JE UZINZI NDIYO DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2023
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 50

  • @harrietnatakwa9814

    Bwana yesu asifiwe mwalimu, swali langu ni jee unawezaje kujua kama uko huru kwa sababu mtu akiwa ameolewa ma pepo yani jini je waweza kutoka vipi katika hiki kifungo,yani unapasa kufuata hatua zipi ili uwe huru tafadhali nisaidia Asante ubarikiwe

  • @martinisadru9899

    Kumkufuru roho mtakatifu, ni kumsema mtumishi kama mwamposa kua yeye ni freemason, Hali akitumia nguvu ya YESU KRISTO. Au gwajima, au kakobe, nk.

  • @constantinejoshua2217

    Washitaki wote TCRA wanaokutukana tafadhali sana!

  • @user-hn9qz6kv7n

    BIBLIA inatuambia tuzijaribu Roho tuzithibitishe kuwa zinatokanana na Mungu

  • @nickitajili1003

    Mimi ni mchungaji na mwinjilisti nisimamaye nje vijijini nakushukuru maana niko peke yangu nakushukuru kwa èlimu

  • @dastanbushaijabwe5143

    Kwa hiyo mtumishi watu wote walishamkufuru Roho Mtakatifu kwani kabla ya watu kumwamini Mungu(Bwana Yesu) walikataa kazi za Mungu zilizofanywa na Roho Mtakatifu ndani ya watu sasa kama ndivyo ilivyo dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu kama ndiyo hiyo basi hakuna mtu atakaye kwenda mbinguni?

  • @zakazakazi-fn6zy

    Mwalimu isaya nakukubali mnoooooooo masomo yako naomba nijibu tu swali hili mojaa je sabato ya kweli ni ipi ni jumamosi au jumapili maana ukisoma kutoka 20 inaelekeza na je jumapili ilikujaje

  • @habibrwegoshora6624

    KWA KUTUNGA MAMBO Iko siku mtatakiwa kuelezea HAYO MANENO yenu ya kutungatunga

  • @OswardBoniface

    Bwana yesu apewe sifa mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Kwa mafundisho Yako mazuri,,,, Mimi nina Swal MAANDIKO yana SEMA MBINGUN KUNA BARAZA LA WAZEE 24 Je hao WAZEE walawahai kuish DUNIAN/ULIMWNGU HUU?? Au ni Moja wapo ya jeshi la malaika wa MUNGU walaio umbwa na Mungu?? Kama ni ndiyo kwann wait we WAZEE na sii majina ya kiutumish Kam vile mch,mwinj,nabii,mwalm,ama mitume?? Na kama waliwahi kuishi ndunian ni akina nan hao?? Nitashukuru endapo nitapata majibu ya maswali yangu By OSWARD SYLVESTER napatikana masaki KinondonDARESaalm

  • @ngoshandeko9873

    Ngosha malambo ndeko mwalimu mimi nataka kujuwa mke wa Adam wakwanza ririth nae alizaa

  • @Aggreymbugano

    Mungu akutunze sana Baba yangu wa kiroho

  • @susumakomanya9762

    Leo nimekuelewa sana mtumishi

  • @Moses-us3zl

    Wewe ni mwalimu wa neno kweli

  • @philemonhakiza1648
    @philemonhakiza1648 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa ufafanuzi huyo ila wale mafarisayo walijua ukweli,ila leo wengi hawana uwezo wakutambua matendo ya ibilisi au roho ,maana leo inakua ngumu.

  • @ThankyTawila

    Usijari pastor achana nao hao wanao tukana maana hata yesu alitukanwa pastor

  • @hustlerchembes786

    Nimenufaika na mafundishoyako sikinyingi

  • @johnlassi8280

    Mungu aendelee kukutumia, maana unaujenga mwili wa Kristo, mimi binafsi hakufuatilia na unanijenga sana.

  • @DanielNdumako

    Barikiwa mtumishi kwa somo zuri ,mejifunza kwa upana kidogo hili swali

  • @r14kgroup68

    Tupe madini baba