa kutuletea injili hadi kwny mitandao,tumekubalika na Mungu.
Mwamba anasoma Bibilia na anatafakari
Analitafakari haswa yaan
Kweli Biblia ameielewa vzr
Nimebarikiwa kupitia huu wimbo ,,,nimetiwa moyo na nguvu ya kuendelea mbele huku My mwenyew akiniongoza regardless what i have to pass through 🌹🙏
Mngu aktie ngvu
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
@@erizaalex9027 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
This song is so uplifting. After going thru rejection and lame accusations. Suffering depression and ulcers. Am hear recuperating and came across this song. Indeed am not afraid since my strength is from God.
#my favourite song
Hongera kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mtumishi
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
@@scolasticaantony5873 Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
I love this song,❤️❤️❤️❤️❤️
Yfkvd
From KENYA with Love.Huu wimbo nimeupenda una furaha, na baraka za aina yake.
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
G.O.T gospel singer from tanzania mungu azidi kukulinda na kukuongoza
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
This song....Is real inspired by the Spirit of God.Wana wa Nyumban mwake Mungu hawaguswi..
JUST KNOW WHO YOU'RE NENO LINASEMA WENYE HAKI WATAKOMBOLEWA KWA MAARIFA...SO FIND YOU IN CHRIST.
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
Naupenda sanaaa napata faraja kila nikisikiliza huu wimbo😇🙏
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
Hatukupambwa kama wao tukapendeza kuliko wao!Mungu ni Mungu.
KAMA UNAAMINI MISTARI ALIYOIMBA MTUMISHI 2020 NLDONDOSHA LIKE
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu akutunze❤❤
Tunahitaji kukubalika na Mungu pekee ambaye habadiliki ,tutafute kukubalika na yeye ,wanadamu wanabadilika .Amen powerful song
nazipendaga sana nyimbo za Ambwene
Me mja wapo nazipenda kuliko
4th December 2024,amen to this song
,,Tulipona upweke tukiwa tumeachwa !! Aliyeona hii adondoshe like hapaaa!! 💪💪💪💪💪💪💥💥💥💥💥
Naelewa sana tupo pamoja
@@jannysamson6550 4u7088765
Dear umesikia hiyo tu, natania
hakika
Napenda sana nazipenda nyimbo za ambwene kuliko ni nyimbo za hisia zina gusa mno
Tulipona mangonjwa tukiwa hatuna dawa. Mungu akuinue zaidi ,nyimbo zako ni za faraja kwa walio kata tamaa.
Audio tunaipataje ,,, I love this song....
Nenda tubidy download video then convert
May God bless you,man of God 🙏🏼🙏🏼....... unaenda mbali I prophecy to you.........nyimbo zako zimenguza mm sana ....zinatia mm nguvu hii safari
Multi-talent..Ambwene is a man with misuli ya IMANI♨♨😊🙌
Hakika tumekubalika na Mungu, nothing is greater than this 🙌🏽
Thanks for this powerful revelation man of God
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
❤❤❤❤nataman kumbatia Mungu ila ndio simuoni ila anajua navyojiskia juu yake kweli n mwema ❤
Ambwene mwasongwe naomba nisife bila kukuona
Nyimbo nzuri hadi raha
Mungu aendelee kukuinuwa kaka yangu,
Oooh hareluyaaaa asant mungu wng
Tulikula mtama kwa maji na tukanawili kuliko wao!! Muache MUNGU jaman tusimfananishe na chochote. Barikiwa ambwene
N kwel wao wanateseka,sir tunalindwa na asielala
Wimbo bora shusha like kama tuko pamoja
Very powerful song,,, nimeishi kutafuta huu wimbo ,, nilikuwa nasikia tu tiktok chorus finaly am here rewinding and rewinding
Wewe ndo suti yangu siongezi kitu nitaharibu suti. Nakupenda zaidi kaka AMBWENE MWASONGWE MUNGU azidi kukutumia kama apendavyo yeye
Kweli Ndani Ya Nyimbo Kuna Kuna Maneno Ya Kifalme Yenye Ujumbe Mtakatifu
Mwenyezi MUNGU Akipendezwa Azidi Kukubariki Mtumishi Waje
2024 still gospel best song ever
Tulipona kwa Farao tukiwa ugenini, hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, tulinusurika vita,....... tulipona magonjwa,......... tulishinda upweke,.......... Mungu alikuwepo hatukua peke yetu......
🙏🙏 Mungu,, am inspired to move on despite all the difficulties God is with us
Ahsante sana my brother kwa wimbo huu.Umenigusa moyo♥️
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za Kifalme ❤2024
Ukiwa unamukubali uyunabi gonga lik apo
Tulipona magonjwa tukiwa hatuna dawa, nyimbo ya kiroho kabca naomba hii nyimbo iingizwe kwenye rist ya nyimbo za sifa
God bless you #ambwene
Abwene mungu akupe maicha marefu
27 November 2024 mungu ananipenda from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
23-11-2024 crying 😭 in Lebanon
What's up siz😢
be strong Esther 🙏
Mda mwingine Mungu huongea nasi kupitia vinywa vya watu. Amen
Just discovered this gem today, it's on replay.
CHARTS
ARTISTS
PLAYLISTS
Stream Ambwene Mwasongwe - Tumekubalika
Tumekubalika
Ambwene Mwasongwe
7:08
Download
Low size version (3.4 MB)Promote ↑
embed song·
Lyrics
Chorus
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Tu uzao mteule aaah aaaaah aaah
Ukuhani wa ki-falmee eeeh aaah aaah
Taifa takatifu aaah aaah oooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aaah aaah oooh oh
VERSE
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati watawavunja adui mifupa
vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki
nani wakuwapinga wana nguvuu aaah Mungu kawapa aaah
wanaweza aaah BWANA kawapa aaah........OOOH
Wanautishoo aaah BWANA kawapa aaah oooh oooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
TUMEKUBALIKA
Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aaah aah
Usiye lala aaaah aaah
Usiye lala aah aaah aaah
Usiye lala AAAA AAAAH
VERSE
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na
Mungu wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa
kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia IKULU, kule walipotusukumia
ndiko Mungu hupumzikia, walidhani wanatukimbiza kumbe
WANATUSINDIKIZA
Bwana wangu ..........' YESU
YESUU YESU
Shindii ................... YESU
Mwamba......... YESU
weweeh ..... YESU
aaah haaaaaaa aah
Jiwe langu YESU
Ngome YESU
Mwambaaa aaah
Bwana YESU
Oooh uuuh
Jiwe langu YESU
Mwaminifu YESU
Haki YESU
nguzo YESU
Jina lako YESU
Haki YESU
Mwaminifu YESU
Weweeee aaaaaah aaaaah
Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme ametuchora
kweli moyoni mwake tu zao wa agano 2
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
Yaani tukatupwa shimoni tukaibukia ikuluni...thanks Jesus..a faithful God you are..an encouraging song..God bless you
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏🙏
Mimi ni Muislam lakini Kwa hii nyimbo kuna tumaini kubwa sana
The Legend with
Jesus within, it's so powerful 🙌 , be blessed brother
Good song I hope uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html Barikiwa 🙏
Nilikua nimekosa jina lake njokuyipata napenda iyinyimbo kabisa wenyene wanayifulahiya kama Mimi like kutoka🇧🇮🇧🇮
Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo, Nimebarikiwa na huu wimbo kwa kweli
Katutowa misri tunanguvu za kifalme ubarikiwe sana mtumishi ,tunabarikiwa kwa wimbo huu.❤
Wimbo wa kutukumbusha kuwa kwa Mungu yote yanawezekana
Who love this song,,, thumbs up here
Amen ubarikiwe Sana bro,,,walidhani wanatukimbiza kumbee wanatusindikiza,,imenibariki mnooo
Nilikuona live pale Tanganyika parkers, uncle you're so cool and humble. Kwa nyimbo zako, tunabarikiwa.